Miladihayo kazi yako inakubalika kwa waandishi wa habali kwa tanzania ww ni namba 1 maana hutoi habali za uongo nikiona kitu umepost ww huwa naamini asilimia 💯
Hii changamoto inaonekana kuota mizizi hapo ulipo...yaani mwenyenzi mungu akujaalie kibali zaidi na zaidi Mh mkuu wa mkoa...kazi uifanyao ni ngumu na nzitoo mmno
Kiongozi mwadilifu atapata neema ya kivuri Cha Arshi siku hiyo ngumu isiyokuwa nakivuri, Mungu akupe maisha marefu, Nimekuamini kiongozi, heshima kubwa kwako
Ndugu Muheshimiwa Mungu atakuepusha na Mitihani ya Dunia na Wenye dhuluma kwa watu Duni kiuwezo, watokee viongozi mfano wako kwa kila Mkoa na Idara kutakua na maendeleo Bora yakijamii, nakila kiongozi na mlanguzi atachunga maisha, Ahsante Ndugu Ally Wewe unaenda na mamlaka ya Mola Kisheria na Dini zinavyo ruhusu 😍🙏🙏🙏
Vile nakuombea mwenyenzi mungu azidi kukujaalia afya njema na kukubalika zaidi na zaidi mbele ya wananchi wako.na wengine pia....huwa sitamani kupishana na hizi video za kazi zako...unaibua sana changamoto za wananchi wa jimbo lako.
kuna wasio juwa hata kusoma mambo ya polisi wanaogopa maana hawajui hata kusema lolote wanaona tu bora wanyamaze lakini wanaugulia maumivu ya kunyanyaswa na hao watu wabaya wasio kuwa hata na hofu ya MUNGU " nawapenda sana viongozi wanao jitambua wasiokuwa na tamaa
Daudi Mwisa. ..huyu anaonyesha anatisha kama corona huko Iringa. .mjukuu wa mkwawa nini au anatokea familia za chief ? Mbona hivi huyu jamaa haogopi kifungo
Huyu mkuu wa mkoa ni jembe,kweli JPM ameacha muongozo sahihi,watu waliona JPM alivyopendwa na wananchi kwa kazi yake njema.baadhi wanapita mle mle kwenye njia ya JPM
MUNGU mkubwa " viongozi kama huyu ndio wanahitajika " nchi yenye furaha inajengwa na hawa " nawapongeza na kuwashauri wasiogope kufa watupambanie hadi tone la mwisho la damu kuwatetea wanyonge "
Anayesema Magufuli ni mkandamizaji,sijui ana akili gani!!!hii ni kama ndoto TZ,zamani hakuna hii....migogoro ya miaka 10 zinatatuliwa kwa masaa!! JPM you are a redeemer..tukumbuke ni miaka 5 tu madarakani...give credit where due..wachache wanamuangusha rais ila wengi wanafanya kazi..tuache ushabiki wa kijinga tumshukuru na kumuombea JPM,hii kazi yake si mchezo,kila nikija nyumbani,nashangaa TZ inavyobadilika..naishi Uingereza..naelewa nisemacho...namshukuru pia rais kwa kuwaamini vijana ka wakina Hapi na wengine,Tanzania ijayo itashangaza dunia..kiongozi mzuri ni yule aachaye viongozi wazuri ...Mw.JK Nyerere...
