PART 2. Nafasi Za Kazi Nje ya Nchi | Mafunzo ya Elimu ya Ufundi Ujerumani | Ausbildung

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ต.ค. 2024
  • Ni sifa gani unatakiwa kuwa nazo kupata fursa hii? Hauhitaji degree tano wala PhD ya maswala ya anga.

ความคิดเห็น • 12

  • @mkingageorge2641
    @mkingageorge2641 ปีที่แล้ว

    Ndgu elias naomba uje utengeneze video ya sisi tulio ishia darasa la 7 na pesa nauli tunazo na tunawezaje kuja huko kupiga kazi hata za viwandani #mungu wako ndo wetu pia #asante kwa hizi video

  • @mmasipeter4157
    @mmasipeter4157 ปีที่แล้ว

    asanteee sana kk kwa kutuleteya habari njema mimi ni mdau mpya kwako nimekupata kwa witness

  • @GeslybeJr
    @GeslybeJr ปีที่แล้ว

    Bro Ndonajiandaa kwenda kusoma lugha iyo ila utanisaidia Ku apply

  • @SarahIsike
    @SarahIsike 4 หลายเดือนก่อน

    Kwahyo hii ausibulding haina masharti ya miaka ?

  • @GeslybeJr
    @GeslybeJr ปีที่แล้ว

    Bro nilikua nauliza Nauli ya kwenda Ujeru Wanakulipoa pia au Najitegemea

    • @EliTaarifa
      @EliTaarifa  ปีที่แล้ว +1

      Nauli unajitegemea mkuu

  • @nashinonurat9604
    @nashinonurat9604 ปีที่แล้ว

    kama lugha haipand ndio bhas tena?

    • @EliTaarifa
      @EliTaarifa  ปีที่แล้ว

      Kwa hii opportunity lugha ni mkombozi

  • @ngumaimani276
    @ngumaimani276 ปีที่แล้ว

    Kwel muhimu kujifunza

  • @micon8176
    @micon8176 ปีที่แล้ว

    Kaka naomba unisaidie link ya ku apply hizo flusa na je ? Application inaanza lini maana mimi ninavigezo

    • @EliTaarifa
      @EliTaarifa  ปีที่แล้ว

      Application huwa haina muda maalumu wa kuanza, lakini kwa kuwa training zinaanza mwezi wa nane au wa tisa inabidi kuanza kutafuta nafasi mapema ili kujipa muda wa kukamilisha utaratibu na maombi ya visa