- 282
- 533 539
Bongo Project
United States
เข้าร่วมเมื่อ 14 ส.ค. 2021
The Official TH-cam Channel of the Bongo Project!
Bongo Project ni "project" mpya Tanzania inayojihusisha na kazi za sanaa na yenye lengo la kuhifadhi taarifa, historia na takwimu muhimu za sanaa ya Tanzania pamoja na wasanii wake.
Wasiliana nasi kwa baruapepe info@bongoproject.org
Tembelea website yetu (www.bongoproject.org) kwa taarifa zaidi, pia pitia ukurasa wetu wa Instagram @bongo_project

MAC DIZZO - Full Interview na Bongo Project
Tulikuwa na mkongwe Mac D, Mac Dizzo. Ametupa madini mengi sana humu. Usikose
#macd #macdizzo #bongoproject #bongofleva #tanzania
Bongo Project ni "project" mpya Tanzania inayojihusisha na kazi za sanaa na yenye lengo la kuhifadhi taarifa, historia na takwimu muhimu za sanaa ya Tanzania pamoja na wasanii wake.
--------------------
WEBSITE
--------------------
bongoproject.org/
--------------------
SOCIAL MEDIA
--------------------
Instagram: bongo_project
Facebook: Bongo-Project-102566415873260
TikTok: www.tiktok.com/@bongoproject
--------------------
CONTACT
--------------------
Email: info@bongoproject.org

มุมมอง: 109
วีดีโอ
MAC DIZZO: EXCLUSIVE Kali Kuhusu Tuzo Za Muziki Bongo | Historia | Muanzilishi
มุมมอง 176หลายเดือนก่อน
Mac Dizzo ametupa exclusive kali sana kuhusu tuzo za muziki Bongo. Jinsi zilivoanzishwa mpaka hapa zilipofikia na mambo yaliyotokea. Usikose hii #macdizzo #jamesdandu #bongoproject #bongofleva #kilimusicawards Bongo Project ni "project" mpya Tanzania inayojihusisha na kazi za sanaa na yenye lengo la kuhifadhi taarifa, historia na takwimu muhimu za sanaa ya Tanzania pamoja na wasanii wake. WEBSI...
MAC DIZZO - Kizazi Hiki Hakinijui Kabisa | Watu Wanasahau Watu - Part 3
มุมมอง 430หลายเดือนก่อน
Hii ni sehemu ya mwisho ya mahojiano kati ya Bongo Project na mkongwe Mac Dizzo. Amefunguka mengi sana humu…usikose hii exclusive. #macdizzo #bongoproject #bongofleva Bongo Project ni "project" mpya Tanzania inayojihusisha na kazi za sanaa na yenye lengo la kuhifadhi taarifa, historia na takwimu muhimu za sanaa ya Tanzania pamoja na wasanii wake. WEBSITE bongoproject.org/ SOCIAL MEDIA Instagram...
MAC DIZZO - Kuna Watu Wana Password Ya Bongo Fleva Hawataki Kuitoa - Part 2
มุมมอง 515หลายเดือนก่อน
Hii ni sehemu ya pili ya mazungumzo kati ya Bongo Project na mkongwe Mac Dizzo. Usikose #macdizzo #bongoproject #bongofleva Bongo Project ni "project" mpya Tanzania inayojihusisha na kazi za sanaa na yenye lengo la kuhifadhi taarifa, historia na takwimu muhimu za sanaa ya Tanzania pamoja na wasanii wake. WEBSITE bongoproject.org/ SOCIAL MEDIA Instagram: bongo_project Facebook: fa...
MAC DIZZO - Huyu Hapa MAC D, MAC DIZZO | Bado Yuko Fiti - Part 1
มุมมอง 1.7K2 หลายเดือนก่อน
Leo tulikuwa na mkongwe mwingine kwenye fani, Mac D, Mac Dizzo. Usikose hii #macd #macdizzo #bongoproject #bongofleva Bongo Project ni "project" mpya Tanzania inayojihusisha na kazi za sanaa na yenye lengo la kuhifadhi taarifa, historia na takwimu muhimu za sanaa ya Tanzania pamoja na wasanii wake. WEBSITE bongoproject.org/ SOCIAL MEDIA Instagram: bongo_project Facebook: facebook...
O-Ten - Full Interview na Bongo Project
มุมมอง 1972 หลายเดือนก่อน
Ilikuwa interview poa sana tukiwa na mkongwe Philipo Nyandindi - O-Ten. Tulimfuata kwao Morogoro, tumepiga story nyingi sana humu. Usikose! #bongoproject #philiponyandindi #oten #bongofleva #morogoro Bongo Project ni "project" mpya Tanzania inayojihusisha na kazi za sanaa na yenye lengo la kuhifadhi taarifa, historia na takwimu muhimu za sanaa ya Tanzania pamoja na wasanii wake. WEBSITE bongopr...
