O-TEN - Huyu Hapa O-Ten Tulimfuata Morogoro | Amefunguka - Part 1

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ต.ค. 2024
  • Tulimfuata O-Ten Morogoro. Cheki hii interview akielezea safari yake ya muziki na maisha kutoka Morogoro, kujiunga na East Coast, bifu na Wanaume TMK, n.k Usikose
    #oten #o-ten #bongoproject #bongofleva #morogoro #eastcoastteam #tanzania
    Bongo Project ni "project" mpya Tanzania inayojihusisha na kazi za sanaa na yenye lengo la kuhifadhi taarifa, historia na takwimu muhimu za sanaa ya Tanzania pamoja na wasanii wake.
    --------------------
    WEBSITE
    --------------------
    bongoproject.org/
    --------------------
    SOCIAL MEDIA
    --------------------
    Instagram: / bongo_project
    Facebook: / bongo-project-10256641...
    TikTok: / bongoproject
    --------------------
    CONTACT
    --------------------
    Email: info@bongoproject.org

ความคิดเห็น • 17

  • @hancybrouwn5032
    @hancybrouwn5032 12 วันที่ผ่านมา +1

    Kali

  • @givenswallo9951
    @givenswallo9951 19 วันที่ผ่านมา +2

    Nawakubali sana bomgo project

    • @bongo_project
      @bongo_project  19 วันที่ผ่านมา +1

      Kamili sana. Tunawakubali pia wafuatiliaji kama nyinyi

  • @charlesjacksonbusanda2568
    @charlesjacksonbusanda2568 19 วันที่ผ่านมา +3

    Mwamba namkubali sana bado yuko smart aisee si walisema amekuwa chizi mbona yuko sawa
    Pambana mkuu wa mkoa umeibeba moro mabegani

    • @bongo_project
      @bongo_project  19 วันที่ผ่านมา +2

      Yeah story zimekuwa nyingi. Ndio maana tunawafuata kabisa kupiga nao story

  • @Linkvibetv
    @Linkvibetv 18 วันที่ผ่านมา +1

    TABLET IMECHOKA WEKENI COVER MAANA MMEKUSUDIA IONEKANE MKIIACHA HIVYO MNASHUSHA THAMANI YA PROJECT YENU

    • @bongo_project
      @bongo_project  18 วันที่ผ่านมา

      Ilipata ajali mzazi. Ila Shukrani tutalifanyia kazi

  • @giztony2009
    @giztony2009 13 วันที่ผ่านมา +1

    Hawa jamaa walijitunza sana tokea kipindi kile wapo kwenye spotlight lakini wana afya nzuri hiki ni kitu kikubwa sana

  • @King-Buda
    @King-Buda 18 วันที่ผ่านมา +1

    GM hotel naikubar sana inabonge la View Moro unaiona yote

  • @mshangaf1726
    @mshangaf1726 19 วันที่ผ่านมา +2

    benjamin ni dollar 100 ya marekani kwa kuwa ina picha ya benjamin, siyo kama oten alivyosema japo ni pesa

  • @maarifanac
    @maarifanac 10 วันที่ผ่านมา +1

    Hii interview imenifanya nikachek tena Nicheki aisee jamaa alikua mbele ya muda Sana dah 🤔

    • @bongo_project
      @bongo_project  10 วันที่ผ่านมา

      Alikuwa vizuri indeed!

  • @HarunaRamadhani-q5g
    @HarunaRamadhani-q5g 18 วันที่ผ่านมา

    Msela tupo naye bigwa hapa ila akomae

  • @kagirasta1476
    @kagirasta1476 19 วันที่ผ่านมา

    Philipo Nyandindi

  • @nasoromchekanae4942
    @nasoromchekanae4942 17 วันที่ผ่านมา +1

    Tuna omba mtafute dabo d aliimba kosa la malehemu

    • @bongo_project
      @bongo_project  17 วันที่ผ่านมา

      Sawa…Wapo wengi sana tutawatafuta tu.

  • @HASSANBAKARI-q9c
    @HASSANBAKARI-q9c 19 วันที่ผ่านมา +1

    Nisifiche ilishamsahau