Part1_USHUHUDA:MAONO YA MBINGU NA KUZIMU KWA LILIAN BLESSED WA KENYA ALIYEKUFA BAADA YA KUUGUA SANA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024
  • JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.Kama uko tayari kuchangia kila mwezi jiunge na magroup haya hapo chini na kama unataka kuchangia mara moja tu tumia namba ziko hapo chini :-
    1.JS01-Kuanzia Tsh.2,000 kila mwezi bonyeza link hii chat.whatsapp....
    2.JS02-Kuanzia Tsh.5,000 kila mwezi,bonyeza link hii chat.whatsapp....
    3.JS03-Kuanzia Tsh.10,000 kila mwezi bonyeza link hii chat.whatsapp....
    Namba za mawasiliano na kuchangia pesa ni: +255784074462 / 0766294335 jina ni Jacktan Msafiri
    #ShuhudaZaJacktanMsafiri #JacktanMsafiri #PromoverTV

ความคิดเห็น • 88

  • @davidwambura5915
    @davidwambura5915 2 ปีที่แล้ว +14

    Kazi nzuri jactan, tunamuomba amiel katekela aanze kurusha vipindi vyake kwa redio, tupo tayari kuchangia, tunamkaribisha 98.1wapo radio iliyopo Daressalaam mbenzi beach.

  • @irenek7280
    @irenek7280 2 ปีที่แล้ว +6

    Wokovu Si mchezo mungu nisaidie ...dada Lilian together na team promover mungu awabariki

  • @gracepeterofficial1326
    @gracepeterofficial1326 2 ปีที่แล้ว +6

    Mbarikiwe sana kwa kutuletea ushuhuda mzuri wa kubadilisha maisha yetu ili kwa hakika tupate kuuona ufalme wa Mungu ambao mna amani teletele ya milele. Asanteni sana🙏

  • @lilianmugyabuso8908
    @lilianmugyabuso8908 2 ปีที่แล้ว +4

    Mungu Umeruhusu nisikie huu ushuhuda ili nibadilike Eeh Mungu Nisaidie nirehemu na Unisaidie mbinguni sio mchezo ni utakatifu Mungi ni Mungu Wa haki

  • @jimmykazoya1749
    @jimmykazoya1749 2 ปีที่แล้ว +6

    Adam Mbaya alishuhudia juu ya fungu la kumi…. Mimi sijawahi kutoa
    Nimeiba sana fungu la kumi kwa ulevi na mambo mengi machafu…. Niombeeni… Nakataa kifungo cha ibilisi

  • @maggiejoel3125
    @maggiejoel3125 2 ปีที่แล้ว +3

    Promova TV Mungu awabariki sana sana. Sehemu ya 19 ya Mch. Amiel Katekela vp mbona hauonekani

    • @PromovertvTz
      @PromovertvTz  2 ปีที่แล้ว

      Itakuja, endelea kufuatilia

  • @tatumluv6054
    @tatumluv6054 2 ปีที่แล้ว +6

    Amen Amen barikiweni watumishi wa BWANA ushuhuda mzuri sana

  • @naomikalinga3042
    @naomikalinga3042 2 ปีที่แล้ว +2

    YESU naomba nisamehe kwa kuwasema watumishi wako vibaya nimejifunza kitu Asante jactan kwa ushuhuda huu

  • @naomiemasoka
    @naomiemasoka ปีที่แล้ว

    Mungu atusaidie sana maana kila jambo limesha funuliwa hakuna neno tutajieleza mbele za Bwana,Ee Bwana niokowe nafsi yangu nisifie dhambini🙏🙏🙏

  • @flm1530
    @flm1530 2 ปีที่แล้ว +5

    Ameen ......jactan ule ushuhuda wa Rachel mushala na zipphorah ulituahidi utakutana nao mwez april 22 lakini nmesubir mpk leo sjaona mtumish

    • @PromovertvTz
      @PromovertvTz  2 ปีที่แล้ว +2

      Ni kweli, tunaomba radhi tu kwa hilo halikufanikiwa,tutatoa ratiba nyingine, tafadhali endelea kufuatilia promover tv

