AFANDE SELE - Mama SAMIA SULUHU Alitumwa na Rais Magufuli Akaongee na Afande Sele - Part 5
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 29 ธ.ค. 2024
- Mazungumzo yetu na Afande yalikuwa marefu sana. Hii ni sehemu ya tano. Usikose!
#afandesele #bongoproject #bongofleva #tanzania #morogoro
Bongo Project ni "project" mpya Tanzania inayojihusisha na kazi za sanaa na yenye lengo la kuhifadhi taarifa, historia na takwimu muhimu za sanaa ya Tanzania pamoja na wasanii wake.
--------------------
WEBSITE
--------------------
bongoproject.org/
--------------------
SOCIAL MEDIA
--------------------
Instagram: / bongo_project
Facebook: / bongo-project-10256641...
TikTok: / bongoproject
--------------------
CONTACT
--------------------
Email: info@bongoproject.org
Afande💯✅🌹
Akili kubwa Sana 🤝🤝🤝
Salute Afande 🫡
Dah!! King sele hjawah kuogopa kulizungumzia jambo..
Genius
Kaka unakili sana
Hii interview nataman ingekuwa na part 10
Bado kama moja hivi au mbili zinakuja!
Simba Zee una Akili nyingi sana kaka
AFANDE SELE ANA HAFYA YA AKILI COZ ANAONGEA FACT TUPU YAN
Kiukwel ktk life yangu natman cku1 nionane na king sele..nimekuwa nkimfatilia xana uyu..mwamba
Akili nyingi sana huyu mtuu
Yuko vizuri
Uyu jamaa ana kitu inabidi atumiwe
Mtu na nusu ww baba
Mimi huyu mtu kwangu ni zawadi kubwa sana Kwa kile alichonacho, sihitaji kitu chochote zaidi ya mawazo na fikra zake.
Tunakubali!
😂😂😂 WATANZANIA WENGI WANGEKUWA NA AKILI ZA KUCHEKECHA KAMA HUYU JAMAA... NAAMINI WANGEGOMA KUPELEKWA PELEKWA NA BAADHI YA WANASIASA... UKICHUNGUZA NI KWELI LIKIKUFIKA NI LAKO... WANAKUPITA KAMA HAWAKUJUI 😂😂😂
Ana akili kubwa sana bwana huyu
Kabisa kabisa