Varangati Laibuka , Said Aliyetobolewa Macho na Scorpion, Mkewe Waanza Kugawana Mali

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ส.ค. 2024
  • SUBSCRIBE NOW: / uwazi1
    WAKATI lile sakata Linalomuhusu kijana Said Mrisho aliyetobolewa macho na mtu aitwaye, Salum Njwete ‘Scorpion’ kumtelekeza mkewe, Stara Sudi ‘Mama D’ na watoto wanne, likiwa bado bichi, jipya jingine limeibuka ambapo wawili hao wameanza kugawana mali.
    Tukio hilo lilijiri mwishoni mwa wiki iliyopita maeneo ya Maji-Chumvi, Tabata-Kimanga jijini Dar, zikiwa zimekatika siku chache tangu Stara apangishiwe nyumba na Said kisha jamaa huyo kwenda kuishi na mwanamke mwingine mwenye asili ya Kiarabu.
    Akizungumza na Wikienda, Stara alisema kuwa amefi kia uamuzi huo wa kuchukua kilicho chake baada ya kutelekezwa kwenye nyumba hiyo.
    “Amenitelekeza, nitakaa vipi hapa… nimeamua kuchukua vitu na kupeleka nyumbani kwetu. Nimekaa hapa kwa siku nne tu, nimekuja kuchukua malipo yangu ya miezi mitatu.
    Ujue mwanzoni tulikubaliana na Said na akamuomba mwenye nyumba kuwa atakuwa akilipia kodi miezi mitatu-mitatu, lakini mama yangu akakataa, akasema muongo huyo, atakukimbia na kwamba kwa nini kwangu alipie miezi mitatu na kule (kwa mke mwingine) alipie miezi tisa? Said akadhani nitajua amesafi ri ili awe anakuja kwa siri kuchukua vitu kidogokidogo,” alisema Stara.
    Kwa upande wake, Said alisema kuwa, alikubaliana na hatua aliyoichukua Stara ya kuchukua vitu vyote ikiwemo friji, makochi na vingine vingi, jambo lililofanywa mbele ya mashahidi akiwemo mwenye nyumba.
    “Nilikuwa ninatoa pesa vizuri, ilifi ka kipindi nikamwambia akatafute nyumba ya laki moja, akaenda kutafuta ya shilingi laki moja na nusu, nikalipia kwani niliomba kulipia miezi mitatumitatu.
    Nashangaa kuambiwa kuwa nimetelekeza familia, hivyo ni visingizio ambavyo mwenzangu amewahi kwenda kwenye media na kuongea bila kusikiliza upande wangu,” alisema Said na kuongeza:
    “Nilipigiwa simu na mwenye nyumba kuwa amepaki kila kitu kwenye gari, anahama na ameshapeleka barua Ustawi wa Jamii (Ilala) kuwa ninahitajika siku ya Jumatatu (leo) na kwamba kiasi cha kodi kilichokuwa kimelipwa (laki nne na nusu) arudishiwe kwani ndiyo kwanza amekaa miezi minne.
    Nilifika na kufanya makabidhiano mbele ya mwenye nyumba.”
    FACEBOOK: / globalpublishers
    TWITTER: / globalhabari
    Visit globalpublishe..., Subscribe / uwazi1
    Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya…
    / uwazi1
    / uwazi1
    / uwazi1
    WEBSITE: globalpublishe...
    FACEBOOK: / globalpublis. .
    TWITTER: / globalhabari
    INSTAGRAM: / globalpubli. .

ความคิดเห็น • 741

  • @israhmohd8224
    @israhmohd8224 7 ปีที่แล้ว +15

    team kujitafutia team kujiamini
    team gulf #likes .. kheri kula chako kuliko kumtegemea mume

    • @AbdalallaBrahimam
      @AbdalallaBrahimam 6 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂 tatizo mnaona pesa ndio kila nyie wanawake

  • @maryamsinganomaryamsingano7938
    @maryamsinganomaryamsingano7938 7 ปีที่แล้ว +18

    huyo mama mwenyenyumba nimtu mzuri sana mungu akupe moyo huo huo mama malipo kwa mungu

  • @rachelmirindi4477
    @rachelmirindi4477 7 ปีที่แล้ว +3

    mwenye nyumba wewe ni mama kweli una roho nzuri mungu akubariki

  • @agapithswai2283
    @agapithswai2283 7 ปีที่แล้ว +8

    kwaninavojua mm kwenye mahusiano mwanamke akikosea jamii haitambui kaza but said mungu mwenyewe ndo atajaji

  • @husnamarandu8380
    @husnamarandu8380 7 ปีที่แล้ว +23

    jaman!! kwel huyu dada anamachungu na Mume wake hadi kakonda! hata kma ni mie skai mwenyewe mana mwixho Wa siku said atakuja kusema huyu Dada analeta mwanaume kwenye Nyumba anayoilipia yy!

    • @kelvinchale5549
      @kelvinchale5549 7 ปีที่แล้ว

      Husna Marandu dada mwenyewe golikipa huyu ndo mana anahaha

    • @beatricesisso5530
      @beatricesisso5530 7 ปีที่แล้ว +2

      Husna Marandu umeona hata mie sikai

    • @nsjjsjdjjdjd841
      @nsjjsjdjjdjd841 7 ปีที่แล้ว

      Husna Marandu

    • @sallykanze
      @sallykanze 7 ปีที่แล้ว +2

      Umeonaeeh!!