Miladihayo kazi yako inakubalika kwa waandishi wa habali kwa tanzania ww ni namba 1 maana hutoi habali za uongo nikiona kitu umepost ww huwa naamini asilimia 💯
Mungu akubaliki sana maana unaupiga mwingi viongozi wenye Welidi mkubwa na baba na wewe Mungu akupiganie sana kwenye kazi yako hiy
Hii changamoto inaonekana kuota mizizi hapo ulipo...yaani mwenyenzi mungu akujaalie kibali zaidi na zaidi Mh mkuu wa mkoa...kazi uifanyao ni ngumu na nzitoo mmno
Mkuu wa mkoa usitoke ilinga unyooshe watu .nakupenda bule baba kazi nzuri
Safi sana kwahii kazi ndugu yangu mkuu wa mkoa ally hapi mungu atakulinda naataendelea kukulinda
Nahata wewe milad ayo tunakushukru kwa kutuletea habar lazima tukufikishiye shukran zetu kwa taarifa hizi
kwakweli miladi ayo ndio mkombozi wa w2
@@zainaramadhan7769 "gyy
Milad tunaaimini sana chanel yako...keep on trust plz
Jaman watu wa iringa nkurunzinza manake ni nin?
Muheshimiwa Mchapa Kazi Barikiwa Sana, Endelea Kutetea Wanyonge.
Mungu amusaidie uendelee na kazi nzuri
Ally Happy God bless you a lot unafanya vyema!!!! Zao la Magu hili nimelipenda hakika
Kiongozi mwadilifu atapata neema ya kivuri Cha Arshi siku hiyo ngumu isiyokuwa nakivuri, Mungu akupe maisha marefu, Nimekuamini kiongozi, heshima kubwa kwako
Ningekuwa iringa, ningejikuta nmdai namimi😂😂😂
Hongera mkuu wa mkoa unajali watu wako h sana
Ndugu Muheshimiwa
Mungu atakuepusha na Mitihani ya Dunia na Wenye dhuluma kwa watu Duni kiuwezo, watokee viongozi mfano wako kwa kila Mkoa na Idara kutakua na maendeleo Bora yakijamii, nakila kiongozi na mlanguzi atachunga maisha, Ahsante Ndugu Ally
Wewe unaenda na mamlaka ya Mola Kisheria na Dini zinavyo ruhusu 😍🙏🙏🙏
Kumbe waku wa mikoa wanaweza kufanya kazi nzuli kama hizi kwa wananchi wao Mungu wa mbinguni awabariki
Safi mkuu wakoa wairinga nakupenda unajiamini Sana inapendeza sana
Napendaga kusikiliza kesi za iringa🤣
Kama mm hahaaa
Namshukulu Mungu wa Ally Happy akulinde akutunze tunakuhitaji ktk ngazi ya juu zaidi
Fanya kazi yakuwatetea nakuwakomboa nakurudidua haki zawanyonge, Amini utapewa daraja na kivuli Cha Arshi siku ambayo hakitakuwa nakivuli
Gud saana
Wewe nkirunzinza wewe, mbona hatari Sana hii , wee nkirunzinza wee Ni nomaa sanaa
Vile nakuombea mwenyenzi mungu azidi kukujaalia afya njema na kukubalika zaidi na zaidi mbele ya wananchi wako.na wengine pia....huwa sitamani kupishana na hizi video za kazi zako...unaibua sana changamoto za wananchi wa jimbo lako.
Ali hapi mtetezi wa wanyonge mungu akujalie Kila laheli
mamaee devd mwisa kiboko ya wahehe ......alijuaa wahehe ukiwazurumu wanaenda kujinyonga😂😂😂😂😂😂
😂😂😂 nkurunzinza
🤣🤣🤣🤣hatujinyongi now day's
😂😂😂😂
Wa Kwanza , hongera Sana kwa taarifa
Atapatataaabu
Mkuu wa mkoa uko vizur Sana
Part 2 plzzz tumsikie na David Mwisa
Haswaa
magu hakupita tuu kaacha alama zake na nnchi hii inao vijana makini watenda haki nà wapiga kazi makini,mungu hawezi kumuacha magu aende tuu
Hapo angepatkana na Ally hapi hapo pangenoga maana wanamuoneya raisi wetu makonda na Hali hapi nawapa big up
Mama ssh ikikupendeza umludishe Ally kwenye Baraza la mawaziri Tena kitengo Cha aridhi
Asante. Mkuu
Huyu David mwisa ni corona kabisa🤣🤣😂😂
kabinywa pumbu mpaka kawalipa
Haha haha haha haha
Nakukubali muheshimiwa kwangu mm nakuita mwamba ALLY HAPI
ALLY HP CHAPAKAZI BABA
Hao police wanajuana na Nkurunzinza🏃🏃🏃🏃🏃
Mungu akubariki kiongozi,viongozi mnaona shida za wananchi msipoenda mtajuaje shida zao
mird nakubar sana bg
Barikiwa baba
Ndugu Ally kwakweli uko vizuri Sana Kama wakuu wote wa mikoa wangefanya kazi kama wewe duh! Tanzania ungekuwa mbali
Nampenda mkuu wa mkoa mimi jamani .anafanya kazi kwa weledi kabisa
Duh! Jamaa ana dharau anaomba koti apigie deki
Akika alikuwa rais wa marais mungu akailaze roho yake mahali pema peponi
Nkurunzinza mungu anakuona 😂😂
Mkurunziza n jipu akiii... High 5 milard ayo...
