Pt3_"Nilichoka kuishi nikajiua kwa sumu,nilichokiona kuzimu na mbinguni kinatisha"USHUHUDA WA MESHAK

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024
  • JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.Kama uko tayari kuwa mchangiaji jiunge kwenye group letu la TEAM PROMOVER SUPPORTERS kwa kubonyeza link hii chat.whatsapp....
    PIA UNAWEZA KUJIUNGA NA MAGROUP YETU MENGINE MAWILI AMBAYO SIYO LAZIMA KUCHANGIA BALI NI YA KUPATA SHUHUDA ZETU MPYA KILA SIKU NA KUJIFUNZA NENO LA MUNGU
    1.TZ PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
    2.KENYA PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
    Namba za mawasiliano na kuchangia sadaka ni: +255784074462 / +255766294335 / +254113844735 jina ni Jacktan Msafiri
    #ShuhudaZaJacktanMsafiri #JacktanMsafiri #PromoverTV

ความคิดเห็น • 148

  • @annkim2690
    @annkim2690 2 ปีที่แล้ว +16

    Amen bidii Ile natia jamani hata nikiwa Kwa gari naenda kazi Mimi ni wakutubu Tu jamani nakuuliza Yesu aniumbie moyo Safi dohii mbingu sio mchezo

  • @barakambaka2836
    @barakambaka2836 2 ปีที่แล้ว +6

    Bwana Yesu asifiwe, Nashukuru bwana Yesu kwa ufunuo huu, Tena Nashukuru mutumishi wa Mungu kwa ushuhuda huo libalikiwe jina la Yesu . To Promover TV may your boundaries be widen for standing up and shedding light to the world 🌎🌎. Thanks 🙏🙏🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @aminaally4163
    @aminaally4163 2 ปีที่แล้ว +3

    Nimeamini kabisa mtumishi wa Bwana Naomba MUNGU aniwezeshe kutembea katika njia yake Amen

  • @PastorJoshua_Njombe
    @PastorJoshua_Njombe 2 ปีที่แล้ว +10

    Mambo ya Rohoni ni mazito sana wewe Ambae umempokea Bwana Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yako msihi sana Roho mtakatifu akufundishe njia zake

  • @swinenanjala3175
    @swinenanjala3175 2 ปีที่แล้ว +3

    Barikiwa Sana mtumishi wamungu mimi nimebarikiwa n kuinuliwa naona kurekebisha mahali nimekosea mungu na pia kusonga mbele asante kwa huo ushuhuda amen🙏🇰🇪

  • @aishakilimba5938
    @aishakilimba5938 2 ปีที่แล้ว +7

    This testmon, made me cry 😭😭😭😭God bless you promover tv🙏🙏

  • @user-sp9ne5yk1x
    @user-sp9ne5yk1x 10 หลายเดือนก่อน +2

    Kweli mtumishi hii ni kithibitisha kwamba shuhuda zote ni za kweli ndio maana shuhuda nyingi kamahizi zinafanana. Barikiwa mtumishi. Endeleeni ili tujue haya na wakristo tukaze misuri kumfuata Kristo.

  • @AzAz-sy6zp
    @AzAz-sy6zp ปีที่แล้ว +2

    Ubarikiwe sana mtumishi wa mungu kwa mafundisho ama ushuhuda mungu akubariki sana mungu akubariki sana kwa ajili ya kazi ya mungu

    • @AzAz-sy6zp
      @AzAz-sy6zp ปีที่แล้ว +1

      U barikiwen mtmishi

  • @maria_mutondioriginal5
    @maria_mutondioriginal5 2 ปีที่แล้ว +5

    Amen nimepokea kwa jina la Yesu amen naomba Mungu akuinue juu zaidi na zaidi hadi ulimwengu mzima ujue na usikie huu ushuhuda amen na mimi nakubaliana na wewe mapambo yaliyo pitiliza si vema hasa sisi watu weusi wanawake hatujiamini kabisa 😢 Mungu atusamehe na atusaidie amen