    • @taussumwa152
      @taussumwa152 7 ปีที่แล้ว +1

      Husna Marandu yes ni kweli umeongea point

  • @agnessjohn6585
    @agnessjohn6585 7 ปีที่แล้ว +4

    Cjapenda mimi unamfanyia ivo mmeo kisa aoni tena sio vizuri nakwambia ivi Mungu anakuona.

  • @zuusaidibushiri5556
    @zuusaidibushiri5556 7 ปีที่แล้ว +2

    dada mke wa said ungetoa shukrannkwa mama mwenye nyumba kwa ushirikiano mzuri mungu ampe maisha marefu na moyo huohuo

  • @amneyrazaq7841
    @amneyrazaq7841 7 ปีที่แล้ว +21

    mama mwenye nyumba ana hekma saaana

    • @saidsaid9463
      @saidsaid9463 7 ปีที่แล้ว +1

      Mwnamke ww said anakupenda lakin utamkumbuka

  • @sayrachuna6705
    @sayrachuna6705 7 ปีที่แล้ว +17

    mwanamke yupo busy na sim hana nia na said tena

    • @aibutt4032
      @aibutt4032 7 ปีที่แล้ว +3

      ila mm nakushauri kaka saidi kumbuka mlipo toka hiyo familiya utakuja kuikumbuka nawashauri mkae chini muongee myamalize mkeo hiyo nihasira tu itakwisha ila huyo mke mpya jiagalie saidi kaa na watoto wako laani shetwani said huyo mke mpya ungekuwa huna pesa asinge ishi naww said plz kaeni nchini myamalize

    • @happinessmwaipopo7426
      @happinessmwaipopo7426 7 ปีที่แล้ว +4

      Sayra Chuna kajichokea mdada wa watu jamani

    • @rehemamsigwa5630
      @rehemamsigwa5630 7 ปีที่แล้ว +2

      Ai Butt Nikweli kabisa mpendwa yani hata kama huyu dada jeuli kumbuka mungu huwezi kukutanisha namke au mme akiwa katimia tabia uzitakazo nivigumu ila tutaishia kwakulegebishana. .Tatizo siyo kukimbia bali kutatua sasa huko unako enda kubaya tambua ipo sk utalia kama mtoto hakuna atakae kutizama..Ndugu zako marafiki watakao kuwa nawe niwatto kuliko mke Leo unawahangaisha...Ludi kwenye imani yako..

    • @lucykipanta7494
      @lucykipanta7494 7 ปีที่แล้ว

      Sayra Chuna kachoka

    • @salomeraphael6908
      @salomeraphael6908 4 ปีที่แล้ว

      awe na mda na mme wa mtu uyo ana mke tayal

  • @samsan95tvlaizer59
    @samsan95tvlaizer59 7 ปีที่แล้ว +8

    Global TV au kaka Kelvin shayo unafanya Nazi nzuri my brother mungu akusaidia katika kazi ya mikono yako Mungu wafanyie wepesi Family ya Said na wapate kuelewana waendelee kuwalea watoto

  • @user-gd8kg5md9v
    @user-gd8kg5md9v 7 ปีที่แล้ว +8

    duuuh huyo mwanamke atulie asipapatiki hivyo baadaye atakuja kujuta asikurupuke

  • @gongalike3441
    @gongalike3441 7 ปีที่แล้ว +9

    Mama mwenye Nyumba kamechisha Gauni yake na rangi ya Ukuta. Safi sana...kweli anajipenda lol!

  • @bonatv1173
    @bonatv1173 7 ปีที่แล้ว +6

    Hata huyu dada mwenyewe ana matatizo yake ukiangalia kiundani zaidi.

  • @MagrethMallya-we8ui
    @MagrethMallya-we8ui 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mama mwenye nyumba kadamshi, ni mzuri, ni kweli, Mungu akubariki sana.

  • @elibarikikazaura8859
    @elibarikikazaura8859 7 ปีที่แล้ว +16

    Hao wote wanamatatizo huwezi kujua mkweli ni nani hakuna mme wala mke.

    • @purityjohn5906
      @purityjohn5906 7 ปีที่แล้ว +1

      kabisaaa hawa wote mungu awahurumie..watoto wanaumiza.

    • @sifasanga7866
      @sifasanga7866 7 ปีที่แล้ว

      Elibariki Kazaura Mwenyewe nimegundua hilo

    • @maduhugumha3345
      @maduhugumha3345 5 ปีที่แล้ว +1

      ishu ni uke weza ss wenyewake wawili tunalijua umepangawisha na bimundongo paka endifoni haitoki masikioni yaani hayo ni mapepe ya uke weza atatulia tu hana ujaja yaani anawatoto wanne tuliamama mapepe yanini hujui mukiachana kitakachowatenganisha ni ulemavu kumbuka kwamba muliapa paka kifo kiwatenganisha kumbe munadanganya lahasha

    • @zakyahya4645
      @zakyahya4645 5 ปีที่แล้ว

      Elibariki,,, said ndo Mwenye matatizo anazuzuka na pesa za msada na atajuta uyu dada kazaa nae wtt4 leo anamsaliti kashika mimavi yake ndani ya miezi 9 leo anajiona yy maarufu

