Shida hapo ni elimu ya uwana habari na uchambuzi Amna. Munaongea tu kama ni jambo la kawaida. Baba levo nenda Shule Mdogo wangu. Kufutwa kwa mawaziri ni moja ya matakwa au ni msukumo wa Wakenya haswa Gen Z.... bado mna mabadiliko mengi tu yatafanywa. Kuweni Makini na mnacho Jadili. ❤🇰🇪❤🇹🇿❤ Gen z.....
Tutaongea saana, ila wachawi hapo ni WABUNGE, walipaswa kusimama na wananchi kuukataa basi. Serikali yenyewe inaleta tu mawazo hata km ni Mabaya halafu Bunge linapitisha tu 😢😢😢
Kwa kusaidia tu kaka Edo...kuondolewa kwa mawaziri ni miongoni mwa masharti ya GEN Z Wala sio kafara kwa watu wengine..cz bado Kuna mambo mengi anatakiwa kutekeleza kama masharti aliyopewa
We love you our Tanzania brothers!!!! A lot of tanzanians are studying in kenya and they come back very Kenyanised. Kenyan education system created a freedom fighter hen- z. They were taken through fasihi full of liberation stories.
Nawaonea Huruma sana Tatizo hamjui kilicho mbele yenu Sai wanawalaghai mbeleni Kila kitu kinabadilika 😂😂😢😅😊 Na Tanzania cdhani kama Kunakuwepo na Ma GEN Zzz...😂😂😂 Ona nchi za west Africa zimeshazinduka wanafwata mkondo kama wa Kenya #Nigeria🇳🇬 #Ghana🇬🇭#Malawi🎉#Zimbabwe🇿🇼 Na nyinginezo...😂😂🎉😂
Watanzania mumenifurahisha sana na huu uchambuzi wenu😂😂 Tafadhali mkaribisheni mmoja wetu Kasmuel McOure aje awamwagie wisdom hapo studioni ... grts from Kenya😂❤🇰🇪🇰🇪
Kenya🇰🇪 shida ilianza na wababazz... Wanaiba deni za Wa kenya wote wananunua ma tx. Genzii hawapati ile meli ya relation na age groups zao.. MUBABAZ ANAVUKA NAYO NAYO.. 🎉🎉🎉😂😂😂😂❤
Hata Mimi ninaamini hivyo, najiuliza wabunge wa Azimio waliokuwa wapi kupinga hiyo Bill. Iwe isiwe walihongwa. Kwa mgawano tu wa viti vya ubunge kati ya UDA na Azimio kwanza ni VIGUMU Sana nchi kutawalika. Raila odinga bado alipaswa kuwa sehemu ya kuongoza aidha kuwa prime minister ili kuleta mahusiano ya usawa kama bunge lilivyo. Bila hivyo hii Nchi haitaweza kutawalika. Mwisho wa siku JESHI laweza kuchoka na kushika Nchi.
Hivi baba levo unafifikir wakenya wanaishi kwa uchawaMtu hadi ujenge nyumba kupitia uchawa,nyie endeleeni kumjaza ujinga mama,lkn ya.kenya ni Kama korona ya afrika,tusubiri muda utasema.Kariakoooooooooo!
Hello wasafi media, am one of the young people (GEN Z) who are fighting for justice and to stop corruption. The biggest problem in Kenya is corruption and injustice in kenya law Court and that's why we have risen to fight for our rights partyless, leaderless and tribeless and we don't fear death. Better die fighting for your rights and freedom than to be enslaved in your own country
Us Kenyan we don't need fake promises, we waring our mps and him seif but they didn't listen to us Kenyan... We are the one we put them there and the power it's within us people's
mimi ni mkenya. wabunge walichangia pakubwa kwenye maandamano haya lakini wengi wao walipitisha mswada kwa kuhofia siasa ijayo kumaanisha ata raisi alikua kitu kimoja na wabunge kwahivyo familia ni baba, baba akipoteza mwelekeo familia nzima ni rahisi kupoteza mwelekeo.
