YANGA NA SIMBA NI VIBONDE KWENYE MICHUANO YA KLABU BINGWA YA AFRIKA| IDADI ZA PIONTI NI NDOGO SANA.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ค. 2024
  • 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

ความคิดเห็น • 22

  • @muharamijuma1569
    @muharamijuma1569 21 วันที่ผ่านมา

    Ondoka Acha Uongo MNAHAĹIBÙ WASAFI ĶWA KUIPENDELEA YAÑGA

  • @abubakarjuma443
    @abubakarjuma443 21 วันที่ผ่านมา +1

    Osca Kwa huku umechemka owent Kila msim zipo babu

  • @user-px1gd4de7k
    @user-px1gd4de7k 21 วันที่ผ่านมา

    Osca yuko sawa Ila Mwandishi umekosea Simba haianzi hatua ya awali, awali kwa lugha rahisi ni chekechea. Timu 3 ndio vibonde

  • @Damsonmwiga-t8q
    @Damsonmwiga-t8q 21 วันที่ผ่านมา

    Ujui chambua mpira wew cklza crown media upate maarifa kibonde cmba alie kombe la waliofel

  • @nicodemusmemba1402
    @nicodemusmemba1402 21 วันที่ผ่านมา

    Osca, akili Yako ndo imefikia mwisho apo

  • @user-hk2oz2eg4j
    @user-hk2oz2eg4j 21 วันที่ผ่านมา

    Kuna figisu zinafanyika kukwamisha juhudi zao. Usikurupuke kusema vibonde wakati mambo yanaonekana wazi wazi kua timu fulani ndizo zinazopangwa kushika nafasi za juu kwenye ligi hiyo. Kisha ww Kijana ukizungumza jambo lifanyie uchunguzi kwanza.

  • @FrankLuhaha-dt5sh
    @FrankLuhaha-dt5sh 21 วันที่ผ่านมา

    Huyuuu oscar hajuiii kuchambuaaa mpilaa.chakufanuaaa huyuu tumuridisheeee darasa la 1 ajifunzeeee tenaaaa maaana anahalibuuu snaaaa😂😂😂😂😂😂😂😂 hakijuiiii kuchambuaaaaa

  • @Sukuma_Tv
    @Sukuma_Tv 14 วันที่ผ่านมา

    Kama hawa ni vibonde na Gor mahia nao tunawaitaji huyu hajui mpira na ni mbabaixhaj na mpotoshaji xijuw kwann huwa anajixahau

  • @RaysonAlex-g3v
    @RaysonAlex-g3v 21 วันที่ผ่านมา

    Oscar wew huna akili unafanya kuongea kwa sifa hula lolote

  • @boscoShama
    @boscoShama 21 วันที่ผ่านมา

    Oscar we mbwa hujui mpra

  • @user-ox3ij7ki3t
    @user-ox3ij7ki3t 21 วันที่ผ่านมา

    Hata simba wangekuwa ligi ya mabingwa wangeanzia hatua ya awali kutokana na tim zimepunguzwa za kuanzia hatua ya mwanzo badala ya 10 zimepunguzwa mpaka 5 sasa alaf kumbukeni shirikisho hata azam msim jana hakuanzia hatua ya awali japo azam hawakuwah kufika hata makundi. Simba ni kweli wamefanya vizur misim mitano ilo halina ubishi ila caf wanabadilisha sana mifumo yao ni bora ingebaki tu vile ilivyokuwa mwanzo top 10 wasingeanzia hatua za awali ila kwasas hata alioko nafasi ya 6 anaanzia priliminary😢😢😢😢

  • @aminamano775
    @aminamano775 21 วันที่ผ่านมา +1

    We oscar huelewi chochote ngombe we

  • @brightonchedego8100
    @brightonchedego8100 21 วันที่ผ่านมา

    Labda nikuulize swali,je,kwa kukosea huko na kushuka kiwango kwa simba unakupima kwa kutumia kigezo kipi? wakati kama robo ya club bingwa alifika na bado timu kubwa zimepigika hadi 6 na 7 kimataifa. Hebu uwe mkweli kwa kuzingatia data

  • @michaelkamaghe5046
    @michaelkamaghe5046 21 วันที่ผ่านมา +1

    Kaka hujui lolote Simba haianzi kama yanga Simba ni wakubwa sana

  • @petersikalumba608
    @petersikalumba608 21 วันที่ผ่านมา

    Leo Oscar umechemsha dogo

  • @robertsalum1968
    @robertsalum1968 21 วันที่ผ่านมา +4

    Oscar haujui lolote acha kudanganya watu mtafute mbwaduke akupe dalasa hulu

  • @abdallahchungulu4439
    @abdallahchungulu4439 21 วันที่ผ่านมา

    mmmmmmmmmmmmmmhhhhhhhhhh

  • @user-zh1fd8zv1x
    @user-zh1fd8zv1x 21 วันที่ผ่านมา

    Oscar iko sahii

  • @petersikalumba608
    @petersikalumba608 21 วันที่ผ่านมา

    Leo Osca umechemsha dogo