  • @jescamalya8577
    @jescamalya8577 7 ปีที่แล้ว +6

    Duh mwanamke anaongea mno cha wanajuana wenyewe kila kitu mama yangu

  • @TheSalma1999
    @TheSalma1999 7 ปีที่แล้ว +1

    mwanamke anaonekana. ni mjeuri sana anashindwa hata kasema Asante anashindwa wow

  • @jasminasha9551
    @jasminasha9551 7 ปีที่แล้ว +3

    Da nampenda sana huyu mtangazaji👍

  • @gloriamichael7935
    @gloriamichael7935 5 ปีที่แล้ว

    said your so good may God bless you.ulikuwa unaona mwovu shetani akufanya usione tena .usichoke kumwomba Mungu daima maana Mungu hatuwazii mabaya watoto wake Yeye hutuwazia mema daima.anajua atakavyo ruzuku maisha yako .usichoke kumwomba daima be blessed

  • @gloriamichael7935
    @gloriamichael7935 5 ปีที่แล้ว +1

    barikiwa sana mama mwenye nyumba .nikweli hatujui atakaye tusaidie baadaye.adui wa leo kesho ni msaada wako baadaye .let love lead .we are all sons and daughters of God. thanks God

  • @ashahaji4936
    @ashahaji4936 7 ปีที่แล้ว +3

    Allah atupe salama mtihani saidi keshapoa macho haya mama D Allah akupe wepesi maana watoto 4 kwa usawa huu kaza na kujiangaisha ili ulee wtto

  • @laurarashid9153
    @laurarashid9153 7 ปีที่แล้ว +9

    Said hana kosa hapo,ishu kubwa ni UKEWENZA unaumiza sanaaaaa asikwambie mtu!

  • @mwanaidihussein1462
    @mwanaidihussein1462 7 ปีที่แล้ว +5

    😭😭😭😭😭 jmn muyamalize jmn mshazaa watt sio vizuri kulea watoto tofautitofauti sio vizuri

    • @prettyh7509
      @prettyh7509 3 ปีที่แล้ว

      Mh wanaume wa hivyo hawavumiliki

  • @harryvice77
    @harryvice77 7 ปีที่แล้ว +12

    nimependa confidence yako ndugu mwandishi

  • @annasaid5413
    @annasaid5413 7 ปีที่แล้ว +5

    ushaul wangu said ungekuwa na mtu wa kukaa na watoto ungechukua watoto wako biashara iishe

  • @mohamedisalumu2301
    @mohamedisalumu2301 7 ปีที่แล้ว +1

    daa said mrisho mshukuru mungu kwa kila jambo linalo kutokea mungu atalipia unaonekana mwanaume makini Sana

  • @samwelnaal7952
    @samwelnaal7952 7 ปีที่แล้ว +11

    nlichokiona huyo mwanamke ana jeuri, kiburi na tamaa.....ana tabia za kiswahili. Abadilike

    • @emmykostar7092
      @emmykostar7092 7 ปีที่แล้ว +1

      gidamis daqaro hoyo Dada nikama hayupo sawa kwakwer

    • @judithkatoto3316
      @judithkatoto3316 3 ปีที่แล้ว

      Dda chizi hakili ana kabisaaa kbisaa

  • @mariachales5444
    @mariachales5444 7 ปีที่แล้ว +4

    mwanake jeuli sana

  • @jumaanoti7468
    @jumaanoti7468 7 ปีที่แล้ว +4

    kwanza uyo mwanamke jeuli achanenae

    • @salomeraphael6908
      @salomeraphael6908 4 ปีที่แล้ว

      jeul wapi wewe ujui uchungu wa kutelekezwa na watoto

  • @wazirichande8187
    @wazirichande8187 7 ปีที่แล้ว +9

    Huyo dada siyo mtu mzuri inaonekana Saidi hata unyumba alikua ananyimwa na huyo Mdada

    • @stukiaally4690
      @stukiaally4690 7 ปีที่แล้ว +5

      Waziri Chande alikuwa ananyimwa ndio maana hao watoto ukabeba wewe mimba ukampelekea anyonyeshe

    • @patriciamassawe6496
      @patriciamassawe6496 7 ปีที่แล้ว

      Waziri Chande 😂😂😂😂😂😂hahaaaaaaaa eti mimba alibebewa kichwani

    • @rhodamoraa3166
      @rhodamoraa3166 7 ปีที่แล้ว

      Stukia Ally 😂😂😂😂

    • @bixbea4471
      @bixbea4471 7 ปีที่แล้ว

      Waziri Chande hiyo mimba aliipatia hewani?

    • @shaninaftary3664
      @shaninaftary3664 7 ปีที่แล้ว +4

      Waziri chande...kama alikua unyumba apewi hiyo mimba imeingia kwa kunywa bia au?