    • @yungharry2204
      @yungharry2204 ปีที่แล้ว

      Pambo lolote haliruhusiwi elewa

    • @maria_mutondioriginal5
      @maria_mutondioriginal5 ปีที่แล้ว

      @@yungharry2204 acha hizo hizo gold kawekewa nani!? Husomi maandiko wewe

    • @yungharry2204
      @yungharry2204 ปีที่แล้ว

      Pambo lolote haliruhusiwi msikilize vizuri Yesu anayakataa hajasema yaliyopiliza amesema pambo lolote haliruhusiwi na tuachane navyo usibadili neno wa kupunguza soma pia maandiko kutoka 33:4-6 Yeremia 2:32 Ezekiel I 16:13-16 1Petro 3:3-4 1Timotheo 2:2-10 Yeremia 4:30. Isaya 3:24 Mithali 6:25 1Yohana 7:16 2 samweli 1:24

    • @maria_mutondioriginal5
      @maria_mutondioriginal5 ปีที่แล้ว

      @@yungharry2204 si kweli Yesu hakuongelea mapambo mission yake ilikua ni kumuokoa mwadamu. Na ukisoma agano la kale linasema wanawake watajipamba kwa Vito na katani safi na hata yakobo alivyoenda kumuoa Rebecca alipeleka nguo na Vito vya thamani mwanamke amezaliwa kujipamba na sema hutakiwi kuzidisha.

    • @yungharry2204
      @yungharry2204 ปีที่แล้ว

      @@maria_mutondioriginal5 je yakobo hakukemea hayo mapambo na kuita miungu je Yesu sio neno la Mungu.?? Je kwani yeye si Mungu Je maneno yake ni ya uongo?? usitetee dhambi Yesu hataki kubadili uumbaji wake kwa plastic surgery iwe mapambo kusuka bali kuthamini miili yetu kwa utakatifu heshima kwa maana miili yetu ni hekalu la Roho mtakatifu atakayeliharibu ataangamizwa nimeweka maandiko yanayothibitisha ukweli juu ya hilo swali kama nakuambia ukweli mapambo make up uvaaji mbaya kusuka high heels na mali zote za shetani tujitenge navyo kabisa Yesu hataruhusu kabisa wala mbingu hata kama unamtumkia Mungu kwa sababu unajiambatannisha na mali za shetani mfano mapambo na vinginevyo Je neno halisemi tujitenge na dunia ???? Tuwe watakatifu kimwili na kiroho Roho mtakatifu hawezi kumruhusu mtu ajipambe kwa hivyo vitu au kutumia vipodozi ambavyo vinabadili asili ya mtu na zenye mambo mabaya Roho wa Mungu ni haki na msafi ukifa na hizo mapambo zinamabtanishwa na Roho yako na utashindwa kuingia langoni LA mbingu kwa sababu umeajiambatanisha na mali ya shetani na mambo Mungu ameyakataza unaona kabisa anayakemea na kuyakataza na Yesu kuyakataza pasipo vigugumizi unatetea matumizi yake na kusema sio kupitiliza

  • @owenomwanawayesu6961
    @owenomwanawayesu6961 2 ปีที่แล้ว +2

    Ushuhuda wa ukweli kabisa ingawa ni wa kutisha.Yamshukuru YESU Kristo kwa Promover Tv…Tanzania ni nchi imebarikiwa sana…

  • @lydiamichael5509
    @lydiamichael5509 2 ปีที่แล้ว +2

    Hakika Jima la Yesu kristo aliye hai lizidi kuhimidiwa..nazidi kujifunza kila ushuhuda..barikiweni sana mtumishi pamoja na promover tv

  • @re.emmanuelmdoe3345
    @re.emmanuelmdoe3345 ปีที่แล้ว +3

    Ubarikiwe wote! Mtoa ushuhuda!

