JEMEDARI WA VITA- Boaz Danken ft Gwamaka Mwakalinga

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ส.ค. 2022
  • Karibu Sana Kumwabudu MUNGU pamoja nasi MUNGU Pamoja huu wimbo Ni Ibada pia ni Maombi naamini Utafunguliwa utapata Neema ya kuomba itakujaa sana na Kumtaka Bwana kwa namna amabayo hujawa kupata. Mungu akutane na haja ya moyo wako katika jina la Bwana wetu Yesu Kristo. Amen
    JEMEDARI WA VITA means Mighty Man Of War
    MUNGU awabaliki Sana Watu wote waliosimama kwa Sadaka zao kufanikisha Maandalizi ya Ibada Hii Kila sehemu Mungu akiwahudumia watu kupitia Wimbo Huu; Baraka nyingi ziwafikie wote waliomuandalia Bwana kwa Sadaka ya Muda, Fedha na Maombi.
    JEMEDARI WA VITA Recorded at Rock City Mall parking Area, Mwanza, TANZANIA.
    Music Arranged & Directed by Jimmy Kimtuo
    Vocal Arranged by Sir Jimmy Kimutuo
    First keys: Sephone Sospeter
    Second keys: Samwel Sospeter
    Third Keys: John Ntete
    Fourth keys: Augustino Batista
    Drums: Baraka Ngowi
    Percussion: Pastor David Silwimba
    Bass guitar: Amani Victor
    Lead guitar 1: Haggai Makuzo
    Lead guitar 2: Erick Chitungo
    Saxophone: Dickson Maige
    Back Vocals From BMCC PRAISE TEAM
    Event Coordinated by Kelvin Mbeveta
    Translated to English by Mr&Mrs Pst.James Kalekwa
    *Audio Captured and Mastered by Chosen Records Int’l #SamMboya
    *Video Captured and Mastered by Cyber Pic #Sylvester
    *Sound By #SoundSolution Moses Edard
    *Sound Engineer: Gad Mwanga
    *LED screen: Elly Jo
    *Lights By Nyakalo Stage and Lighting Com. #DavidSengati
  • เพลง

ความคิดเห็น • 660

  • @ambweneobadiamwasongwe
    @ambweneobadiamwasongwe ปีที่แล้ว +103

    Mungu akubariki Sana mtumishi wa Mungu, kazi kubwa yenye Baraka sana ndani ya mioyo yetu

    • @boazdanken
      @boazdanken  ปีที่แล้ว +14

      Asante sana kaka Utukufu na heshima kwa Yesu

    • @lukapastory
      @lukapastory ปีที่แล้ว +3

      @@boazdanken Nakupenda Sana kaka danken, YESU anakutumia, mm ni Mwinjilisti from kasulu kgoma, Nakukimbsha Uwaambie hao wadada na mke wako pia nywele bandia ni dhambi ,zmepeleka wamama watumishi wengi kuzimu, rangi mdomoni, kucha bandia , meshi, Rasta mawigi, please achen

    • @lukapastory
      @lukapastory ปีที่แล้ว

      Kilio changu ni kwa akina Dada , mahereni, nywele bandia , NI Mali za pepo Yezeberi, please wambie , maana ni kumkosoa uumbaji wa BWANA, Isaya 29:16, Fuatilia PROMOVER TV ushuhuda wa Esther, Recho na Rinda rika, utapata ujumbe kutoka kwa YESU

    • @dorcusamubi577
      @dorcusamubi577 ปีที่แล้ว

      Barikiwa Sana mtumishi wa Mungu Umeniibariki sana... Naskia kunyenyekea ninaposkia wimbo huu ubarikiwe sana

    • @christinme4573
      @christinme4573 ปีที่แล้ว +6

      @@lukapastory lijue neno uwe huru☺️

  • @IsraelCiza-eq1ot
    @IsraelCiza-eq1ot 4 หลายเดือนก่อน +5

    Baba Boaz mimi muimbaji Israël ciza nikiwa inchini kongo kila Niki imba nyimbo zako n'a sikia ngufu zamungu ziki ni Jana naamini mungu wako ata nipa ujasiri ni WE muimbaji maarufu Sawa nyiye

  • @worshiplibrary7157
    @worshiplibrary7157 ปีที่แล้ว +79

    My daughter is going thru a very rough patch right now shes only 22 years old. I listern to this song n feel the holly spirit lifting me up so that I have strength to lift her up! 😭😭😭 may the good Lord open up a better path for her!

    • @speranzakiragu3491
      @speranzakiragu3491 ปีที่แล้ว +4

      Ameeeeeen🙏

    • @judithabdallah4594
      @judithabdallah4594 ปีที่แล้ว +4

      I call upon the God of heaven, the creator of heaven and earth to come through for your daughter.... He is the great physician..God will heal her in Jesus Mighty Name.. Amen!