  • @aboubakaromary2722
    @aboubakaromary2722 7 ปีที่แล้ว +3

    mwanamke jeuri xana duhhhhhh

  • @perrychicken5876
    @perrychicken5876 7 ปีที่แล้ว +7

    Huyu mwanamke sio mwizi anadai haki ya watoto wake. Watoto wanne sio mashara, hivyo vitu havifidii hata kidogo, acheni kumlaumu hamjui uchungu alonao

    • @shadracktito6293
      @shadracktito6293 ปีที่แล้ว

      Pery chicken unaakili za chicken ndo Mana unaitwa chicken

    • @user-ti4hv8tz8f
      @user-ti4hv8tz8f 6 หลายเดือนก่อน

      Nawe mm una watoto like subiri yawakute utajua.

  • @lilymambosasa6016
    @lilymambosasa6016 7 ปีที่แล้ว +2

    huyoo mama mwenye nyumba mnafik

  • @ashab2537
    @ashab2537 7 ปีที่แล้ว +70

    ndio maana nimekuja ughaibuni kufuwa chupi za waarabu, nipate changu, mimi sina hamu na wanaume nilichwa mimi bila kupewa hata godolo,

    • @mariamkimwaga4596
      @mariamkimwaga4596 7 ปีที่แล้ว +2

      Asha b umenifanya nicheke

    • @ishadmohamed9478
      @ishadmohamed9478 7 ปีที่แล้ว +1

      wote wana makosa wanajiadhiri tu Mungu awasaidie yaishe

    • @habiba0022
      @habiba0022 7 ปีที่แล้ว +3

      Asha b umeona ee tupo wengi huku ughaibuni ww mwenzangu upo sehem gani mm nipo Oman

    • @sashababy1321
      @sashababy1321 7 ปีที่แล้ว +1

      Asha b wanaume nyoko uyu mwanamke anaumia jaman

    • @wahindiakwembe8066
      @wahindiakwembe8066 7 ปีที่แล้ว +4

      tuko wengi Arabuni bora kuteseka na warabu ili upate chako mwenyewe

  • @sashababy1321
    @sashababy1321 7 ปีที่แล้ว +10

    uyu dada kachanganyikiwa watoto wadogo mume ashikiki jaman

    • @zakyahya4645
      @zakyahya4645 5 ปีที่แล้ว

      Manaasha ni kweli kabisa

  • @hildakaaya6924
    @hildakaaya6924 7 ปีที่แล้ว +4

    mama mwenye nyumba alitaka kumruka mama hansi wa watu daaah....

  • @joycemashikolo9096
    @joycemashikolo9096 7 ปีที่แล้ว +3

    Asante sana Global tv kwa habari za uhakika.

  • @saumuhassan1365
    @saumuhassan1365 7 ปีที่แล้ว +13

    Ni kweli Mama Hans, kwanini akulipie miezi mitatu, na kule alipe miezi tisa, wewe said acha uongo

  • @saidimkombe4806
    @saidimkombe4806 7 ปีที่แล้ว +5

    huyo mwanamke hana akili walah

  • @ndogoroedson199
    @ndogoroedson199 25 วันที่ผ่านมา

    Saidi umepata mama mwingine Mungu kakupa bila ww kujua Mungu atakusimamia na utaenda vizuri tu ila huyo mkeo anadanganywa na dunia kwa kushirikiana na mama yake

  • @aloycesteven5998
    @aloycesteven5998 7 ปีที่แล้ว +1

    mama mwenye nyumba amematch nguo alizo vaa na rangi ya ukuta😂😂

  • @shuwehaharunaomariikwena233
    @shuwehaharunaomariikwena233 7 ปีที่แล้ว +22

    mwenye nyumba gauni saresare na nyumba yake rangi

    • @pillyjuma8162
      @pillyjuma8162 7 ปีที่แล้ว

      Shuweha Haruna Omari Ikwena 🤣🤣

    • @bultuabasalam5997
      @bultuabasalam5997 7 ปีที่แล้ว

      Shuweha Haruna Omari Ikwena dada unavituko nakugawa bre😂😂

    • @unitedoman5695
      @unitedoman5695 7 ปีที่แล้ว

      Shuweha Haruna Omari Ikwena 😂😂😂😂😂😂😂

    • @shuwehaharunaomariikwena233
      @shuwehaharunaomariikwena233 7 ปีที่แล้ว

      +United Oman pamoja sana tufurahi kuongeza siku za kuishi

    • @fredrickchami3652
      @fredrickchami3652 7 ปีที่แล้ว

      Shuweha Haruna Omari Ikwena 😂😂😂😂😂😂😂

  • @janetsaidi8272
    @janetsaidi8272 7 ปีที่แล้ว +1

    kila kitu mamangu

  • @winifridasrivester2852
    @winifridasrivester2852 7 ปีที่แล้ว +3

    hongera sn Global tv jmn mko juu nawapenda buree

  • @gracemapunda9783
    @gracemapunda9783 7 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana kk ,atakukumbuka kwan ni dharau anaweka fon mackion

  • @emmanuelhavile2942
    @emmanuelhavile2942 6 ปีที่แล้ว +1

    Mwanamke jeuri

  • @annasaid5413
    @annasaid5413 7 ปีที่แล้ว +5

    sio kwel said hakutaka kumkimbia mzaz mwenzake si unaona hapo mtangazaj anaimuuliza maswal anayojikanyaga mara aweke edfone masikion hana lolote huyo dem ana tamaa tu

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 3 ปีที่แล้ว

      wanaume au mwanaume kama gunia la misumar ndoo maana katobolewa mimacho saidi malaya