  • @Mjakazisara55
    @Mjakazisara55 2 ปีที่แล้ว +5

    😥😥 Yesu atusaidie sis wenyewehatuwezi tunapenda sana tuweze kufuata sheria zake na yote tunayofunuliwa

  • @IbrahimMatofali
    @IbrahimMatofali ปีที่แล้ว +1

    Usjuhuda huu umenijenga yesu akubarki mtoa shuhuda na promover yesu awabarik sana

  • @sarahkeivaly3351
    @sarahkeivaly3351 2 ปีที่แล้ว +2

    Msimuliaji yuko vizuri sana, Jactani Msafiri leo amerahisishiwa kazi ya kuuliza maswali

  • @uswadipanja7573
    @uswadipanja7573 2 ปีที่แล้ว +4

    Mungu wetu Asante kwakumuwezesha mtumishi wako ili wengi tupone kwa ushuhuda huu amina

  • @angelalaizer3895
    @angelalaizer3895 2 ปีที่แล้ว +4

    Shuhudia yote ili Tupone kwa wanaotaka kupona AMEN. Mi naamini yote kabisa hakuna.uongo hapo.

  • @josephmutemi7494
    @josephmutemi7494 2 ปีที่แล้ว +2

    Hallelujah BWANA YESU KRISTO apewe sifa

  • @jamilajosephat917
    @jamilajosephat917 2 ปีที่แล้ว +2

    MUNGU awabariki sana kwa mafunuo, naomba kuuliza hata kufunga makonga ni dhambi?

  • @re.emmanuelmdoe3345
    @re.emmanuelmdoe3345 ปีที่แล้ว +1

    Namshukuru Mungu kwaajili Yako,
    Ninaomba namba Yako Mtumishi wa Mungu uliyeshuhudia

  • @jacksonmayuwe3334
    @jacksonmayuwe3334 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe mtumishi ushuuda mzuri San

  • @matthieulugerero9355
    @matthieulugerero9355 2 ปีที่แล้ว +2

    Shuhuda mzuri sana! Bwana awabariki sana watumishi wa Mungu

  • @user-gv3si2mv3l
    @user-gv3si2mv3l ปีที่แล้ว +2

    Kufyonzwa sumu pastor chris aliwahi sema yesu alimuita nyoka afyonze sumu yote ndani ya kijana mmoja NA nyoka akaifyonza alikuw kaumwa NA nyoka

  • @abduelselemani4667
    @abduelselemani4667 ปีที่แล้ว +1

    Kwa kweli huu ushuhuda umenibariki sana na kufanya nijue yale ambayo sikuyajua, BWANA Yesu awabariki sana; mtoa ushuhuda na watumishi wa Promover tv mnao wezesha injili kuhubiriwa na kuenea kupitia shuhuda za watumishi mbalimbali

  • @daudijacob7377
    @daudijacob7377 ปีที่แล้ว +1

    Nina la Bwana lizid libarikiwe milele Amina

  • @letisiabudabya4030
    @letisiabudabya4030 2 ปีที่แล้ว +2

    Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu Kwa kukubali kutumika Kwa Bwana Yesu kristo asifiwe milele.

  • @sharnelluvinzu5090
    @sharnelluvinzu5090 2 ปีที่แล้ว +4

    Hii habari ya mpira pia evang Funmilayo wa Nigeria alisema wakati alipokuwa anamtikia Shetani walikaa kikao na wakaleta mpira duniani ili kuwapoteza watu , mpira ni Antichrist

  • @mindenlightenment
    @mindenlightenment 2 ปีที่แล้ว +4

    Your testimonies are lives changing

  • @catenzoka2003
    @catenzoka2003 2 ปีที่แล้ว +2

    Yesu safari ni milima na mabonde tusaidie kukaa katika utiifu utakatifu na katika utakatifu pamoja na neno Lako.

  • @anngrace522
    @anngrace522 2 ปีที่แล้ว +2

    Ubarikiwe Jactan na wenzako wote ,ubarikiwe mtumishi mtoa ushuhuda .May the LORD bless all of you and keep you on the narrow road to heaven.We appreciate your hard work to bring us all these testimonies. Kazi yenu ni njema.