Sasa hata si fainance bill ,maana hatahawasemi.kwame hayo.wanamengineee kila kukicha waja na lipya mpaka watu wameanza kuchoka na washaanza kupungua kwenye maandamano maana sawa kila mtu silaa mkononi kilammoja anaprotect duka lake watu wamechoka na maandamano na kunawale wanao sema wametumiwa kwahio.msione twatataka hayo hatuyataki kabisa kabisa amani
Huku Kenya katiba lazima ifuatwe hatupendi ujinga na tamaa za wanasiasi 16th july maandamano yatafanyika Rambo 6 last blood comming soon big up baba LEVO from Eldoret
Let’s president do his job. He got the message and he will work on it. Anyone who will be a president will face the same. Allow Kenya to thrive it is on right direction. Kenya own and operates airline with its own airlines. Interest rates: Ghana - 29%; Kenya 13%. Depreciation: Ghana- 54% ; Kenya 34% Inflation rates: Ghana - 23%; 6.6%. Unemployment rates: Ghana- 14%; Kenya; 6.6%. Total Debt: Ghana- 83.6%; Kenya 690% So Kenya needs to do adjustment in the formation of Government and deals with Corruption. Taking loan with caution. CORRUPTION AND MISMANAGEMENT ARE ISSUES TO DEAL WITH IN KENYA CASE STUDY
Ilifaa mujue kiliomo ndani ya finance bill. Kisha ujue Roto propagated the finance bill to please the IMF . Aliambiwa mapema awachane na hii bill lkn hakusikia
Ruto dismissed the CS because of not showing the necessary skills to do something successfully not sacrificing them for his benefits, it was part of the reason of protesting also.
Haya mambo yangesemwa na nay wa mitego yangemake sense nyinyi machawa sijui kama mwaeza ongea negative kuhusu Samia,yakenya tuachieni wakenya nyinyi fateni umbea siasa ziliwashinda,tofauti zenu za Uganda ni m7 apishi wenzake lkn chama ni hicho hicho
Au samia mitano tena wakati kampeni bado hii haijakaa sawa ni kama uchuro. Waaache was ubarikiwe kampeni August 2025.je samia asipogombea tena inakuaja inakuwafitina
Ikitokea tz alooooh itaharibu nch ukitaka Kuja tizama Umati wawatu wenye shida na changamoto, Alison kuwa katibu wa ccm,na kila changamoto inaonesha serikali inelegant, niliogopa saana
Nyie hamjui siasa za kenya. Hamna kafara yoyote anatoa. They are incompetent leaders. Let them go. This is now the Ruto we voted for. Coming back to his senses
Mnataka muongelelee Kenya wakati nyinyi mmefichwa chini ya dera ya mama 😂😂😂Kwanza Wasanii wenyu A list wananyonyeshwa na mama ndio maaana hata hawako kwenye ma swala ya kuhamazisha jamii......sisi Juliani,Nameless,Nadia Mukami,Arrow boy,Khaligraph,octopizzo,willy paul,Otile brown,Bien,Savara,etc walikataa kununuliwa wakaamua kuhamazisha jamii hiyo ndo usanii imara
😂😂😂😂wasafi TV nimependa maoni yenyu Baba levo Leo yuko serious na kesi ya watu kuvuta tear. Gas a Tanzania wezangu sisi wakenya wwazuri sana ila tukichokeshwa tunakuwa wanyama
Edo hiyo ruto amefanya ni kionjo tuu.karti ya masharti yale tumempatia huyu mkora. Sasa tunataka atuambie pesa zile walikopa kama deni za nchi zilikopwa za nini na zilifanya nini. Ajibu hiyo. Bila hiyo audit ya national debt hakuna amani kenya kwa Ruto.