  • @amounanyale9220
    @amounanyale9220 7 ปีที่แล้ว +1

    mwisho wa ubaya aibu we saidi tubia ssa yalokupata makubwa dda wa watu alikua nawe hadi umepona ssa wajiona mkubwa hujui kuna Mungu anakuona ssa waumbuka

  • @halimamasai2234
    @halimamasai2234 7 ปีที่แล้ว +6

    nilikua namlaumu Saidi lakini Leo ndo nimejua kwa huyu dada anatamaa na hizo mali za saidi

    • @aminamigongo5562
      @aminamigongo5562 7 ปีที่แล้ว

      Zulfa Ahmadi Yaani huyu mwanamke mwenzetu ni jeuri Sana! hataki muafaka wala upatanisho. Mungu amsaidie ili ajitambue

    • @halimamasai2234
      @halimamasai2234 7 ปีที่แล้ว

      Amina Migongo Ni kweli kabisa bora ale watoto wake kuliko anavyo fanya.

    • @mjombamalaki2025
      @mjombamalaki2025 6 ปีที่แล้ว

      Huwezi kuwachia wenyewe kwa vule mambo yote yapo hadharani ..kama kuwachia wenyewe wataumizana ..sheria ifuate njia yake.

  • @allahuakbar6943
    @allahuakbar6943 7 ปีที่แล้ว +5

    mwanamke sio mstaarabu hata kidogo hatakama alikosewa amepotea point

  • @aimanali8612
    @aimanali8612 7 ปีที่แล้ว +9

    asante kelvin umetisha

  • @kelvinchale5549
    @kelvinchale5549 7 ปีที่แล้ว +8

    huyu mwanamke malaya kwakweli elfu saba yeye anaiona ndogo....yaani ananitia kichefuchefu kwakweli

  • @queenqueen-du3ht
    @queenqueen-du3ht 7 ปีที่แล้ว +3

    hii balaa'sana

  • @hassansimbano9869
    @hassansimbano9869 7 ปีที่แล้ว +3

    big up said...baaraka allah fiyk

  • @reginamwacha3985
    @reginamwacha3985 7 ปีที่แล้ว +1

    dd yupo sawa kodi ikiisha anaweza asilipe nadd uwezo wahiyo kodi hana na kuishi kwakumtegemea mwanamme anaeishi namke mwingine na kashasema hamupendi pia mawasiliano hayapo kwamwanamke anaejitambua laxima uangalie maisha utakayoyamudu mwenyewe kuliko kodi iishe uadhirike saidi nimkatili na hakutendda haki naanaonyesha sababu yakumuacha dd ni kupenda mwanamke mwingine

  • @ayy1379
    @ayy1379 7 ปีที่แล้ว +1

    Saidi ongera sana naomba tu muelewane mleye watoto

  • @abdallahkarabai5310
    @abdallahkarabai5310 7 ปีที่แล้ว +4

    dah huyu mwanamke ana roho mbaya sana

    • @alikiba9723
      @alikiba9723 6 ปีที่แล้ว

      Aise wanawake siyo nduguzetu bhana, shetani za watu😏

  • @MohamedAli-vh3qm
    @MohamedAli-vh3qm 7 ปีที่แล้ว +3

    dah imenipa majonzi Sana mwanzo nilimuona Saidi mbogo Sana ,Ila baada yakufatilia issue Yao mke anaonekana kitatange ,duh inshaalah mungu atakujaalieni kuwapeni mahusiano mazuri ili muendeleze kuwatunza watoto wenu ,by edy Wa dubai

  • @justinaclemence1887
    @justinaclemence1887 7 ปีที่แล้ว +5

    hapa hamna anayejua walipoanzia kwahyo msipende kuropoka tu

  • @asiahmariam3942
    @asiahmariam3942 6 ปีที่แล้ว +1

    Na huyu mwanamke mwenzetu anaonekana sio mdogo hahitaji tena ndoa anakimbilia vitu kwani mwanaume kuowa ndio nini dini inamruhusu huyo dada nimegunduwa sio mdogo tasimlaumu saidi

  • @mariambryson9829
    @mariambryson9829 5 ปีที่แล้ว +1

    Hizo nipes tuu Dada ukifik nyumbn kn utatumia tuu mbk ya gr unategemea kodi iludishwe ndip nimejua ww hufikil mbl Dada yng watt wanne so mchezo

  • @vesitinalevocatus4886
    @vesitinalevocatus4886 7 ปีที่แล้ว +3

    uyodada anahasira ukiangalia alimzushia kuwa anamahawala malanimlevi akijumlisha yoteayo a naona nibola awenauhulu ili kesho asijesema wanaume wanaingia ndani nachumba analipayeye lakin inauma wanaumehawa bas2

  • @hamraatz2883
    @hamraatz2883 6 ปีที่แล้ว

    hivi hamuheshim hta mama mkwe aliyemsaidia,,,lkn mungu c mwanadamu,,,tulia muombe mungu mama Hans akulinde na kukutunza uishi miaka mingi ulelee wanao vema ,,,na pia hta kuona majib ya huyo said kutoka kwa mungu,,,,halaf ww mama mweny nyumba mungu anakuona ,,,,unaona easy mambo ya mama Hans hujui anaumia kiac gan

  • @moseskisingi9625
    @moseskisingi9625 7 ปีที่แล้ว +23

    Upajue anapo enda kuishi kwani wewe ulipo hamia huko na huyo Malaya wako ulimuaga? Huyu saidi amejirudi baada ya huyu Dada kukomaa vinginevyo asingeambulia kitu!

