''PENGO'' AKIONA CHA MOTO, ''LETA HIYO BARUA HAPA''

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 159

  • @isunga1964
    @isunga1964 4 ปีที่แล้ว +8

    Huyu kaka mbunge mtalajiwa hongera sana mungu akuweke miaka mia

  • @blacknature3691
    @blacknature3691 4 ปีที่แล้ว +9

    Wewe Mh Hapi ningejuwa namba yako ya simu ninge kula zawadi kwakweli naapa kwa dini yangu wewe ni Mh halali ❤️

  • @shebaminde7656
    @shebaminde7656 4 ปีที่แล้ว +9

    Uongozi ni wito na hakika mheshimiwa umeitika wito! Mungu akupe nguvu uzid kusimamia haki za wanyonge!! Mungu akutunze

  • @ismailsadick2060
    @ismailsadick2060 4 ปีที่แล้ว +4

    Kaz nzuri mkuu mungu akusimamie

  • @vincej9275
    @vincej9275 2 ปีที่แล้ว +1

    Very good job, these are the kind of leaders we need Hongera sana RC Hapi.

  • @lucasmkui3160
    @lucasmkui3160 4 ปีที่แล้ว +8

    Example of an African strong leader congratulation Sir.

  • @victoriastephano4075
    @victoriastephano4075 4 ปีที่แล้ว +1

    unafanya vizurii sana hapi mungu akuzidishie maish marefu yenye furaha teleeeeee

  • @jumajonas5253
    @jumajonas5253 4 ปีที่แล้ว +5

    Your a good leader mr Rc, congratuation

  • @gracegrace6200
    @gracegrace6200 4 ปีที่แล้ว

    Asante sana. Nchi hii ilikuwa imepotea njia. Hata makanisa walishiriki kudhulumu. Anayeichukia serikali ya Rais MAGUFULI hana dini. Wanyonge wanalindwa na serikali hii. Zamani ilikuwa mwenye pesa ndiye anashinda kesi. Wanyonge walindwa na serikali hii. Matapeli na mafisadi walikuwa wameibeba nchi hii. Asante sana Hapi you make us proud. Mungu akulinde

  • @SalumImran-ku3yr
    @SalumImran-ku3yr 9 หลายเดือนก่อน

    Mh Alli Happi Mungu akutunze kwa ajir ya wanyonge uongozi ni wito na umeitika MH.HONGERA SANA KAKA

  • @batholomeowella2055
    @batholomeowella2055 4 ปีที่แล้ว +7

    Maamuzi Bora kabisa Hongera Mkuu wa Mkoa Ally Hapi

  • @dalalizerobunjubeachmoga3039
    @dalalizerobunjubeachmoga3039 4 ปีที่แล้ว +1

    Napenda sana nanakupongeza kwa kazi zuri by mwachang'a

  • @msalikemedia
    @msalikemedia 4 ปีที่แล้ว +2

    Nakupongeza sana Muheshimiwa mkuu wa mkoa Alli happy. Pia nina kero ya kijiji chetu naomba kuwakilisha ambayo imetughalim kwa muda wa miaka mingi sana katika kijiji chetu cha malagosi iringa vijijin

  • @casmirmakori1092
    @casmirmakori1092 4 ปีที่แล้ว +7

    Kijana huyu ally hpi nyota yako inangara sana na sana.Aim higher Mkuu,wania urais wakati ukiwadhia.Love your workaholic nature.Keep up .Tutazidi kukutilia dua

    • @ndayishimiyeferdinand8232
      @ndayishimiyeferdinand8232 4 ปีที่แล้ว

      Nimekupenda sana kiongozi,mimi ni mwanainchi wa burundi ,illa nafwatilia habali za tanzania

  • @kashindisimon5265
    @kashindisimon5265 4 ปีที่แล้ว +3

    Happy Mkuu wa wilaya smart Leo nimekuekewa uko vizuri

  • @rosesimiyu1834
    @rosesimiyu1834 4 ปีที่แล้ว +3

    Choose leader from heaven Mr hapi be blessed

  • @suzanamwangingo2995
    @suzanamwangingo2995 2 ปีที่แล้ว

    Nakufatilia sana mkuu wa mkoa sana .mkuu nasikia laha haki unatoa kistahiki asante baba