  • @geitandelwa299
    @geitandelwa299 10 หลายเดือนก่อน

    Yes huu ushuuda nimeuelewa sana nimebeba dhambi zangu hapa na MUNGU ANISAIDIE KUACHA DHAMBI MAANA HAZINA FAIDA ZAIDI NI MATESO DUNIANI NA JEHANAMU MILELE

  • @salomekemunto1373
    @salomekemunto1373 2 ปีที่แล้ว +2

    AMINA AMINA Mchungaji, barikiwa Sana.

  • @sarahkeivaly3351
    @sarahkeivaly3351 2 ปีที่แล้ว +10

    Ushuhuda wa Mtumishi wa Mungu huyu ni ya kweli kabisa!!
    Mm binafsi ushuhuda wake nimeuelewa na nimeuamini kwa asilimia 100.
    Kufarijiwa baada ya dhiki,
    Kufutwa machozi, kupumzika baada ya vita kuu dhidi ya dhambi.
    Duniani tu wapitaji na wasafiri:
    Baada ya dhiki ni Faraja:
    Kufurahi kwetu Sisi ni ktk BWANA tu "yaani ni ndani ya Neno lake tu, hatupaswi kufurahi nje ya mipaka ya Neno la Mungu.
    Kuvikwa Taji mbinguni sio kitu cha mchezo, ni kwa wale tu walioushinda ulimwengu huu na tamaa zake, na anasa zake"
    EE MWENYEZI MUNGU UTUSAIDIE

  • @josephinezawadi5773
    @josephinezawadi5773 2 ปีที่แล้ว +1

    Nashukuru sana mtumishi wa Mungu mana hata mimi nmebarikiwa sana,Mwenyezi Mungu akuzidishie nema kuu

  • @florencemueni1183
    @florencemueni1183 2 ปีที่แล้ว +1

    I believe this massage Jesus Christ thank u for revealing what is hidden ad the scheme of the devil God bless promover tv,,Amen

  • @yungharry2204
    @yungharry2204 2 ปีที่แล้ว +2

    Yesu atusamehe atusaidie tunatubu dhambi zote atupe rehema na neema ya utakatifu hadi milele tulifuate neno nakumpenda hatuwezi wenyewe

  • @queenesther2639
    @queenesther2639 2 ปีที่แล้ว +3

    Ushuhuda huu ni kweli tupu maana hata shuhuda za akina Aston na Rachel vinaendana kabisa na biblia inasema maneno ya watu 2 au 3 unabii umetimia...

  • @user-gv3si2mv3l
    @user-gv3si2mv3l ปีที่แล้ว +1

    Amina mchungaji mafyeko

  • @mayalapaul5658
    @mayalapaul5658 2 ปีที่แล้ว +2

    Ubarikiwe mtumishi kwa kuweka kweli

  • @ebenezerchurchsupremetv9490
    @ebenezerchurchsupremetv9490 2 ปีที่แล้ว +1

    Yesu kristo ana huruma Sana mpaka anaamua kutuma watumishi Wake kila wakati.

  • @mariahyera3737
    @mariahyera3737 2 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu. Kaka Jactani ninaomba namba ya mtumishi huyu.

  • @sophiamakani6133
    @sophiamakani6133 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen and Amen Asanteni sana kwa mafundisho mazuri Mungu awabariki watumishi wa Mungu 🙏

  • @frankinspired6486
    @frankinspired6486 ปีที่แล้ว +1

    Ushuhuda huu watia moyo sana.
    Naomba kusaidiwa kwa hili swali.. Wanaume na wanawake Wamasai wote uvaa mashuka/leso, hawana suruali waume. Sasa hao wote wataukumiwa ama?
    Na wenye huvaa pete za harusi na zenginezo, je wao pamoja na wenye heleni and bangili wataukumiwa?

