Mimi pia hujiuliza sana Chid Benz alikuwa anaimba nini wakati Mwana FA , Afande Sele , Fid Q akina Albert Mangwear ,Mr Blue hawana tuzo . Weusi kiukweli hamna kazi nzuri wakiowahi kufanya.
Downplaying Solo Thang sio sawa, nenda kasikilize tena homa ya dunia ile album nzima kisha uje usikilize tena anachosema Afande Sele nadhani utagundua hapo mfalme Sele amezingua.
Kaka Bavuga Asante sana kwa hizi contents...nina swali moja, je kuna technical reason ya gape la kupost hizi episodes?....kama ni issue ya kumultiply views still unaweza post 6 episodes at once mtu akaziview zote same day, utapata same views - hili gape linafanya mtu apoteze interest kufatilia...regardless i appreciate the time and resources unaweka kutuletea hizi contents na i will keep viewing.
Shukrani sana kaka. Hatuna interviews nyingi. Channel yetu bado ndogo…so tukizipost zote kwa pamoja…itabidi tukae muda mrefu bila kupost kitu. Pia ni kuwapa watu muda wa kufuatilia. Baada ya hiki kipande cha mwisho huwa tunapost full interview kabisa mtu aangalie mwanzo mpaka mwisho
Nimemaanisha Mheshimiwa Mwinjuma anaweza kuwa alitoka na mawazo ya keenda kufanya maboresho kwenye wizara aliyopewa. Ila alipofika pale alitakiwa afanye tu aliyoambiwa na sio aje aongeze na yake. Kwahyo ukifika pale unakuwa unafanya yale tu ambayo wao wanataka uyafanye ndo mana inawezekana tunamuona anafanya kidogo zaidi ya vile watu walitarajia. Mfano, sahizi nyimbo za hovyo ndizo zenye soko na ndizo zinazokusanya mapato makubwa kwenye nchi. Akisema apige sana marufuku ukute itaathiri kwa namna fulani uchumi wa nchi. Na ukute yeye akakatazaa asizikomalie sana hizo nyimbo ndo mana na yeye anafanya aliyoyakuta tu na sio kuongeza na yake.
TUZO ZA KILI ZA KWANZA KABISA NDIO ZILIFANYIKA KWA HAKI NA 20% AKACHUKUWA TUZO 5 , WAKAANZA OH 20 PERCENT HAJIPENDI , HAJUI KUVAA MARA WAKASEMA MCHAFU , NA WAKABUNI WASAFI CLASSIC AMBAYO LEO HII NDIO WCB . HAKUNA WCB BILA 20 PERCENT , KAMA MTU ANAKUMBUKUMBU ,BAADA YA 20 PERCENT KUFANYA MOVIE , DIAMOND AKAANZA KUTENGENEZA MOVIE PIA , VIKAMBYELA AKAANZA KUCHEZA NA MEDIA TU KUMSHUSHA 20 PERCENT .😢😢😢
Kwel kabixa....
Dini tumeletewa...umefkili sana..bro
Mfalume ni mmoja tu 🔥🔥🔥
Brother interview zinachelewA Sana kupandishwa
Zote zipo tayari mzazi. Hata Full Interview ipo…ni wewe tu
Sijawahi kuchoka kumsikiliza Afande, Huyu jamaa ni very intelligent
Indeed!
❤❤❤❤❤
Yes Huyu ni Mfalme wa muda wote wa mashairi hakuna mwengine hata anayemkaribia kwa nchi hii hayupo
❤simba zee
Fact sana my brother 🙏🙏🙏🙏🙏
Wa Kwanzaa leo, naombeni mauwa yangu wakuu 🙏 !!
😀 Umeamka nayo!
Nakuaminia bro sele
🤝🙏🙌
Respect mjomba sele
Kaka umeongea exactly
💪💯
Shishi na Buheti na Tuzo zao 🛫
Akili mingi saaaana ukwer lazima usemwe ww ndio mfarume
Mfalme
Noma noma aiseee
Afande sele jitu pori unaonaje ukamuita Bingwa
Na Huo ndio Ukweli
Huyo ndio afand baba solemn msindi
Mimi pia hujiuliza sana Chid Benz alikuwa anaimba nini wakati Mwana FA , Afande Sele , Fid Q akina Albert Mangwear ,Mr Blue hawana tuzo . Weusi kiukweli hamna kazi nzuri wakiowahi kufanya.
