Tgun Tozzy - Atoa watu Machozi Live, Madam Ritha, Huzuni
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 11 ธ.ค. 2022
- Support your Boy Tgun Tozzy by Listening and Share Link as Much as u can. Don't forget to Subscribe,Like and Comment The TH-cam Channel.
@TGUNTOZZY
Catch Up With Tgun Tozzy on:
Instagram:tgun_tozzy
TikTok:Tgun_Tozzy
Facebook:Tgun Tozzy - เพลง
Haiwezi chuja hii😢😢kama unakubali bdo ni ya moto gonna like
Ambao bado wanatazama hizi performance gonga like zenu hapo
Tunaweza🎉🎉sisi watoto
😭😭😭 Aki hakuna pigo kama maisha Bila wazazi umejua kuniliza
This boy he is talented let's support him more like a zicame kwa wingi 💪🔥🔥
Mmmm Ameimba vizuri,,ametunga nyimbo mwenyewe,huyuangeweza shinda 🙏🏽🙏🏽🙏🏽♥️♥️♥️🇩🇪
Wimbo hajatunga mwenyewe,Wimbo wa kitambo huu
Kama lait ingekua official song nazan ndio ingekua wimbo wngu bora big up
Mbna ni official jmn
Ambao bado wanaitizama iyo performance gonga likes hapo
Tupo
2024
Daaah nataka wimbo mzm maan nimegiswa duuuuh umetisha Sana mungu akupeleke mbali zaidi ❤️❤️
Unaweza sana tgun tozzy pamban sana usipoteze fulsa natamani nikuone final tukumbushie nyimbo ya ndotoni itakuwa poa sana
💕💕💕💕💕
Daaa😭😭😭 huu wimbo hatakama hutak kulia utaliaty wimbo mzuri ✨🔥
ni zaidi ya creativity ww ni mshindi😭❤❤❤
Huu wimbo unanitoa machozi,big up dear tgun tozzy 🥰🔥nakuombea mema
Utafika mbali Kaka upo vizuri ❤️
Salama hujui mziki huyo jamaa ni big talent hivii salama utaendelea vip wewe
ajakosea lakini sala ana ana mpa kama chalenji ili aongeze baidi
Utafika mbali kakangu.. I wish you all the best bro
Oyoo ni🔥🔥🔥 mbona wamoto hivi💯🙌🙌
I like this guy so much sema ananiumizaga mno akianza kuzungumzia uyatima wake Allah ajalie afanikiwe
Nzr
Amina
I love you tgun....and ile ngoma ya kwenye ndoto mmmh
😭😭😭😭 inaskitisha nyimbo ....daah naumiaaa sana inanigusaa ....
njoo nikupe mchongo
Sina mengi bro mungu akibariki sana utafika mbali sana Na unaweza kiukwel
Hii ndio inaitwa live performance 🔥
Nakubali mwamba pambana sana mzeee
Aipiti mwezi bila kuangalia hii video so talented br 🔥🔥
Wow! Kaimba vizuri MUNGU akufikishe mbali 💪
T Gunn wewe bora rapper tz mimi fans wako tuka Burundi ♥️♥️ bss Yako bro
Mungu azidi kumuongoza amiin
Wimbo upeleke studio daaaa moto sanaaaaaa💥💥💥
Wimbo uliibwa miaka ya nyuma huo
On fire home Boy, swax moja
Ohh 😢😢my God Tgun you are soo talented may God bless you my brother
Anajua sana dogo 💪🎤
Since kizwite ulikuwa unaua Sana Martin Gondwe AKA Gunny
Nakukubal Sana mwamba Wangu wa swax unaweza Sana ongeza bidee T gun tozzy bunduki
Sikiliza mwamba tena sikiliza vizuri . Wewe ni star sasa yani namaanisha wewe ushapenya na nakukubali asilimia 50000000 ...mungu akupeleke mbali sana ..proud to be Tanzania
Uhakika pamban baba kwan wao wanaweza sas
Brother unajua sana zidisha kipaji brother utafika mbali mwana mungu akusimamie kwenye kazi yako
So sad so nice 😢 jama anaweza so proud of him