  • @alvinsafi2733
    @alvinsafi2733 4 ปีที่แล้ว +4

    Pengo mjanja mjanja. .hafai Serikalini

  • @shaabanramadhan6770
    @shaabanramadhan6770 4 ปีที่แล้ว +8

    Mambo km haya uongoz uliyopita tulikua hatuyaoni hii yote nikwa sababu ya raisi wetu anachapa kazi kweli kweli hongera kiongozi kwa kutetea haki za wanyonge

  • @mubarakakitingisa669
    @mubarakakitingisa669 4 ปีที่แล้ว +5

    muheshiwa hapy nakukubali sana

  • @fredyjohn8548
    @fredyjohn8548 4 ปีที่แล้ว +1

    Safi Sana wamezoea kutunyanyasa

  • @mwaamwetahussain1110
    @mwaamwetahussain1110 4 ปีที่แล้ว +4

    Hawa ndio viongozi wa kuchagua mkuu wa mkoa oyeeee

  • @naipendatanzania8119
    @naipendatanzania8119 4 ปีที่แล้ว +7

    Nafatalia Sana semu anazo simamia migogolo Safi ww nn mtetezi na mpenda haki Kwa wote

  • @shukranitawa4668
    @shukranitawa4668 4 ปีที่แล้ว +9

    Viongozi wenye kuacha alama leo umekujua kunifurahisha HAPI.

  • @faustinefs1148
    @faustinefs1148 4 ปีที่แล้ว +5

    Hapi nilikuwa nakusikia tu leo nakukubali kuwa unauwezo mkubwa wakumsaidia rais wetu Makufuli 🙏🙏🙏👆👆

  • @mcrootsav7712
    @mcrootsav7712 4 ปีที่แล้ว

    Kweli kuna stofahamu...mtu ameshindaa...kisha wakae waongee....Mh....Ally hapi...wewe ndiyo mteule wa wana wa Iringa....kuna sintofahamu kabisaa...pole na hongera kwa kazi kiongozi

  • @joshuakibale8013
    @joshuakibale8013 4 ปีที่แล้ว +6

    Kwa kweli watu wa ardhi hawasaidiii kabisa, ruswha bado ipo wizara ya ardhi

  • @queenhusna204
    @queenhusna204 4 ปีที่แล้ว +1

    Sisi tumezulumiwa nyumba MH ALLY HAPI naomba no yako

  • @zwinsalhabsu264
    @zwinsalhabsu264 4 ปีที่แล้ว +6

    Kaka hapi💪chapa kazi

  • @edwinjuma7024
    @edwinjuma7024 2 ปีที่แล้ว

    Congratulation we need president like you in tanzania

  • @ramadhanisuru1822
    @ramadhanisuru1822 4 ปีที่แล้ว +5

    Piga kazi hata magufuli anakujuwa naana kukubali sana

  • @hadijahmwajombe9588
    @hadijahmwajombe9588 4 ปีที่แล้ว +3

    asante mheshimiwa ali happ nakupenda bule 😍😍😘😘

    • @hassankulanga9717
      @hassankulanga9717 4 ปีที่แล้ว +1

      Mkuu wa mkoa nakupongeza sana kwa kuubadilisha mkoa wetu wa Iringa nakuomba mkuu wa mkoa hebu fika vjiji vya isele na kising'a viko dabaga kuna kero nyingi sana huko moja ni maji na umeme ni ahadi zisizotekelezeka tafadhari jitahidi ufike huko upate ukweli