    • @yshamwilima3301
      @yshamwilima3301 7 ปีที่แล้ว

      Moses Kisingi 😁😁😁😁😁😁

    • @sallykanze
      @sallykanze 7 ปีที่แล้ว

      Hapo sasa aah wewe unavyoandika nafurahi

    • @saidally3121
      @saidally3121 7 ปีที่แล้ว

      Moses Kisingi malaya mwenyewe shika adabu achana na maisha ya watu angalia yako

    • @moseskisingi9625
      @moseskisingi9625 7 ปีที่แล้ว +2

      yemi shaban, Sina kawaida ya kubishana /kugombana na mtu nisiye mfahamu kama wewe, issue ya Said na Mama D ipo kijamii zaidi, tangu walipo amua kuliweka wazi kwenye media tayari waliruhusu kila mtu kushiriki,sielewi unapo sena nisiingilie mambo ya wait una maana gani, kwani wakati wanaomba misaada na watu tukaguswa na kuanza kusaidia kadri ya uwezo wetu ni wewe uliye tushawishi au ni hisia zetu kutokana na tatizo alilo kuwa nalo said? Utaratibu huo huo wa kuguswa ndio huo huo ninao utumia kusema Said ni Muhuni na kwamba hajamtendea haki Mama D, 1 Said anadaiwa kumwambia Mama D atoe hiyo mimba ya watoto mapacha, je ni binadamu gani mwenye akili atamuunga mkono mtu wa aina hii (mwenye roho ya uuaji?) 2 Said ameelezea Umalaya wa Mama D, kwa maneno yake Said mwenyewe ameeleza kuwa na watoto 9 wenye Mama tofauti huku Mama D watoto wote amezaa na Said je hapa Malaya ni Nani? Dini inamruhusu Said kuoa hadi wake 4 kilicho mfanya Said aoe kwa Siri bila kumshirikisha mama D ni nini ikiwa hakuwa na nia ovu? Huyo mwanamke aliye olewa na said kama kweli ni mtu makini na anae ijua dini ataruhusu vipi kuolewa na mume kwa siri bila makubaliano na mke wa awali? Said anadai ameishi kwao na Mama D kwa shida sana huku akisema huyu mke aliye mwoa amekuwa nae kwenye mahusiano kwa miaka 20,alishindwa nini kumwoa yeye kwanza awe mke mkubwa na badala yake akamwoa mama D? Kwa lugha nyingine Said na huyu mkewe mpya wamekuwa wanamwona Mama D bwege kuendeleza mapenzi yao huku said akiitumia vibaya nafasi ya kuishi na mama D, Said anadai alimwoa mama D kwa shinikizo which means hakuwahi kumpenda mama D, huyo mke mpya alikuwa wapi wakati said anahangaika baada ya macho kutoka, kwa nini asingemchukua mida hiyo? Binadamu yeyote ana kikomo cha uvumilivu, Mama D hata akifanya nini kwa sasa mimi nitamwelewa, ameumizwa vya kutosha, Said anataka ahurumiwe vipi ikiwa yeye hana huruma kwa mama D ambae ndo kwanza katoka kujifungua?

    • @kidawakindambakidawa2048
      @kidawakindambakidawa2048 6 ปีที่แล้ว

      Moses Kisingi sili yandoa ww ujui wanawake ss ndio chazo chamatatizo said anakili sana kuchukua jukumu la kupanga ni akili ila mwanamke wivu unamsumbua mm yamenikuta ukiachwa ikipangiwa sema allihamdullah wapo weng awakimbukwi ata chembe kikubwa watoto wakuee nauyo mke atulize akili

  • @herbethlukogela7657
    @herbethlukogela7657 6 ปีที่แล้ว +1

    huyu.. mwanamke. mshenzi

  • @beatricesisso5530
    @beatricesisso5530 7 ปีที่แล้ว

    hahahaaaaaa bado mapema mno, mengi yamejificha tutayajua tu baadaye,ipi mbivu na ipi mbichi

  • @eliudjustin5326
    @eliudjustin5326 7 ปีที่แล้ว +2

    dada kapagawa na mali wanawake mmekuwa waajabu mnapendasana kudanganyika sana mbona haendi kupanga tena etinaenda kupunzika nyumbani

  • @elizanormal7660
    @elizanormal7660 7 ปีที่แล้ว +6

    huyoo dem mcharukoo aiseeeeeee kaaa utuliee uleee wanaoo we dada watoto bado wadogo hao unazani atakutaka nani na kunuka maziwa huku we jidandanganye watakufanya mbogaa mwisho wanakusepaa wangapi tunagomban kwenye ndoa na tunayamaliza kosa gani lisilosamehewa utajuta dadeck wew Huyo dem anamwanaume anamdanganya na usawa huu waa magu atanyookaa wew do

