Part2_USHUHUDA:MAONO YA MBINGU NA KUZIMU KWA LILIAN BLESSED WA KENYA ALIYEKUFA BAADA YA KUUGUA SANA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024
  • JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.Kama uko tayari kuchangia kila mwezi jiunge na magroup haya hapo chini na kama unataka kuchangia mara moja tu tumia namba ziko hapo chini :-
    1.JS01-Kuanzia Tsh.2,000 kila mwezi bonyeza link hii chat.whatsapp....
    2.JS02-Kuanzia Tsh.5,000 kila mwezi,bonyeza link hii chat.whatsapp....
    3.JS03-Kuanzia Tsh.10,000 kila mwezi bonyeza link hii chat.whatsapp....
    Namba za mawasiliano na kuchangia pesa ni: +255784074462 / 0766294335 jina ni Jacktan Msafiri
    #ShuhudaZaJacktanMsafiri #JacktanMsafiri #PromoverTV

ความคิดเห็น • 93

  • @leahg2549
    @leahg2549 2 ปีที่แล้ว +10

    Tito 2:11-14 " Maana neema ya Mungu iwaokoayo wanadamu wote imefunuliwa, ¹² nayo yatufundisha kukataa ubaya na tamaa za kidunia,tupate kuishi kwa kiasi,na haki,na utauwa,katika ulimwengu huu wa sasa.¹³tukilitazamia tumaini lenye baraka na mafunuo ya utukufu wa Kristo Yesu,Mungu mkuu na mwokozi wetu;¹⁴ ambaye alijitoa nafsi yake kwa ajili yetu,ili atukomboe na maasi yote,na kujisafishia watu wawe milki yake mwenyewe,wale walio na juhudi katika matendo mema.

  • @roselineatamba916
    @roselineatamba916 2 ปีที่แล้ว +6

    Hii ni mara ya pili kumsikiza dada Lilian, Mbarikiwe sana watumishi wa Mungu

  • @tabithajeremiah2657
    @tabithajeremiah2657 2 ปีที่แล้ว +6

    Ushuhuda huu nimeusikiliza mara kadhaa kwa lugha ya kiingereza,niliupenda na ulinibariki sana.

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 2 ปีที่แล้ว

      Wapi unapata kwa Lugha ya kiingereza,??I need for my Friends not speaking My Language

  • @shukurumwinami4958
    @shukurumwinami4958 2 ปีที่แล้ว +6

    haleluyaa, Hakika Yesu anatupenda sana

  • @neemanabwangu8384
    @neemanabwangu8384 2 ปีที่แล้ว +3

    Asanteni sana Promover Tv, sijuwi niwashukuru je kwa kweli. Bali Mungu aendeleye kukubariki kwa kazi hii. Shuuda zenu zimeniponya na kunifunguwa every day as I watch them. Mungu awabariki sana nakuwazidishia. Ubarikiwa pia mama🙏😇

  • @lilianwanga4280
    @lilianwanga4280 2 ปีที่แล้ว +4

    Barikiwini sana watumishi wa Mungu asanteni kwa husuhuda mzuri,Mungu aturemu

  • @richardkaluta8987
    @richardkaluta8987 2 ปีที่แล้ว +3

    Asante sana promover tv na mama yetu kwa ushuuda mzur mbarikiwe sana 🙏🙏Kristo yesu aturehem

  • @leahg2549
    @leahg2549 2 ปีที่แล้ว +9

    Hakika Yesu yuko mlangoni,tutubu na kuiamini injili,nimekuwa najiuliza kwanini kumekuwa na ongezeko kubwa la watu wa Mungu wakishuhudia mambo haya makubwa ya mbinguni na kuzimu? Ninagundua kwamba hatuna muda mrefu atakuja kuchukua watu wake,hatachukua kilicho kinyonge,atachukua kanisa takatifu tu,imagine kusuka nywele,kujipamba,kutosoma neno n.k,kutatukosesha mbingu na hakutakuwa na udhuru eti hatukusikia wala kuona,tutakwenda mbinguni au kuzimu kwa kuchagua wenyewe ,ee Yesu tusaidie kushinda dhambi,kuachana na dunia hii na mambo yake yanayopita,tupe nguvu kuishi na kutenda sawa sawa na Neno lako pamoja yote wanayoshuhudia watumwa wako. 2Petro 3:11-14. Barikiwa Jacktan na Promover kwa kazi mnayofanya bila kuchoka,tunzeni wokovu wenu kwa unyenyekevu na kutetemeka,thawabu yenu ipo mbinguni inawangojea. Amina

    • @joyceshile8837
      @joyceshile8837 2 ปีที่แล้ว

      AMINA

    • @PromovertvTz
      @PromovertvTz  2 ปีที่แล้ว

      Amen

    • @nifamalandi5304
      @nifamalandi5304 2 ปีที่แล้ว

      This testimony is nothing but the truth.lets not change our original image .no adding no subtracting anything.i saw twice in dream even this we call wedding ring the holy spirit told me to remove not frm him

  • @gracewahu8741
    @gracewahu8741 2 ปีที่แล้ว +3

    Asante kwa ushuhuda ili tuzidi kupona, mungu turehemu tupe kunguvu tusife moyo kutafuta utakatifu, ili siku moja tuwenawe.