Nyie mmebaki kuwa CHAWA na nyinyi waandishi wa habari ndio mnafanya maisha ya Watz kuwa MAGUMU kwa kihongwa na kuucha ukweli na kukumbatia uongo na KUWA VYOMBO VYA HABARI VINAVYOSIFIA MAARAMIA. MNAJADILI YA WAKENYA YAKWENU JE!????😢😢
Dear Tz the functions of a president is to vetoe a bill to the parliament. So the president was championing for that Bill that was in the parliament to an extent of even paying 2million kshs to the greedy and corrupt mps so that it can be law. So even the president should go he's the big problem. Kumbuka samaski huanza kuoza kichwani. #rutomustgo!!!
Uongo, shida kubwa ni elimu huko Kwenyu TZ, vijana wavivu hata kusoma katiba ya nchi hawawezi, mkafungwa akili hamjui haki zenyu. Tulitishwa huku na ndugu zetu wakafa tukipigania kunyanyaswa na serikali tulio ipa kazi. Sisi hatutaki watendakazi ovyo.
We're Kenyans and Kenya is our business.
Excalty mkenya damu mie mtuulize wenyewe
Kumbuka Kenya pia ni east Africa,kuizungumzia ni kawaida tu ndugu,Kama mwanachama wa east africa😂😂😂
@@emmanuelmasanja6040 haja maanisha hamfai kuongelea kenya. anamaanisha tutaendelea na maandamano
nyinyi endeleeni kuongozwa na mtu ananyesha ikifka mwisho wa mwezi
@@SalimuMwashehemu😂😂 be nice
Karibisha mkenya Moja kwenye studio ndo aweze kueleza Kwa ndani kinacho endelea kenya
Ewaaaaaah
Kabixa
😂😂kweli pro wamlete
Hakika
Kunakipya..!! vyote mmevifanya Hadharani
kenya the pride of africa
Well Said ❤
🦁
Shida hapo ni elimu ya uwana habari na uchambuzi Amna. Munaongea tu kama ni jambo la kawaida. Baba levo nenda Shule Mdogo wangu. Kufutwa kwa mawaziri ni moja ya matakwa au ni msukumo wa Wakenya haswa Gen Z.... bado mna mabadiliko mengi tu yatafanywa. Kuweni Makini na mnacho Jadili. ❤🇰🇪❤🇹🇿❤ Gen z.....
Haswa kuna wabunge na bunge kuvunjwa na pesa ya umma iweke wazi ijulikane safari zao za ulaya walikuwa wanatumia ngapi .
Tutawasilimia msitukasirishe 😂😂😂😂😂😂
Very true
Kabisa Tanzania hakuna kitu mnajua kuhusu kenya mbwaaa nyinyi story na Kenya kaa mbali
Tutaongea saana, ila wachawi hapo ni WABUNGE, walipaswa kusimama na wananchi kuukataa basi. Serikali yenyewe inaleta tu mawazo hata km ni Mabaya halafu Bunge linapitisha tu 😢😢😢
Kwa kusaidia tu kaka Edo...kuondolewa kwa mawaziri ni miongoni mwa masharti ya GEN Z Wala sio kafara kwa watu wengine..cz bado Kuna mambo mengi anatakiwa kutekeleza kama masharti aliyopewa
Kati ya masharti 14 aliyopewa.
Kingine Rais RUTO anachokifanya ni sahihi. Kufanya hivyo ni kutekeleza matakwa ya wakenya na sio kutoa kafara.
Kenya the capital city of Africa 👊
Exactly
True everyone has acknowledged it even in Nigeria they're saying so .
