BANANA ZORRO - Huyu Hapa Banana Zorro | Anadunda Town Bila Ngoma Mpya - Part 1

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ส.ค. 2024
  • Leo tuko na bingwa wa mavokali, BANANA ZORRO. Anatusimulia mengi juu ya safari yake ya muziki na maisha. Usikose hii!
    #bananazorro #bongoproject #bongofleva #tanzania
    Bongo Project ni "project" mpya Tanzania inayojihusisha na kazi za sanaa na yenye lengo la kuhifadhi taarifa, historia na takwimu muhimu za sanaa ya Tanzania pamoja na wasanii wake.
    --------------------
    WEBSITE
    --------------------
    bongoproject.org/
    --------------------
    SOCIAL MEDIA
    --------------------
    Instagram: / bongo_project
    Facebook: / bongo-project-10256641...
    TikTok: / bongoproject
    --------------------
    CONTACT
    --------------------
    Email: info@bongoproject.org

ความคิดเห็น • 4

  • @musicaslocais3920
    @musicaslocais3920 2 หลายเดือนก่อน +2

    Banana zorro Amefanana na zuzumila

  • @user-nm8ym6iq7n
    @user-nm8ym6iq7n 2 หลายเดือนก่อน +4

    Feruz anasema yy ndo mwanzilish wa bongo freva ngoma yake ya kwanza katoa 98, Duly syskes anasema yy ndo mwanzilishi wa bongo freva, Banana zoro nae anasema nyimbo yake ya pil aliitoa 98 kwenda 99 na ndo ilimpa umaarufu mnatuchanganya wazee nani hasa mwanzilishi wa bongo freva??

    • @bongo_project
      @bongo_project  2 หลายเดือนก่อน +2

      Swali zuri sana hilo…Inabidi siku tukae chini tuwahoji. Ila kwa hoja ya Feruzi na Daz Nundaz…wanasema wao ndio wa kwanza kuja na style ya kuimba Bongo Fleva. Kabla ya hapo ilikuwa ni kurap tu.

    • @JRN2612
      @JRN2612 2 หลายเดือนก่อน +2

      Me ni mzawa wa 1990. Feruz na kundi lake la Daz Nunda ndio kundi la kwanza kwa kweli, kisha akaja Dully sykes, na baadae ndio wakaja hao wakina banana.