HAMISS WA BSS AFUNGUKA KUCHANGWANYA NA PENZI LA MZUNGU : MASTAA WANAMTONGOZA SANA !

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024
  • www.youtube.co...
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

ความคิดเห็น • 45

  • @rajabushedafa6397
    @rajabushedafa6397 11 หลายเดือนก่อน +6

    Shoga hili nilikuwa namkubar wakat yupo bss ila Sasa naliona kabisa hili n punga

  • @yohanaenosi8412
    @yohanaenosi8412 11 หลายเดือนก่อน +3

    Awezii kuomba sababu huna mzee sas aombee nn wakt we unavitop tyu

  • @shanikiwele3111
    @shanikiwele3111 11 หลายเดือนก่อน +2

    Aiiii nimecheka sana

  • @ZakariaWambi-ot5sb
    @ZakariaWambi-ot5sb 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mdhungu gani: maajabu Africa ni mengi nndo maana watalii hawaachi kuja kutushangaaa.

  • @abdallahmapila5982
    @abdallahmapila5982 11 หลายเดือนก่อน

    Duuuuh maisha yako na high speed

  • @sidikassim6759
    @sidikassim6759 11 หลายเดือนก่อน

    Hyo diva nae anjfanya mzungu kumbe mswahili wa mbagala

  • @almasially6509
    @almasially6509 11 หลายเดือนก่อน +2

    Eti wazungu watamu.😂

  • @janetharris7509
    @janetharris7509 11 หลายเดือนก่อน +3

    Mpuuzi kumbe huyu Hamis BSS 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @JamalDikolaga
    @JamalDikolaga 11 หลายเดือนก่อน

    Umezingua...

  • @UyoReas
    @UyoReas 9 หลายเดือนก่อน

    Kakosa nn kwani 😊

  • @kidatokassim7616
    @kidatokassim7616 11 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu jamaa anaepuka majukumu ya kuombwa hela 😂

  • @bushbabytz
    @bushbabytz 11 หลายเดือนก่อน +2

    kunenepa hasa ukiwa mwanaume wa dar nakuweka bleach unakuwa punga kabisa😂

  • @sidikassim6759
    @sidikassim6759 11 หลายเดือนก่อน

    We bado unaushamba flani mshkji

  • @aud548
    @aud548 11 หลายเดือนก่อน

    Kuna tatizo la vijana wa kusini generally mkifika mjini na kujanjarushwa ...mna viushamba flani hivi haviwatoki...😂😂😂

  • @nurumwinyi796
    @nurumwinyi796 11 หลายเดือนก่อน

    Wallahi usimwamini mtu kupendukia,huyu hamisi alivyokua mwanzo na hamisi huyu wa ssa tofauti kitabia,ustadh sahii kavaa msalaba.....ni ajabu sana kumuona ustadh kavaa msalaba na anaongea sana kama alomeza cassete

    • @nancyg8664
      @nancyg8664 11 หลายเดือนก่อน

      Kavaa crop top pia

  • @ashahamisi7353
    @ashahamisi7353 11 หลายเดือนก่อน +1

    Duuh jamaa mshamba sana

  • @AstonyMathayo-hn9th
    @AstonyMathayo-hn9th 11 หลายเดือนก่อน

    Sisi uku kwetu tumewakanyaga sana tumewachoka😂

  • @BONGOKUMENOGATV
    @BONGOKUMENOGATV 11 หลายเดือนก่อน +2

    Uwongo tu hizo ni kiki za kurudi mjini😂😂

  • @abelimembe6990
    @abelimembe6990 11 หลายเดือนก่อน +2

    Mbana kama uyu jamaa ulikua ni ostazi amekuaje tena

  • @LenatusPosiano-hi7tk
    @LenatusPosiano-hi7tk 11 หลายเดือนก่อน

    Huyu jamaa akiwa staa mkubwa sifa zitazidi duuh

  • @Magicvoi
    @Magicvoi 11 หลายเดือนก่อน +1

    Ache uongo huyu dg

  • @shanikiwele3111
    @shanikiwele3111 11 หลายเดือนก่อน

    Uongo hamisi uwongoooooooooo🤫

  • @nobodyog9512
    @nobodyog9512 11 หลายเดือนก่อน +1

    Haha Daah et wazungu watam

  • @Ibrah__
    @Ibrah__ 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mashavu 😂😂😂

  • @leinaamos
    @leinaamos 11 หลายเดือนก่อน

    Uuukazi ipo

  • @EmmaMelkiadi
    @EmmaMelkiadi 11 หลายเดือนก่อน

    Kiufupi yeye ndo analelewa 😅

    • @nancyg8664
      @nancyg8664 11 หลายเดือนก่อน

      Si unaona shavu dodo

  • @kondoomix
    @kondoomix 11 หลายเดือนก่อน +3

    Ahahhaha Hamis inabidi uje Zanzibar nikufundishe kitu, Wazungu hajakaa akampa dhaman Muafrika, wanatuona bongo lala sana , zero brain 🧠.

  • @sadabahla7120
    @sadabahla7120 11 หลายเดือนก่อน

    We peke uko unamuona ivo

  • @amoursalim7418
    @amoursalim7418 11 หลายเดือนก่อน

    Pumbavu huyu hana maana shenzi kabisa mtumwa wa ngono huyu

  • @omanmct135
    @omanmct135 11 หลายเดือนก่อน +1

    Diva😂😂😂

  • @nancyg8664
    @nancyg8664 11 หลายเดือนก่อน

    Hiv diva anakichaa huyu..mtu anasema hajui ngeli yeye ndo anazidi kumuongelesha kwa hiyo lugha kama gujinga

  • @NandiElias
    @NandiElias 29 วันที่ผ่านมา

    😂

  • @mkp8455
    @mkp8455 9 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @achouraachoura5763
    @achouraachoura5763 11 หลายเดือนก่อน

    🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂

  • @habibabibaa-m5s
    @habibabibaa-m5s 11 หลายเดือนก่อน

    Langi tuu hiy0 usijimarize achaushamba ww

  • @alizuluman4739
    @alizuluman4739 11 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂

  • @omanmct135
    @omanmct135 11 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