MWANANCHI AFUNGUKA MBELE YA WAZIRI "DAWASA WAMENIITIA POLISI BAADA YA KUDAI MAJI"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 21

  • @justardzelphine6526
    @justardzelphine6526 3 หลายเดือนก่อน +3

    Ndo maana wanawambia tuwe na katiba mpya! Bado mnawaambia hao mawaziri si atakupiga blabla anaondoka!??

  • @FortunataNguma
    @FortunataNguma 3 หลายเดือนก่อน +3

    Yani nchi hii kwa kweli .maji atupati hasa huku mbezi makabe .
    Ili tununue maji ya magari unit 15000 .huku ni mateso tunajiuliza haya magari sijui ni ya kwao watanzania tunamateso sana

  • @cnc_designertz9117
    @cnc_designertz9117 3 หลายเดือนก่อน +1

    hamna wezi kama watu wanaofanya kazi kwenye wizara ya majii...ni aibu kabisa..wahudumu wenyewe wanatamka maneno makali kama vile tunaomba maji bure kwao...

  • @dhireshrajput548
    @dhireshrajput548 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mashirika na Taasisi za Umma zilizotaifishwa na kubinafshishwa sasa zinatakiwa zirudi tena Serikalini na zinatakiwa ziorodheshwe kwenye Soko la Hisa kwa manufaa ya wote!

  • @dicksonmatulile1523
    @dicksonmatulile1523 2 หลายเดือนก่อน

    Mnafiki ww

  • @Mzalendo14
    @Mzalendo14 3 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu Jamaa kanikumbusha mbali sana. Nilibambikwa kesi kwamba NIMEWAZUIA WATU WA IDARA YA MAJI KUFANYA KAZI YAO. Nikawekwa ndani , case ikadumu Kwa miaka Mitano.

    • @MauaDumba
      @MauaDumba 3 หลายเดือนก่อน

      Shubh pole sanaa hii mambo ipoo

    • @Mzalendo14
      @Mzalendo14 3 หลายเดือนก่อน

      @@MauaDumba Nilikua nina Siku 3 tu tangu nimefika nyumbani. Kaka yangu alikua kama huyo Jamaa ( alikua akiwalalamikia Sana watu wa Maji ). Siku hiyo wakati wanakuja hakuwepo hivyo wakaamua kunikamata Mimi badala yake. Nilipigwa Sana pale kituo cha polisi mpaka kuzimia / nilivutwa korodani zangu. Walipomaliza wakanibambika kesi . Na nikawekwa mahabusu. NIMESAMEHE!

    • @jasonwatz7457
      @jasonwatz7457 2 หลายเดือนก่อน

      Usiwaache hiv hiv seek msaada wa kisheria​@@Mzalendo14

  • @mwalimumstaafu8529
    @mwalimumstaafu8529 3 หลายเดือนก่อน

    Mtihani miaka 63 ya uhuru maji bado changamoto. Sijui tumerogwa. Wafanyakazi wa serikali dawa ni kutumbua ukifuata utaratibu hatuendi. Awamu hii wanakula bata wanajua mama rahimu.

  • @sleifikhajjir262
    @sleifikhajjir262 3 หลายเดือนก่อน +1

    Zanzibar maji bure hadi raha

  • @STELLAMARCELY
    @STELLAMARCELY 3 หลายเดือนก่อน

    Mheshimiwa Aweso naomba na Kawe upaangalie wanatubambikia bili za maji

  • @emanuelpetro9591
    @emanuelpetro9591 3 หลายเดือนก่อน

    Milard Ayo na wewe umeshakuwa mhuni sasa taarifa gani hii haina muelekeo na mwisho

  • @josephatmathiasgalagalabuh786
    @josephatmathiasgalagalabuh786 3 หลายเดือนก่อน

    CEO DAWASA alikuwa LUHEMEJA TU

  • @TellaaxisTz
    @TellaaxisTz 3 หลายเดือนก่อน

    Maji ni uhai😮 #tellaaxistz

  • @hassanhancha1413
    @hassanhancha1413 3 หลายเดือนก่อน

    Aweso ni mtu huyu jamaa

  • @safiamussa9832
    @safiamussa9832 3 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂

  • @kwigemagabba2738
    @kwigemagabba2738 3 หลายเดือนก่อน

    Safi kabisa

  • @MonicaBenitomwalongo
    @MonicaBenitomwalongo 3 หลายเดือนก่อน

    Wapi iyo

  • @safiamussa9832
    @safiamussa9832 3 หลายเดือนก่อน

    Xxa nd nin ikii millard😢

  • @Isbjunior1
    @Isbjunior1 3 หลายเดือนก่อน

    ✍️