  • @lucykapinga369
    @lucykapinga369 2 ปีที่แล้ว +4

    Kusuka Marastaa Yani mtu nywelee nilisha kataa kusuka Watu yani Pesa hizi ni nzur ila nilisha gomaa ÝESU Anaraha yake Jamani. 🇩🇪🇹🇿

  • @tamarali8325
    @tamarali8325 2 ปีที่แล้ว +2

    Barikiwa sana mama. Jacktan Barikiwa sana. Nimejifunza mambo mengi mno. Kweli tunaona kwa mipaka

  • @sophiamakani6133
    @sophiamakani6133 2 ปีที่แล้ว +2

    Asanteni sana kwa ushuhuda huu mzuri jamani Mungu anatupenda siku za mwisho zimewadia

  • @fatumaminyeko1875
    @fatumaminyeko1875 2 ปีที่แล้ว +2

    Kweli yesu kristo ana safisha watu akuna wakovu kama ugali na mapambo urembo nizambi kumbwa Asante yesu kuni safisha

  • @gracepeterofficial1326
    @gracepeterofficial1326 2 ปีที่แล้ว +5

    May the Lord bless you so much mr. Msafiri for bringing to us this powerful testimony🙏

  • @salomeziguye7927
    @salomeziguye7927 2 ปีที่แล้ว +2

    Mubarikiwe sana , Mimi namshukulu kwa kunifungua jamani

  • @daviesskipesha1351
    @daviesskipesha1351 2 ปีที่แล้ว +3

    Asante sana kwa ushuhuda mzuri.

  • @eunicepilly802
    @eunicepilly802 2 ปีที่แล้ว +2

    Bwana unirehemu unisamehe dhambi na makosa yangu unitakase kwa damu yako Yesu 😭😭😭😭😭😭

  • @doricemrema2177
    @doricemrema2177 2 ปีที่แล้ว +4

    MUNGU nirehemu, maana kabla sijaokoka niliyafanya hayo😭😭😭😭

  • @marymbodzembodze2707
    @marymbodzembodze2707 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen Amen barikiwen watumishi wa BWANA

  • @williampetro647
    @williampetro647 2 ปีที่แล้ว +2

    Jaktan kazi mzuri ya kuelimisha kanisa siku za meisho

  • @catherinemutindi5031
    @catherinemutindi5031 2 ปีที่แล้ว +2

    Ni neema kubwa ambao tumepewa nafasi ya kuishi tema kuzisikia jumbe kama hizi na zinginezo ambao wanapromover wametuletea.yesu kweli tusamehe .

  • @suvenkanyolo6104
    @suvenkanyolo6104 2 ปีที่แล้ว +2

    Amen mama ubarikiwe sana kabisa tunashukuru

  • @sallymumia8425
    @sallymumia8425 2 ปีที่แล้ว +1

    Glory to Jesus Christ,for the testimony,thank you promover for what your doing in Kenya,wow we are so greatfull,we desire you also settle in kenya

  • @daisymuthoni675
    @daisymuthoni675 2 ปีที่แล้ว +1

    Thanks for this testimony had been looking for this after pastor highlighted it
    Wow aliye na masikio asikie God bless you Jacktan for bringing this testimony....

  • @furahamatoleyo4126
    @furahamatoleyo4126 ปีที่แล้ว +1

    Mungu tusaidiye

  • @dorisgesare7707
    @dorisgesare7707 ปีที่แล้ว +1

    Hallelujah

  • @edwardmwalukware9734
    @edwardmwalukware9734 2 ปีที่แล้ว +4

    Hi jacktan how can I get her mobile no I need to invite her to share her testimony in our church.

  • @joyceshile8837
    @joyceshile8837 2 ปีที่แล้ว +3

    MUNGU NAMWOGOPA SANA, MUNGU NISAIDIE, ILI SIKU MOJA NIJE MBINGUNI NIKUONE.