  • @laurentmpangala534
    @laurentmpangala534 4 ปีที่แล้ว +6

    High capacity of I.Q well done mheshimiwa

    • @sarahlydia2635
      @sarahlydia2635 4 ปีที่แล้ว +1

      Your very right his iq is high

  • @mwaswa1899
    @mwaswa1899 4 ปีที่แล้ว +5

    Mungu akubariki

    • @josetarimo1888
      @josetarimo1888 4 ปีที่แล้ว

      Mkuu uko poa sana natamani uhamishiwe Arusha

  • @zulekhasaidmohamed4043
    @zulekhasaidmohamed4043 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akuweke hapi

  • @samwelhechei8537
    @samwelhechei8537 4 ปีที่แล้ว +2

    Hongera mkuu

  • @joshuakibale8013
    @joshuakibale8013 4 ปีที่แล้ว +4

    Mpaka sasa hivi kesi ipo mahakama kuu baada ya mama huyo kizee kuapuli

  • @safari5774
    @safari5774 2 ปีที่แล้ว

    Magufuli tosha ubarikiwe sana

  • @hshsh3302
    @hshsh3302 4 ปีที่แล้ว

    Safi sana MH daah wallah nakupenda bure ww ni rais wawanyonge

  • @aminahussein5418
    @aminahussein5418 3 ปีที่แล้ว

    Safi sana mkuu 🔥🔥🔥

  • @raphaelsikumbi5517
    @raphaelsikumbi5517 2 ปีที่แล้ว

    Wewe ni kiongozi safi MUNGU amekupa hekima

  • @vellakaju5959
    @vellakaju5959 4 ปีที่แล้ว +1

    Safi Sana piga kazi

  • @mwanahalimamwachili9679
    @mwanahalimamwachili9679 4 ปีที่แล้ว +3

    Muheshimiwa Mungu akupe Umri Uweze Kusaidia Wanyonge, 🤣🤣🤣🤣 Mate Yawadondoka.

  • @valencekavishe311
    @valencekavishe311 4 ปีที่แล้ว +2

    Kaka all hap mungu akupe ujasiri

  • @osmanmustafa2925
    @osmanmustafa2925 4 ปีที่แล้ว +1

    Huyu ali anaakili san Namfatilia sanA uyu jamaa anaakili sana alafu ninacho furahi zaid nikijan Mwenzangu

  • @fridamusa8152
    @fridamusa8152 2 ปีที่แล้ว

    Huyu mm namfatilia sana kiukweli uko vzr kaka

  • @jaywi5681
    @jaywi5681 2 ปีที่แล้ว

    Mhe Rais Samia Suluhu, nakuomba umfikiri huyu kijana katika nafasi zingine za Uongozi hasa ule wa kutatua changamoto za ardhi. Ni mwanasheria na anelelewa vizuri katika Imani ndiyo maana anazingatia misingi ya haki. Pia huyu kijana anajua janjajanja za Viongozi na wapora haki hivyo si rahisi kudanganywa. Kwakweli kutotumia vipawa alivyonavyo huyu kijana nahisi huenda ni dhambi mbele za Mungu maana tayari vinajulikana. Simjui Wala sijawahi kuonana nae ana kwa ana lakini Kwa kufuatilia utendaji wake, HAPI ni kiongozi mtatuzi wa matatizo ya Jamii.
    Kwako ndugu HAPI, uwe na Subra na Moyo uliobebwa katika kifua kipana kilichokomaa kuvumilia Ngumi nzito nzito kama zinazoendelea Sasa baada ya kuwekwa pembeni katika madaraka ya U RC. Mimi binafsi nakuona ni kiongozi wa kuigwa hata na waliokuzidi Umri. Mungu akubariki wewe na Rais wetu, Amiiin.

  • @oyay2821
    @oyay2821 4 ปีที่แล้ว +1

    Happi yuko makini

  • @الزغويالزغوي-ض3ن
    @الزغويالزغوي-ض3ن 4 ปีที่แล้ว +1

    WAFUNDISHE SHERIA HAO WATATUSUMBUA WANANCHI WANYENGE !