  • @leahbhoke8718
    @leahbhoke8718 2 ปีที่แล้ว +4

    Oooh Hallelujah Hallelujah Yesu Ni Bwana Barikiweni watumishi wa Mungu 🔥🔥🔥🔥

  • @halidomary5708
    @halidomary5708 2 ปีที่แล้ว +3

    Bwana Yesu naomba Umbariki mtumishi wako ndugu Jactan kwa kazi hii anayoifanya ya kutuletea shuhuda zenye mafunuo ya Mungu..Mungu awabariki sana kwa kweli shuhuda za Promover TV zimenibadilisha sanaa

  • @lucykapinga369
    @lucykapinga369 2 ปีที่แล้ว +3

    Nabarikiwa Mimi Kusuka Rasta Hii nilikuwa nawakatalia Watu Coz nilijua tuu chukizo kwa MUNGU. Maana UnakuaKama Vile Wakala WAShetani .Na Herenii Hii Nimeona Mwenyewe Si njema Zina Maagano na Shetani YESU Atukomboe

  • @leahenockmrina5381
    @leahenockmrina5381 2 ปีที่แล้ว +2

    Ubarikiwe mtumishi Jactani Msafiri na mtumishi Lilian mie nafunguka vingi hasa la kusema watumishi wa Mungu natubu kwa usengenyaji huu Bwana Wetu Yesu Kristo unirehemu okoa nafsi yangu

  • @hermanemmanuel1953
    @hermanemmanuel1953 2 ปีที่แล้ว +4

    HALELUYAAAAAAA JACKTAN NA TIMU YOTE BARIKIWENI SANA NA DAMU YA YESU KRISTO WANAZARETI YA GALILAYA KWA KUTULETEA USHUHUDA HUU WA PEKEE WA MTUMISHI WA MUNGU LILIAN BLESSING HALELUYAAAAAA A, YALIKUA MAOMBI YANGU YANGU YA MUDA MREFU SANA WATU WAMSIKILIZE ZAIDI HUYU DADA YANGU KATIKA KRISTO YESU, NIMEFUNZWA MENGI SANA KWA HUU UJUMBE HALELUYAAAA AMINA.

  • @abighaili1514
    @abighaili1514 2 ปีที่แล้ว +2

    Amen Amen mtumishi wa Mungu kwa ushuhuda wako ni zuri unafuza unabadiri mimi binasi unaningusa unanibadirisha kiwango cha juu Asant Jacktan kwa kazi ya Mungu pamoja na Arike nawapenda kwa kazi zuri ya Mungu Asant sana

  • @berthabosco5122
    @berthabosco5122 2 ปีที่แล้ว +2

    Mbalikiwe sana MUNGU awajaze uweza na nguvu tuzidi kukua kiroho ameeeeeen

  • @user-me3ee4fu8w
    @user-me3ee4fu8w 2 ปีที่แล้ว +5

    Jactan welcome to Kenya we love u

  • @mariachuhila9518
    @mariachuhila9518 2 ปีที่แล้ว +4

    Nimekupenda dada Lilian umefanan na mheshimiwa spika wetu Tulia Ackson

  • @bernadetteshukuru9154
    @bernadetteshukuru9154 2 ปีที่แล้ว +3

    heee Mungu wangu uniurumiye kuusu zambi ya kuwasengenye wa tumishi wa Mungu

  • @sallymumia8425
    @sallymumia8425 2 ปีที่แล้ว +2

    Amen,amen,be blessed.,promover tv, we are thankful, and happy you,in Kenya,

  • @norahabuyeka9617
    @norahabuyeka9617 ปีที่แล้ว +2

    Thank God so much,for such revelation,

  • @janetjanet8669
    @janetjanet8669 2 ปีที่แล้ว +2

    Amina amina ubarikiwe sana na dada

  • @phaniceariviza4399
    @phaniceariviza4399 2 ปีที่แล้ว +7

    nilipotazama ushuhuda wa Lilian ulibadilisha mtazamo wangu kwa biblia,,,I saw it as a word of God not just a spiritual book

