Hongera muheshmiwa kazi iendelee tupo na wananchi haijalishi kua mi nimzanzibari ya uko hayanihusu ila kwenye uwonevu nawaunga mkono kaka zangu na mama zangu watanzania wote ni ndugu
Mungu mlaze mahali pema.peponi angekuwepo magufuli akajua kama nikweli wanadhulumiwa hawa jamaa hawaliovunja nyumba wange ambiwa wazijenge zotee tena kwa wiki mbilitu jamani vibayani ivoo hatakuogopa tu hakuna wana mungu hawa 😭😭😭😭
Millard ayo ukitoa habari km hizi after one week utuletee part 2,3,4 tujuwe baada ya kusikilizwa nn kimefata? Je hatua zimechukuliwa faster or? Maana issue km hii action inatakiwa ichukuliwe haraka saana 😢
Asante muheshimiwa chalamila inavyoonekana ww nitunda linalotokana na zao la mama na magufuli hongera sana mungu akubaki na akupe umri mrefu wenye manufaa wa zaidi ya Hali uliloanza kulifanya hongera sana
Oooh. Kesi hiyo sio hapo tuu,,,nenda chanika ya ngobedi,,,utalia na hawa nabeberu wanaodhulumu maeneo ya watu,,,tena kama wanavyosema serikali ipo mkononi kwao,,,tena tunalia watu wanapigika wanafungwa,,,jee hii ni haki,, serikali ipo wapi wanawasaidia hawa nabeberu mitapeli
Usicheze na majambazi yanayo shika pisto tena zilizo sajiliwa na serikali. Hee huko tena kupewa ya mauaji ogopa niheri usomewe uwe umeua🤔 sina hamu na hao 🔫wenye dhamana ni wajii
Kunahaja ya Viongozi wa juu wa Vyombo vya usalama na wale wakiserekali wa eneo husika kusimamishwa kazi na kupitisha uchunguzi wa kina , hizi tabia zinakuwa sana na ndizo ambazo zina chafua uongozi wa awamu hii . Askari polisi wamekuwa kipaumbele sana kwa kunyanyasa raia ila wamekuwa wanalindana jambo ambalo itafikia siku hela ya hewa itachafuka , so kabla ya yote hayo hayajatokea yafanyiwe kazi kwa mapana zaidi .
Mungu wangu inamaana haya mambo yamerudi tena? viongozi hilimnaliweza kabisa tena lipo ndani ya uwezo wenu Rais John pombe Magufuli aliwezaje! nawengine mnashindwaje? wanapata wapi kiburi cha kunyanyasa watu bila kuwa na mkubwa wao wanaemuamini kutoka serikalini?😊 Nakupongeza sana kuheshimiwa Chalamila kwa kukemea vikali hili tatitzo
Njia iliyotumika kutengeneza tatizo huwezi kutumia njia hiyo hiyo kutatua tatizo. Tatizo ni mfumo,hivyo huwezi kutatua matatizo yaliyoletwa na mfumo huo huo. Wabongo tafakarini hiyo
Serikali inahusika na hiyo changamoto..... Kumpa fulsa Mtu kufanya uhalifu.... Haiwezekani Police inazuia raia kujitetea.... Hakika MUNGU yupo hiii Sio sawaa eh mwenyezi MUNGU .... Angaza macho Yako mahali Hapa hasila yako ikaonekane kwa kila alie kinyume na hiyo nafasi
Watanzania mnaanza kukumbuka hayati Magufuli Mungu amaze pema peponi, mafisadi wa kwanza huko kwenu ni mapolisi na wale viongozi wenu hawafai kuongoza wale ni walaji wa rushwa.
Naiomba Serikali ijitahidi kukemea vitendo vibaya kama hivi vya dhulma,Kwa sababu raia wanaheshimu sana sheria lakini kila wanapoenda wanakosa msaada Mwisho wa siku wanachukua hatua wao kinyume na sheria
Huu ni zaidi ya unyama hivi ninani yupo juu ya sheria,Hakika tutamkumbuka mwamba milele hivi hawa waliofanya wanapataje ujasiri huu,Hivi vaa uhusika wa kuvunjiwa nyumba ambayo umejenga kwa shida mama kajitoa muhanga kwa maneno mazito aliyoyaongea mbele ya mkuu wa mkoa,pistor anaonyeshwa raia mwema kweliiiiiiiii
Wamepita mawaziri wa aridhi wangapi?hadi huyo aamue kukomesha wananchi kugawanyumba zao kwa mtu eti ni wakwanza kupewa. Na kuanzua 1975 & 2024 ni mda wa miaka mingapi.leo umejukuu kwenye nyumba uliojenga unaambiwa toka sio kwako.bado huyo waziri anaangaliwa tu.huyo ni mwambia hatari na Kuna anaowalinda hawabomolewi. Eebaba Mungu tusaidie
Daaàaaaaaa nchi hii noma sana ninahakika silaha zingekuwa zinauzwa dukani tungelambishana mchanga sana, sasa hapo mfano mmembolea mchawi atawaacha hao wabomoaji?
