Naona mwendo wakugrow this tym😂 atuna stres sura zinafrah kabisa..ata simba tunajiamin sana ata tukipitia kipind kigum tunajitaid to maintain our physical appearance 🥰
Ahmed ally ni jeshi la mtu mmoja pamoja na muunganiko wa watu wote mpaka na raisi wao na mobeto ju ila ahmed ally kawaweka kapuni ubaya ubwela kweli nimeamini
Ahmed ally mmoja kakusanya kijiji kitenge,zembwela,manara,mobeto mpaka rais wa uto wote wamewekwa mfukoni,amakweli ahmed ndiye semaji la caf jesh la mtu mmoja hawakuwezi hata wakiungana vipi wewe bado ni mwamba.
Ni kwer Simba kidg imekata poa, lakin Ile timu sio ya kujipima nayo maana timu kwanza aishambulii,time inazuiq ty aina mipango Sasa timu ya Simba mtajipima tareh 8 na mech tatu za ligi kuu ndy mtaona timu yenu,lkn Kwa Jana bado sana Ile timu at ingesheza na TABORA bado tabor wangeishapa maan aina mipango at ya kushambulia aijielew namn ya kuchez time hile
Tarehe nane tunakuomba usiwakimbie hao waandishi unatakiwa uje uwasifie Tena hao Wachezsji kama unavyo wasifia Leo ukikimbia wewe dooooh utajibu hiyo kesi ya ukimbizi
Ahmedy Ali nimekukubali wewe kweli ni mbunifu na jeshi la mtu mmoja👏👏👏
Am so happy-go-lucky ❤❤❤❤WE LOVE YOU AHMED ALLY no one like you,,uongezewe mshahara semaj la fifa❤❤
SEMAJI umetisha❤Asante sana
Naona mwendo wakugrow this tym😂 atuna stres sura zinafrah kabisa..ata simba tunajiamin sana ata tukipitia kipind kigum tunajitaid to maintain our physical appearance 🥰
Mhhh huyu jamaa kweli ana kipaji cha kusema asee
UBAYA UBWELA.
TUTAKWENDA NAO SAMBAMBA KWA LOLOTE.
UJANJA WAO TUNAUJUWA.
UBAYA MALIPO YAKE NI UBWELA
SIMBA-NGIVU MOJA
Chukua mauayako Kaka Ahmed❤
Simba naipatia mechi tano itakuwa ishapata muunganiko balaa sasa wana simba kaeni mkao wa kula
Anguko lako ww na mpenzi wako lakini sio la Simba
Mpak Ikiisha wengine washaongoz
Semaji unasema vizri sana❤
Joshua mutaleeeeeee nomaaaa sanaa Yan SGR kiukwer
Ubaya ubwela 🔥🔥🔥🔥
Ahmed ally mmoja tu
Watoto wana speed atariii❤❤
Semaji LA cuf😅😅😅😅wangezimiaaa😂
semaji la gaf hongera sana achana na nyuma mwiko wasiyejuwa mpira
Semaj la gaf😂
Very talented
Unyama ni mwingi
nampenda sna semaj wetu
Semaji la Fifa
Tusubir manala atakavyo panic maana semaji la fifa anajua kukeraaa 😂😂
Walio muona dogo anae tembea kama nyaya ya umeme jez no7/ mgogon waritaje jin hapa af tujuane kwa like kama buku hiv
Mutaleeeee 7 ni tren ya umeme ya SGR
Huyo mutale kama Moloko tu🤣 mbwembwe nyingi
Utakunya sana safari hii@@shaffihsiraji3141
Aisee ukimaliza sn semajiiiii chuma 🔥 uta enjoy tu maana anakupa raha tu😂😂😂
Joshua mutalee
Pili kitim Tim amuone huyu jamaa anaweza sana
Mnakijua kiswahili fasaha nyie😂😂au hamuoni semaji la taifa linavyongurumaa....yaan hana papara kwenye kuongea maneno yamenyooka aaaweeeehh ✌📍📌🌹🌹🌹
hongera Sana machine yakuongea acha makolo wateseke ww kwel nimachine ya kuongea
Huyo ndo comedian kabisa adhabu ianzie kwake 😂😂😂
Kabsa ❤❤
Mashine inaongea hiyo, semaji comedian daadeki 🔥😂🙌
Katshaaa
WANACHAMA'MASHABIKI'WAPENZI TUUNGANE KUIUNGA MKONO TIMU YETU'KAMA HUWEZI KAA KIMYA au SEPA!!