  • @bahatishitindi3842
    @bahatishitindi3842 2 ปีที่แล้ว +2

    Amina ubalikiwe mutumishi wa Mungu

  • @victoriashiko7172
    @victoriashiko7172 2 ปีที่แล้ว +3

    Kwa watu wengi Sasa wame choka na kudaganywa kabisa I watumishi wanadaganya watu

  • @fatumaminyeko1875
    @fatumaminyeko1875 2 ปีที่แล้ว +2

    Mungu nisamee NAMImi nasengenya watumishi wako mubarikiwe sana

  • @ezekieljob8679
    @ezekieljob8679 2 ปีที่แล้ว +2

    Barikiwa sana jactan na promover tv nimejifunza jambo kubwa sana

  • @happnesskitumbo5713
    @happnesskitumbo5713 2 ปีที่แล้ว +4

    Jacktan na team yako ya promover TV mnafanya kazi kubwa ya injili mnayo thawaku kubwa mno.

  • @dinairenge
    @dinairenge 9 หลายเดือนก่อน +1

    Amen

  • @rosekemuntonchabera5087
    @rosekemuntonchabera5087 ปีที่แล้ว +1

    Mungu anihurumie aki

  • @josephmutemi7494
    @josephmutemi7494 2 ปีที่แล้ว +1

    Ameeeeeeeeeen nawapata vyema BWANA awabariki sana watumishi

  • @silvestermutua5787
    @silvestermutua5787 2 ปีที่แล้ว +1

    Huo mstari wa 13 about giving sacrifice ni kitabu gani kifungu gani

  • @carolineosoro1817
    @carolineosoro1817 2 ปีที่แล้ว +1

    Nimebarikiwa

  • @rahelshoo4061
    @rahelshoo4061 2 ปีที่แล้ว +3

    Mpaka mwili umesisimuka MUNGU atusaidie

  • @charlesmutunga6952
    @charlesmutunga6952 10 หลายเดือนก่อน

    Isaiah 5:14 Therefore hell hath enlarged herself, and opened her mouth without measure: and their glory, and their multitude, and their pomp, and he that rejoiceth, shall descend into it.

  • @xbless1276
    @xbless1276 2 ปีที่แล้ว +1

    Please we need to understand can you speak English it will be a blessing for us. Thank you, my sister

  • @keziaranga6329
    @keziaranga6329 2 ปีที่แล้ว +2

    Huu ushuhuda nilipousikiliza Mara ya kwanza ulinibadilisha kabisa

  • @rosemarymsafiri3255
    @rosemarymsafiri3255 2 ปีที่แล้ว +4

    Ubarikiwe San Kaka yng jacktan🙏

  • @georgewiliam4026
    @georgewiliam4026 2 ปีที่แล้ว

    Amina dada ninakuelewa sana Mungu akubariki sana

  • @FrenckRobert-mi8kq
    @FrenckRobert-mi8kq 8 หลายเดือนก่อน

    Glory to God 🔥

  • @julianawanjala6495
    @julianawanjala6495 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwe sana Lilian blessed na promover tv

  • @shukurumwinami4958
    @shukurumwinami4958 2 ปีที่แล้ว +2

    AMEN AMEN

  • @dorisgesare7707
    @dorisgesare7707 ปีที่แล้ว +1

    Hallelujah

  • @millicentnaliaka
    @millicentnaliaka 2 ปีที่แล้ว +2

    Pamoja wapendwa

  • @IANA2030
    @IANA2030 2 ปีที่แล้ว +2

    Aaaah Busia,Blessing Otie?

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 2 ปีที่แล้ว +3

    Duuh nimefuatilia sana ila ninapata hofu mno,hata sijui nielezeje??