Hongera mheshimiwa chalamils mungu akupandishe juu Kwa kujua haki
Najuwa mtanikumbuka..sio.kwa. mabaya kwa mazuri.tuu. ndio hayoo wananchi .wanazurumiwa.R.I.P.MANGUFURI😢😢😢mtetezi.wa..wawanyonge
Asante charamila unapiga kazi kama makonda
@@EliaMwaijumba
Mojmookook.ook9o o oo o.moo😅opl mjonoA//09
L
Ook.momop😊ollml😊
.
😅@@EliaMwaijumba
Amina Mhe. Mkuu wa Mkoa Wasaidie Wananchi katika Haki zao
Hakika magufuli tutamkumbuka sana pengine angekuwepo haya yote yasingetokea.
Utamkumbuka wewe na ukoo wako na sukuma gang
@@omaryramdhani9823 lazima akumbukwe kwa mazuri aliye fanya kwa wanyonge
@@omaryramdhani9823 Alikua anasaidia wasukuma peke yao??!! Shika adabu zako we fisadi mwizi mkubwa😢😢 Iko siku moja tu ya Mungu haya yote yataisha😢😢
@@omaryramdhani9823acha ukabila kiazi we
Magu muuwaji
Nchi hii haina baraka kwa sababu ya dhulma
Haswa
Hakika
Baraka ni nyingi ila viongozi wa ngazi za chini huwa na tamaa ya fedha
Kweli kabisaa
Habisa
Ipo siku nkifa mtanikumbuka Mimi ni Raisi wa wanyonge R.I.P. Magu nimeamin ni kweli 😢😢😢😢
Tanzania tulipofikia hapa Mungu atusaidie
Tulishangalia kufa kwa upinzani leo inabid tupambane wenyewe kukosoa serikal na hatuna nguv wala saut kama ilivyokua upinzani 😢
Jeshi la police mbona limeshalaaniwa mbona kitambo sana
Mungu ampumzishe kwa amani JPM💔😭😭wanyonge wanazidi kudidimizwa Mungu awatete wanyonge wote 🙏🙏
😊
Huu niunyama wa Hali ya juu,,RIP JPM😭😭😭
Halafu anatokea Fara mmoja anasema Tanzania ni Nchi yenye AMANI.
Wewe pia huna akili hujui nchi isiyo na ama I ikoje?
Ushampata fala tayar
@@emmanuelmlowe-ew7gx5î61q111q1qqqq be t1qqq1qqqqqq1q1qqqqqqq1q1q1q11q111111q1qq1qq
Watanzania tumechukuliwa misukule,tutaendelea kunyimwa haki mpaka mwisho was dunia.
Nakubaliana na ndg aliyesema kwamba wa Tz tumechukuliwa msukule
Hongera muheshmiwa kazi iendelee tupo na wananchi haijalishi kua mi nimzanzibari ya uko hayanihusu ila kwenye uwonevu nawaunga mkono kaka zangu na mama zangu watanzania wote ni ndugu
Ahsante kwa niaba sote ni wamoja mungu aki yao
Amen
Ndio Tanzania, hapo hatawasaidia atasikiliza alafu ataondoka.
Watanzania pia tujifunze kununua na kumiliki ARDHI kwa kufuata taratibu sahihi.
Ndugu watu Hadi hati miliki wanazo mkononi ila ndo Ivo
Kwel kabisa
R I P MAGUFULI HAKIKA PENGO LAKO LINAONEKA SANA😢
kwa uhakika
Millard Ayo tunaomba muendelezo wa hii habari tafadhali sana sana unfanya kazi nzuri mnooooooooooooo
Juzi limubunge Moja juzi mama kilango anasema Tz Kuna amani na wengine wanampigia makofi bunge la ajabu
Hii n nchi ya mwenye nguvu mpishe, na kuna watu wapo juu ya sheria😢
Kweli kosaa kubwaa kuvunja.nyumba.usiku watu wamelala. Kuna binadamu wamelala.kweli.wakamatwe.safi.sana..Chalamilaa. mungu akulinde na hasda
Dah kama kweli ni kweli serikali fanyeni maamzi magumu,sana saidia Hawa wananchi,
minafurahi sana wanaoteseka kwa wingi ni ccm oyeee
Mungu akuongoze katika kazi yako
Bravo Chalamila
Kwa mkuu chalamila limefika huyu namwamini yupo makini mungu akutanguliye chalamila
Mungu akutunze mkuu wa.mkoa tunakuombea
Mama kajitoa sadaka kutetea wananchi wenzake mungu Akubariki Mama
Kazi ya kuhalalisha pombe kwa nguvu zote, Mungu hukaa pembeni.
