Mzee Anena MAZITO kwa RC HAPI kwa Kubomolewa NYUMBA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ก.ย. 2018
  • Mzee Anena MAZITO kwa RC HAPI kwa Kubomolewa NYUMBA
    Mkuu wa Mkoa amemsweka ndani diwani viti maalumu kupitia chama cha Demokrasi na Maendeleo Chadema kata Kihesa Silestina Jonso kwa kuamulisha mgambo kuvunja nyumba na mwananchi wake Lonjino Utenga.
    Lonjino Utenga ambaye ni mwananchi wa Mtaa wa Kihesa alimwambia Mkuu wa Mkoa kuwa diwani huyo aliamua kufanya kitendo hicho kutokana na visa vya kusiasa.
    Akisikiliza juu ya kero hiyo kutoka kwa wananchi huyi Mkuu wa Mkoa Ally Hapi alilazimika kuwaita viongozi mbalimbali wa Mtaa huo ilikuweza kupata ukweli wa jambao
    Baada ya kujilidhisha na maelezo mbalimbali kutoka kwa viongozi hao ikiwa ni pamoja na Diwani huyo Mkuu wa Mkoa huo Ally Hapi amelazimika kuagiza jeshi la Polisi kumweka ndani diwani huyo.
    Aidha baada ya kutoa maagizo hayo Mkuu huyo aliweza kuahidi kumchangia shilingi laki tano huku wadau mbalimbali wakiendelea kutoa michango na kuendelea kutoa ahadi.
    bit.ly/2AAQe1d iOS: apple.co/2Assf4M Subscribe ww.th-cam.com/users/uwazi FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari Visit globalpublishers.co.tz/, Suazi1 / uwazi1 WEBSITE:
    globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpubli .

ความคิดเห็น • 103

  • @munaahmed8499
    @munaahmed8499 4 ปีที่แล้ว +4

    Mm nalia tu kila ninapoona hii clip inaumiza huyu ni mzazi na ni binadam nina miaka 23 lkn maisha nilipitia mpk sasa nipo kam binadam inaumiza kam baba huyu anavyolalamika. Mpk sasa nipo natmikia waarabu kisa ili nije naishi kwa aman lkn huwez jua roho mbaya kam hizi ikija kunikuta mm si kufa tu jmn haaaaaaa inauma mar 10000

  • @yussufbare4913
    @yussufbare4913 3 ปีที่แล้ว +3

    Mama unakaa kudulumu lakini huyu hakimu uko mbeleyake SI mtu hivi hivi Leo una kibarua ngumu hapa ....eti kijijio ya ugurua shenzi

  • @zainabumbondei8635
    @zainabumbondei8635 3 ปีที่แล้ว +5

    Watoto wa MAGUFULI oyeeeee piga kazi kaka

  • @rowlandwilbert9625
    @rowlandwilbert9625 5 ปีที่แล้ว +7

    kuanzia dakika ya 41 uyo mzee amezungumza kwa hisia sana, hao ndo wazee wakereketwa

  • @mariamm2724
    @mariamm2724 4 ปีที่แล้ว +5

    Mkuu wangu wa mkoa nakupenda sana kwanza unahofu ya mungu na unatenda haki,najuwa nahilo utatenda mungu akusimamie huyo mzee apate haki

  • @fatoomfatoom5590
    @fatoomfatoom5590 5 ปีที่แล้ว +5

    Hili sio jipu bali tambaza litumbue muheshimiwa Ally HAPPY Mungu yupo pamoja nawe

  • @jovinacbkan7785
    @jovinacbkan7785 4 ปีที่แล้ว +7

    Wajenge nyumba ya Mzee Alhapi,ongera sana kaka,kazi nzuri,nyumba ijengwe .

  • @bintlola3127
    @bintlola3127 5 ปีที่แล้ว +6

    Na avuliwe vyeo vyote mamaeeee.....sijui kwann hawavyama pinzani wakolofi...alafi hao ndo wakwanza kusema serikali mbovu...

  • @zainabumbondei8635
    @zainabumbondei8635 3 ปีที่แล้ว +2

    RC WAIRINGA SHIKAMOO MITANO TENA NAKUPA KUANZIA LEO

  • @leonardpetro1463
    @leonardpetro1463 5 ปีที่แล้ว +5

    Nimefurahi huyu mama kukamatwa maana niliumizwa sana hila ya huyo mjinga RC Fanya kazi yako baba

  • @laulymo2063
    @laulymo2063 3 ปีที่แล้ว +3

    Barikiwa sana 🙏 mkuu

  • @johnjacob9587
    @johnjacob9587 4 ปีที่แล้ว +3

    More Congratulations RC Ally Happy nakupenda Sana

  • @juliethmollel9355
    @juliethmollel9355 4 ปีที่แล้ว +3

    mkuu wa mkoa wa iringa nimekupenda bure ,ungegombania uras ningekupa kura zangu zoe mungu akubariki

  • @bintiiddy7043
    @bintiiddy7043 4 ปีที่แล้ว +3

    Huyo mama anaroho mbaya kama yule mchaga aliouwa mfanya kazi wake yani hawana utofauti😭

  • @margretchai3384
    @margretchai3384 4 ปีที่แล้ว +3

    Hongera mheshimiwa

  • @SabraKhalidy

    Hongera Mkuu, Mungu akusimamie katk majukum yako

  • @brunochilole7185
    @brunochilole7185 4 ปีที่แล้ว +2

    Nakuombea mkuu uje uwe raisi wa Tanzania kaziyako safi

  • @nayopamlimbatv1382
    @nayopamlimbatv1382 4 ปีที่แล้ว +3

    Pole sana mzee wangu ila mbona wamama mna sifa nzuri za huruma ila uyu mama yupo tofauti sana na wanawake au wamama wenzake duuuh wewe mama mungu anakuona kwa kweli

  • @yussufbare4913
    @yussufbare4913 3 ปีที่แล้ว +2

    Kenya ndo Kuna unyama zaidi hii

  • @fatemafatema4780

    Mkuu wa mkowa hongera sana kutetea wanyonge mungu akubarik