Afande Sele yuko underrated sana. Ni moja ya wasanaii wenye IQ kubwa sana nchi hii. Ukisikiliza nyimbo zake kwa akili badala ya masikio utaiona IQ yake. #Respect Brother Msindi.
Kuna nyimbo moja ya afande Sele inaitwa "Dini Tumeletewa" ukisikiliza ndio utaona kua afande anakipaji kikubwa sana cha kutunga mashairi....Big up sana Afande Sele
Nakumbuka miaka ya 2000s nikisikiza mziki wa BONGO FLAVA huku Kenya from (Redio free Afrika) ... Darubini Kali na bado naiskiza hapa MAREKANI miaka mingi baadaye... Long live the legends of the TZ rap!! #SEATTLE
Katika muziki huu mpaka umefikia hapa serikali itabidi iangalie sana wasanii wa bongo fleva wame fanya kazi kubwa sana kwenye hii nchi na baadhi ya viongozi wetu wengi wame pata kura na nyingi kupitia wasanii hawa.
Daaah nimesikia kamtaja fundi Sina, huyo jamaa alikuwa fundi mzuri sana wa kushona Mpira wa gozi.Kipindi hicho Mpira ndani Kuna Breda, sasahivi ni tubeless
@@HamzaMduda usinihukumu kwa uongo taarifa hizi zilitufikia pia hivyo kama yupo hai ni habari njema na tunashukuru hilo ni jema. Naomba radhi kwa kutoa taarifa ambayo haikuwa na uhakika na asante kwa taarifa sahihi
Afande sele amesema hana dini kuwa dini ni matokeo ya binaadam vipi kufunga na kusali alifanya kwa maelekezo gani? wakati tunaamini kufunga na kusali ni matokeo ya dini mbili uislam na ukristo
Afande Sele yuko underrated sana. Ni moja ya wasanaii wenye IQ kubwa sana nchi hii. Ukisikiliza nyimbo zake kwa akili badala ya masikio utaiona IQ yake. #Respect Brother Msindi.
Indeed. Ni madini sana huyo bwana
Kuna nyimbo moja ya afande Sele inaitwa "Dini Tumeletewa" ukisikiliza ndio utaona kua afande anakipaji kikubwa sana cha kutunga mashairi....Big up sana Afande Sele
Sio Dini tu mzazi…zipo nyingi sana: Mtazamo, Darubini Kali, Heshima, Karata Dume…humo kote ni hatari
kweli kabisa ila Hii ya Dini tumeletewa utunzi wake umenyooka sana@@bongo_project
Brother uko na maono Sana 👊
Nakumbuka miaka ya 2000s nikisikiza mziki wa BONGO FLAVA huku Kenya from (Redio free Afrika) ... Darubini Kali na bado naiskiza hapa MAREKANI miaka mingi baadaye... Long live the legends of the TZ rap!! #SEATTLE
That was the golden generation of Bongo Fleva. 2000 - 2010
Katika muziki huu mpaka umefikia hapa serikali itabidi iangalie sana wasanii wa bongo fleva wame fanya kazi kubwa sana kwenye hii nchi na baadhi ya viongozi wetu wengi wame pata kura na nyingi kupitia wasanii hawa.
Wamefanya makubwa sana! Mchango wao inabidi uthaminiwe
My brother afande legend still alive.
Msanii wangu wa muda wote. King seleman msindi❤
Nadhani wewe haunishindi mimi
Interview tamu sana hongera sana bro mtangazaji
Tunashukuru tunashukuru
Nakumbuka kitambo sn
BIG UP AFANDE SELE KWA KUTOA MADINI MAZURI🔥🔥🔥👏👏
Wafaida 👑👑👑
Very smart, Mungu akupe umri mrefu mfalme
Dudu mungu akupe umri
Mamba & Sele big up
Respct dudu &afande
Sele naona unabwia kakisungura kiaina
Msanii bora wa md wte tz
Respect to Dudu Baya❤
Daaah nimesikia kamtaja fundi Sina, huyo jamaa alikuwa fundi mzuri sana wa kushona Mpira wa gozi.Kipindi hicho Mpira ndani Kuna Breda, sasahivi ni tubeless
💯
Big up sugu
Afande smart sana
Kichwa huyo...
Miongoni mwa wasanii wangu pendwa kabisa#afande sele
💯
Msanii bora wa md wte tz 2
good
Mtu wa Maana kabisa huyu.
Indeed
Kama unapenda Pepo ya Nini uogope kifo,,,,,,,aling'atwa na mbu kwenye kisigino😂😂😂VITOTO VYA 2000s havielewi kitu😂
Mwambaaà!
Kabisa kabisa.
Msanii bora wa muda wte tz simba zee
🔥🔥🔥🔥
Madogo mabwbw xn😂
Sisi vijana wa zamani tukiuikia hivi roho kwaaatu, ni raha tupu😅
Da Zena alifariki brothers may her soul rest in peace
Dah! Shukrani kwa taarifa braza. …Huyu ni MC Koba mwenyewe?
Acha uongo ww zena yupo hai na namba zake ninazo
@@HamzaMduda usinihukumu kwa uongo taarifa hizi zilitufikia pia hivyo kama yupo hai ni habari njema na tunashukuru hilo ni jema. Naomba radhi kwa kutoa taarifa ambayo haikuwa na uhakika na asante kwa taarifa sahihi
@@bongo_project ndio ndio kaka
Mc koba
Afande kafanya vizuri kimuziki ila less better on socialising techniques
Unamaanisha nini hapo kwenye “socialising techniques”?
Tueleweshe hapo kaka, maana yako ni nini
Ata mimi sijaelewa hapo kwenye socializing techniques.Afande kept it 💯 to himself and his belief.Ww happ umemaanisha nn?
Madogo wana sintofaham nyingi nyuma ya pazia 😅
Duh kumbe ulijaza uwanja na bado ukarushwa, Mungu mwema still unadunda alie kurusha nadhani aliko anakipata
Huyu mtangazaji anaitwa nan??
Anaitwa Bavuga. Unaweza kumpata hapa: instagram.com/bavuga_jr/
Au hapa: instagram.com/bongo_project/
@@bongo_projectasante sana nimem follow nimerudi kwenye interview, huyu ndugu anajua sana na ana improve kila siku, maua yake
Nyimbo za sasa hivi ni matus tu afande sele anaongea ukweli kabisa
Afande sele amesema hana dini kuwa dini ni matokeo ya binaadam vipi kufunga na kusali alifanya kwa maelekezo gani? wakati tunaamini kufunga na kusali ni matokeo ya dini mbili uislam na ukristo
Acha mihemko sikiliza vizuri kisha tathmini