MKURUGENZI AJICHANGANYA KWA AWESO, APIGIWA SIMU "MIMI NIPO KWENYE ZIARA WEWE HAUPO UKO WAPI?"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ก.ค. 2024

ความคิดเห็น • 24

  • @verdianabanabi2205
    @verdianabanabi2205 28 วันที่ผ่านมา +2

    Kwa ujumla suala la wanawake kupata vyeo amejisahau sana . Wawe chini ya.

  • @shabanipanya1033
    @shabanipanya1033 28 วันที่ผ่านมา +1

    Alafu kuna kitu nimegundua karibia watumishi wengi ni wanawake alafu mambo yanakwenda hovyo sana na watu wananyanyasika sana

  • @osmanhajj3059

    Mh waziri ujee ututembelee wilaya mbarali

  • @mvullamanase

    Mbona IDARA YA MAJI NI WANAWAKE WATUPU.

  • @menelus911mene5
    @menelus911mene5 28 วันที่ผ่านมา

    Duh!!!!! Wakisemwa oowanaonewa ila mhe waziri wa maji njjo na Gairo hivyohivyo toka tujaze form toka mwezi wa 9 / 23 mpaka leo ukiuliza vifaa hatuna sasa sijui itakuwaje kama wana ambiana hao tusaidie mhe wetu wa maji wewe nimkombozi wetu waonesana hao warudi majumbani wayaone hayo tunayo yaona sisi mpepole huyo Ubarikiwe ❤❤❤

  • @user-zm4mm4eb5j
    @user-zm4mm4eb5j 21 วันที่ผ่านมา +1

    Hujuma hujuma hujuma wanamfanyia mama ili wananchi wamchukie rais wao

  • @user-ow7pl6tz2c

    Kweli kabisa ni ujuma kwanza wananchi hatahatuji kama wazir anakuja mbezi watu wangejaa sana Maji ni tatizo sana mm nimelipia Maji tangu mwenzi 11 mwaka Jana mpaka Leo sijaletewa naukiuliza majibu Yao nibaya sana sana kimala

  • @inocentlukumay767

    Arusha pia kuna tatizo hilo. Mradi wa bilioni 500 sisi tuliotoa maeneo yetu kuchimbwa maji hatunufaiki kwa lolote. Tupo tayari kulipia maji.

  • @ilynpayne7491

    Huyo dada hafai asiee bora aondolewe

  • @ibrackibrahim6909

    Mademu wao hao😂😂😂

  • @happymarchiusnjungani1138

    Yaan hawa wadada wakishapata Vihela na vyeo mmmmmmm utajua hujui

  • @yayananajota5838

    Tz na watu wake😅😅😅😅😅vichekesho kweli, eee Mola waja wako hawa, 😥😥😥

  • @mweyoms5548
    @mweyoms5548 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tunacho kirusi nchi hii ambacho kitaendelea kutufanya kuwa masikini mpaka kiama. Ni kuzungukwa na wanoitwa wasomi lakini wana NAKISI KUBWA ya UWAJIBIKAJI na UADILIFU.Hao wapo teeele kila penye utumishi wa umma.Hawana malengo wala maono bali ni kilichomleta hapo ni Ajira.

  • @NoName-pp4lo

    Aweso fata nyayo za makonda

  • @sskondopoleani9616
    @sskondopoleani9616 21 วันที่ผ่านมา

    Jamani DAWASA HEBU TUANGALIENI SISI WATU WA BOKO NATIONAL HOUSING KUELEKEA MAGEREZA. KWETU MAJI NI NYOTA YA JAHA.

  • @lucymtui8680
    @lucymtui8680 28 วันที่ผ่านมา

    Shida kweli kweliiwel

  • @saidhamza5318

    Afu mbona viongoz wengi ni mademu halafu mambo hayaendi!

  • @yayananajota5838

    Zuga tu, midemu zao hizo,wakitoka hapo wanaenda kula kulana mshikaki paleeeee😏😏😏

  • @sultanmsolon8428
    @sultanmsolon8428 28 วันที่ผ่านมา

    Mh njoo na chalinze, mdaula na ubena

  • @inocentlukumay767

    Huyo dada hana shida yoyote tatizo ni urasimu na mlolongo wa maelekezo ya sheria. Urasimu