Mkuu Wa mkoa mchapa kazi nakukubali sana bwana hapy hapo tatizo ni police rushwa nyingi
Mwizi huyo shenzi taipu likatwe
@@nuratkalinga581 taifisha Mali zake zote wape wanaodai
Hahahaha hata deki lako naomba nipigie deki, nimelipenda naomba nipigie deki, hahahahahaha dah hakiamungu wallah tuhurumie waja wako inshaallah
Jamani
Wahehe, watani zangu mnakwama wapi?
Huyo kwisa ni mchawiii,matapeli ŵengi huwa wachawi.anawarubuni watu kwa njia ya nguvu za giza
Mgu akujarie mheshimiwa
Naona kama movie yani!! Hivi haya mambo bado yapo Tanzania??
Nkuruziza mgemtenda anachotenda ngombe zenu kumchinja😂😂
Kazi ipo kweli hapo cyo mchezo
Hee jamani David kashindikana hataree ni mchawi huyooooo
Ndugu mkuu wa mkoa kagombee urausi kura yangu chukua wewe na magufuli ni kitu kimaja
💯
Huyu mwisa🙌🙌🙌🙌🙌
Wallahi ata sichokagi kutazama izi habari maana kuna kuchekesha babu koti lake jamaa anataka akapigie deki jamaa anazarau kinyama
😂😂😂😂
Sijui namimi namdai nkurunziza? Ngoja nikumbuke
Hahaaaaa kumbuka happy bado yupo
koti nikapigie deki hahaha kiburi cha hali ya juu
nipo south lkn naangalia you tube hasa magu na huyu mkuu Wa mkoa Wa iringa
Tuko pamoja Kaka kuangalia matukio ya kwetu Iringa
😂😂😂😂Nimechek sana apo ku koti😂😂
kuna wasio juwa hata kusoma mambo ya polisi wanaogopa maana hawajui hata kusema lolote wanaona tu bora wanyamaze lakini wanaugulia maumivu ya kunyanyaswa na hao watu wabaya wasio kuwa hata na hofu ya MUNGU " nawapenda sana viongozi wanao jitambua wasiokuwa na tamaa
Anyanganywe kwanza bunduki.
Mapengo...
Tunataka viongozi Kama hawa
Mmh baba mkuu was Mkoa kwko nmeinua mikono!!nmekuelewa mkuu MUNGU AKULINDE SANA KWA YOTE
Mkuu Mungu akupe afya njema na maisha marefu
Mheshimiwa Ally Happy tunakuombea Mungu akupe ulinzi wake
Huyo David nahisi ni mchawi sio bure! Ubabe gani huo?
Anayemuita mwenzie mapengo nayeye ana mapengo🤣🤣🤣kweli watu wenye kasoro ndo huwa mstari wa mbele kupigia kelele kasoro za wenzie
Huyu mkuu wa mkoa nakubar sana anachapakazi isee
Nkurunziza wa Burundi kkkkkkk
Huyo jamaaa Duuu ni hatali saana.