    • @bultuabasalam5997
      @bultuabasalam5997 7 ปีที่แล้ว

      Eliza Normal hahaha jaman kwel ajiandae kiteseka

  • @kombozeekbl1189
    @kombozeekbl1189 7 ปีที่แล้ว +3

    mwanamke mvivu nenda ukafanye kazi usitegemee kupewa

  • @princesspee6004
    @princesspee6004 7 ปีที่แล้ว +3

    kelvin unapenda na bidii sana na kazi yako..hongera

    • @credo7837
      @credo7837 ปีที่แล้ว

      Kwakwel

    • @credo7837
      @credo7837 ปีที่แล้ว

      Haaa alafu sialikuwa Tiki Tv🤔🤔

  • @husnamarandu8380
    @husnamarandu8380 7 ปีที่แล้ว +13

    mbna malumbano hvo? siakae atulie na mke wake! au anahela nyngi sana hadi anaoa mke Wa pili! alisaidiwa ili aweze kuitunza familia yke but now zile hela ndo zinampa kibur cha kuoa!

    • @lovethomas2280
      @lovethomas2280 7 ปีที่แล้ว +1

      said dhambi mungu anakuona ujue huoni wewe huyo mwalabu atakutenda utalia nadunia hii!!

    • @zakyahya4645
      @zakyahya4645 5 ปีที่แล้ว

      Atajuta

    • @michaelthobias9967
      @michaelthobias9967 3 ปีที่แล้ว

      Sikiliza vzri hapo utagundua Nani mkosaji Mana tayari mwanamke amesha onesha ndio tatizo

  • @cesynjau208
    @cesynjau208 7 ปีที่แล้ว +1

    mama mwenye nyumba kaongea point

  • @mariamkombo5325
    @mariamkombo5325 7 ปีที่แล้ว +2

    pole asha sio wewe Peke ako tupige kaz mungu atatusaidia

  • @fatmaikopoa34
    @fatmaikopoa34 7 ปีที่แล้ว +4

    mienz mitatu ndo uwezo huy mwanamke mkorof haiw kakodiwa na anaham

  • @happyme4861
    @happyme4861 7 ปีที่แล้ว +3

    mwanamke mpumbavu sana huyu, anaonekana ni mkorofi ana tamaa ya mali. said mungu akupe uvumilivu maana si kwa mdomo wa huyo mwanamke

  • @aimanali8612
    @aimanali8612 7 ปีที่แล้ว +4

    mwanamke mjuba sn tamaa mbaya wote wanamatatizo

  • @regnaldjoachim7314
    @regnaldjoachim7314 7 ปีที่แล้ว +1

    mama mwenye Nyumba ana busara sio za nchi hii

  • @heyumi2340
    @heyumi2340 3 ปีที่แล้ว

    mm naona haina haja ya kulumbana kwa sababu ya vituu dada ww mungu atakupa riziki nyingine saidi naye baki na wanawake wanaokuponza ili kugomban na mama watoto

  • @hejmabohejhej9
    @hejmabohejhej9 7 ปีที่แล้ว +4

    Hao wanaosema mke anatamaa ya Mali sasa hapo iyo Mali iko wapi? Hapo jamani chengine mie Pia nisingekubali nimepata tabu na wewe halafu unilipie miezi 3 hawara alokuja juu ampangie miezi 9? Kweli jamani?

  • @ruditaboti3157
    @ruditaboti3157 7 ปีที่แล้ว +1

    mama mwenyenyumba umeongea point sana

  • @adelinekombe7132
    @adelinekombe7132 7 ปีที่แล้ว +3

    ukweli uliopo ni kwamba mwanamke sio mwaminifu na ni mwongo na jeuri anatamaa kk wa watu mpole na mnyenyekevu sana pole kwa huyu dada atajuta majuto mjukuu.

  • @patriciaboniface9975
    @patriciaboniface9975 4 ปีที่แล้ว +1

    Shosty mbn kama mjeuri flani ivi ila mambo ya ndoa magumu jaman msione watu wanazeeka

  • @amnejulle7768
    @amnejulle7768 7 ปีที่แล้ว +1

    somo Hilo kwa wanaume

  • @othumansuleiman6372
    @othumansuleiman6372 6 ปีที่แล้ว +4

    Tabia nilizogundua kwa huyu Dada, ni km zifatazo;- kwanza anapenda pesa, pili haangalii maisha ya mbele na nyuma, tatu jeuri, mcharuko, hana huruma na pia anapaniki ya kufanya kitu bila kufikiria kwa makini.na 4 hana sitaha mdimoni pia anaakiri ya kushikiwa " yaani akiambiwa kitu bila kurumia akiri yake anakubaliana naachoambila na anaonekana hata kwenye mahusiano yao ya mapenzi sio mwaminifu" ndio maana said anasema hataki kumvua nguo atajivua na yeye mwenyewe. Sasa mtu au mke km huyu hana sifa kabisa ya kua na Mme, yeye niwakutumika tu!! Na ndio faraja kwake. Anaule ujinga ama ushamba na ulimbukeni wa mji kubabaika na hanasa za sitarehe, ila mungu ni mwema tumuombee atabadirika inshalla.