  • @re.emmanuelmdoe3345
    @re.emmanuelmdoe3345 ปีที่แล้ว +1

    Ahsante 🔥

  • @rehemasuleiman7469
    @rehemasuleiman7469 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubariki Mtumishi,kwa ushuhuda mzuri, kwa kweli nimebarikiwa na nimepata kitu kikubwa sana

    • @sabrinalazaro950
      @sabrinalazaro950 ปีที่แล้ว

      Naomba niulize hata kusuka nywele za mkono ni dhambi?

  • @PastorJoshua_Njombe
    @PastorJoshua_Njombe 2 ปีที่แล้ว +2

    Mungu amesema tufurahi katika Bwana tukisemezana Kwa nyimbo za Tenzi na zaburi na Nyimbo za Rohoni Waefeso 5:19, wakolosai 3:16

    • @sarahkeivaly3351
      @sarahkeivaly3351 2 ปีที่แล้ว +1

      Amen mtumishi wa Mungu umenikumbusha jambo la msingi sana! 'Kusemezana kwa nyimbo za tenzi za rohoni na zaburi na nyimbo za Rohoni " Ni Upendo Mkuu namna gani aliotupa baba ya kwamba tuitwe wana wa Mungu, na ndivyo tulivyo - Yohana 1:12. Upendo wa Kristo na utawale ndani ya mioyo yetu, tukipendana sisi kwa sisi, ili ulimwengu utambue kwmb sisi ni wanafunzi wa Yesu. Yohn 17.

  • @monicamafenyi8358
    @monicamafenyi8358 2 ปีที่แล้ว +2

    Nimefunuliwa mengi saana kutokana na ushuhuda,kaka Jacton na kaka msimliaji mbarikiwe saana

  • @re.emmanuelmdoe3345
    @re.emmanuelmdoe3345 ปีที่แล้ว +1

    Ushuhuda wako naufananisha na Mtumishi Moja niliyesikia, anaitwa-Maghret

  • @stanleywanyembi6915
    @stanleywanyembi6915 2 ปีที่แล้ว +1

    It's true I heard it with Rev Emmanuel Twagirimana , 7days in heaven...

  • @angelibrahim5539
    @angelibrahim5539 2 ปีที่แล้ว +2

    Yesu wewe ndoo una nijua nirivo

  • @antoinettendayizeye5884
    @antoinettendayizeye5884 2 ปีที่แล้ว +1

    Amina asante kwa shuhuda
    Mubarikiwe tunashukuru

  • @lilymwashumbe4890
    @lilymwashumbe4890 9 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki .Nina swali je,Yesu Kristo alikuambia mwanamke kuwa mchungaji ni dhambi au si dhambi?

  • @idrisashaban5671
    @idrisashaban5671 ปีที่แล้ว

    asante mtumishi pamoja na promover tv

  • @phidramalaika8232
    @phidramalaika8232 2 ปีที่แล้ว +2

    Ameni amen hakika Ukuu wa Mungu hauna mwishoo

  • @evangeliststanleykibwobi6441
    @evangeliststanleykibwobi6441 2 ปีที่แล้ว +2

    Mafunuo makuu Sana ya kutufundisha kuzidi kushika Imani kwake yesu kristo. Na nivizuri kujua ya kwamba yesu kristo ndio mungu

  • @johnmkama8074
    @johnmkama8074 2 ปีที่แล้ว +1

    Mengi ni sawa kabisa ukiyakuta ulimwengu wa roho unakutana na mengi kama haya kuwa ibadanyingi ni zakutunga tu hazina uwepo wa Mungu ndani yake

  • @sabrinalazaro950
    @sabrinalazaro950 ปีที่แล้ว +2

    Naomba niulize hata kusuka nywele yako harisi ni dhambi? Yaani kusuka pasipo kuweka nywele za bandia.