Shkamo boss
Cjapenda ulivomwambia Huyo dada atoke..
VIBUDU FC,wameona vtu😂😂
Ahmed ally ni jeshi la mtu mmoja pamoja na muunganiko wa watu wote mpaka na raisi wao na mobeto ju ila ahmed ally kawaweka kapuni ubaya ubwela kweli nimeamini
Ahmed ally mmoja kakusanya kijiji kitenge,zembwela,manara,mobeto mpaka rais wa uto wote wamewekwa mfukoni,amakweli ahmed ndiye semaji la caf jesh la mtu mmoja hawakuwezi hata wakiungana vipi wewe bado ni mwamba.
😂😂😂😂 nicomedian so anaweza kuwa
Bro umetisha
Ubaya ubwela😅😅😅😅😅❤
Simba nguvu moja
Comedian
Wacha mjione mpo vizur,tar 8 ndo mtajua mnaturetea watoto sisi?
unaeza sana mzee
Muulize maswali yoyote ya kimpira linaingiaje utopolo hapo?subiri tarehe 8 mwezi huu ahsante
umenena baba
👏👏👏👏
Unajisifiaje mwenyewe?
Meee bhana sitaki kujua wanaviwango au laaaa ninachojuaaa MIMI NI SIMBA ja akuna anaetuweza labda kidg ARSENAL
dah huyu jamaa sio msemaji huyu mchekeshaji
🤭😃😄😀
😂😂😂tulien trh 8 maneno ya kulaumiana na kutukana viongoz yaanze 😂
Dum na mfuniko walikutana hakuna kitu apo wajipange sanaaaaaa
Ahmed amechoka. Lakini ukifanya Vizuri hata uchovu unaisha.
Waliwapiga nyuma mwiko 3-0 pale zenji wakarud na ubuyu wa babu Ayubu😂😂😂😂
Subra ndio inayo kuweka simba my dear brother ❤ hongera sana hakika tutafika mbali inshaallah 🙏
Ubaya ubwela
🙌🙌🙌🙌🙌🙌Ahmed Ally
TUMEFAULU - MOKKO -SASA - BADO - NECTA TAREHE 08
Deboraaa sio debra
We kinyesi fc mchezaji wetu anaitwa Debra acha uchoko
@@ramadhanmahongole9293 unajitoa akili
@@ngido255 jina la kizungu hilo acha kulitamka kwa kibantu
@@ramadhanmahongole9293 ww na Debora wote wabantu
Acha ubwege utopolo wew
Huyu sio msemaji huyu ni komedi
Tukubaliane hapa kwahyo timu yenu imekamikika?atutaki tena lawama saw
❤❤
Mmmmh😂
Kwa. Simba. Iyo
Hamna kitu tiya maji
Wachezaji wa. Yanga. Wamshwe tu
Watafugwa. 3
usiseme meseji SEMA ilikuwa katika matambiko.
Na matambiko ndo utamaduni wetu
Huyu jamaa hajameza mate ataa maraa 1
Iyo ndo mashine ya kuongea.. 💪💪
Kiufup ana mkataba mnauliźa maswali yakichonganish mmetumwa na uto ama
Ahmed kwenye mkusanyiko kama huo umwambie boss walau uwe na ulinzi
Jeshi la mtu mmoja weweeee😅😅😅😂😂 endelea kulindwa na vitenge vyako
Uyu nasemaga kila siku ni komedy lakini mnabisha 😂😂😂😂sikiya kuongea kwake sasa uyu baba ni Mungu tu
Kivp yaan?
Yap anafurahisha Comedy kwambali hii ndo maana ya Mpira burudani 🦁.