    • @mariamlameck5244
      @mariamlameck5244 6 ปีที่แล้ว

      Othuman Suleiman unamtetea mwanaume mwenzio eee . umalaya tu huyo mwanaume unamsumbua ndio maana anaoaoa angekuwa na uvumiliv n mkeo wa kwanza wangekaa wakayamaliza mmmmh hana lolote nkyaaa

    • @denizaaloyce4823
      @denizaaloyce4823 6 ปีที่แล้ว

      Othuman Suleiman jaman hata kwa haraka haraka mm naona uyu dada hafaiii na atakuja amtoe roho said, said atakuwa kavumilia mengi yan asimuache akiwa na macho amuache akiwa kipofu inawezekana hata scorpion wanajuana na aljua haya

    • @shabanishabani3529
      @shabanishabani3529 9 หลายเดือนก่อน

      Dah yaan wanawak hawana hata huruma Kaka baada ya kutolewa macho ndo ukawa mtihani

  • @marypendo5338
    @marypendo5338 7 ปีที่แล้ว +4

    said MUNGU atakusaidia pole..inasikitisha Kweli

  • @SmilingPlanets-yx9rm
    @SmilingPlanets-yx9rm 6 หลายเดือนก่อน

    Da! Mwandishi big up unajua kuhoji vizuri

  • @mariadeus4006
    @mariadeus4006 7 ปีที่แล้ว +3

    Pole sana dada pigania haki za watoto wako

  • @ameenaameena1224
    @ameenaameena1224 3 ปีที่แล้ว

    Huyu kaka anamaswali Hadi raha unafaa kabsa mdogo wangu uwe mwenye sheria

  • @prettyakoth4306
    @prettyakoth4306 7 ปีที่แล้ว +4

    huyu mwanamke angetulia

  • @sepetukamaisala2040
    @sepetukamaisala2040 6 หลายเดือนก่อน

    Uyo mwanamke Hana hof ya mungu

  • @ashab2537
    @ashab2537 7 ปีที่แล้ว

    asante sana GLOBAL TV, japokuwa tuko mbali ila tunakupata vilivyo nilianza kukufatilia toka ile siku ya kwanza nyumbani kwa stara, pia asante naona umetukutanisha na team MASHAKALAAA tutafute jamani manyanyaso ya wanaume stoppp

  • @rechommbaga7910
    @rechommbaga7910 6 ปีที่แล้ว

    Mmmmmmh saidi hana akili tena angepata mwanamke mbulula angemburuza sana hongera dada napole sana

    • @Peaceman-S
      @Peaceman-S ปีที่แล้ว

      Huwa mnajipa uhakika kwenye upuuzi

  • @aishaally5352
    @aishaally5352 7 ปีที่แล้ว +3

    humeona Eee mdogo wangu Eliza Huyo mwanamke hafai.kwanza hangejifikiria kwamba mume wake mtiani hariyeupata Mkubwa sana wa kukosa macho harafu yeye ndio hanazidisha tantarira ndani ya Nyumba.pia vitu vingine so vyakupereka kwenye mitandao kwanza wangekaa nakuyaongerea kifamiri hata kwa miezi sita japo.

  • @paschazianyerere8276
    @paschazianyerere8276 7 ปีที่แล้ว +3

    huyu mama Hans ana akili za kushikiwa sio hakili zake

  • @doctor_fazi
    @doctor_fazi 7 ปีที่แล้ว +4

    NIMESIKILIZA INTERVIEW ZA PANDE ZOTE MBILI NIMEONA WAZI HUYU MWANAMKE NI VERY PROBLEM, NA NDIO CHANZO CHA YOTE, NA TUISH KWA AKILI NA HEKIMA NA WAKE ZETU HAWA PIA SI VEMA KULETA MAMBO YA CHUMBANI HADHARANI HUKO KUABISHANA TUU

  • @ashab2537
    @ashab2537 7 ปีที่แล้ว

    ni bora serikali imuachie huru scopion tu aje, amtie suna ya ukubwani abaki na mbo..butu, mimi nina hasira nao hawa, na sasa hv mwanaume atakaenioa ajipange, mimi wa kwangu alimleta msichana akasema dada yk mwisho wa siku nikawafumania , aisee matokeo ndio kuachana nyumba tumejenga yaani hata godolo wala kopo la kuchamba , mashakara wenzangu tulioko ughaibuni 💪💪💪💪tukaze buti

  • @mwanaidiismail7762
    @mwanaidiismail7762 7 ปีที่แล้ว +4

    Huyu mke anaonekana naye mjuba maana si kwa kunyali uko duh!

    • @izaka72
      @izaka72 7 ปีที่แล้ว +2

      mmm huyu mwanamke analake hahuo mdomo anavyo ufaya nasim kila wakati utajuta wivu nikidonda

    • @dottoanipher8488
      @dottoanipher8488 4 ปีที่แล้ว

      Ni ujingaa unav ongea San unptza hkii zako za msngi

  • @maikomgwao4906
    @maikomgwao4906 6 ปีที่แล้ว +1

    Aka kadada nilikapenda mwanzo ila mbona kama kanamdomo sana!!!!

  • @mariammwaniki4048
    @mariammwaniki4048 7 ปีที่แล้ว +2

    Asante mbea kelvin umetisha 😘😘

  • @shuwehaharunaomariikwena233
    @shuwehaharunaomariikwena233 7 ปีที่แล้ว +2

    huyu mama jeuri halafu yaonekana limbukeni anaonesha kisim chake