Part 4_KUMBI 23 ZA HUKUMU BAADA YA KUFA|Ushuhuda wa Abraham Yakubu wa Nigeria

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024
  • JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.Kama uko tayari kuwa mchangiaji jiunge kwenye group letu la TEAM PROMOVER SUPPORTERS kwa kubonyeza link hii chat.whatsapp....
    PIA UNAWEZA KUJIUNGA NA MAGROUP YETU MENGINE MAWILI AMBAYO SIYO LAZIMA KUCHANGIA BALI NI YA KUPATA SHUHUDA ZETU MPYA KILA SIKU NA KUJIFUNZA NENO LA MUNGU
    1.TZ PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
    2.KENYA PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
    Namba za mawasiliano na kuchangia sadaka ni: +255784074462 / +255766294335 / +254113844735 jina ni Jacktan Msafiri
    #ShuhudaZaPromoverTv #Ushuhuda #PromoverTV

ความคิดเห็น • 35

  • @victaeliud948
    @victaeliud948 ปีที่แล้ว +3

    MBINGUNI nataka sana kwenda....EE MUNGU NISAIDIE KUWA MTAKATIFU DAIMA maana kwa hali hii kama ningekuwa nimekufa sahizi ningekuwa najutia....asante YESU kwa uzima huu na neno unalotuma, promover tv BWANA YESU awakumbuke katika ufalme wake hilo ni ombi langu na MUNGU ANISIKIE. AMEN

  • @Shalom2018
    @Shalom2018 ปีที่แล้ว +2

    Mungu atusaidie kwa kweli huu ushuhuda unaogopesha,utakatifu ni kazi kwa kweli mpaka uzimalize hizo kumbi halafu upo msafi shughuli.

    • @mastorymlilo009
      @mastorymlilo009 7 หลายเดือนก่อน

      inawezekana ila tuu ukiufanya mwili wako uwe dhabihu.(sadaka)... inatosha WARUMI 12:1--

  • @RebecaMaloda-xx2qm
    @RebecaMaloda-xx2qm 8 หลายเดือนก่อน +1

    Nikisikiliza hii shuhuda natetemeka nakosa aman nashukuru Mungu umenipa nafas ya marekebisho yale mayai aliyoyakuta angempa nani

  • @VeronicaEdesiusBernard
    @VeronicaEdesiusBernard หลายเดือนก่อน

    Nimebarikiwa sana na ninaendelea kubarikiwa naomba kuuliza tu naona ushuhuda umeishia akiwa mbinguni nilitamani kujua alirudije Mungu awabariki kwa shuhuda za kweli tunaendelea kupona na wengine tumepona kabisa

  • @Henry-yj6mi
    @Henry-yj6mi ปีที่แล้ว +3

    Ushuhuda ulioandikwa huwa Bora Saidi kuelewa kwani huwa unasimulia kuanzia mwanzo Hadi mwisho huwa umehaririwa kwa utaratibu na kwa usahihi kuliko wa kushuhudia Kwa mdomo.huu ushuhuda umenionya Na umenirekebisha.asante Kaka .Mimi mwijilisti kutoka Kenya

  • @livingstonemandari5093
    @livingstonemandari5093 ปีที่แล้ว

    Bwana Yesu asifiwe,
    Napenda kuuliza,
    Uliridi vipi kwenye mwili wa nyama?

  • @jossyayielo7576
    @jossyayielo7576 ปีที่แล้ว +2

    Asante Eric.....ubarikiwe....haya ni mafunzo nadra Sana......endelea na KAZI njema....sehemu yako IPO binguni 🇰🇪🇰🇪

  • @elizabethsanya4468
    @elizabethsanya4468 ปีที่แล้ว +1

    Nimebarikiwa sana Mungu azidi kuwatia nguvu.

  • @carolmueni6431
    @carolmueni6431 ปีที่แล้ว +1

    Bwana yesu tusamehe dhambi tusizo zijua na tunazojua

  • @geitandelwa299
    @geitandelwa299 ปีที่แล้ว +1

    Mmmmh. Aaaa hapa nimegundua Sina Cha kumwonyesha YESU ZAIDI YA DHAMBI ZANGU

  • @godwinambani
    @godwinambani ปีที่แล้ว +1

    Huu ushuhuda ni mzuri sana nimebarikiwa sana lakini alirudi aje mwilini mwake ikiwa ameishia akiwa anadekezwa katika mikono ya Yesu Kristo

    • @kennethogonda2947
      @kennethogonda2947 ปีที่แล้ว

      Kurudiwa mwilini ni kazi ya Mungu wala si ngumu kwake. Unarudi mwilini unaamka ukiwa hospitalini (kwa mfano) na watu wanashangaa umefufuka. Unakuwa mdhaifu kimwili hadi baadaye uwe mzima kikamilifu.