Tuombe toba
Mm sinyw pombe ila apo umeongea ujinga tu jielew
Good reasoning Safi sana Chalamila
Tanzania hii dah watu wanapata tabu Sana mungu tunusuru.,
Kwakweli kila mtu anaangalia maisha yake Mungu tu ndiye anaupendo
R i p magufuri 😭😭😭😭😭mkuu wamko uko makini sanaaa🙏🙏🙏🙏
Mkuu wa mkoa CHALAMILA hongera baba chapa kazi
Ubarikiwe Mheshimiwa Chalamila, hakika huu mgogoro wa majohe ni wamiaka mingi sana. Sasa nimuda wakuumaliza
Kuna sauti huwa nikiisikia kwa Chalamila akiongea huwa najua siku hiyo amekasirika zaidi kama leo..Mungu aendelee kukuongoza katika utumishi wako
Tanzania inako elekea mungu ndo anajua😢😢😢😢😢
Mungu mlaze mahali pema.peponi angekuwepo magufuli akajua kama nikweli wanadhulumiwa hawa jamaa hawaliovunja nyumba wange ambiwa wazijenge zotee tena kwa wiki mbilitu jamani vibayani ivoo hatakuogopa tu hakuna wana mungu hawa 😭😭😭😭
Poleni ndugu zetu kwa tatizo hilo.
Piga kazi baba watu wanaonewa sana
Huyu mkuu wa mkoa ana akili nyingi sana angalia hoja anazojenga zinavyoeleweka
Mtamkumbuka yule mzee, wacha nibaki kwenye nchi zawenyewe.
Kbs😂😂😂😂
Wewe si shoga acha wa kule
@@salehesalehe2967 sio mbaya kuwa shoga cus ndio wanawake tulivyo umbwa
😢😢😢😢kabisa lakini malipo. Ni hapapa. Akhera.kwenda.mahesabu
Umeona e, bora nibaki ulaya tu, nyumbani kusalimia.
Daa! hii ndo Tz katiba ya Mkoloni na Kuibadili awataki yani 😢😢😢😢😢😢😢
Hongera sana Mhe Chalamila mkuu wetu wa Mkoa wa Dar.
Muhimu zaidi ni kujitahidi kusikiliza Wananchi unlimited data kama anavyofanya Mhe Makonda.
Millard ayo ukitoa habari km hizi after one week utuletee part 2,3,4 tujuwe baada ya kusikilizwa nn kimefata? Je hatua zimechukuliwa faster or? Maana issue km hii action inatakiwa ichukuliwe haraka saana 😢
Ni kweli atupe na mrejesho maana ni uonevu
Huu ujambaz tunataka tuujue mwisho wake
Tumeshauzwa
Sawa ntajitahid kuwapa
Nakukubali mungu akupekibali uwe raisi wa nchihii
Hakuna Mtu Mnafiki Kama Mkuu Wa Mkoa..
Chalamila yuko vizuri
Umenena vyema mkuu wa mkoa.Hongera sana.
Asante muheshimiwa chalamila inavyoonekana ww nitunda linalotokana na zao la mama na magufuli hongera sana mungu akubaki na akupe umri mrefu wenye manufaa wa zaidi ya Hali uliloanza kulifanya hongera sana
usimshirikkishe magufuli na huyo mama samia huyo mama samia ndo chanzo cha matatizo yote rip magufuli
Oooh. Kesi hiyo sio hapo tuu,,,nenda chanika ya ngobedi,,,utalia na hawa nabeberu wanaodhulumu maeneo ya watu,,,tena kama wanavyosema serikali ipo mkononi kwao,,,tena tunalia watu wanapigika wanafungwa,,,jee hii ni haki,, serikali ipo wapi wanawasaidia hawa nabeberu mitapeli
Mheshimiwa huku kigamboni VIJIBWENI watendaji wako wanakuharibieni...Mwwnyekiti wa vijibweni kisot hafaiii wanakuharibieni na kukupakeni matope....wanawatapeli watu.