  • @PastorJoshua_Njombe
    @PastorJoshua_Njombe 2 ปีที่แล้ว +2

    Nalimuona mchungaji mmoja katika maono niliona kanisani kwake kwenye chumba chake Cha siri walitoka mazezeta wawili wakiwa wamebebwa na mashemansi... Naliogopa Sana, Mungu atupe macho ya Rohoni

  • @jacksonmayuwe3334
    @jacksonmayuwe3334 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe mtumishi

  • @leahenockmrina5381
    @leahenockmrina5381 2 ปีที่แล้ว +2

    Amen

  • @marianaduncan6330
    @marianaduncan6330 2 ปีที่แล้ว +1

    Utukufu na heshima ni Kwa BWANA YESU KRISTO milele na milele

  • @estermshabaha6920
    @estermshabaha6920 2 ปีที่แล้ว +1

    Naomba no ya huyu muchungaji anieleze kwa habari ya kufunika kichwa maana bado Kuna utata kwangu

  • @optimamarenda7082
    @optimamarenda7082 2 ปีที่แล้ว +1

    Nimeupeenda ushuhuda huu
    Unamafundisho mengi
    Mazuri .

  • @PastorJoshua_Njombe
    @PastorJoshua_Njombe 2 ปีที่แล้ว +1

    Roho wa Bwana amenishukia wakati huyo mtumishi anajibu swali Hilo la alivyomuuliza Mungu kwann mapambo ni dhambi jibu alilomjibu Yesu kuwa hafurahishwi maana ni kama wanamkosoa Mungu Kwa uumbaji... Jamani Mungu anafurahishwa kukuona jinsi ulivyo

    • @sarahkeivaly3351
      @sarahkeivaly3351 2 ปีที่แล้ว

      Mungu amesema na sisi live kupitia kinywa cha mtumishi wake huyu.
      Roho wa BWANA yuko juu yake kwa hakika!!
      Na maswali yote ameyajibu kiukamilifu kabisa:

  • @owenomwanawayesu6961
    @owenomwanawayesu6961 2 ปีที่แล้ว +1

    YESU Kristo nisaidie na wengi tulio dhaifu…

  • @leahenockmrina5381
    @leahenockmrina5381 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen
    Asanteni sana

  • @rehemaabinelynyagawa2878
    @rehemaabinelynyagawa2878 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu afanye kitu kwenye maisha yangu

  • @theresiakasandatedi5341
    @theresiakasandatedi5341 2 ปีที่แล้ว +1

    Good fellow your blessed by God

  • @queenesther2639
    @queenesther2639 2 ปีที่แล้ว +1

    Nimesambaza hadi nahisi camon 17 yangu kuelemewa

    • @PromovertvTz
      @PromovertvTz  2 ปีที่แล้ว

      Ubarikiwe sana sana kwa hilo

  • @davidwambura5915
    @davidwambura5915 2 ปีที่แล้ว +2

    Huu ushuhuda ni mkubwa Sana.

  • @elizabethmuthike9623
    @elizabethmuthike9623 2 ปีที่แล้ว +1

    Jamani ili neno LA kusonga nalifanunuliwe sana ilitujue nikwa wanaume tu ama pia ata kwa wanawake pia

  • @happybello4635
    @happybello4635 11 หลายเดือนก่อน

    Mungu akutunze

  • @Lighthopetv1
    @Lighthopetv1 2 ปีที่แล้ว +1

    Yesu Kristo atuweze sote kabisa

  • @mariamyinga2141
    @mariamyinga2141 2 ปีที่แล้ว +1

    Watumishi wa Mungu mbarikiwe kwa kutuletea shuhuda hizi mimi natamani ningekua napata audio mara nyingi nikishare kwenye groups watu hawaangalii audio ni lahisi

  • @nickmanmwendwa7901
    @nickmanmwendwa7901 2 ปีที่แล้ว +1

    amina amina

  • @annkim2690
    @annkim2690 2 ปีที่แล้ว +1

    Jactan ubarikiwe kweli haya Mambo yalitokea 2013 naumeweza kutuletea sijui Kama atajaribu Kula sumu tena

