BANANA ZORRO - Full Interview na Bongo Project

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ส.ค. 2024
  • Interview nzima kati ya timu ya Bongo Project na Banana Zorro. Usikose hii! Banana amezungumzia mengi ya safari yake ya muziki na maisha.
    #bananazorro #bongoproject #bongofleva #tanzania
    Bongo Project ni "project" mpya Tanzania inayojihusisha na kazi za sanaa na yenye lengo la kuhifadhi taarifa, historia na takwimu muhimu za sanaa ya Tanzania pamoja na wasanii wake.
    --------------------
    WEBSITE
    --------------------
    bongoproject.org/
    --------------------
    SOCIAL MEDIA
    --------------------
    Instagram: / bongo_project
    Facebook: / bongo-project-10256641...
    TikTok: / bongoproject
    --------------------
    CONTACT
    --------------------
    Email: info@bongoproject.org

ความคิดเห็น • 4

  • @mbenamdudu7856
    @mbenamdudu7856 2 หลายเดือนก่อน +1

    Legend kitambo sana

  • @selemanblonzo4483
    @selemanblonzo4483 หลายเดือนก่อน +1

    Hiyo Interview irudiwe kabisa ,jamaa kasema amezaliwa mafinga iringa sasa wimbo wa kigoma all stars na yeye anajiita wa kigoma inakuaje tena katokea iringa ?

    • @bongo_project
      @bongo_project  หลายเดือนก่อน

      Braza. Sehemu uliyozaliwa haina uhusiano na kabila lako au nyumbani kwenu. Sidhani kama Kigoma All Stars ilikuwa ni ya wasanii waliozaliwa Kigoma