WAZIRI AWESO AMPANDISHA CHEO MENEJA RUWASA SIMIYU JUKWAANI, AGAWA PESA ZAKE za MATUMIZI...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 พ.ค. 2023
  • WAZIRI AWESO AMPANDISHA CHEO MENEJA RUWASA SIMIYU JUKWAANI, AGAWA PESA ZAKE za MATUMIZI...
    Waziri wa Maji Jumaa Aweso leo wakati akizungumza na wananchi wa Mkoa wa Simiyu kwenye Hafla ya utiaji saini ujenzi wa mradi wa maji kutoka ziwa Victoria kwa ajili ya wananchi wa mkoa huo, amemtangaza rasmi mbele ya umati wa wananchi walioshiriki hafla hiyo Mhandisi Mariam Majala Meneja wa RUWASA Mkoa wa Simiyu kuwa Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Mkoa wa Simiyu.
    Mbali na huyo Waziri Aweso amemtangaza Meneja wa Mamlaka ya Maji Bariadi (BARUWASA) Mhandisi Musalika Masatu kuwa Meneja Ufundi wa Mamlaka hiyo, ambapo alisema kuwa wakati taratibu za kuundwa mamlaka hiyo ameamua kuwateua watu hao kutokana na utendaji kazi wao.
    Hata hivyo Waziri Awezo, aliamtua kutumia nafasi huyo kuanza kutoa zawadi mbalimbali ya pesa kwa watendaji wa Wizara yake, akiwemo katibu Mkuu wa Wizara, pamoja na Dereva wake.
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

ความคิดเห็น • 6

  • @elispiuselias1339

    Hongera sana nimependa, viongozi wanaojipambanua kama wewe ni wachache, tenda haki huwezi pendwa na wote

  • @shukranitv2971
    @shukranitv2971 ปีที่แล้ว +1

    Aweso Hana noooma ukifnya vizuri anakuinuaaa hapo happooo

  • @kazikazini1042
    @kazikazini1042 ปีที่แล้ว

    Huo mfuko wa koti la Jumaa kama vile kiwanda cha kuchapisha hela- haziishi

  • @jedidahbintidaudi8241

    Aweso anawatooa w/kazi wengine anaweka maengineer wake. hii nimetoka kuambiwa na mtu wandani kabisa ili wale pesa. Aweso anaongea mambo mengi maneneo megni mno maji hana analolifanya..tuko palepale..Aweso y9u must do better than this..your ministry is full of embezzlement and corruption..yu are not good..pple are crying day in day out sbu ya maji..those who are clapping are part of you. we want to see Mariam and her team doijng better than this..Simiu hatutapata maji wanaenda kuingiza pesa kwa mifuko yao hakuna kitu/ Tena Aweso ana pesa yake hpoo ni kuubiri tuu hapo nothinjg much