O-Ten - Kilichomsibu Mpaka Kupotea Kabisa Kwenye Gemu - Part 2.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ต.ค. 2024
  • Tunaendelea na mazungumzo yetu na mkali O-Ten. Anazungumzia maisha ya East Coast Team mpaka kuvunjika, ukimya wake wa muda mrefu, bifu lake na Afande na mambo mengine kibao. Usikose!
    #oten #bongoproject #bongofleva #morogoro #tanzania #eastcoastteam #lafamilia
    Bongo Project ni "project" mpya Tanzania inayojihusisha na kazi za sanaa na yenye lengo la kuhifadhi taarifa, historia na takwimu muhimu za sanaa ya Tanzania pamoja na wasanii wake.
    --------------------
    WEBSITE
    --------------------
    bongoproject.org/
    --------------------
    SOCIAL MEDIA
    --------------------
    Instagram: / bongo_project
    Facebook: / bongo-project-10256641...
    TikTok: / bongoproject
    --------------------
    CONTACT
    --------------------
    Email: info@bongoproject.org

ความคิดเห็น • 4