O-TEN - Alitoka Moro Mpaka Dar Kwa Baiskeli | Anamtafuta Harmonize - Part 3 #harmonize #daresalam
มุมมอง 6192 หลายเดือนก่อน
O-TEN - Alitoka Moro Mpaka Dar Kwa Baiskeli | Anamtafuta Harmonize - Part 3 #harmonize #daresalam
O-Ten - Kilichomsibu Mpaka Kupotea Kabisa Kwenye Gemu - Part 2. #bongoproject #bongofleva
มุมมอง 1.3K2 หลายเดือนก่อน
O-Ten - Kilichomsibu Mpaka Kupotea Kabisa Kwenye Gemu - Part 2. #bongoproject #bongofleva
O-TEN - Huyu Hapa O-Ten Tulimfuata Morogoro | Amefunguka - Part 1
มุมมอง 7K2 หลายเดือนก่อน
O-TEN - Huyu Hapa O-Ten Tulimfuata Morogoro | Amefunguka - Part 1
AFANDE SELE - Full Interview na Bongo Project
มุมมอง 1.4K3 หลายเดือนก่อน
AFANDE SELE - Full Interview na Bongo Project
AFANDE SELE - Ana Akili Nyingi Sana | Msikilize Humu | Utaenjoy! - Part 6 (Final)
มุมมอง 2.7K3 หลายเดือนก่อน
AFANDE SELE - Ana Akili Nyingi Sana | Msikilize Humu | Utaenjoy! - Part 6 (Final)
AFANDE SELE - Mama SAMIA SULUHU Alitumwa na Rais Magufuli Akaongee na Afande Sele - Part 5
มุมมอง 2.1K3 หลายเดือนก่อน
AFANDE SELE - Mama SAMIA SULUHU Alitumwa na Rais Magufuli Akaongee na Afande Sele - Part 5
AFANDE SELE - Azungumzia Maisha Asili, Maisha ya Shamba, Siasa na Falsafa Zake - Part 4
มุมมอง 1.7K3 หลายเดือนก่อน
AFANDE SELE - Azungumzia Maisha Asili, Maisha ya Shamba, Siasa na Falsafa Zake - Part 4
AFANDE SELE - Ubalozi Wa Marekani Walivyokataa Wimbo Wa Afande Kufungiwa | BASATA Yaaibika - Part 3
มุมมอง 2.6K3 หลายเดือนก่อน
AFANDE SELE - Ubalozi Wa Marekani Walivyokataa Wimbo Wa Afande Kufungiwa | BASATA Yaaibika - Part 3
AFANDE SELE - Dudubaya Alimpeleka Studio Mara ya Kwanza | Alijitabiria Ufalme - Part 2
มุมมอง 18K4 หลายเดือนก่อน
AFANDE SELE - Dudubaya Alimpeleka Studio Mara ya Kwanza | Alijitabiria Ufalme - Part 2
AFANDE SELE - Huyu Hapa Simba Zee! Tulimfuata Morogoro | Anasema Atakufa Mfalme - Part 1
มุมมอง 6K4 หลายเดือนก่อน
AFANDE SELE - Huyu Hapa Simba Zee! Tulimfuata Morogoro | Anasema Atakufa Mfalme - Part 1
RIP Mandojo - (Mazungumzo Yetu Ya Mwisho na Mandojo)
มุมมอง 3414 หลายเดือนก่อน
RIP Mandojo - (Mazungumzo Yetu Ya Mwisho na Mandojo)
SAMIR KINYULINYULI - Full Interview na Bongo Project
มุมมอง 4844 หลายเดือนก่อน
SAMIR KINYULINYULI - Full Interview na Bongo Project
SAMIR - Hili Ndo Tukio Baya na Zuri Kwenye Safari Yake Ya Muziki | Mimi ni Mwandishi Bora - Part 3
มุมมอง 2134 หลายเดือนก่อน
SAMIR - Hili Ndo Tukio Baya na Zuri Kwenye Safari Yake Ya Muziki | Mimi ni Mwandishi Bora - Part 3
SAMIR - Ageukia Utayarishaji wa Muziki | Vipaji Bongo Vinaangukia Mikono Sio Salama - Part 2
มุมมอง 4644 หลายเดือนก่อน
SAMIR - Ageukia Utayarishaji wa Muziki | Vipaji Bongo Vinaangukia Mikono Sio Salama - Part 2
SAMIR - Mzee wa Kinyulinyuli Huyu Hapa | Sikiliza Kisa Cha Kweli Cha Ngoma Iliyomtoa - Part 1
มุมมอง 1.2K4 หลายเดือนก่อน
SAMIR - Mzee wa Kinyulinyuli Huyu Hapa | Sikiliza Kisa Cha Kweli Cha Ngoma Iliyomtoa - Part 1
Q CHILLAH - Full Interview na Bongo Project
มุมมอง 2945 หลายเดือนก่อน