  • @tumubaraka6686
    @tumubaraka6686 ปีที่แล้ว +1

    Huyu alitushuhudia kidato cha Tano tarime

  • @lovenesswalter6650
    @lovenesswalter6650 2 ปีที่แล้ว

    Kusuka ni dhambi aseh asante kwa ujumbe huu wale mlio nibishia juu ya kusuka huu ujumbe wenu

    • @daudijacob7377
      @daudijacob7377 ปีที่แล้ว

      Naamin huu ushuhuda 100 ya 100 umetoka Kwa Yesu wmana wa Mungu Alie juu Mungu tufumbue macho tuache kusikiliza udanganyifu wa mapepo ambayo yanavunja moto shuhuda Kam izi amina

  • @carolinenkatha8485
    @carolinenkatha8485 2 ปีที่แล้ว +1

    Glory be to God almighty

  • @happykajeli5453
    @happykajeli5453 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante ubarikiwe

  • @karisaasnath2833
    @karisaasnath2833 2 ปีที่แล้ว +1

    Kwa nguvu zetu hatuwezi,namba mungu atusamehe,Kwa jina la yesu.nauliza ni vipi kuhusu siasa?

  • @mwinzilavincent3774
    @mwinzilavincent3774 ปีที่แล้ว +1

    Hi Mtumishi.. Kwa mjibu wa bibilia watu ci wata ukumiwa siku ya mwisho. kwa biblia wapi inaonyesha watu wanaukumiwa saa hii.. ata shetani bado kuukumiwa na malaika wake

  • @queenesther2639
    @queenesther2639 2 ปีที่แล้ว +1

    Ooh asante kwa namba

  • @highzacknnko9685
    @highzacknnko9685 2 ปีที่แล้ว +1

    Yesu kristo nisaidie nimalize mwendo salama
    1. Michael jackson alipita
    2. Steven kanumba alipita
    3. Princess diana alipita
    4. Bob marley alipita
    6. Whitney houstone alipita
    7.tupac alipita
    8. Diego marodona alipita
    Yesu nisaidie nimalize mwendo salama

  • @marymwapiya1274
    @marymwapiya1274 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen 🙏 🙏

  • @rosemachocho5680
    @rosemachocho5680 ปีที่แล้ว

    Hki mungu ni mwema i cry mungu atusamee kabisa

    • @rosemachocho5680
      @rosemachocho5680 ปีที่แล้ว

      Actually I really cried but I thank God because I learn alot from this preachings

  • @fetykhassimu4775
    @fetykhassimu4775 2 ปีที่แล้ว +2

    Jesus is true son of God

  • @annkim2690
    @annkim2690 2 ปีที่แล้ว +1

    Andika kitabu usiendelee kusahau halafu yote ulio yasahau ufanye ukumbuke uje tena usimulie

  • @godisable2098
    @godisable2098 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu alimusamehejee kabla alikuwa akiji uwa hata kama alilomba toba kabla haja fariki. Biblia inasema mutu asijiuwe.d

    • @joankaranja6210
      @joankaranja6210 2 ปีที่แล้ว

      Naomba nikujibu.Baba wa Mbinguni ni mwingi wa rehema na msamaha.Tena akili zake hazichunguziki. Alisamehe kahaba na hivi uasherati pia ni dhambi.Sisi tulio Hai tuna nafasi ya kutengeneza hivi ache tuishi maisha takatifu tumpendeze Muumba wetu.Barikiwa Sana Mtumishi wa Bwana.

    • @user-gv3si2mv3l
      @user-gv3si2mv3l ปีที่แล้ว

      ​@@joankaranja6210akili za Mungu hazichunguziki mawazo yake sio mawazo wetu

  • @anordlaurent8751
    @anordlaurent8751 2 ปีที่แล้ว +1

    Jaman vipi kuhusu Wasabato sijayaonapo kabisa shuhuda kuwahusu.