Kenya the Giant of Africa, # Tanzania tafadhali tunzeni amani yenu
Sure
@@sarafinawanja8549yeah, ata Mimi nawaambia hivyo
I love this song very much ❤
Tanzania our Sister Country ❤ 💕 Love from Kenya! Good analysis 👍
#Tribeless
#Fearless
#Leaderless
#Theywillnotbelieve
One nation 🎉
💪
Hapo ni ukweli bro👏👏
Vile mnachambuwa mambo yetu, mngekua na ujasiri pia wa kuchambua mambo yenu tz pia ingekuwa sawa zaidi, Ila uoga mlionao ni zaidi
Mukiwa tayari mutuite tuandamane hko turekebishe Africa... Africa has to change
Asante Tanzania 2nahitaji kuwapa ajira mje kuwatoa ccm madarakani
karibu date 16
Mimi wa Tanzania na wakubali lakini mlimpoteza kiongozi Jp nilimkubali sana hapa kenya tunakandamizwa na hatuwezi kubali power belongs to us people💪💪
We love you our Tanzania brothers!!!! A lot of tanzanians are studying in kenya and they come back very Kenyanised. Kenyan education system created a freedom fighter hen- z. They were taken through fasihi full of liberation stories.
As alwys, the glass is greener on the next door. TZ to reach Kenya democracy and freedom right will take another 100 years
ata hio miaka 100 hawawez
Diversionary tactics....he is the problem, not the cabinet...liar, corrupt, rude, arrogant
Exactly the boss who want to control everything that's why he fired Attorney General just for nothing be as he said he doesn't consult him anything.
The cabinet too are like him no difference
All Cabinet Secretaries Are Corrupt Too Like Him....There is an Inside story There.
Kaz kuingelea kenya Tanzania ahaaaa
Tanzania, mpe MAKONDA NCHI!!! MIOZO kama ya kenya 🇰🇪 ipo Tanzania pia!!
Nawaonea Huruma sana Tatizo hamjui kilicho mbele yenu Sai wanawalaghai mbeleni Kila kitu kinabadilika 😂😂😢😅😊 Na Tanzania cdhani kama Kunakuwepo na Ma GEN Zzz...😂😂😂 Ona nchi za west Africa zimeshazinduka wanafwata mkondo kama wa Kenya #Nigeria🇳🇬 #Ghana🇬🇭#Malawi🎉#Zimbabwe🇿🇼 Na nyinginezo...😂😂🎉😂
@@FreeGod368 nani anaiweza?
Watangazaji bado wachanga wa tajriba ya siasa,mtafteni dudu baya anayo elimu ya siasa
Watanzania mumenifurahisha sana na huu uchambuzi wenu😂😂 Tafadhali mkaribisheni mmoja wetu Kasmuel McOure aje awamwagie wisdom hapo studioni ... grts from Kenya😂❤🇰🇪🇰🇪
Ya mama tozo yamewashinda mnaongelea ya wengne fagia kwako kwanza
Kabisa tuliambiwa umeme utashuka af kodi zamwisho wamwezi ndio zimeongezeka
Ruto must resign.
Nyie pumbavu angeleeni ya kwenu mme ng'ang'ania kenya kenya wenzenu wanajielewa nyinyi kazi kusifia sifia
Bro hio sio sawa jaribu kukomaa haujalazimishwa kuchangia mada
Nyii hamjui wanainchi walikua wamejaa sum mda mlefu Lilikua ni swala la mda tu
You are all debating events instead of actual reason which is being unconstitutional. Mifumo ndio rada watu wangu. Tufinye sana ma-nduguu
Kenya🇰🇪 shida ilianza na wababazz... Wanaiba deni za Wa kenya wote wananunua ma tx. Genzii hawapati ile meli ya relation na age groups zao.. MUBABAZ ANAVUKA NAYO NAYO.. 🎉🎉🎉😂😂😂😂❤
Mubabaazz response..Ati kaende kaende😂
Only kenya ndio kuzema East Africa
Kama mtaenda na direction hii wasafi tv itakuwa ni media yenye nguvu sana Africa
Afu kuna msanii anatunga album ya kusifia Rais aliyeko madarakani sema tz kila mtu ni chawa
Rais ndiye aliohonga wabunge wavote yes,..ruto must go
Hata Mimi ninaamini hivyo, najiuliza wabunge wa Azimio waliokuwa wapi kupinga hiyo Bill. Iwe isiwe walihongwa. Kwa mgawano tu wa viti vya ubunge kati ya UDA na Azimio kwanza ni VIGUMU Sana nchi kutawalika. Raila odinga bado alipaswa kuwa sehemu ya kuongoza aidha kuwa prime minister ili kuleta mahusiano ya usawa kama bunge lilivyo. Bila hivyo hii Nchi haitaweza kutawalika. Mwisho wa siku JESHI laweza kuchoka na kushika Nchi.