  • @irenesteven3205
    @irenesteven3205 ปีที่แล้ว +1

    Uwii , Mungu utusaidie

  • @Annsikoboy-ut8bs
    @Annsikoboy-ut8bs 10 หลายเดือนก่อน

    Kuna kitu nimetambua kwa hawa mashuhuda wanaume. Shuhuda zao zinafanana sana ukilenganisha na akina dada zetu wanaodai neema ya ushuhuda. Ukiwakalisha pamoja akina dada na ndugu hawa, kutakua na tifauti kwa baadhi ya akina dada.

  • @gosbertgideon6843
    @gosbertgideon6843 ปีที่แล้ว +1

    Sijui niishiwapi maana najiona uchiiiiii
    Sichomoki kabsaaaaaa
    Ee YESUKRISTO na dam yako mnilehem mm mwenye uchafu mwingiiii sjioni mbnguni najiona jehanam naomba msamaha ktk yote

  • @farajamaneche5204
    @farajamaneche5204 21 วันที่ผ่านมา +1

    Eee mwenyenzi mung nakukimbilia milele nisiabike milele

  • @danielsteven5440
    @danielsteven5440 ปีที่แล้ว +1

    Yani mbingu ni ngumu Sana, maana kusema ukweli kwenye madhabau imekua ni ngumu, watu wana angalia sura za watu

  • @hilariogomesalmasse
    @hilariogomesalmasse ปีที่แล้ว +1

    Bwana yesu azidi kukubariki ndugu

  • @annissdaprincess3846
    @annissdaprincess3846 ปีที่แล้ว +1

    Eeeeeeeeehhhhhhhh MUNGU wambinguni unisaidiye kuyafanya mapenzi yako ili nisiikose Mbingu unirehemu YESU kristo wa Nazareth

  • @nurumwita9034
    @nurumwita9034 ปีที่แล้ว +2

    Roho Mtakatifu nimkumbushe Yale yote mabaya niliypyatenda

  • @peninahkariuki4679
    @peninahkariuki4679 ปีที่แล้ว +1

    Be blessed for sharing your Testimony, I've learnt something. Following from Kenya 🇰🇪 🙌

  • @gosbertgideon6843
    @gosbertgideon6843 ปีที่แล้ว +1

    Bado sichomoki kila nkijkagua

  • @tchiddyrichie3561
    @tchiddyrichie3561 ปีที่แล้ว +1

    Amen

  • @isabellarkageha7707
    @isabellarkageha7707 ปีที่แล้ว +1

    Amen 🙏🔥🔥☺️

  • @violetchavasu7806
    @violetchavasu7806 ปีที่แล้ว +1

    Ushuhuda mkubwa kweli ila naomba nijue alirudo aje kwenye mwili wake baada ya kuzunguka siku arobaini nawatazama nikiwa kenya

  • @willyduwange-er5ii
    @willyduwange-er5ii ปีที่แล้ว

    Kanisa limevamiwa Sana na Mambo ya dunia ,wach tumeichia Mambo yaende tu hivyo

  • @merysebastan2169
    @merysebastan2169 ปีที่แล้ว

    Hili Jambo la mapambo makanisani huwa hawaubiri?

    • @edwardsichone2958
      @edwardsichone2958 ปีที่แล้ว

      Wanaogopa kupoteza waumini,watakosa sadaka

    • @sarahkeivaly3351
      @sarahkeivaly3351 ปีที่แล้ว +1

      hilo limekuwa ni tatizo kubwa,
      hata wachungaji pia wanatofautiana kimtazamo kuhusu suala la mavazi na mapambo, tumwombe sana Mungu Uamsho juu ya Utakatifu wa Mwili na Roho.. hasa hapa Tanzania

    • @gosbertgideon6843
      @gosbertgideon6843 ปีที่แล้ว

      Mtqwakmbiq

    • @geitandelwa299
      @geitandelwa299 ปีที่แล้ว

      Wakihubili wote mtatoka MAANA WENGI wanapenda DUNIA na watu wenyewe Ni WABISHI Sana Ila TUANZE UPYA