Afande anasema wote wote kmya
Afande anaongea ukweli kabisa boongo nyoso
Downplaying Solo Thang sio sawa, nenda kasikilize tena homa ya dunia ile album nzima kisha uje usikilize tena anachosema Afande Sele nadhani utagundua hapo mfalme Sele amezingua.
Kaka Bavuga Asante sana kwa hizi contents...nina swali moja, je kuna technical reason ya gape la kupost hizi episodes?....kama ni issue ya kumultiply views still unaweza post 6 episodes at once mtu akaziview zote same day, utapata same views - hili gape linafanya mtu apoteze interest kufatilia...regardless i appreciate the time and resources unaweka kutuletea hizi contents na i will keep viewing.
Shukrani sana kaka. Hatuna interviews nyingi. Channel yetu bado ndogo…so tukizipost zote kwa pamoja…itabidi tukae muda mrefu bila kupost kitu. Pia ni kuwapa watu muda wa kufuatilia. Baada ya hiki kipande cha mwisho huwa tunapost full interview kabisa mtu aangalie mwanzo mpaka mwisho
Safi sana kaka Mimi binafsi nakuelewa sanaaaa napenda kbs hizi kazi zako.@@bongo_project
😂😂😂😂😂 gk
Shida ni pale unaitwa ufanye kazi na unapewa box na majukumu uyafanyie ndani ya box.
Ukimaanisha? Umetuacha
Nimemaanisha Mheshimiwa Mwinjuma anaweza kuwa alitoka na mawazo ya keenda kufanya maboresho kwenye wizara aliyopewa. Ila alipofika pale alitakiwa afanye tu aliyoambiwa na sio aje aongeze na yake. Kwahyo ukifika pale unakuwa unafanya yale tu ambayo wao wanataka uyafanye ndo mana inawezekana tunamuona anafanya kidogo zaidi ya vile watu walitarajia. Mfano, sahizi nyimbo za hovyo ndizo zenye soko na ndizo zinazokusanya mapato makubwa kwenye nchi. Akisema apige sana marufuku ukute itaathiri kwa namna fulani uchumi wa nchi. Na ukute yeye akakatazaa asizikomalie sana hizo nyimbo ndo mana na yeye anafanya aliyoyakuta tu na sio kuongeza na yake.
@@dunstunnchimbi7994 Tumekupata
TUZO ZA KILI ZA KWANZA KABISA NDIO ZILIFANYIKA KWA HAKI NA 20% AKACHUKUWA TUZO 5 , WAKAANZA OH 20 PERCENT
HAJIPENDI , HAJUI KUVAA MARA WAKASEMA MCHAFU , NA WAKABUNI WASAFI CLASSIC AMBAYO LEO HII NDIO WCB . HAKUNA WCB BILA 20 PERCENT , KAMA MTU ANAKUMBUKUMBU ,BAADA YA 20 PERCENT KUFANYA MOVIE , DIAMOND AKAANZA KUTENGENEZA MOVIE PIA , VIKAMBYELA AKAANZA KUCHEZA NA MEDIA TU KUMSHUSHA 20 PERCENT .😢😢😢
Za kwanza zilikuwa kitambo sana…hizo za 20% ni baadae mno
@@bongo_project lkn ndio pekee ambazo mashabiki tulipiga kura ONLINE .
Nchii Wajinga wengi sana Hii Nchi Afande Sele Hana Tuzo Wala MrBlue Hana Tuzo
hahahahah....mtazamo sawa .lakini nyumbani ni nyumbani ilikuwa super hit mzee..hii ndio track iliwapa jina tmk kila kona..
TANZANIA HII HAKUNA MWANA HIP HOP ANAANDIKA ZAIDI YA SELEMAN MSINDI....NA HUO NDIO UKWELI
Kwer kabisa
@@MwaiburuHalisi Sio Pouwaaaaa