  • @nyamogafamily4262
    @nyamogafamily4262 4 ปีที่แล้ว +4

    Ahsant mhehe mwezangu❤️❤️❤️

    • @busnaoman9981
      @busnaoman9981 4 ปีที่แล้ว

      Kakwambia Nani Hy nimhehe hehehe chapa ya. Kondoa Hy mkuu wamkoa niwakondoa sy iringa cheupe chakondoa 💪💪💪💪💪🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @ashritaabdallah6474
    @ashritaabdallah6474 4 ปีที่แล้ว +1

    Mhe happi nakuombea mungu akupe afya njema na uendelee kua kiongozi inshaallah ushauri wangu kwenye wiki tenga siku moja maalum kusikiliza kero za watu wako

  • @arafataliomar7432
    @arafataliomar7432 4 ปีที่แล้ว

    Duh hapa sheria imelala kabisa asante hapi huzubaishwi

  • @queenhusna204
    @queenhusna204 4 ปีที่แล้ว

    Maomba no ya MH ALLY HAPI

  • @josephsimiyu5211
    @josephsimiyu5211 4 ปีที่แล้ว

    Pongezi mkuu na MUNGU akujalie mema

  • @amihogatai8432
    @amihogatai8432 4 ปีที่แล้ว

    kiingereza chetu kinanifurahisha sana!

  • @dalalizerobunjubeachmoga3039
    @dalalizerobunjubeachmoga3039 4 ปีที่แล้ว +1

    Kaka uko sahihi kabisa waonyeshe Shelia inavyo kwenda

  • @raphaelmrisho1520
    @raphaelmrisho1520 4 ปีที่แล้ว +3

    Yoote kwa yote Happy we Jembe

  • @Robust78
    @Robust78 4 ปีที่แล้ว +3

    Honestly we don't do that. Hawa watendaji ndiyo wanasababisha wananchi wakichukie chama cha mapinduzi na serikali yake. Tatizo ni watendaji wabovu wasiotenda haki wala kuzingatia sheria. Sukuma ndani.

  • @swebemwalugala6871
    @swebemwalugala6871 4 ปีที่แล้ว +2

    Safisana nimeipenda

  • @sibastianselestin2622
    @sibastianselestin2622 4 ปีที่แล้ว

    Ally hap Mimi naona akitoka mh magu Kamata nchi mkuu, nakukubali Sana wewe niwamungu.

  • @veronicamchilo8552
    @veronicamchilo8552 4 ปีที่แล้ว +4

    Kunasiku nilisema Hapy ni mkuu wa mkoa bora Tz watu wakanitusi

    • @geofreyjacob9757
      @geofreyjacob9757 3 ปีที่แล้ว +1

      Walio kutus iliposema kua. Mkuu. Wa wilaya Happ. Ni Bora wakakutus. Hawajielewi

  • @busnaoman9981
    @busnaoman9981 4 ปีที่แล้ว +2

    Kondoa mojaaa Hy piga keleleeee kwa Ally hapiiiii

    • @salmasoso9839
      @salmasoso9839 4 ปีที่แล้ว +1

      Ni mrangi kumbe ma sha Allah

    • @busnaoman9981
      @busnaoman9981 3 ปีที่แล้ว

      @@salmasoso9839 naam kondoa hy uje sikumoj tuende kwao tukale ugali 😃😃😃mn anajua kupika huyoooo

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 4 ปีที่แล้ว +3

    RC Hapi BabaLao!!

  • @MWAMALUMBILI
    @MWAMALUMBILI 4 ปีที่แล้ว +5

    Happy ni Kiongozi shujaa kama chifu Mkwawa!

  • @madeintanzania2995
    @madeintanzania2995 4 ปีที่แล้ว +6

    Exactly fine mr. Hapi!! Full of 😂

    • @estermpagama9664
      @estermpagama9664 4 ปีที่แล้ว +1

      Technician Adoh! Mkuu wa mkoa upo vizuri hao ni mataperi mchana kweupe watumishi wanaopindisha mambo wapewe maonyo wanatia aibu.