    • @mwigarleysaid5406
      @mwigarleysaid5406 2 ปีที่แล้ว

      Fuatilia ushuhuda wa Moses lushiku utapata ujumbe kuhusu Sabato na mashahidi wa Jehovah

    • @elleng5227
      @elleng5227 ปีที่แล้ว

      Wasabato kwanza hawaamini kwamba kuna kuzimu sasahv, yan wale wame simplify wokovu kiasi kwamba wanaamini ukifa unalala tuu mle kaburini mpaka siku ya ufufuo ndio unachomwa tuu kuda kadhaa basi inaisha hyoo..Sasa Mungu haongeagi na wasiomuamini

  • @lovenesswalter6650
    @lovenesswalter6650 2 ปีที่แล้ว

    @therezia Joseph kusuka nywele ni dhambi

  • @jemk6098
    @jemk6098 ปีที่แล้ว

    Prophet Java wears earrings and plaits his hair yet he is a prophet. May they repent

  • @rabecamapunda6389
    @rabecamapunda6389 8 หลายเดือนก่อน

    Naomba namba za huyu mtumishi jamani

  • @queenesther2639
    @queenesther2639 2 ปีที่แล้ว +1

    Tunaomba number yk

  • @geoffreynyambane8235
    @geoffreynyambane8235 2 ปีที่แล้ว

    Samahan kunamahali cjakuelewa pia mwanamke kusuka kwa nyele yake tu mwenye bila kuchanganya n dhmbi pia?

  • @angelibrahim5539
    @angelibrahim5539 2 ปีที่แล้ว +1

    Hata makongo

  • @melesianageorge2012
    @melesianageorge2012 2 ปีที่แล้ว

    Amen ubarikiwe sana mtumishi,apo kwenye kusuka nywele,ata za asili kusuka ni dhambi ?au kusuka lasta tu,

    • @rahelpaul3079
      @rahelpaul3079 2 ปีที่แล้ว +2

      Vyote havitakiwi kuweka dawa na kusuka Rasta hakutakiwi Baki na kipilipili chako.

    • @annkim2690
      @annkim2690 2 ปีที่แล้ว

      @@rahelpaul3079 🤣🤣🤣 kipilipili nimecheka

    • @annkim2690
      @annkim2690 2 ปีที่แล้ว +1

      Hii kipilipili ukiiosha kila siku nauipake Nazi hua inarudi nyepesi na inarefuka kweli hata Mimi tokea ushuhuda ule waAston mbaya nilitupa wig zote

    • @melesianageorge2012
      @melesianageorge2012 2 ปีที่แล้ว

      Mi lasta nishaacha Yan nauliza kuzisuka nywele zangu mwenyew

    • @joankaranja6210
      @joankaranja6210 2 ปีที่แล้ว

      Naomba nikujibu.Ndio kusuka kwa Aina yeyote ni dhambi.

  • @nurumwita9034
    @nurumwita9034 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu tusaidie tuweze kutenda mapenzi yako

    • @karisaasnath2833
      @karisaasnath2833 2 ปีที่แล้ว

      Ni vipi kuhusu siasa

    • @paschalmulisa6038
      @paschalmulisa6038 2 ปีที่แล้ว

      Naomba kufahamu baada ya kufariki mwili wake ulizikwa sehemu gani?,Pili na baada ya kutoka kwa MUNGU ilikuwaje akaurudia mwili wake?

  • @majidalharthi4774
    @majidalharthi4774 2 ปีที่แล้ว

    Hivi mtu akishajiua mwenyewe hivi anaweza ona ufalme wa mungu halafu huyu jamaa awe mkweli sio kusema Yesu ndio mungu huu ni upoteshaji kwa dini zote someni bibilia vizur mtapata ukweli wake mungu yupo na ndio kaumba viumbe wote ..

    • @edomkyamba3843
      @edomkyamba3843 ปีที่แล้ว

      Umefanya dhambi ngap toka ulipozaliwa

  • @user-ff2xb3ze8b
    @user-ff2xb3ze8b 2 ปีที่แล้ว

    ١