USHUHUDA WA MBINGU NA KUZIMU - Mark Brian Joy

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024
  • Mtu anaweza kushuhudia lakini Roho anashuhudia apendavyo.
    Ushuhuda wa Mark Brian Joy. Ushuhuda wa aliekwenda mbinguni na Kuzimu. Ushuhuda wa aliekutana na Yesu Kristo. Ushuhuda wa kijana aliemwona Mungu na kuoneshwa mbingu mbinguni na kuzimu
    Kabla ya Dunia kuumbwa Mungu Baba na Mungu Mwana walikutana pamoja na Mungu Roho. Adamu wa kwanza alikutana na Yesu wakati wa upepo kupunga. Musa alikutana na Yesu kwenye kichaka kinachowaka moto na kwenye Mlima Carmeli na utukufu wake ukamwinukia. Manabii wa zamani wote walikutana na Yesu. Nabii Danieli alikutana na Mwana wa Adamu...Daniel 7:10....Nabii Ezekiel alikutana na Yesu akiwa na makerubi...Ezekieli 1...Yeremia alikutana na Yesu akisema unaona nini....Nabii isaya alikutana na Yesu na maserafi....Mpaka agano jipya wafuasi wa Kristo Yesu walikutana naye kwa mwili na kwa Roho...
    Petro alikutana na Yesu kwa uwezo wa Roho ....Alipokuwa Kwenye mlima wa mabadiliko alikutana na Eliya na Musa....Daudi alikutana na Yesu na Zabur 100...Yohana Wa ufunuo alikutana na Yesu....ufunuo 1:8....Imani yetu ina mwanzo na ina mwisho ambao ni Kristo Yesu. #mark #jesus #angel #christ #foryou #foryoupage #fyp #jesuschrist #jesusislord #yesu #yessmartypie #yesuskristus #nabii #nabiisa #nabiimkuu #yesu_status #ushuhuda #mungu #mungu_kwanza #markbrianjoy
    Subscribe: / @markbrianjoyint
    Ushuhuda wa kijana aliemwona Mungu na kuonyeshwa Mbingu na Kuzimu: • Ushuhuda Wa Kijana Ali...
    Best video: • USHUHUDA ALIEKUWA MKAT...
    Email: onelyfonepurpose@yahoo.com
    Social Media Handles
    Instagram: markbrian_joyjoshua
    youtube: / @markbrianjoyint
    facebook: markbrian_joyjoshua

ความคิดเห็น • 26

  • @selinjsf7237
    @selinjsf7237 9 หลายเดือนก่อน +1

    MUNGU akubariki sana mtumishi wa Bwana

  • @queenesther2639
    @queenesther2639 8 หลายเดือนก่อน +1

    Ww unataka kumuona BW.YESU wao hawakujibu aah bwana niachlieni basi

  • @dinairenge
    @dinairenge 9 หลายเดือนก่อน +1

    Amen

  • @ernesttomas85
    @ernesttomas85 ปีที่แล้ว +3

    Anaweza support huduma lakini hawezi kuwa mchungaji au mwalimu,nabii kama ofisi,ila Mungu anaweza kuwa na karama ya unabii

  • @user-sf1xb9kz5n
    @user-sf1xb9kz5n 6 หลายเดือนก่อน

    Ameni

  • @ernesttomas85
    @ernesttomas85 ปีที่แล้ว +3

    Umepata neema hii Bwana aliyokupa mshukuru Sana Mungu,maana wengi tunajitahidi lakini hatujafanikiwa hata sasa kukutana au kusikia sauti yake

    • @markbrianjoyINT
      @markbrianjoyINT  ปีที่แล้ว +2

      Libarikiwe Jina La Bwana Wetu Yesu Kristo

  • @queenesther2639
    @queenesther2639 8 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu alimuona MUNGU sababu hakuwa anaenda na mwili huu huu mwili ulikuwa unabaki ndo maana alirudi anajikuta hapo hapo km alikuwa amepiga magoti basi Ile roho yk inaingia tena kwenye huu mwili wa damu na nyama

  • @apazmunisi2133
    @apazmunisi2133 ปีที่แล้ว +1

    ubarikiwe sana mtumishi wa MUNGU nimejifunza mengi na nimepata nguvu mpya

  • @gilbertmussa
    @gilbertmussa ปีที่แล้ว +2

    Anachokiongea mtumishi kuhusu maono hayo ni kweli 100%, Kwa Nini Mungu ameamua kufanya hivi, ni Kwa sababu hili ni ONYO la MWISHO Kwa KIZAZI HIKI kisichoamini.

  • @roidayoab9918
    @roidayoab9918 10 หลายเดือนก่อน +1

    Yesu awabariki sana

  • @tameemothman8192
    @tameemothman8192 ปีที่แล้ว +1

    Toa sauti unamungunya nn mtangazaji toa sauti

    • @markbrianjoyINT
      @markbrianjoyINT  ปีที่แล้ว +1

      Sawa Nashukuru Tunafanyia kazi tupate microphone nzuri

    • @dinairenge
      @dinairenge 9 หลายเดือนก่อน

      Amen

  • @queenesther2639
    @queenesther2639 8 หลายเดือนก่อน +1

    Hahahaha

  • @josephmutemi7494
    @josephmutemi7494 10 หลายเดือนก่อน +1

    Amen

  • @dorcusamisi2926
    @dorcusamisi2926 11 หลายเดือนก่อน +1

    Amen