  • @juliusngonene3819
    @juliusngonene3819 6 หลายเดือนก่อน +1

    God help us to live a holy life😢

  • @ScolaMwanjoka
    @ScolaMwanjoka 4 หลายเดือนก่อน

    MUNGU Naomba Unisamehe..mimi ni mwenye dhambi

  • @JaneKuyokwa-ng2qf
    @JaneKuyokwa-ng2qf 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubaliki

  • @joysshow9460
    @joysshow9460 2 ปีที่แล้ว +2

    Hapo Kwa kupanga uzazi jameni tutafanya aje jamani😭

    • @lucykapinga369
      @lucykapinga369 2 ปีที่แล้ว +1

      Tumia Karenda Ukiifuatilia vizur Utashinda

  • @moyojubeki6330
    @moyojubeki6330 2 ปีที่แล้ว

    Jactani,Mungu akubariki,Sana kutuletea ujumbe huu,najua nitapona kupitia ujumbe huu.tuletee Sasa part 3

  • @rebecahosea4849
    @rebecahosea4849 2 ปีที่แล้ว +1

    Amina mtumishi

  • @bawiligeorge782
    @bawiligeorge782 2 ปีที่แล้ว +1

    Asant sana mungu awabariki sana

  • @millicentnaliaka
    @millicentnaliaka 2 ปีที่แล้ว +1

    Waaaaah Mungu aturehemu kweli

  • @ScolaMwanjoka
    @ScolaMwanjoka 4 หลายเดือนก่อน

    Hayo yote niliyafanya..MUNGU naomba unisamehe

  • @editarichard3590
    @editarichard3590 2 ปีที่แล้ว

    Barikiwa sana mtumishi

  • @lucykapinga369
    @lucykapinga369 2 ปีที่แล้ว +1

    Hata hereni Tatizooo😭Nilipata Ujumbee

  • @gracepeterofficial1326
    @gracepeterofficial1326 2 ปีที่แล้ว +3

    Waiting eagerly for third part

  • @leahbhoke8718
    @leahbhoke8718 2 ปีที่แล้ว

    Bwana Yesu turehemu sisi wanadamu

  • @isabellarkageha7707
    @isabellarkageha7707 2 ปีที่แล้ว +1

    Strong testimony Amen

  • @Bilha-j9e
    @Bilha-j9e 11 วันที่ผ่านมา

    Niulize ni mafuta gani mkristo unaeza jipaka uso ama miguu

  • @josephmutemi7494
    @josephmutemi7494 2 ปีที่แล้ว +1

    Ameeeeeeen

  • @nelsonsalumu3064
    @nelsonsalumu3064 2 ปีที่แล้ว

    Barikiwa sana mama

  • @bonifasemmanuel4700
    @bonifasemmanuel4700 2 ปีที่แล้ว

    Hapo kwenye style sijakubali,mwanamke kuwa juu,kinyume na maumbile ni kama vile kumuingilia mwanamke sehemu ya haja kubwa,au kunyonya uke au uume ndo dhambi,kama uzazi wa mpango ni dhambi basi china na ulaya,na Amerika wako hatarini,

  • @dawhiteschola8847
    @dawhiteschola8847 2 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @clarahmbala6611
    @clarahmbala6611 2 ปีที่แล้ว +1

    Dada Lillian naomba namba zako plz

  • @valentinanduku8718
    @valentinanduku8718 2 ปีที่แล้ว

    Amen Amen

  • @valentinanduku8718
    @valentinanduku8718 2 ปีที่แล้ว

    Hapo kwa kutengeneza nywele hebu niambie ulitengenezwa vip na Hali kusonga ni dhambi

    • @annetteimbosa1235
      @annetteimbosa1235 หลายเดือนก่อน

      Alisema nywele zilopakwa mafuta pekee na kufungwa

  • @flm1530
    @flm1530 2 ปีที่แล้ว +1

    Sorry jactan mbn kun watu inaonesha wamecomment two days ago lkn hii video nmeipat sas hv

    • @PromovertvTz
      @PromovertvTz  2 ปีที่แล้ว +1

      Amen,hao ni wale waliopata Ushuhuda huu mapema,ni kweli ilikuwa tayari siku mbili zilizopita ila kuruka huku TH-cam ndo leo.