mama tozo must go
Kweli kbsaaa
Sio kafara shekhe ni masharti tuliyompea awatoe wote kazini
Hivi baba levo unafifikir wakenya wanaishi kwa uchawaMtu hadi ujenge nyumba kupitia uchawa,nyie endeleeni kumjaza ujinga mama,lkn ya.kenya ni Kama korona ya afrika,tusubiri muda utasema.Kariakoooooooooo!
Msemo alioutumia hapo ni kuwa ruto asitafute who's to blame huo ni msemo wa mtaani.
Ok IAM Kenya bana
Si sugu we know our rights , power belongs to the people, Baba levo kumbuka Kenya iko dunia nyingine 🤣🤣🤣
Hawa hawajui siasa zetu hapa kenya
Hello wasafi media, am one of the young people (GEN Z) who are fighting for justice and to stop corruption. The biggest problem in Kenya is corruption and injustice in kenya law Court and that's why we have risen to fight for our rights partyless, leaderless and tribeless and we don't fear death. Better die fighting for your rights and freedom than to be enslaved in your own country
Kenya hawamwagii maji ya kuwasha sheria hiyo haipo
#RutoMustGo
As Kenyans we say ruto must go
Nothing like that bwana ni g zee pls tafuteni mkenya mmoja tu awaelezeee yayeee
Us Kenyan we don't need fake promises, we waring our mps and him seif but they didn't listen to us Kenyan...
We are the one we put them there and the power it's within us people's
BIG MISTAKE NCHI JIRANI KUKURUPUKA NA KUONGELEA MAMBO YA NCHI NYENGINE PLEASE PLEASE PLEASE
mimi ni mkenya. wabunge walichangia pakubwa kwenye maandamano haya lakini wengi wao walipitisha mswada kwa kuhofia siasa ijayo kumaanisha ata raisi alikua kitu kimoja na wabunge kwahivyo familia ni baba, baba akipoteza mwelekeo familia nzima ni rahisi kupoteza mwelekeo.
La ruto ndie shinda yeye ndie hu control bunge chama chake kiko na wabunge wengi huyo ni mwizi, na ataenda , tuiteni tuwaeleze kunacho endelea
Nchi ikikosa mifumo mizuri tutaendelea kuwafaidisha watu wachache mnoo...kuna nchi zilikuwa ni jangwa leo hii wanatukopesha sijui tumekaaje hapa kwetu
Shinda ni raisi.Ruto must go
Sasa hata si fainance bill ,maana hatahawasemi.kwame hayo.wanamengineee kila kukicha waja na lipya mpaka watu wameanza kuchoka na washaanza kupungua kwenye maandamano maana sawa kila mtu silaa mkononi kilammoja anaprotect duka lake watu wamechoka na maandamano na kunawale wanao sema wametumiwa kwahio.msione twatataka hayo hatuyataki kabisa kabisa amani
Yenye ndio anawalipa wapitishe.
Huku Kenya katiba lazima ifuatwe hatupendi ujinga na tamaa za wanasiasi 16th july maandamano yatafanyika Rambo 6 last blood comming soon big up baba LEVO from Eldoret
Let’s president do his job. He got the message and he will work on it. Anyone who will be a president will face the same. Allow Kenya to thrive it is on right direction.
Kenya own and operates airline with its own airlines.
Interest rates: Ghana - 29%; Kenya 13%.
Depreciation: Ghana- 54% ; Kenya 34%
Inflation rates: Ghana - 23%; 6.6%.
