Part1_USHUHUDA:MAONO YA MBINGUNI NA KUZIMU KWA MCH.ABRAHAM YAKUBU WA NIGERIA ALIYEKUFA KWENYE AJALI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ส.ค. 2024
  • JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.Kama uko tayari kuchangia kila mwezi jiunge na magroup haya hapo chini na kama unataka kuchangia mara moja tu tumia namba ziko hapo chini :-
    1.JS01-Kuanzia Tsh.2,000 kila mwezi bonyeza link hii chat.whatsapp....
    2.JS02-Kuanzia Tsh.5,000 kila mwezi,bonyeza link hii chat.whatsapp....
    3.JS03-Kuanzia Tsh.10,000 kila mwezi bonyeza link hii chat.whatsapp....
    Namba za mawasiliano na kuchangia pesa ni: +255784074462 / 0766294335 jina ni Jacktan Msafiri
    #ShuhudaZaJacktanMsafiri #JacktanMsafiri #PromoverTV

ความคิดเห็น • 62

  • @zipporahmibei9007
    @zipporahmibei9007 2 ปีที่แล้ว +4

    Amen amen

  • @tatumluv6054
    @tatumluv6054 2 ปีที่แล้ว +3

    Amen Amen barikiweni sana Mtume na watumishi wa BWANA

  • @shukurumwinami4958
    @shukurumwinami4958 2 ปีที่แล้ว +1

    YESU KRISTO bado anaendelea kutuita na kututafuta sisi tuliopotea katika dhambi kwa kutumia gharama nyingi sana kupitia watumishi wake hawa. HIVYO usipojali pia siku hiyo hutakuwa na sababu ya kujitetea hakika. GOD HE IS CALLING you. Be blesed

  • @kasangagregory5747
    @kasangagregory5747 2 ปีที่แล้ว +2

    Jamani. Leteni na ushuhuda wa nyisaki, mzee kakobe, na mlw mwakasege

  • @lovenesswalter6650
    @lovenesswalter6650 2 ปีที่แล้ว +2

    Mbarikiwe

  • @kakawamashariki8978
    @kakawamashariki8978 2 ปีที่แล้ว +2

    Pongezi kwenu nyote kwa kutuandalia shuhuda hii ninapendezwa kuona hatua yenu ya ukuaji kwa shuhuda si tu ndani ya Tz bali Kenya,kongo na sasa Nigeria naamini itaendelea zaidi na zaidi. Kazi nzuri kwako mfasiri kwa utulivu na sauti yenye kipawa.

  • @veronicadavid4613
    @veronicadavid4613 2 ปีที่แล้ว +2

    Wow at last Abraham yakubu is in the country we give God all the glory

  • @janetisaac1084
    @janetisaac1084 2 ปีที่แล้ว +2

    Kaka jactan hongera kwa kazi nzuri,ubarikiwe Mungu akutunze,kaka natamani sana utuletee mtume meshaki wa ukweli ministry,yaani natamani nije ni muone,tunabarikiwa sana nahuduma yako

  • @abighaili1514
    @abighaili1514 2 ปีที่แล้ว +1

    Erike Mungu hakubariki na mtumishi wa Mungu ubarikiwe sana

  • @blessedlovedandfavoured4129
    @blessedlovedandfavoured4129 2 ปีที่แล้ว +3

    Hongera mtafsiri wetu... Barikiweni wote watumishi... Nego kazi nzuri... Na pia mwalimu Mkuu Jactan

  • @leahbhoke8718
    @leahbhoke8718 2 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa sana watumishi wa Mungu Nego na Mwalimu mkuu kazi yenu ni njema Bwana Yesu atawalipa 🔥🔥🔥🔥

  • @bazuriyaido6616
    @bazuriyaido6616 2 ปีที่แล้ว +2

    Amen

  • @miria659
    @miria659 2 ปีที่แล้ว +3

    Jactan Yani ulienda Mahalia nilizaliwa that's my hometown n also my village God bless promover Tv next time mkikuja Wacha tujue

  • @flm1530
    @flm1530 2 ปีที่แล้ว +3

    Ameeeenn servant of God

  • @lovenesswalter6650
    @lovenesswalter6650 2 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa mtafsiri upo vzr sana

  • @saramss7262
    @saramss7262 2 ปีที่แล้ว +1

    Namuona mtumishii Eric akitoa maelekezo kwa vitendo barikiwaa SANA mtumishii

  • @saramss7262
    @saramss7262 2 ปีที่แล้ว +1

    Mbarikiweeeeee MPKA basi Baba was Mbinguni Elishadai awalinde

  • @bonfacemwakapenda8857
    @bonfacemwakapenda8857 2 ปีที่แล้ว +5

    Mtumishi jacktan nasubiri kwa hamu siku mutakuwa na mtume mishark kutoka mlima wa ukweri ministries

  • @rosepeter8996
    @rosepeter8996 2 ปีที่แล้ว +1

    Sijachelewa kufwatilia.....here following ndio nipate kubarikiwa.nawasalimu wanukuu wetu bwana jacktan msafiri na wenzio wote🙏.barikiweni sana.

  • @marykilila8786
    @marykilila8786 2 ปีที่แล้ว +2

    Kweli kabisaaaa

  • @tamarali8325
    @tamarali8325 2 ปีที่แล้ว

    promover Mungu awatangulie kila mahali mnapoenda. Jacktan Barikiwa sana.