Huyo devi jamani
camera iko vzr sana milardayo.salout.
I Know right 👌👍👍
Wallah nme cheka sana koti lako amelipenda apigie deki
njaa tup yani
Mkuu Wa mkoa nakupa up kwa kufanyakazi macho yetu yako kwako
Dodo hapi upombali na tapeli mmoja urambo ni shidaa kweli
Stail ya mwenda zake kwa sasa ........?
Umesha pewa chako
Daudi Mwisa. ..huyu anaonyesha anatisha kama corona huko Iringa. .mjukuu wa mkwawa nini au anatokea familia za chief ? Mbona hivi huyu jamaa haogopi kifungo
Duuu kiongozi wasaidie hao wanyonge
Huyo jamaa anachafua Jina la David mbona akina DAVID hatupo hivo.
Hahahaaaa pole akina David otee
Huyo Devi ni mtu wa Aina gani mpotezeni piga Shaba aondoke kwenye uso dunia atawasumbua Sana wananchi Kwanza ni mchawi huyo huyo mbabe wenu
Pwani akuna kitu
Mkuu tunaomba wapo wengi waliotapeliwa wakifika wasikilize walikata taama anatishia anasilsha
Huyu mkuu wa mkoa ni jembe,kweli JPM ameacha muongozo sahihi,watu waliona JPM alivyopendwa na wananchi kwa kazi yake njema.baadhi wanapita mle mle kwenye njia ya JPM
We baba umechanganyikiwa maana ya nkurunziza ni ubabe! 🤔 🤔 🤔 🤔 🤔
Jamani watu zaidi ya mia moja kijijini apo uyo david ni nini.????
Zamani watu kama hawa walikuwa ni wengi.
Huyo hatali akamatwe
Mkuu wa mkoa hy aje agombee urais
Mkuu pambana nakuandaliakukuchukuria fom2025uwnyoshemataperi
This is really atrue leader.
Huyo devi ni tatizo kubwa sn
Du 😂😂😂deki
MUNGU mkubwa " viongozi kama huyu ndio wanahitajika " nchi yenye furaha inajengwa na hawa " nawapongeza na kuwashauri wasiogope kufa watupambanie hadi tone la mwisho la damu kuwatetea wanyonge "
Kwahio rais wa burundi nkurunzinza ndo mbaze
Anayesema Magufuli ni mkandamizaji,sijui ana akili gani!!!hii ni kama ndoto TZ,zamani hakuna hii....migogoro ya miaka 10 zinatatuliwa kwa masaa!! JPM you are a redeemer..tukumbuke ni miaka 5 tu madarakani...give credit where due..wachache wanamuangusha rais ila wengi wanafanya kazi..tuache ushabiki wa kijinga tumshukuru na kumuombea JPM,hii kazi yake si mchezo,kila nikija nyumbani,nashangaa TZ inavyobadilika..naishi Uingereza..naelewa nisemacho...namshukuru pia rais kwa kuwaamini vijana ka wakina Hapi na wengine,Tanzania ijayo itashangaza dunia..kiongozi mzuri ni yule aachaye viongozi wazuri ...Mw.JK Nyerere...
Mungu pia akubariki na ambaye umeweza kuyaona haya,,,,ni kama Watanzania wamefumbwa macho but tatizo kubwa ni ushabiki
wakuuu wamikoa kama huyu anafaa atakupewa ungoz mkubwa zaid jamn wanatetea watu masikini
MUNGU wa Israel kuja uone mwisha ametabeli kikijiji chake chote😂😂😂
Hahaha
Huyu mkuu wa mkoa anafaa kuwa Rais wa Tanzania kabisa
David Mwisa
Korona ikiingia Tanzania tumekwisha. Watu wanajichokonowa mapuwa. Pengine mikutano isimamishwe mpaka Huu ugonjwa upite.