Unemployment rates: Ghana- 14%; Kenya; 6.6%.
Total Debt: Ghana- 83.6%; Kenya 690%
So Kenya needs to do adjustment in the formation of Government and deals with Corruption. Taking loan with caution.
CORRUPTION AND MISMANAGEMENT ARE ISSUES TO DEAL WITH IN KENYA CASE STUDY
Hapo kwa mifumo ukweli mtupu. Afrika yetu Hoyeee!
Ruto must go
Angalieni mambo yenu mambo ya kenya hayawahusu kama mumeishiwa na maneno basi kila mtu aseme ya kwake ama huko kijijini kwenu
Ruto must go home
Andika kiswahili hawa majirani hawakuelewi 😅😅😂
Ruto lazima aende😂
Mambo ya ooooo Raisi awe wa milele wakati tunaona nchi ina kila kitu afu wananchi wake ni maskini haijakaa vizuri kabisa
Shida Iko Kwa rais Kwa nn ahonge wabunge wapitishe anavyotaka
Hawaoni hawa kabisa hawajui kabisa chote maskini
Ilifaa mujue kiliomo ndani ya finance bill. Kisha ujue Roto propagated the finance bill to please the IMF . Aliambiwa mapema awachane na hii bill lkn hakusikia
Ina maana Ruto yuko right. Wawakilishi wa Wananchi wameboronga so kuwasaudia wananchi is to fire cabinet.
We baba levo siasa za Kenya ujui kabisa
Ruto aliwa honga wabunge.Hayo hayakua maamuzi ya wabunge Ila ya ruto sababu alinunua uamuzi wao.
Justice for shadrach
Ya Ngoswe muachie Ngoswe mwenyewe na ukijadili ya watu utachelewa kufanya yko
Someni katiba ya Kenya ndipo mwelewe kwanini Ruto haezi ondoka mamlakani kwa sasa
Dj afro njoo ung'arie hawa😂😂
We are kenyans, kenya is our country
Wabunge na mawaziri Kenya ni tofauti/Huwezi kuwa mbunge Na Waziri wakati mmoja!Amewafuta mawaziri Bali Sio wabunge;3:09(dakika).
Ruto dismissed the CS because of not showing the necessary skills to do something successfully not sacrificing them for his benefits, it was part of the reason of protesting also.
Haya mambo yangesemwa na nay wa mitego yangemake sense nyinyi machawa sijui kama mwaeza ongea negative kuhusu Samia,yakenya tuachieni wakenya nyinyi fateni umbea siasa ziliwashinda,tofauti zenu za Uganda ni m7 apishi wenzake lkn chama ni hicho hicho
Washenzi hawa. Hawawezi kum discuss raisi wao,wanaogopa kutekwa, watuache sisi tuna karabati nchi yetu.
Nyie kazi kuchambua marais wa watu😂😂😂😂
Shida ya ruto haelewi yeye ndio kiongozi wa maandamano. Kila time akiongea, uwongo na hasira zinapanda. . He must Go
Mni alike studio nichangie mada. Hii mada inataka mkenya mwenyewe aeleze kilicho tukia
Tunatangulia mnafata tz mpo
baba leo wewe umeskiaa wapi, ww c chawa wa kwenye ccm kuna kenya ona moto ,kwenyu enyewe magumu hamsumbutu tetea watoi wenyu,mnaongopa CCM PANYA NINYI
Au samia mitano tena wakati kampeni bado hii haijakaa sawa ni kama uchuro.
Waaache was ubarikiwe kampeni August 2025.je samia asipogombea tena inakuaja inakuwafitina
Kujadili siasa za kenya sawa za bongo aaannh
😂😂😂😂 we kenya ni pasau kichwa hawa wote wanafunzi wa chekechea kina baba levo
Wananisinya sijui wanaongea nini bure kabisa😂@@baloz8974
We are not a imf and world bank puppets we kenyans fight for our rights, america is not a colony of Kenya
Ni Bunge kweli ila shinikizo linatoka Kwa Rais .