Huyu jomba ni hatari aisee,uwezo WA ela yote
Jomba we ni mnoma sana 🔥
Umeuwaaaaa🔥🔥🔥
Mm n shabiki wa huyu jamaaa ila tukubaliane Mzee tgun usipagawe hata ukitoka nataka nisikilize kazi zako soon ingekua amri yangu hapo usingeenda unge dili na kuandika nakutoa Ngoma kakaa brand yako itakua kubwa jiamni mzaz
Nitazif kunifatilia kila hiitwayo Leo nipo Bukoba apa manispaa unaweza na zid kutoa ngoma Kali ss mafans wako tupo na tunakukubali San💯💯👏👏👏👏👏
Dogo well done... mungu akusaidie saaana mdogo wangu
Jamaa anajua ❤️❤️❤️❤️Swax kipaji hichooo ❤️❤️❤️
jamaa kaanza mpka kamaliza sarama ajaongea mpka mwisho bac dg anajua😂😂
Machoz yamentoka... E Mwenyez Mungu naomba umpandishe viwango vya juu uyu kijana 🙏
Unajua hadi unajua tena kaka,keep going man👊👊👊
Go higher mwayaah 😍📌
😂😂😂 inanigusa saana
😭😭Umenikosha mwamba
GENIOUS
This boy got me emotional 😢😭😪🤧😩
that ma T gunny✌️✌️✌️❤️✌️❤️❤️✌️❤️❤️✌️✌️❤️✌️❤️
Mwanangu unachana sana big up🔥🔥🔥🔥🔥
tegun tooozy❤❤❤❤ 254 iko ndanii
Upo vzr kaka
Tgun tozzy mwamba unaweza song lako limenifanya nifell kitambo nakukubali mwamba
Umeniliza Kaka good bby ushindi kwako
Unyama mwingi mwanangu 🔥🔥🔥🔥
Jamaa mkali anajua
umeimba sana kaka unajua sanaaaaaaaaaa
Hii performance mimi sina maneno kama ya salama jabir tunahitaji vitu vyenye kuelimisha jamii hii ngoma inawahusu wengi mtaani tgun anaweza tuache ubinafsi
Mom binafs nailidia kila wakat muun aliuwag San San nipo Bukoba nazid kumfatilia
Huyu Salima hana quality za kuwa judge,kwa hiyo,yeye anataka tuimbiwe mapenzi tu.
Daaa NI hatari
Nakubali boy unaeleweka
Wakilisha blood Sumbawanga yetuuu T gunnyTozzy
Talented guy❤
Kaka umetisha kinoma Yani umefanya vyema
Mwanangu unajua ile sana amini aty athanasius nahao katuni 🎉
this guy is next level and so talented bro piga Kaz unajua Sanaa nmeskilza jinsi unavochana mpaka nmelia duh
Salama ni mwehu2
Mpaka nimelia afu sijui nimekulia nn daah noma sana
Huyu mkali wao God bless you don’t give up 🆙
Salama nuksi hanarazi uyo
Mdg wetu noma😂😂😂
Home boy,keep it up
Kaua Sana kaka💪
Salama jabr una hatar sana
Huyu mtoto warahi anajua ♥️♥️💋
Salama yupo right kabisa 💯%
Yaan salama bhana
Naumiaaa maisha halisiii tulopitiaa
Amaizing😮😮
Amefanya vizuri.sana madam Lita Moe uyo
Huyo mwamba amenitoa😭😭
ni moto umetisha
Wow ❤❤❤❤❤
Mwili unasisimuka jamani 😭😭😭
Unaweza sana bwana mdog I love u 💖 💓 ❤️
Unajua sana nimeipenda sana hakika unatakiwa kuwa mshindi
Bro kazi safi 💪
Daa nimelia kwa kweli we ndio mshindi naamin hvyo
Jamaa yupo vizuri
Mmmm aise... Bado wasani wapo bongo
Brooh unajua more than .....
Respect for you Bro❤️🥰
Jah bless you Bro you are so creative ☺️💖
Sumbawanga Town .to the World
Aloo! Nimeliaaa
Ameimba vizurii na kavaa uhusikaa
Sanaa unaweza bwana mdogo
Nampenda sana jamaa anajua hatar
Toka mashindano yaanze tgun tozy ndio ni one unaweza dogo pamban kiukwl
Sasa salama ..Kwan ugomvii kheee!!
Mimi mwenyewe nalia apa