  • @barakammari7459
    @barakammari7459 4 ปีที่แล้ว

    Safi sana happy

  • @ubuzimabuzimatv
    @ubuzimabuzimatv 4 ปีที่แล้ว

    Nime furaha kuona kiongozi mdogo mwamyaka arakini mkubwa kuongoza kabisa niko Rwanda arakini na penda Raisi Magufuli wapiri Amekuwa Hapi

  • @rehemamaduhu5642
    @rehemamaduhu5642 4 ปีที่แล้ว +2

    Yaani migogoro ya ardhi kifamilia huwa ni pasua kichwa

  • @berthamakortha8387
    @berthamakortha8387 2 ปีที่แล้ว

    MIJIZIII NDIO MNAYOITAKA LOOOO ZAMBIIIII SANA. TUWAONE BASI HAO WATEULIWA KAMA SIO WAZUSHI TUUU. NYIE AYA

  • @hopennko5242
    @hopennko5242 4 ปีที่แล้ว +1

    Viongozi wengine wanawadharau viongozi wa chini

  • @angellomarcel5677
    @angellomarcel5677 4 ปีที่แล้ว

    Big up Mh HAPPI

  • @alawi6796
    @alawi6796 5 หลายเดือนก่อน

    Ndy hvyo watu wa Ardhi na watendji kupata Viwanja vya bure

  • @mudhihirumikidadi6066
    @mudhihirumikidadi6066 4 ปีที่แล้ว +3

    Magufuri huyu mtoto anafaa kuwa wazili mkuuu hongelakwakumchaguwA

    • @errydeo8865
      @errydeo8865 4 ปีที่แล้ว +2

      bado..Majaliwa kiboko mjomba,usimuone kuongea kwake kwa ukimya, Majaliwa anafatilia kitu mpaka kwa dakika ulipokua,fully informed...ila Hapi anajua kutatua matatizo haya ya mkoa..in future Hapi atakua mkubwa.Hajawafikia wakina Lukuvi! baada ya JPM,atapa hata unaibu katika wizara yoyote..Rais ajae ni kati ya,Majaliwa,Kabudi na Lukuvi[utabiri wangu]

  • @kibasamohamedi8029
    @kibasamohamedi8029 4 ปีที่แล้ว +4

    Mama anajua kujieleza aiseeeee

    • @shijalameckmpemba4529
      @shijalameckmpemba4529 4 ปีที่แล้ว +1

      Mama huyo ni noma ,hebu chukulia ni mkeo wa dhamani kakushitaki

  • @wazirizidadu3318
    @wazirizidadu3318 4 ปีที่แล้ว +6

    Kiongozi bora huwa namuelewa sana huyu jamaa aiseeh.

    • @shekhmsati
      @shekhmsati 4 ปีที่แล้ว

      Waziri Zidadu iringa kwa kesi za mashamba zimezidi

    • @oyay2821
      @oyay2821 4 ปีที่แล้ว +1

      Mzee Happi yuko makini

  • @iddijumangakonda8044
    @iddijumangakonda8044 4 ปีที่แล้ว +1

    Straight forward

  • @MctMct-tt4rq
    @MctMct-tt4rq 4 ปีที่แล้ว

    MAGUFULI HAPA WANAIRINGA MMEPEWA JEMBE LA NGUVU HALIYUMBI WALA KUTETEREKA KWENYE KUTAFUTA HAKI ZA WATU BABA MAGU TUNATAKA VIONGOZI KAMA HAWA ALY HAPPY MUNGU AKUWEKE AKUPE HEKIMA ZAIDI MUNGU ATAKULIPA KWA UTETEZI WA WANYONGE MUNGU AKUPE MWISHO MWEMA WA KUONDOKA DUNIANI