Ikitokea tz alooooh itaharibu nch ukitaka Kuja tizama Umati wawatu wenye shida na changamoto, Alison kuwa katibu wa ccm,na kila changamoto inaonesha serikali inelegant, niliogopa saana
Wewe washa ku speed up rmaneno sisi tuko na raisi ruto
Nyie hamjui siasa za kenya. Hamna kafara yoyote anatoa. They are incompetent leaders. Let them go. This is now the Ruto we voted for. Coming back to his senses
😂😂kutoa kafara ya Tz Ina maana tofauti ni ya Kenya...
Hongo ndugu zangu hongo ilitembea ndio mjadala upitishwe kwa hali na mali...kero kuu watu walikuwa washajuwa kinachoendelea.
Baba levo sio this time around it's this time round
shida y wabunge wenyew ndo hawa wanaopita bila kupingwa
unadhan hao wameletwa n wananchi
Mnataka muongelelee Kenya wakati nyinyi mmefichwa chini ya dera ya mama 😂😂😂Kwanza Wasanii wenyu A list wananyonyeshwa na mama ndio maaana hata hawako kwenye ma swala ya kuhamazisha jamii......sisi Juliani,Nameless,Nadia Mukami,Arrow boy,Khaligraph,octopizzo,willy paul,Otile brown,Bien,Savara,etc walikataa kununuliwa wakaamua kuhamazisha jamii hiyo ndo usanii imara
Wakenya sio ligi yenu watanzania
Muongee juu ya Bongo, Kenya hamuwezi
Yani kama ebo kichwa kikubwa ila akili cheche
SHIDA NI RUTOOOOOOO YAYEEEEEEE AMA MWAOGOPA KUONGEA 😂😂😂SISI WAKENYA HATUOVOPA ZAKAYO MUST GOOO
Chawa usiigiiliye kenya
Inaitwa spice FM not space 😂😂😂
😂😂😂😂wasafi TV nimependa maoni yenyu Baba levo Leo yuko serious na kesi ya watu kuvuta tear. Gas a Tanzania wezangu sisi wakenya wwazuri sana ila tukichokeshwa tunakuwa wanyama
Tumejifunza Nini kutoka Kenya Watanzania hatujazoea vuruğu Mungu ibariki Tanzania.
Edo hiyo ruto amefanya ni kionjo tuu.karti ya masharti yale tumempatia huyu mkora. Sasa tunataka atuambie pesa zile walikopa kama deni za nchi zilikopwa za nini na zilifanya nini. Ajibu hiyo. Bila hiyo audit ya national debt hakuna amani kenya kwa Ruto.
Nyie mmebaki kuwa CHAWA na nyinyi waandishi wa habari ndio mnafanya maisha ya Watz kuwa MAGUMU kwa kihongwa na kuucha ukweli na kukumbatia uongo na KUWA VYOMBO VYA HABARI VINAVYOSIFIA MAARAMIA. MNAJADILI YA WAKENYA YAKWENU JE!????😢😢
Dear Tz the functions of a president is to vetoe a bill to the parliament. So the president was championing for that Bill that was in the parliament to an extent of even paying 2million kshs to the greedy and corrupt mps so that it can be law. So even the president should go he's the big problem. Kumbuka samaski huanza kuoza kichwani. #rutomustgo!!!
Mkiwa tayari mtuite
Huyu Rais wao ni jamaa moja safi sana
Uongo, shida kubwa ni elimu huko Kwenyu TZ, vijana wavivu hata kusoma katiba ya nchi hawawezi, mkafungwa akili hamjui haki zenyu. Tulitishwa huku na ndugu zetu wakafa tukipigania kunyanyaswa na serikali tulio ipa kazi. Sisi hatutaki watendakazi ovyo.
Hio nikweli wanajishahao kuwa sirikali ya wainchi