  • @joysshow9460
    @joysshow9460 2 ปีที่แล้ว +2

    Amen and amen

  • @josephmutemi7494
    @josephmutemi7494 2 ปีที่แล้ว

    Amen Amen Amen BWANA na atukunzwe Watumishi wa BWANA, BWANA awalinde

  • @josephmutemi7494
    @josephmutemi7494 2 ปีที่แล้ว

    Amen Amen Amen Hallelujah BWANA na apewe sifa , Yesu nizaidie niishi katika njia zako

  • @stanleygodwin4128
    @stanleygodwin4128 ปีที่แล้ว +1

    Sunday August 13 2023.
    I give my life to Jesus Christ.

  • @elizalaya7887
    @elizalaya7887 2 ปีที่แล้ว +1

    Mbarikiwe sana wote

  • @lydiamichael5509
    @lydiamichael5509 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen and Amen

  • @gordonomondi7161
    @gordonomondi7161 2 ปีที่แล้ว +3

    Then Why do we have the STUPIDITY of Clinging on earthly riches and fame plus greed ? we want to have all the best for us while on earth forgetting how temporary life is.

  • @queenesther2639
    @queenesther2639 2 ปีที่แล้ว

    MUNGU awabariki kwa kazi nzuri nchini Kny

  • @saramss7262
    @saramss7262 2 ปีที่แล้ว +1

    Mbarikiweeeeee MPKA basi Eric part4 Amna naisubiria kwa hamuu

  • @peninahkariuki4679
    @peninahkariuki4679 2 ปีที่แล้ว +1

    Ameen be blessed 🙌 🇰🇪

  • @isabellarkageha7707
    @isabellarkageha7707 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen 🙏

  • @MaggieG276
    @MaggieG276 2 ปีที่แล้ว +1

    Good job promover crew.

  • @tamarali8325
    @tamarali8325 2 ปีที่แล้ว

    God Have Mercy on Us. May God Protect You Man of God.

  • @asewamwanshinga8125
    @asewamwanshinga8125 2 ปีที่แล้ว +1

    Be blessed!

  • @queenesther2639
    @queenesther2639 2 ปีที่แล้ว +3

    Mkalimani asante lkn unatakiwa kushuhudia kama yy yaan akisema nilienda in ing na ww sema ivo ivo in Swahili... Yaan nilienda na ww unasema nilienda usiseme alienda

  • @MaggieG276
    @MaggieG276 2 ปีที่แล้ว +2

    Now i understand why the bible says you are in the world but not of the world.

  • @dephencemwalugha9045
    @dephencemwalugha9045 2 ปีที่แล้ว

    Best translator to God be the glory

  • @davidmaina797
    @davidmaina797 2 ปีที่แล้ว +1

    I'm listening

  • @leahenockmrina5381
    @leahenockmrina5381 2 ปีที่แล้ว

    Shalom watumishi wa Mungu

  • @favourndila8474
    @favourndila8474 2 ปีที่แล้ว

    Ameeen! glory and honor back to Jehovah God

  • @user-vc1hx7mw7c
    @user-vc1hx7mw7c ปีที่แล้ว

    Mungu turehemu

  • @BerylSeer1
    @BerylSeer1 ปีที่แล้ว

    Amen Yakuubuu

  • @richardkaluta8987
    @richardkaluta8987 2 ปีที่แล้ว +1

    Glory to God 🙏🙏

  • @fatumaminyeko1875
    @fatumaminyeko1875 2 ปีที่แล้ว

    Mungu nisaidie nisirudi nyuma amen amen aleluyah 🙏

  • @dorcasmachaly5702
    @dorcasmachaly5702 2 ปีที่แล้ว

    PROMOVER TV
    KAZI YENU HII NI NJEMA SANA SANA,MUNGU AWABARIKI, VIPINDI HIVI VYA SHUHUDA VINAJENGA NA KUTUFUNULIA SIRI ZA MBINGUNI, MUNGU ATUREHEMU NA KUTUPA NEEMA YA KUTII NA KUTENDEA KAZI NENO LAKE.
    AMEN

  • @williampetro647
    @williampetro647 ปีที่แล้ว +1

    Kanisa limelala !Mini kitaamsha kanisa ktk usingizi wake ? Yesu anakin's kweli lakini hatuna habari

  • @marianajoyce2640
    @marianajoyce2640 2 ปีที่แล้ว +2

    BWANA YESU ASIFIWE. NAPENDA SHUHUDA ZENU. SWALI LANGU MTAFANYAJE KUWAFIKIA WALE AMBAO HAWANA SMART PHONE.?

  • @marianaduncan6330
    @marianaduncan6330 2 ปีที่แล้ว +1

    Lord forgive me ,Nisamehe dhambi zangu ,eeh BWANA YESU KRISTO unirehemu

  • @muthurigakiirosemary4075
    @muthurigakiirosemary4075 2 ปีที่แล้ว +1

    Oh God help me to finish my race well

  • @berthabosco5122
    @berthabosco5122 2 ปีที่แล้ว

    Ameeeeeen

  • @peterkarimu00
    @peterkarimu00 2 ปีที่แล้ว +2

    Ninasikiliza ushuhuda huu kutokea Temeke DSM

  • @joysshow9460
    @joysshow9460 2 ปีที่แล้ว +2

    Mkienda live mue mnatuambia mapema at least tunaandamana pamoja.

    • @gospelmissionarytv1212
      @gospelmissionarytv1212 2 ปีที่แล้ว

      Unaeza finya kengele...so you may always be updated

    • @PromovertvTz
      @PromovertvTz  2 ปีที่แล้ว

      Naam, kweli kabisa unatakiwa kubonyeza kengele ya notification ili usipitwe

  • @mindenlightenment
    @mindenlightenment 2 ปีที่แล้ว

    Hallelujah 🙌🤍🤍🤍

  • @anitababyderickwasike7872
    @anitababyderickwasike7872 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen