Nyie huu wimbo ni historia ya maisha yangu nilipitia kıpindi kigumu mwezi wa 2-6/2024 .Nataka nikuhakikishie wewe unayepitia wakati mgumu utavuka na utasahau kama uliwahi pitia kipindi kigumu.Amini tu.Mimi nimesahau yote ya misri saivi niko ikulu.
Running to come listen to this sweet song thinking it's a week old or something only to realize it's 2 years old....chesoooooo. Millenial suspect getting older😂😂
Kenyans 🇰🇪🇰🇪let's gather here... Tumekubalika na Mungu na hii uchumi ngumu tuna nguvu za kifalme...He knows us ❤❤... Our LIVING GOD not a leaving god.. 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Tulikula mtama kwa maji,tukanawili kuliko wao ,hatukupambwa kama wao tukapendeza zaidi Yao,walitubadili majina hawatukubadili hatima ,walipo tutuapa shimoni tukaibukia ikulu,.....
Wimbo unahitaji tafsiri ya kiroho ili kupata haidroliki za kiroho zilizomo ndani yake. Ambwene ongeza kunyenyekea mbele za Kristo, atakupa neema zaidi.
Tulikula mtama kwa maji tukanenepa kuliko woa, hatukupambwa kama wao tukapendeza zaidi yao, walitubadilisha majina hawakubadili hatima, walipotutupa shimoni tukaibukia ikulu, kule walipotusukumia ndiko Mungu hupumzikia walidhani wanatukimbiza kumbe wanatusindikiza. Safi sana huu wimbo miaka mia haupoi
Tumekubalika na Mungu tuna nguvu za ki-falme Ametuchora kweli moyoni mwake tu uzao wa agano Tumekubalika na Mungu tuna nguvu za ki-falme Ametuchora kweli moyoni mwake tu uzao wa agano Tu uzao mteule aaah aah aah Ukuhani wa ki-falme eeh aah aah Taifa takatifu aah aah ooh ooh Watu wa milki ya Mungu aah aah oh oh Nimemwona Mungu amewaleta kutoka Misri wana nguvu kama za nyati Watawavunja adui mifupa Vipande vipande watawachoma adui kwa mishale Yeye kawabariki nani aawalaani, Mungu kawabariki nani wakuwapinga Wana nguvu aaah Mungu kawapa aaah Wanaweza aaah Bwana kawapa aah, ooh Wanautishoo aaah Bwana kawapa aah ooh ooh Hatuwezi tishwa kwa maneno yao nguvu zetu zipo Kwa Bwana aaah tulipona kwa Farao Tukiwa ugenini hatukufa kwa njaa tukiwa hatuna kitu, Tulinusurika vita tukiwa hatuna silaha, tulipona magonjwa Tukiwa hatuna dawa tulipona ma-wifi ndoa zikiwa tetee Tuliweza maisha tukiwa hatuna hela, tulishinda upweke Tukiwa tumeachwa tuliponywa kesi bila ya mtetezi Mungu alikuwepo hatukuwa pekee yetu waliotuonea hilo hawakuja katutoa Misri tuna nguvu kama za nyati kuvunja vipande, katutoa Misri tuna nguvu kama za nyati kuvunja vipande yayaah yaah Tumekubalika Tumekubalika na Mungu Tuna nguvu za ki-falme ametuchora Kweli moyoni mwake tu uzao wa agano 2 Usiye lala aah aah Usiye lala aah aah Usiye lala aah aah aaah Usiye lala aah Usiwachokoze walio na Mungu wamebarikiwa na Mungu Wakitupwa jangwani wateseke wafe huligeuza bustanii Tulikula mtama kwa maji tukanawiri kuliko wao Hatukupambwa kama wao tukapendeza zaidi yao, Walitubadilisha majina hawakubadili Hatima walipotutupa shimoni tukaibukia ikulu, Kule walipotusukumia Ndiko Mungu hupumzikia, Walidhani wanatukimbiza kumbe Wanatusindikiza Bwana wangu, Yesu Yesu Yesu Shindii, Yesu Mwamba, Yesu Wewe, Yesu Aah haaa aah Jiwe langu Yesu Ngome Yesu Mwamba aaah Bwana Yesu Ooh uuh Jiwe langu Yesu Mwaminifu Yesu Haki Yesu Ngome Yesu Nguzo Yesu Aah aah Jina lako Yesu Yesu Yesu Haki Yesu Mwaminifu Yesu Wewe Yesu Aah aah Tumekubalika na Mungu Tuna nguvu za kifalme Ametuchora kweli moyoni mwake tu
Kwanza apo kwa tulikula mtama kwa maji inaslap mbaya sana🇰🇪TikTok it likes one week old kumbe ni two years ✅ enyewe God's time is always the best 💯 one million views to go
Nabarikiwa Sana na huu wimbo...naona unaongea na Maisha yangu Sana..huwa nausikiliza Mara mbili mbili na kuangalia nilikopitia ninakopititia na ninakoelekea . Asante Yesu kutumia Mtumishi Huyu 🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Hata wakati hakuna mtu anayeamini utafanikiwa. Mtu mmoja bado yuko. Wanakuona kama nyota! Hata kila mtu anapokuita umeshindwa huyo mtu bado anaona mafanikio ndani yako! Mtu huyo ni mama yako. Upendo wa mama ni nguvu sana! Mungu awabariki kina mama wote mliopo! Mifuko yao isikauke kwa jina la Mungu.
Pasina shaka "TUMEKUBALIKA NA MUNGU"!. Mungu akiwa upande wetu hatutaogipa, mwanadamu atatufanyani? Mungu akubariki, akutunze na kukuinua zaidi Ambwene.
"...tulikula mtama kwa maji tukanawiri kuliko wao, hatukupambwa kama wao tukapendeza kuliko wao... walidhani wanatukimbizs kumbe wanatusindikiza..."🔥🔥🔥🔥
Hesabu 23:22 Mungu amewaleta kutoka Misri, Naye ana nguvu kama nguvu za nyati. 1 Petro 2:9 Bali ninyi ni mzao mteule, ukuhani wa kifalme, taifa takatifu, watu wa milki ya Mungu, mpate kuzitangaza fadhili zake yeye aliyewaita mtoke gizani mkaingie katika nuru yake ya ajabu; Daniel 1:12 Tafadhali utujaribu sisi watumishi wako muda wa siku kumi; na watupe mtama tule, na maji tunywe. 15 Hata mwisho wa zile siku kumi nyuso zao zilikuwa nzuri zaidi, na miili yao ilikuwa imenenepa zaidi, kuliko wale vijana wote waliokula chakula cha mfalme.
Wow wow wow mwe nasubiri kwa hamu kumbe tumekubalika isiwachokoze walio na Mungu wamebarikiwa na Mungu wee tulikula mtama kwa Maji tukanawili kuwazidi nasubiri mbalaka Huu. Because ❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️
Naam songs tamu sana Mungu akubariki Yesu mwamba Yesu ngome Yesu aahaaaa Jiwe langu Haki yangu Yesu Yesu Yesu Tumekubarika na Mungu tuna nguvu za kifalme
I remember 2021 August 22 Sunday 10:30am when my dad developed angel wings ..... It was difficult for us , since no one was their for us . I miss you daily dad . Today I testify that God has been faithful to us . A blessing touching heart song .
Mm nakutafakar Sana kuwa wewe ni Pastor Ambwene . Maana mahubir yako yananguvu brother Sana mm naomba nakutunga Ila wewe Kuna nguvu ya Roho imetamalak moyoni mwako. Ndio Mana kumbe zako Zina mguso slot.
I feel always strong by listening this song. I discovered that I'm the child of God. Oh lord let me feel your presence through this heaven message. We're proud to be in your kingdom lord
Tumekubalika na Mungu Pamoja na kwamba hatukuwa na kustahili tangu awali. Asante yetu kwa agano la uzima wa milele kwetu tuliokuwa tumekufa kwa asili. Jila lako litukuzwe sana mfalme Yesu
Wenye tumetoka TikTok let's like this comment 😊we are blessed
Tumekubalika Na Bwana kweli Uzao wa kifalme. Ubalikiwe sana Kaka umekuwa Baraka sana kwenye maisha yatu
Amina mtumishi wa Mungu barikiwa sana
Barikiwa mno mpendwa kaka yangu,
I’m Proud In Building and Investing in the Kingdom Of GOD
Nyie watu Mungu anawatumia mnoooh
Amen❤
Those from TikTok Ann mwangangi 😊im blessed.Tumekubalika
Nyie huu wimbo ni historia ya maisha yangu nilipitia kıpindi kigumu mwezi wa 2-6/2024 .Nataka nikuhakikishie wewe unayepitia wakati mgumu utavuka na utasahau kama uliwahi pitia kipindi kigumu.Amini tu.Mimi nimesahau yote ya misri saivi niko ikulu.
Aminaaaaa
Ann mwangangi amenifahamisha huu wimbo kutoka tiktok
Kenyans 🇰🇪 🇰🇪, who else is here before 1M views?
I thought it's a new song🥹
Enyewe God's time is the best
Me too nasearch naona 2yrs nasema si hiyo🤦♀️...its true Gods time🙏
Kenyans wakikukubali lazima u rise.. coming from tikitoki
Running to come listen to this sweet song thinking it's a week old or something only to realize it's 2 years old....chesoooooo. Millenial suspect getting older😂😂
From TikTok thinking it's a new song😊enyewe God's time is the best😊❤
Yani 2yrs ego kweli kuna God Time kwa kila kitu.nilidhani nia juzi
Kenyans 🇰🇪🇰🇪let's gather here... Tumekubalika na Mungu na hii uchumi ngumu tuna nguvu za kifalme...He knows us ❤❤... Our LIVING GOD not a leaving god.. 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
From Tiktok juu ya Ann mwangangi kurudiarudia ya song
Tulikula mtama kwa maji,tukanawili kuliko wao ,hatukupambwa kama wao tukapendeza zaidi Yao,walitubadili majina hawatukubadili hatima ,walipo tutuapa shimoni tukaibukia ikulu,.....
@Ann Mwangangi sent me here and all i can say… God is great
Same here
Me too
Wimbo unahitaji tafsiri ya kiroho ili kupata haidroliki za kiroho zilizomo ndani yake. Ambwene ongeza kunyenyekea mbele za Kristo, atakupa neema zaidi.
Kabisaa mtumishi
I've heard this song for the first time and it has spoken to my heart in a mighty way alicho bariki mungu hakuna wakulaani. Sisi ni jamii ya ufalme
2024. T wo years later and i hear this song for the first time and realize how inspirational it is
God is good 2yrs later the song trends ,whose from tiktok,🎉🎉🎉🎉this song is my song
Here because of angel Atieno....I thought it's a new song 😮😮but 2yrs ? Shame on me 🙈
Eeeiy wacha mungu afanye kazi yake vnye anapenda..yaan 2years ago but imekuja kutrend..God is great 🇰🇪 🇰🇪
+MUNGU+ azidi KUKUBARIKI kwa kila eneo siku zote za ujana, uzee na uzao wako kwa ajili ya UTUKUFU wake hata MILELE 1 WAKORINTO 1:8-9💯🙏🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
It's my favorite song so far since 2 hours ago
Tulikula mtama kwa maji tukanenepa kuliko woa, hatukupambwa kama wao tukapendeza zaidi yao, walitubadilisha majina hawakubadili hatima, walipotutupa shimoni tukaibukia ikulu, kule walipotusukumia ndiko Mungu hupumzikia walidhani wanatukimbiza kumbe wanatusindikiza. Safi sana huu wimbo miaka mia haupoi
best verses
enyewe when your time comes hakuna kupinga, 2yrs old na ndio tunafika
True
Exactly
To the person reading this ,,I pray that God elevates you and gives you a great testimony 🙏
Amen
Amen 🙏🙏❤️💞
Amen
Amen
I thought it's new only to find it's 2 yrs ago enyewe Gods time🙏🙏
Amen 🙏 God's timing is the best 😊im waiting for my time almighty God
Here from tiktok... This song is two yrs old??😮
Asante Yesu, nakukiri kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yangu. Hakika wewe ni mwaminifu na hakuna mwingine wa kulinganishwa nawe.
From TikTok 😊
Same here
Tumekubalika na Mungu tuna nguvu za ki-falme
Ametuchora kweli moyoni mwake tu uzao wa agano
Tumekubalika na Mungu tuna nguvu za ki-falme
Ametuchora kweli moyoni mwake tu uzao wa agano
Tu uzao mteule aaah aah aah
Ukuhani wa ki-falme eeh aah aah
Taifa takatifu aah aah ooh ooh
Watu wa milki ya Mungu aah aah oh oh
Nimemwona Mungu amewaleta kutoka
Misri wana nguvu kama za nyati
Watawavunja adui mifupa
Vipande vipande watawachoma adui kwa mishale
Yeye kawabariki nani aawalaani,
Mungu kawabariki nani wakuwapinga
Wana nguvu aaah Mungu kawapa aaah
Wanaweza aaah Bwana kawapa aah, ooh
Wanautishoo aaah Bwana kawapa aah ooh ooh
Hatuwezi tishwa kwa maneno yao nguvu zetu zipo
Kwa Bwana aaah tulipona kwa Farao
Tukiwa ugenini hatukufa kwa njaa tukiwa hatuna kitu,
Tulinusurika vita tukiwa hatuna silaha, tulipona magonjwa
Tukiwa hatuna dawa tulipona ma-wifi ndoa zikiwa tetee
Tuliweza maisha tukiwa hatuna hela, tulishinda upweke
Tukiwa tumeachwa tuliponywa kesi bila ya mtetezi
Mungu alikuwepo hatukuwa pekee yetu waliotuonea hilo
hawakuja katutoa Misri tuna nguvu kama za nyati kuvunja vipande,
katutoa Misri tuna nguvu kama za nyati kuvunja vipande yayaah yaah
Tumekubalika
Tumekubalika na Mungu
Tuna nguvu za ki-falme ametuchora
Kweli moyoni mwake tu uzao wa agano 2
Usiye lala aah aah
Usiye lala aah aah
Usiye lala aah aah aaah
Usiye lala aah
Usiwachokoze walio na Mungu wamebarikiwa na Mungu
Wakitupwa jangwani wateseke wafe huligeuza bustanii
Tulikula mtama kwa maji tukanawiri kuliko wao
Hatukupambwa kama wao tukapendeza zaidi yao,
Walitubadilisha majina hawakubadili
Hatima walipotutupa shimoni tukaibukia ikulu,
Kule walipotusukumia
Ndiko Mungu hupumzikia,
Walidhani wanatukimbiza kumbe
Wanatusindikiza
Bwana wangu, Yesu
Yesu Yesu
Shindii, Yesu
Mwamba, Yesu
Wewe, Yesu
Aah haaa aah
Jiwe langu Yesu
Ngome Yesu
Mwamba aaah
Bwana Yesu
Ooh uuh
Jiwe langu Yesu
Mwaminifu Yesu
Haki Yesu
Ngome Yesu
Nguzo Yesu
Aah aah
Jina lako Yesu
Yesu Yesu
Haki Yesu
Mwaminifu Yesu
Wewe Yesu
Aah aah
Tumekubalika na Mungu
Tuna nguvu za kifalme
Ametuchora kweli moyoni mwake tu
Yenyewe kuna time ya kila kitu 2yrs I thought huu wimbo ni wa juzi.
Was only waiting "tulikula mtama "part
Wenyewe wanaskip mpaka kwa tulikula mtama kwa maji then unarudia tena na tena piga like👍👍👍
Thing song come to my spirit the exact part. Tulikua mtama
Same to me apo ndio inashika sana
From TikTok ❤❤❤❤
Tulikula mtama kwa maji tukanawili kuliko wao hatukupambwa kama wao tukpndeza zaid yao.
Mungu alikuwepo hatukuwa peke yetu💪🤩🙏🙏🙏🙏
From TikTok to come get this masterpiece🎉
Tulipona mawifi ndoa zikiwa Tete.Bwana wangu Yesu mshindi,mwamba mwamini aaaaa
Huu wimbo.. it's a masterpiece ..love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Tulikula mtama kwa maji tukanawiri kuliko wao,hatukupambwa kama wao....
Huu wimbo huwa unanibariki sana maana Mungu aliponitoa na hapa nilipo ni neema ya Mungu. Mungu asantesana 🙏🏽🙏🏽
Huu wimbo Kila nikiimba nasisimuka mwili mzima nahisi kama nipo na MUNGU pembeni duuu!!!! We acha2 ubalikiwe mtumishi❤❤
Tulikula mtama kwa maji tukanawiri kuliko wao hatukupambwa kama wao tukapendeza zaidi yao😊😊
Here from tiktok
Nabakiwa sana sana na hii nymbo u
Barikiwa san🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Mungu akupe ufunuo zaidi uzidi kutubaliki mtumishi wamungu nyimbo nzuli sana ubalikiwe
Tumekubalika🙌
Walitubadilisha majina ila hawakubadili hatima
Huduma yako ni njema sana mtumishi,,bado ule 'jifunze kwa tai 'nasubiria kwa hamu..
Kwanza apo kwa tulikula mtama kwa maji inaslap mbaya sana🇰🇪TikTok it likes one week old kumbe ni two years ✅ enyewe God's time is always the best 💯 one million views to go
Hakika tumekubalika katika yeye, tu wake, miliki ya kifalme, na uweza wake umeandamana nasi
Walitubadilisha majina hawakubadili hatima......Utukufu kwa Mungu
Nabarikiwa Sana na huu wimbo...naona unaongea na Maisha yangu Sana..huwa nausikiliza Mara mbili mbili na kuangalia nilikopitia ninakopititia na ninakoelekea . Asante Yesu kutumia Mtumishi Huyu 🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Atupambwa kama wao lakini tukapendeza kuliko waoa walitutupa shimoni tukaibukia Ikulu walikuwa wanatukimbiza kumbe wanatusindikiza barikiwa Ambwene
Mungu azidi kukulinda nakuzidishiye nguvu naujasiri wakuendelesha kaziyake kwauwaminifu
hakika tumekubalika na MUNGU .Ubarikiwe sana Kwa utumishi huu Mtumishi
Jamn ambaye tupo naee November 2024 tweend like ap🎉🎉 tubarikiwe pamoj
Hata wakati hakuna mtu anayeamini utafanikiwa. Mtu mmoja bado yuko. Wanakuona kama nyota! Hata kila mtu anapokuita umeshindwa huyo mtu bado anaona mafanikio ndani yako! Mtu huyo ni mama yako. Upendo wa mama ni nguvu sana! Mungu awabariki kina mama wote mliopo! Mifuko yao isikauke kwa jina la Mungu.
Pasina shaka "TUMEKUBALIKA NA MUNGU"!. Mungu akiwa upande wetu hatutaogipa, mwanadamu atatufanyani? Mungu akubariki, akutunze na kukuinua zaidi Ambwene.
MUNGU akitukubali nani mwingine atukatae... maana hatutajali kitu😂... Ubarikiwe Mjori wa Bwana...zidi kubarikiwa na Bwana
Nawapenda sana ninyi wenye kuutangaza ukuu wa muumba. Ambwene, may God bless you and your mystery
Huu wimbo unifariji sana ❤barikiwa sana kakangu 🙏. 🌍🇰🇪
"Walitubadilisha majina,hawakubadili hatima"
Soo powerful
Not me looking for a weeks or days old song. How is this song two years old?😊
Same here
Amen kaka Mungu akuzidishiye mafuta ya upako. kweli wewe ni jembe la Yesu kristo
Tumekubalika; kutoka nchi ya utumwa, akatuingiza kwenye Ufalme wake✊
Balikiwa sana mtumishi wa MUNGU huwanabarimiwa sana kwa nyimbo zako
"...tulikula mtama kwa maji tukanawiri kuliko wao, hatukupambwa kama wao tukapendeza kuliko wao... walidhani wanatukimbizs kumbe wanatusindikiza..."🔥🔥🔥🔥
The words are so powerful
SIO UZAO TU BARI WAZAWA WATEULE .ASANTE MY SPIRTUAL BRATHER
Am shocked the song was released 2yrs ago, I thought twas released this December 2024🎉❤❤
God's timing 🙏
Same here
Ubarikiwe mtumishi wa BWANA. Kweli tumekubalika na Mungu wetu. Hahaha.furaha iliojee jamani tuliondani ya KRISTO
Kule walitusukumia ndiko mungu hupumzikia.... aaah I Love God! The enemy has no choice but to surrender!
Hesabu 23:22 Mungu amewaleta kutoka Misri, Naye ana nguvu kama nguvu za nyati.
1 Petro 2:9 Bali ninyi ni mzao mteule, ukuhani wa kifalme, taifa takatifu, watu wa milki ya Mungu, mpate kuzitangaza fadhili zake yeye aliyewaita mtoke gizani mkaingie katika nuru yake ya ajabu;
Daniel 1:12 Tafadhali utujaribu sisi watumishi wako muda wa siku kumi; na watupe mtama tule, na maji tunywe.