Ubarikiwe sana RC chalamila
Rushwa imezidi katika watendaji wetu. Mungu atusaidie.
Magu asingeruhus upuuzi huuu RIP mkuuu 😢
Safiiiiii safiiiii.Chalamimi.baba ❤❤❤❤
Usicheze na majambazi yanayo shika pisto tena zilizo sajiliwa na serikali. Hee huko tena kupewa ya mauaji ogopa niheri usomewe uwe umeua🤔 sina hamu na hao 🔫wenye dhamana ni wajii
Poleni sana, serikali ya Tanzania haina msaada wowote kwa wananchi, tunsituhumu serikali kuwa inashirikiana na majambazi kuwadhulumu wananchi
Kama hao watu kweli wameonewa hao viongoz wanastahili kujiuzulu
Tanzania hii kujiuzulu ?😅
@@leokamil6284 😄😄
Sahau
Hapo ndipo tunapokosea. Kwa nini ajiuzulu? APELEKWE MAHAKAMANI. Ajiuzulu wakati wengi kawatia UMASKINI na KAWADHALILISHA?
Hongera sana comrade chalamila
Poleni,hawatumii njia za haki.
Kunahaja ya Viongozi wa juu wa Vyombo vya usalama na wale wakiserekali wa eneo husika kusimamishwa kazi na kupitisha uchunguzi wa kina , hizi tabia zinakuwa sana na ndizo ambazo zina chafua uongozi wa awamu hii .
Askari polisi wamekuwa kipaumbele sana kwa kunyanyasa raia ila wamekuwa wanalindana jambo ambalo itafikia siku hela ya hewa itachafuka , so kabla ya yote hayo hayajatokea yafanyiwe kazi kwa mapana zaidi .
Chalamila ni kichwa Aiseee
Safi sanaaa bg up!!!
Hakuna Cha RPC Wala OCD hawapokei cm wakipigiwa
Asante kiongozi Chalamila
Aisee mtakumbuka Sana raisi wawanyonge jonh pombe magufuli
daima tutamkumbuka magufuli, haya yote tulishayasahau jamani, wanyonge twende wapi jamani,
Hongera shujaa miladyoo
Safii Kaka chalamila
Mama upo wapi Hali mbaya hii wasaidie wanyonge Leo duniani kesho Ahera mama saidia hawa watu Hali ya maisha ni ngumu sana
Mm Anauipiga mwingi😂
Hadi mseme Yan bado hamjasema😂😂😂 ccm nambari Moja mbele daima nyuma mwiko😂😂😂😂
Mnafiki
Watu kwa tamaa yao wanakichafua chama
Hiyo ndio tabu ya wenye viti wa kuletewa mwenyekiti wananchi wamchague wenyewe yangu ni hayo
Mungu wanguuuu weeeee. Serijarii hiiiii mbona wanawanyanyasa WATU??????
Hapo ndoo anakumbukwa jpm mungu ampe pumziko Ra mirere
Hii no tz kweli wanyonge tutakimbilia wap? M, mungu tunhitaji msaada wako Sana!
Daah hadi nimeumia moyo,mungu yupo atasaidia.
Hata waziri lukivi alikuwa anasimamia vizuri sana lakini sijui kasukumiziwa wapii
Mungu wangu inamaana haya mambo yamerudi tena? viongozi hilimnaliweza kabisa tena lipo ndani ya uwezo wenu Rais John pombe Magufuli aliwezaje! nawengine mnashindwaje? wanapata wapi kiburi cha kunyanyasa watu bila kuwa na mkubwa wao wanaemuamini kutoka serikalini?😊 Nakupongeza sana kuheshimiwa Chalamila kwa kukemea vikali hili tatitzo
Mungu si umfufue mangufuli jameni😭😭 watazania wanaumia😢😢
Rushwa ni adui wa haki.....e Mungu uwe mtetezi wa wa wanyonge.