  • @makongofrancis5872
    @makongofrancis5872 ปีที่แล้ว

    Jemeni kira mtu anakuja na ushuhuda yake angalieni Sana kwasababu mtaamini uogo

  • @edwinlucy669
    @edwinlucy669 2 ปีที่แล้ว +1

    Jactan niliona ile part11 ya miaka 990 nauliza sasa hivi kuweka pesa kwa banki bado ni dhambi ama sababu mimi sitaki nikose kunyakulia

  • @abighaili1514
    @abighaili1514 2 ปีที่แล้ว +1

    Jacktan Asant sana kwakazi ya Mungu mimi natafuta part 2 ila sipati jamani hikowapi? Muhitume tafadhali

  • @petermkono6643
    @petermkono6643 2 ปีที่แล้ว

    God has something with us .esta and Lilian had something in common.glory to YHWH

  • @rhodamasunga7423
    @rhodamasunga7423 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante mtumishi jactan pia ushuhuda wa amieli katekela vp mbn kimya jamani mwendelezo plz

    • @PromovertvTz
      @PromovertvTz  2 ปีที่แล้ว

      Amen, mwendelezo utakuja hivi karibuni

  • @evangelistdanielsenyagwa4018
    @evangelistdanielsenyagwa4018 2 ปีที่แล้ว

    Jactani Mungu akubariki sana

  • @everadawilliam7466
    @everadawilliam7466 2 ปีที่แล้ว

    Barikiwa sana ndugu!!

  • @mutuapatrick8564
    @mutuapatrick8564 2 ปีที่แล้ว +1

    Ushuhuda mzuri

  • @charigrace5993
    @charigrace5993 2 ปีที่แล้ว

    Naomba nijuwe jinsi nitampata mchungaji Katekela

  • @lucykapinga369
    @lucykapinga369 2 ปีที่แล้ว +1

    Ufunuo Wa Yohana 20-11.......

  • @lucykapinga369
    @lucykapinga369 2 ปีที่แล้ว +1

    yeremia 4-30

  • @chrispinmdachi551
    @chrispinmdachi551 ปีที่แล้ว

    Mm

  • @pastorpetermageta6833
    @pastorpetermageta6833 2 ปีที่แล้ว +1

    MUNGU atakulipa

  • @nelsonsalumu3064
    @nelsonsalumu3064 2 ปีที่แล้ว

    Mbona part 2 na 3 zippo wapi?Jana niliangalia Party 2,Sasa natafuta party 3siioni

    • @flm1530
      @flm1530 2 ปีที่แล้ว

      Part three ni ya jacob ipo ww i search tu

  • @clarahmbala6611
    @clarahmbala6611 2 ปีที่แล้ว +2

    Nina swali nikusuka rasta ama pia nywele halisi ni dhambi

    • @gracelauzi9746
      @gracelauzi9746 2 ปีที่แล้ว

      Dada Clarah mbala kusuka yako ama rasita yote kama umeokoka kwa kumaanisha kutubu dhambi kwa kumaanisha lazima uacheykusuka yote Maa bibilia yako na yangu ina Sema USISUKE NYWELE haija Sema USISUKE BANDIA ila ya kwako ushuke noo Hausuki bas wachana wafunga kichwa bas

    • @clarahmbala6611
      @clarahmbala6611 2 ปีที่แล้ว

      @@gracelauzi9746 Na mtoto wangu nimfanyeje coz huwa namsuka nywele ila kwasasa niko saudia je anyolewe

    • @clarahmbala6611
      @clarahmbala6611 2 ปีที่แล้ว

      Naomba namba yako ya watsap plz

    • @gracelauzi9746
      @gracelauzi9746 2 ปีที่แล้ว

      @@clarahmbala6611 tuma yako Nita Kuja inbox yako

    • @marianaduncan6330
      @marianaduncan6330 2 ปีที่แล้ว

      ​@@clarahmbala6611 usimsuke mtoto Rasta Wala nywele bandia hata wewe mwenyewe pia Acha funga za kwako nywele za asili zichane tu na kuzibana basi,ukimsuka mtoto nywele bandia unamfungilia malango ya kuzimu,epuka hayo manywele bandia