WAZIRI AWESO AJIFANYA MTEJA, APIGA SIMU HUDUMA KWA WATEJA DAWASA, SIKIA ALIVYOJIBIWA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ก.ค. 2024
  • 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 17

  • @Datiuspp
    @Datiuspp 3 วันที่ผ่านมา +3

    Sijawai kumuona customer care mkolofi hata kama ungemwambia jambo gani uwa ni watu smat sana

  • @zachmaselle6635
    @zachmaselle6635 9 วันที่ผ่านมา +11

    ....Binti amejibu vizuri sana, lakini ukichambua alichofanya sidhani atamsaidia huyo Abdallah maana hakuchukua namba yake, hakuuliza stakabadhi ya Malipo, ambayo ingeonyesha ni lini alilipia na tatizo ni nini. Yote hayo yangekjitokeza kwenye kompyuta baada ya kweka jina au namba ya malipo. Haya mambo yalishafanywa na yanafanyika nchi zingine tukopi tu. Tatizo kubwa DDhiki ya wananchi ya maji, imekuwa miradi ya wenye nafsi kuumiza wanyonge. Tanazania hatutakiwi kuwa na tatizo la maji. Mungu ametubariki mno.

  • @hanifamziray277
    @hanifamziray277 7 วันที่ผ่านมา +2

    Safiiiii ukijibiwa vzr raha sn.hongera waziri

  • @emmanuelndahan9815
    @emmanuelndahan9815 6 วันที่ผ่านมา +1

    Huyoo ni customer care, kikubwa watu wapate maji

  • @daltonpaul5838
    @daltonpaul5838 8 วันที่ผ่านมา +5

    Watu wa huduma kwa wateja ni wakarimu mno kikubwa watu waungiwe maji kwa wakati

    • @JumaaHussein-ut6fc
      @JumaaHussein-ut6fc 8 วันที่ผ่านมา +2

      Wakarim kwasababu simu zinarekodiwa hivo tuu yaani.

    • @user-ji1bc5ti8r
      @user-ji1bc5ti8r 5 วันที่ผ่านมา

      ​@@JumaaHussein-ut6fctofauti na hapa tungekuwa tunajibiwa hovyo adi tukome muwapigia

    • @daltonpaul5838
      @daltonpaul5838 5 วันที่ผ่านมา

      @@JumaaHussein-ut6fc kwa kweli

  • @delgalshan6318
    @delgalshan6318 2 วันที่ผ่านมา

    AUWSA ni jibu arusha tena baya kabisa wanaleta ankara wakati maji hawafungui wazembe sana

  • @MOHAMEDSALEH-fl7kb
    @MOHAMEDSALEH-fl7kb 9 วันที่ผ่านมา +2

    Hongera waziri

  • @user-eg3mh1gk5l
    @user-eg3mh1gk5l 8 วันที่ผ่านมา +2

    Safiii

  • @FredMwamgogwa-td6ni
    @FredMwamgogwa-td6ni 9 วันที่ผ่านมา +2

    Safi sana

  • @jumbeplumber4327
    @jumbeplumber4327 6 วันที่ผ่านมา +2

    Safi sasa

  • @HarithAlly-v5o
    @HarithAlly-v5o 8 วันที่ผ่านมา +1

    ❤❤

  • @sofiakhan9706
    @sofiakhan9706 5 วันที่ผ่านมา

    Ila goba hakuna maji ki ukweli

  • @elvisoscar9912
    @elvisoscar9912 6 วันที่ผ่านมา

    Sasa kofia ya chama inafanya nn apo