  • @richardsilvanus8927
    @richardsilvanus8927 2 ปีที่แล้ว

    Mimi nauliza je kwa wanawake maaskari na wanajeshi Ni sawa kwao maana wote mavazi Ni suruali

    • @marianaduncan6330
      @marianaduncan6330 2 ปีที่แล้ว

      suruali ni suruali ni dhambi tu

    • @shukurumwinami4958
      @shukurumwinami4958 2 ปีที่แล้ว +4

      Ndio maana kabla ya kupata kazi unayotaka ni lazima umuulize Mungu kuwa je ni sahihi wewe kuifanya kazi hiyo? UKIWA WA ROHONI LAKINI

  • @gestinabunganiekuya6300
    @gestinabunganiekuya6300 2 ปีที่แล้ว +1

    Mimi napenda kuuliza kwa sisi wanandoa tuliookoka ni style gani tunatakiwa kuifanya tuokoeni jamani hatuelewi

    • @hermanemmanuel1953
      @hermanemmanuel1953 2 ปีที่แล้ว +2

      MWANZO 3:16 .... NAYE ATAKUTAWALA. KATI YA MWANAMKE NA MWAUME NANI ANATAWALA AU KICHWA? JIBU NI MWANAUME KWAHIYO ANAYETAWALA DAIMA ANATAKIWA KUA JUU NA ANAYETAWALIWA DAIMA HUWA CHINI, HII NDIO TENDO TAKATIFU LA NDOA, NYONGEZA KICHWA KIPO JUU YA MWILI NA SI CHINI YA MWILI AMINA.

    • @Esthernyenyezi3
      @Esthernyenyezi3 2 ปีที่แล้ว

      @@hermanemmanuel1953 ni aje sasa ukiwa mujamuzito????

    • @shukurumwinami4958
      @shukurumwinami4958 2 ปีที่แล้ว

      sOMA PIA KITABU CHA WIMBO ULIO BORA SURA YA 2:6. Utaona Neno hapo lililo bora

    • @shukurumwinami4958
      @shukurumwinami4958 2 ปีที่แล้ว

      @@marianaduncan6330 good

    • @shukurumwinami4958
      @shukurumwinami4958 2 ปีที่แล้ว

      @@hermanemmanuel1953 good

  • @shamim6606
    @shamim6606 2 ปีที่แล้ว

    JE nakuvaa Saa si ni attachment pia? Sasa tutajuaje wakati?

    • @lucykapinga369
      @lucykapinga369 2 ปีที่แล้ว

      Unasema Na MUNGU atakujibu Amini hasa. pendelea kusali Saa 7 ,8 MIDAMIZURI MNOO MALAIKA WA MIMBINGU WAMETAWALA KILAKONA unapatamajibu Fasta Ila Tuwe safi

    • @nifamalandi5304
      @nifamalandi5304 2 ปีที่แล้ว

      Shamim Mimi nilikua na saa ambazo zina shanga roho akanishuhudia niache kuzivaa sasa bado sijaelewa ka ni saa zote tuache au ni zile zimerembeshwa.tuombe Yesu atujuze zaidi ili tusiangamie

  • @kibetmiteiezekiel916
    @kibetmiteiezekiel916 2 ปีที่แล้ว

    hii ni kubwa

  • @joyceshile8837
    @joyceshile8837 2 ปีที่แล้ว

    NAOMBA KUULIZA KUHUSU NAFUTA YA MWAMPOSA JE? NI YAKO SAWA?

    • @lucykapinga369
      @lucykapinga369 2 ปีที่แล้ว +1

      Sisawa Unapaswa Tusimame Ki Imani Wenyewe Na Tuyaache Ya Dunia .Tunauwezo Kuyabadili Maji Kuwa Damu ya Yesu. Tusimame Wenyewe Kujiombea Sanaa Dia .Now shetani Anataka kutawala Kilakona .

  • @fatumaminyeko1875
    @fatumaminyeko1875 2 ปีที่แล้ว

    Munisaidie sisi tulio uku marecani tuvae nini ukuwana ruhusu suruali nikivaa kazini nakurudi nyumbani navua ni zambi nisaidie jamani nifanye nini?

    • @bettyadhiambo9557
      @bettyadhiambo9557 2 ปีที่แล้ว

      Hakuna aliye juu ya Sheria ya Mungu labda utafute kazi Kwa kibali Cha Mungu

  • @josephmukhwanawilliam9487
    @josephmukhwanawilliam9487 2 ปีที่แล้ว

    I don't understand how God can have a problem with make-up. I just don't understand.

    • @edwardmwalukware9734
      @edwardmwalukware9734 2 ปีที่แล้ว +4

      You are not called to understand you are called to obedience. When God instructed Abram to circumcise his people he didn't ask questions. Plus she has given a Bible verse about correcting God's creation.

    • @bettyadhiambo9557
      @bettyadhiambo9557 2 ปีที่แล้ว

      Because those are jezebel products remember, God created you for his image

    • @annetteimbosa1235
      @annetteimbosa1235 หลายเดือนก่อน

      God has lifted His WORD even above His NAME.