Mnajichosha tu wote ndo wale wale
Sasa wakaetuu kimyaa
Asanteee chalamilalaaaa ❤❤❤❤❤
Njia iliyotumika kutengeneza tatizo huwezi kutumia njia hiyo hiyo kutatua tatizo. Tatizo ni mfumo,hivyo huwezi kutatua matatizo yaliyoletwa na mfumo huo huo. Wabongo tafakarini hiyo
Serikali inahusika na hiyo changamoto..... Kumpa fulsa Mtu kufanya uhalifu.... Haiwezekani Police inazuia raia kujitetea.... Hakika MUNGU yupo hiii Sio sawaa eh mwenyezi MUNGU .... Angaza macho Yako mahali Hapa hasila yako ikaonekane kwa kila alie kinyume na hiyo nafasi
Mnyonge mnyongen,haki yake mpen. Km unatambua pumzi yako haujainunua,ujue kuna atakaeweza kukuadhibu tuu,Mungu wa wanyonge yupo😭😭
TUNA KWENDA KUBAYA MAMA SAMIA
Tutamkumbuka saana Magufuli
Kwa lipi
Hakika na tumeshamkumbuka
@@salehesalehe2967 kwa kesi kama hizi magufuli alikuwa anatetea masikini na wanyonge ILa matajiri alikuwa anawapiga piniiii balaaa
Mtu Unajinyima kujichanga vipesa vya kimasikini ili ujenge atimae yaja vunja😢😢
Watanzania mnaanza kukumbuka hayati Magufuli Mungu amaze pema peponi, mafisadi wa kwanza huko kwenu ni mapolisi na wale viongozi wenu hawafai kuongoza wale ni walaji wa rushwa.
Hao hawawezi kuwasaidia ni wanafiki wanatafuta vyeo mlilieni Mungu pekee ndie atakaewaweza hao viongozi miamba hatari
Naiomba Serikali ijitahidi kukemea vitendo vibaya kama hivi vya dhulma,Kwa sababu raia wanaheshimu sana sheria lakini kila wanapoenda wanakosa msaada Mwisho wa siku wanachukua hatua wao kinyume na sheria
mkuu wa mkoa uko vizuri sana
Jamani daaa mama...! Rais rais rais rais Wetu angalia hii hayakuwepo Haya wakati wa magufuli inauma sana
Mkuu wa m koaaa Deki deki toa toa takataja chafu mitaani fanya reshufle hapo kama Mama Samia anavyohamisha watu
Askari hawana faida bongo ni nchi dhaif hakuna viongoz
Mtamkumbuka mtetezi wa wanyonge MZEE BABA alisema siku nikifa mtanikumbuka
Enzi za magu na kamanda rukuvi wanyonge walisikilizwa
Poleni sana ndugu zetu mungu atawalipa
Rip masta magufuli John ,uyu mama bhado hatupi moyo wa kuamini ataweza kutupigania wananchi Kwa miaka ijayo
Mama yupi? Hamna shughuli hapo
Kila sehem bunduki kitu kidogo bunduki alaf baadae mtu anakua nakinyongo anatafuta ata yamjombaa ake analipiza kisasi
Tatzo tanzania sio nchi ya haki na hawana serekali ya haki za watu yasingeweza tokea hayo
Huu ni zaidi ya unyama hivi ninani yupo juu ya sheria,Hakika tutamkumbuka mwamba milele hivi hawa waliofanya wanapataje ujasiri huu,Hivi vaa uhusika wa kuvunjiwa nyumba ambayo umejenga kwa shida mama kajitoa muhanga kwa maneno mazito aliyoyaongea mbele ya mkuu wa mkoa,pistor anaonyeshwa raia mwema kweliiiiiiiii
Tatizo la nchi ya Tanzania kila kiongozi anaetawala anakuja intresti zake za wizi.sasawanaoumia ni wapiga Kura.Mungu yupo hatuna jinsi
Wamepita mawaziri wa aridhi wangapi?hadi huyo aamue kukomesha wananchi kugawanyumba zao kwa mtu eti ni wakwanza kupewa. Na kuanzua 1975 & 2024 ni mda wa miaka mingapi.leo umejukuu kwenye nyumba uliojenga unaambiwa toka sio kwako.bado huyo waziri anaangaliwa tu.huyo ni mwambia hatari na Kuna anaowalinda hawabomolewi. Eebaba Mungu tusaidie
@@pungopungo411mungu awe nasi tuu bac
Hawa jeshi la police huwahawafiki kwa wakati
Cc wenyewe hapa morogoro tulimpigia RPC ,hawapokei wakati no zao wameweka hapo pale makao makuu ya police
Daaah aisee balaa tupu kwakweli na watu wameachiwa tu inasikitisha sana
We ni jembe chalamila chapa kazi bila kujali maneno
Daaàaaaaaa nchi hii noma sana ninahakika silaha zingekuwa zinauzwa dukani tungelambishana mchanga sana,
sasa hapo mfano mmembolea mchawi atawaacha hao wabomoaji?