  • @samsonmwaipaja5231
    @samsonmwaipaja5231 ปีที่แล้ว

    mkuu uko vizir

  • @Chr196
    @Chr196 ปีที่แล้ว

    Unafaa kupewa KAZI tena kwa sababu ni mtetezi wa haki za wanyonge

  • @senoritapippy9124
    @senoritapippy9124 4 ปีที่แล้ว

    Nakuona diwani mtove kwa pembeni upo na mkuu wa mkoa

  • @abdulkarimhamissi3755
    @abdulkarimhamissi3755 4 ปีที่แล้ว +2

    Good job

    • @q234able
      @q234able 4 ปีที่แล้ว

      Huu ndio uongozi safi

  • @ubuzimabuzimatv
    @ubuzimabuzimatv 4 ปีที่แล้ว

    Hapi unawe kabisa

  • @angelalphonce2962
    @angelalphonce2962 4 ปีที่แล้ว

    Mdogo wake Baba Magufuli huyoooo hakina kuipindisha Lula inatumika

  • @pilatoonlinetv9660
    @pilatoonlinetv9660 4 ปีที่แล้ว

    Mb zangu !!
    Upuuzi wa mzee juha.

  • @mudhihirumikidadi6066
    @mudhihirumikidadi6066 4 ปีที่แล้ว +6

    Pengo muhuni fukuza huyopengo

  • @seiphmpwanda7802
    @seiphmpwanda7802 2 ปีที่แล้ว

    Magufuri umekufa ila umetuachia vijana wako l think tunakitu kitakuja japo kitachelewa

  • @OMARMOHAMED-qs3zg
    @OMARMOHAMED-qs3zg ปีที่แล้ว

    Munam mpa mtu kazi na hata hajui kaziyake ibu

  • @NardhisMhagama-sy3eq
    @NardhisMhagama-sy3eq 7 หลายเดือนก่อน

    Mheshimiwa raisi mhamishie Dodoma huyo

  • @nicotv4162
    @nicotv4162 4 ปีที่แล้ว +2

    Mhu mkuu wa mkoa @allyhapi swala la migogoro ya ardhi ni kubwa sana,wananchi wengi tunakero hio,na baadh ya watumishi kwenye office zetu wanarudisha nyuma jihudi za nyie viongoz wa ngazi za juu katika kutatua kero hizi ,watumishi wengine wanachukua rushwaaa

  • @isiakamohammed5130
    @isiakamohammed5130 2 ปีที่แล้ว

    jamaaaaa anajua kaz yake na yuko kwenye msimamo wako

  • @jacklinamani7519
    @jacklinamani7519 4 ปีที่แล้ว +2

    Yn we baba unatenda kaz kwa uwared Sana Bora hata niwe mchepuko wako.tu naona hata huko utakuwa unatenda hak

  • @sarahlydia2635
    @sarahlydia2635 4 ปีที่แล้ว +1

    Ask them mukuu

  • @stevenkipara9310
    @stevenkipara9310 4 ปีที่แล้ว +2

    Unafaa

  • @arafataliomar7432
    @arafataliomar7432 4 ปีที่แล้ว

    Wapigeee makwaju

  • @husseinchiaseeds2653
    @husseinchiaseeds2653 4 ปีที่แล้ว

    Rais aliona mbali kuwachagua muwe wasaidizi wakee na hamjamuangusha pig up kaka

  • @masudysosovele893
    @masudysosovele893 4 ปีที่แล้ว +1

    Rais wa iringa tunakuombea usije hama

  • @yaqoobalhinai3805
    @yaqoobalhinai3805 3 ปีที่แล้ว

    Una stahili kuwa raisi wa nchi baada ya magu

  • @mudhihirumikidadi6066
    @mudhihirumikidadi6066 4 ปีที่แล้ว +2

    Wanamasilahi hao fukuzeni ndio wanaosumbuwa raiya watumbuwetu

  • @hamisiabduli8604
    @hamisiabduli8604 4 ปีที่แล้ว

    Makonda kazi yake kutafta kiki tu.angalia mheshimiwa hapi anavyopga kazi.

  • @amihogatai8432
    @amihogatai8432 4 ปีที่แล้ว

    mimi huyu mwenye kazi ya kuinua na kushusha mic tu. yaani ndiyo kazi hiyo, au siyo?

    • @dullygooners974
      @dullygooners974 4 ปีที่แล้ว

      Anakula mishahara kwa hilo tu heheeheh