AFANDE SELE - Azungumzia Maisha Asili, Maisha ya Shamba, Siasa na Falsafa Zake - Part 4

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ต.ค. 2024
  • Tumeendelea mazungumzo na Afande Sele. Anazungumzia maisha yake ya bush, uhusiano na wasanii wenzake wakongwe, siasa, na mengine mengi. Usikose hii
    #afandesele #bongofleva #bongoproject #morogoro
    Bongo Project ni "project" mpya Tanzania inayojihusisha na kazi za sanaa na yenye lengo la kuhifadhi taarifa, historia na takwimu muhimu za sanaa ya Tanzania pamoja na wasanii wake.
    --------------------
    WEBSITE
    --------------------
    bongoproject.org/
    --------------------
    SOCIAL MEDIA
    --------------------
    Instagram: / bongo_project
    Facebook: / bongo-project-10256641...
    TikTok: / bongoproject
    --------------------
    CONTACT
    --------------------
    Email: info@bongoproject.org
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 18

  • @jacksonchami9959
    @jacksonchami9959 หลายเดือนก่อน +8

    Afande amedominate sana session hyo...anaongea sana tena madini haswa...muongoza kipindi umefanya la maana kumpa nafas aongee...ana mengi sana ya kutusimulia na kutufundisha...Asante kwa kumualika kwenye show...hakika hii ni bora kuliko zote.

    • @bongo_project
      @bongo_project  หลายเดือนก่อน +1

      Shukrani kamanda

  • @salumuseif3324
    @salumuseif3324 หลายเดือนก่อน +3

    Mtangazaji anaitwa nan anajitajid sana kum interview mtu tunaenjoy haingilii mazungumzo anamsikiza afande

    • @bongo_project
      @bongo_project  หลายเดือนก่อน +1

      Mtangazaji anaitwa Bavuga. Unaweza kutucheki hapa Instagram @bongo_project au @bavuga_jr

  • @mbenamdudu7856
    @mbenamdudu7856 28 วันที่ผ่านมา

    Very fact

  • @shabani6631
    @shabani6631 หลายเดือนก่อน +2

    Simba Zee nakukubali sana kaka

  • @FrankTufanyenini
    @FrankTufanyenini หลายเดือนก่อน +2

    Afande sele huyu jamaa ana akili kubwa sanaa na anajua sana mwenendo wa hii Dunia na mabadiriko yake. Nimepata elimu kubwa toka kwenye hii interview yake na Bongo project.

    • @bongo_project
      @bongo_project  หลายเดือนก่อน

      Yuko vizuri sana…tokea kitambo. Shukrani kwa kucheki interview

  • @omanhh2875
    @omanhh2875 หลายเดือนก่อน +1

    Simba zee afand sele

  • @SabanaSipemba
    @SabanaSipemba หลายเดือนก่อน +3

    Kipindi kizuri ila mtazamo tofauti mtangazaji unahoji kizamani ujajipanga kimaswali jifunze kuhoji fatilia kipindi cha jabir Saleh the classic ya e FM utanielawa Kaka japo kipindi kizuri

    • @bongo_project
      @bongo_project  หลายเดือนก่อน +1

      Tunaelewa mzazi ila vipindi haviwezi kuwa sawa.

    • @josephandrew3444
      @josephandrew3444 หลายเดือนก่อน +1

      Mko sawa sanaaa yaani mnauwaa kaka pia watu wasifosi tufanane.​@@bongo_project

    • @josephandrew3444
      @josephandrew3444 หลายเดือนก่อน +3

      Yaani kaka wa bongo project uko sawa sana unampa msanii muda mwingi Ili afunguke yote tunayo hitaji madini hayo.

    • @ayoubbilali1050
      @ayoubbilali1050 หลายเดือนก่อน +1

      jabir saleh anauliza maswali kiujuaji sana., anajifanya anajua kila kitu kiasi cha kutunyima wafatiliaji kujua vitu vingi. Hii interview ya afande ni nzuri mno.., afande kapewa fursa ya kuongea mpk vitu ambavyo tulikua atuvijui .. salute kwako host🫡

    • @SabanaSipemba
      @SabanaSipemba หลายเดือนก่อน

      @@ayoubbilali1050 unajuwa unachokisema kweli

  • @ray45king84
    @ray45king84 หลายเดือนก่อน

    Siku hz ....Kisu kinakata pande mbili

  • @mbenamdudu7856
    @mbenamdudu7856 28 วันที่ผ่านมา

    Huyu jamaa ana vingi Dana vya kudeliva ila nazani nafasi sahihi ajapata