15 Hata mwisho wa zile siku kumi nyuso zao zilikuwa nzuri zaidi, na miili yao ilikuwa imenenepa zaidi, kuliko wale vijana wote waliokula chakula cha mfalme.
Zaburi 121:4 Naam, hatasinzia wala hatalala usingizi, Yeye aliye mlinzi wa Israeli.
I've come to know about this song in November 2024! Wow!
Powerfull song hearing it for the first time and iam blessed
Someone to comment also
Hujawahi fanya vibaya katika tasnia hii ya Muziki Wa Injili, nakukubari sana Mtu Wa Mungu, Hongersa sana na Mungu akubariki sana
From TikTok , I’ve used this sound severally ❤
Tuliweza maisha tukiwa hatuna Hela🥺
Two years old how now...came looking for a song that is two weeks old ❤...it's a beautiful one ..
Varse ya mwisho bila shaka nikwaajili yangu❤
Wow wow wow mwe nasubiri kwa hamu kumbe tumekubalika isiwachokoze walio na Mungu wamebarikiwa na Mungu wee tulikula mtama kwa Maji tukanawili kuwazidi nasubiri mbalaka Huu. Because ❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️
Asante Wewe YESU ulietukubali na unyonge wetu ,Asante kwakuwa hatima yetu ni juu yako .”WALITUNADILI MAJINA HAWAKUBADILI HATIMA “”🙏🏼🙏🏼
Nakukubal san kaka,,, nyimbo zako zanibariki saaaana japo mie n msabato ila hapa daààaaah n akir juu ya akir,,,,ubarikiwe sana mtumishi...
Naam songs tamu sana Mungu akubariki
Yesu mwamba
Yesu ngome
Yesu aahaaaa
Jiwe langu
Haki yangu
Yesu
Yesu
Yesu
Tumekubarika na Mungu tuna nguvu za kifalme
Aisee...Nimeelewa ukubwa wa huu Wimbo baada ya kusoma hapa.
Hakika nimemuona Mungu asiye lala akinisaidia pale adui zang walipo inuka walikutan nguv ya Mungu
Walitubalisha majina hawakubadilisha hatima...
Tumekubalika na Mungu
I remember 2021 August 22 Sunday 10:30am when my dad developed angel wings ..... It was difficult for us , since no one was their for us . I miss you daily dad . Today I testify that God has been faithful to us . A blessing touching heart song .
Hongela sana ndugu yangu Ambwene nyimbo zako zinagusa Roho, zimebeba ujumbe wakutosha
Atukuzwe Mungu aliyekupa karama hii, maana unatufanya hadi tuliokata tamaa kuamka na kujiona kuwa tuko na Mungu awezaye🙏
Mm nakutafakar Sana kuwa wewe ni Pastor Ambwene .
Maana mahubir yako yananguvu brother Sana mm naomba nakutunga Ila wewe Kuna nguvu ya Roho imetamalak moyoni mwako. Ndio Mana kumbe zako Zina mguso slot.
My big brother has shared the link with me this morning and I must say, I'm blessed ❤.
I feel always strong by listening this song. I discovered that I'm the child of God. Oh lord let me feel your presence through this heaven message. We're proud to be in your kingdom lord
Ati kule walitusukumia ndipo Mungu hupumzikia
Tumekubalika na Mungu Pamoja na kwamba hatukuwa na kustahili tangu awali. Asante yetu kwa agano la uzima wa milele kwetu tuliokuwa tumekufa kwa asili. Jila lako litukuzwe sana mfalme Yesu
Utukufu kwake Yesu
Hakika tumekubaliwa na Mungu
Barikiwa mtumishi naitwa william Mbatilo naomba uangalie kazi yangu nitajisikia amani nafuraha kama utaangalia
Mimi mwimbaji wanyimbo ya kidunia ila napenda kuwafatiliyaa mungu wabariki watumishi wamungu🙌🙌🙌🙌🙌🙌♥️
Nyimbo yangu,inanifariji sana.Ubarikiwe Mtu wa Mungu.👏👏👏
Here for this song today❤God is a miracle worker❤
Ameni Ameni Ameni MUNGU azidi kukutumia mtumishi nabarikiwa sana kupitia wewe