Q CHILLAH - Full Interview na Bongo Project
Q CHILLAH - Alikuwa na Haya ya Mwisho Ya Kusema | Komasava NOO! - Part 3
มุมมอง 2715 หลายเดือนก่อน
Q CHILLAH - Alikuwa na Haya ya Mwisho Ya Kusema | Komasava NOO! - Part 3
Q CHILLAH - Walinikamia Sana | Niliacha Mpira Nikaingia Kwenye Muziki - Part 2
มุมมอง 4605 หลายเดือนก่อน
Q CHILLAH - Walinikamia Sana | Niliacha Mpira Nikaingia Kwenye Muziki - Part 2
Q-CHILLAH - Huyu Hapa Q Chillah, Q Chief, Savimbi - Sikiliza Story Yake Ya Kusisimua - Part 1
มุมมอง 8915 หลายเดือนก่อน
Q-CHILLAH - Huyu Hapa Q Chillah, Q Chief, Savimbi - Sikiliza Story Yake Ya Kusisimua - Part 1
BANANA ZORRO - Full Interview na Bongo Project
มุมมอง 4395 หลายเดือนก่อน
BANANA ZORRO - Full Interview na Bongo Project
BANANA ZORRO - Muziki Una Pesa Ya Kutosha | Sihitaji Kazi Nyingine - Part 3
มุมมอง 1626 หลายเดือนก่อน
BANANA ZORRO - Muziki Una Pesa Ya Kutosha | Sihitaji Kazi Nyingine - Part 3
BANANA ZORRO - Muziki Zamani Ulitawaliwa na LOVE | Ampa Sifa Harmonize - Part 2 #bongofleva
มุมมอง 2226 หลายเดือนก่อน
BANANA ZORRO - Muziki Zamani Ulitawaliwa na LOVE | Ampa Sifa Harmonize - Part 2 #bongofleva
BANANA ZORRO - Huyu Hapa Banana Zorro | Anadunda Town Bila Ngoma Mpya - Part 1
มุมมอง 1.6K6 หลายเดือนก่อน
BANANA ZORRO - Huyu Hapa Banana Zorro | Anadunda Town Bila Ngoma Mpya - Part 1
Legend
Kwaheri Kwaheri Nakohoa mara ishirini na nne daktari ❤❤❤❤ Nilipeda huo muziki
Milifanya mkubwa mno ata ukisaau nisawa tu
Bonsoir boss ulienda wapi nipe Num yako tuonane Whatsapp
Ndakwemwera cyanee❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Yesu juu
Kwamba kaanza mziki 97? Kwamba wakati akina Mr 2 anakiwasha kipindi kile nae alikua kwenye game tayari?
Yeap
@@bongo_project respect kwake
❤❤❤
Anasoma wimbo au?.
Mkali Wa bongo FLAVA
Natamani sana urudi brother wewe ni machine zaidi ya machine broo
Nakumbuka mwamba huyu akitoa nyimbo yake ndo namaliza class 7 Namkubali sana brother
Toka Congo 🇨🇩 ongera ferooz 👏
Noma sanaaa❤
❤
Bro ongera sana kwa hizi interview Awa ndo wanatufnya tusikilize mziki tukiwa na stress uku ulaya Yani bro ongera sana na endelea kutuletea wasanii wetu wa kipind iko Wanaleta furaha sana na memory nyingi mnooo
Shukrani sana mwamba. Tuko pamoja
Huu wimbo mzuriiiiiiiiiiiiii na mama ana sautiiii
Napnda kusikiliza😊
Yes Huyu ni Mfalme wa muda wote wa mashairi hakuna mwengine hata anayemkaribia kwa nchi hii hayupo
Akili kubwa Sana 🤝🤝🤝
Moja ya Interview bora kabisa, Afande Sele ana madini mengi sana na hongera kwa mtangazaji huna mapepe wala huingilii maongezi unamuacha anaeleza jambo kwa kina, Hongera Sana
Shukrani kamanda
hio ngoma inaotwaje
Nasikitika kunitosa
We jamaa hatari🤔
Seleman Msindi one of the best music icon from Tanzania . Mkali wa rhymes
Feroz upo nilikua mdogo Sana nyimbo Yako ya kwaherini
MB Dogg.. Long time since I saw him...Dude was ahead of his time. Glad to see he is doing fine. Wish he knew how big he was in Kenya those days..