Huna d mbili ww
@@Yuleyule-u6c.. 👍👍safi sana umenena vyema
Comedy bab ako
Tulisema kwenye lazima mseme
Watanzania hatutokaa kimya Harmonize Popo akiharibu kazi za Wasanii wengine huko youtube❌❌❌❌❌❌❌🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
😂😂😂
Kwa hii timu yenu atutaki lawama tarehe ,8 timu mbovu
Nimecheka sana eti suti
MASHINEE
Kijana Una uwezo mkubwa
Simba mmepigwa subirini
Ww mwenyew umepgwa
Ubaya ubwela 😅😅😅😅😅
Jeshi la mtu mmoja ubaya ubwela
Ubwela fc wakipigwa tarehe 8 utasikia " tuachieni timu yetu, mmesajili wachezaji wa manzese, mangungu aondoke😅😅😅😅
Wazeeeeee fc hawawezi kufunga vijana fc😅😅😅😅haahaahaahaa😅😅😅😅
Walindeni wachezaji wetu kwa dua na maombi.maana utopian saiz wanahaha kuyaroga majina ya wachezaji
Utopian tena 😂😂 siyo utopwinyo
Vijana wanauwezo Mkubwa,mnaowabeza mwogopeni Mungu aliyewajalia vijana hao acheni wivu na chuki.
Xavi mtupu
MUTALE....SIONI WA KUMKABA PALE....
🦁🦁🦁
😂😂😂ety suti ionekane😂😂😂
Machine ya kuongea uleniupunifu mkubwa
Naona mashabiki wa simbaa wanaanza kunenepa uku mtaani kudadeki ngoja ligi ianze 😂😂😂
Nakwambia apa nimeamka najiangalia nyama nyama zimejaa ghfra 😅
Mimi ni Simba lakini kikosi hicho bado,kiwango kiko chini kikosi hiki sidhani kama kitaweza kushindana kombe la shirikisho
Kacheze wewe
Kasajili kikosi chako ukichezeshe. Hicho Cha kwetu tuachie wenyewe.
Kwakweli@@aileenmphuru5106
Acha uzwazwa
Hamuogopii???😂
Aish manula vipi
ROHO MBAYA HIYO KWA MANULA,KAOMBA KUONDOKA MUACHIENI MBONA KWA FEI TENA WWE KISPIKA ULIKOMAA SANA AONDOKE?
Ww makoro mbona unaewasemea
Sgr
Naona tukinenepa kwa raha za simba msimu huu
😂😂😂Jidanganye
Wewe ni,zamwamwa
@@Amina-rg2xb naona UTI inakusumbua mpaka uje ucomment zamwamwa ni wewe mwenyewe na uzao wako kipapa wa kienyeji
Simba nyepesi. Sana. Sio simba zilizopitq
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Ila Ahmed jmn
ACHA ushamba kuwazodoa waandishi Kila siku watakuacha
Tafsiri yako mbaya ila jamaa ni mbunifu wa mambo
😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂 ila simba wanapenda kudanganywa sana
😂😂😂Taa za gari
hhh hii kaul ilinihitaj mda kwnn taa za gar kumbe tahadhari
Sikiliza vizuri utaelewa
Ni kwer Simba kidg imekata poa, lakin Ile timu sio ya kujipima nayo maana timu kwanza aishambulii,time inazuiq ty aina mipango Sasa timu ya Simba mtajipima tareh 8 na mech tatu za ligi kuu ndy mtaona timu yenu,lkn Kwa Jana bado sana Ile timu at ingesheza na TABORA bado tabor wangeishapa maan aina mipango at ya kushambulia aijielew namn ya kuchez time hile
Huna lolote wamasai na Simba ni vitu viwili tofauti inamaana umewaleta wamasai kuiua Simba mmeisha nyie
Kwedraaaaaaah
Umesahau wamasai wanaishi na Simba kule loliondo wale ni familia
🐸 na maasai ndio sare sio
Poleniiii
Wamasai na simba ni vivitio Tanzania yanga mtuache
Tarehe nane tunakuomba usiwakimbie hao waandishi unatakiwa uje uwasifie Tena hao Wachezsji kama unavyo wasifia Leo ukikimbia wewe dooooh utajibu hiyo kesi ya ukimbizi
Kwaiyo unataka awaponde?
Alafu uwa akimbiagi kwasababu anajua nini maana ya mpira
Atawakimbiaje na wewe pimbi
semaj tunakuomba ukae simba milele kabisa maana tunajivunia kuwa na wewe
Ubaya ubwela🐓🐓🐓🐓🐓🐓