Beautiful comment! Yeap he is doing good
Moja ya Interview nzuri ambazo Nimefurahia ni hii ya Mwamba Bizzman Safi sana
Shukrani mzazi
Mzee wa njoo ucheze nami,jumba bovu ,shuga mami namkubali mwamba mack dizzo
Siyo kila musan ni kiyo cha jami wengine mizigo ya jam wakipata tatizo ndio wanakumbuka kama jamii ipo ili iwachangie kwenye matatizo yao
Please come back we love you
Ludi kwenye game kaka😂😂😂
Vp wimbo wake wa Mademu wa kibongo mbona hujamuuliza ulimpa mafanikio gani na vp K basili na wimbo wake riziki ilikuaje hadi wakafanya chemistry ile mtangazaji hebu nipe nafasi hapo kwenye kuwahoji hao wasanii namimi nitakua na chagusia gusia
Huwa tunatoa nafasi ya mashabiki kuja na maswali yao. Vitu ni vingi sana…ni vigumu kila swali kuulizwa
So he didn't have Aids?? He was coughing in that song
ferroz
Sio dini tu hata elimu tumeletewa wewe lichaam cha kanga.
latifah was fire na fire
Leeegeend ❤❤ uyooo
Nakubalikaka
Nilianza kuwafuatilia mnamo miaka ya 2000 ad leo
Yoyoyo mze wakazi ferouz umekosekana kabisa karibuni tuna kumiss ndani ya mziki. Respect u my brot 2002
Ila interview zinacheleweshwa Sana kupandishwa
Zinakuja baba. Tumemaliza Season 2
Ulikua vzr apo nyuma
Kweli wape namba yako ili wajue wakubwazao bado mpo wasitambe saaàana wakajiona makambale
Kizazi cha kwanza yupo sahihi kama alivyowataja Hadi cha pili ila kamsahau DUDUBAYA kwasabu ndio alitoka hapo na Ngoma kama NIDHAMU na hapo hapo NIGGA JAY na CHEMSHA BONGO Yake. (Hiko kizazi cha pili) Lakini cha 3 ndio kina DULLY,JAY DEE, hapi kamsahau T.I.D,BWANA MISOSI,WAGOSI WA KAYA,MR EBBO,JAY MOE,SOLO na wengine wengi Tukija cha 4 ndio Tunaanza kina ALI KIBA,ABBY SKILLS,MATONYA,MB DOGG,BOB JUNIOR wasanii wengi wa G Records na hao wa kuimba imba Cha 5 sasa ndio kina CHID BENZ,TUNDA MAN,SPACK,Z ANTON Cha 6 sasa ndio hapo kuanzia 2009 ananza DIAMOMD,RICH MAVOKO,OMMY DIMPOZ,SHETTA Tunakuja hadi kina BEN POL,JUX,BARNABA,LINAH Ndio hadi Tunakuja 7 & 8 kina YAMOTO BAND hadi kina NANDY To Zuchu Ndio mimi naona huo mpangilio
Yeah! Asingeweza kutaja wasanii wote…kataja baadhi tu. Ila katupa historia nzuri
@ Tunakubali Admin unafanya kazi nzuri na kipind chako THE BEST unatupa ushirikiano mashabiki
Kweri anachosema feruzi wasanii wapya wache zarau majivuno kama wanakunya keki
😂😂😂😂tunda anavuta juice hadi tone la mwisho mzee😂😂😂
Tulimuongeza 😀
@bongo_project niliona mlifanya jambo la busara kwa captain 🤣🤣
Ndiyoo macdizo bado ujazeeka mzk bado upo mziki auzeeki kama begi la magaidi sezon 2 wapo kudua na kugosha wapo digi digi chedi nini sezon 1 wanarudi kianuuani
Macdizo mzk wa Sezon 1 ndo mzk unaokuwa na ladha na ujumbe hata mistar niujumbe wakuelimisha jamii tofaut na sasa mzk wa sezon 2 wasanii wachache ndo wànatoa ujumbe wa kuelimisha jamii katika wasanii hao hawfiki hata 20 Sezon 1 msanii alikua abani pua sauti unaiskiaa kama macdizo jumanecha chege temba huskiii kubana pua lakini sezon 2 and 3 bongo flaiva kama taarabu msanii atoe sauti yake hata kama unasauti kama ngeke mzk ni ujumbe ambao jamii inapata erimu kupitia mziki lakin sezon 2 hii hip hop kama singer na singer kama baikoko
Kalibu sana kaka mm ni mdogo sana lkn nyimbo zako nazijua maana babaang alikua anakukubal saaana
❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