    • @brianmuriuki9271
      @brianmuriuki9271 ปีที่แล้ว +1

      JUSUS IS GOING TO DOMIT TRUST HIM TU...MAY HE DO MORE THAN U EXPECT

    • @naomiwangari4794
      @naomiwangari4794 ปีที่แล้ว

      Amen.neema iwatoshee.keep the faith

    • @zafaraniduguza4950
      @zafaraniduguza4950 ปีที่แล้ว

      May God come through for you

  • @ab71210
    @ab71210 ปีที่แล้ว +21

    God gave me this song when i needed it
    "Milima yatayeyuka kwa sauti yako juu,maana wewe ni Jemedari wa vita, hakuna kama wewe Mungu", na neno lako litimizwe

  • @jacklinemwongeli8365
    @jacklinemwongeli8365 ปีที่แล้ว +9

    Hakuna mlima waeza stahimili sauti yako.l'm really blessed by this from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @boazdanken
      @boazdanken  ปีที่แล้ว

      Utukufu na heshima kwa Yesu

  • @akimjoseph2818
    @akimjoseph2818 ปีที่แล้ว +51

    As i was driving this morning we were listening to JEMEDARI WA VITA with my wife. The power of God fell upon her and she started speaking in other tongues. May God continue to give more revelation for future songs as you reach so many souls through singing. Continue Staying
    humble and blessed.

    • @newboy1995
      @newboy1995 ปีที่แล้ว +1

      Congratulation ! thats a testimony of Humble Heart ! Praise the living GOD !📯 YESU ! 📯

    • @lydiaabel-uo1qn
      @lydiaabel-uo1qn ปีที่แล้ว

      e

  • @eunicedan
    @eunicedan ปีที่แล้ว +23

    Powerful combination 💪.....love of God kutoka hapa Kenya 🇰🇪 hallelujah 🙌

  • @boazdanken
    @boazdanken  ปีที่แล้ว +1

    Glory and Honor to Jesus please if your Blessed this ministry kindly subscribe our channel

  • @DrSarahKmusic
    @DrSarahKmusic ปีที่แล้ว +1

    Yesu ndiye jemedari wa vita..

  • @Betty__Sankale__Muzik
    @Betty__Sankale__Muzik ปีที่แล้ว +18

    Nyimbo zako zanibariki kila siku❤️❤️ Barikiwa mtumishi wa Mungu wetu 🙌

  • @Mwavipa_stev2514
    @Mwavipa_stev2514 ปีที่แล้ว +7

    Huyu Yesu hatokuja tokea mwingine kama yeye I'm speechless of him
    I LOVE YOU JESUS ❣️

    • @boazdanken
      @boazdanken  ปีที่แล้ว +1

      Amen utukufu na heshima kwa Yesu Kristo please share kwa wengi ukiweza

    • @vumiliabaraka3326
      @vumiliabaraka3326 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@boazdankenMungu akubariki sana Baba kwani tunaendelea kabarikiwa na kuponywa na nyimbo zako hata hii 2024 Atukuzwe Yesu kwa kuondoa kila mlima maisha mwetu mwaka huu UKAWE WA BARAKA TELE kwetu 2024🙏❤️

  • @nandwarobai7149
    @nandwarobai7149 ปีที่แล้ว +11

    Kuna uhai wa Mungu kwa huu wimbo,, May God lift you to another level, you're highly anointed great servants of God

    • @boazdanken
      @boazdanken  ปีที่แล้ว +2

      Utukufu na heshima kwa Yesu

  • @emmanuelmtwanamanjama2265
    @emmanuelmtwanamanjama2265 ปีที่แล้ว +4

    Wow🔥🔥🔥Milima kwa Kwelii Mtumishi Ya Yeyuka katika Jina la Yesu.
    Magonjwa si Sehemu yetu (Isaiah 33:24),Madeni yotee Yameyeyuka.

  • @johnanyandwile8947
    @johnanyandwile8947 ปีที่แล้ว +16

    We bless You God for your anointing and for the power of the holy Spirit within these men of God, BOAZ DANKEN & GWAMAKA MWAKALINGA.

  • @adv.elishaserikali1015
    @adv.elishaserikali1015 ปีที่แล้ว +10

    My brother Boaz, Mungu na azidishe neema aliyoweka kwako.. you are a blessing of our generation 🙏🏾🙏🏾

    • @boazdanken
      @boazdanken  ปีที่แล้ว +2

      Glory and Honor to Jesus please share to many ukiweza

    • @floziekiriinya9889
      @floziekiriinya9889 ปีที่แล้ว

      Napenda vile boaz uimba akimanisha God bless you

  • @jeffrweza4089
    @jeffrweza4089 ปีที่แล้ว +5

    Trully speaking I was waiting for these....nlitamani saana collaboo yako na Gwamaka...and God has done it.....barikiwa Boaz

  • @chrispingibson7200
    @chrispingibson7200 ปีที่แล้ว +12

    Anointing over anointing, God is wonderful, he is who he say he is. Be blessed man of God

    • @boazdanken
      @boazdanken  ปีที่แล้ว +2

      Glory and Honor to Jesus please share kwa wengi ukiweza

  • @patricianyawira9553
    @patricianyawira9553 ปีที่แล้ว +3

    Wimbo una Nguvu sana. Mungu awazidishie Neema yake. Twa waenzi sana hapa Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪.To God be the glory!

  • @goodluck6936
    @goodluck6936 2 หลายเดือนก่อน +1

    How I'm i coming across this song a year later,aaah Jeeesus😭😭🙏❤️

  • @paulotieno2223
    @paulotieno2223 ปีที่แล้ว +36

    Asante Tanzania kwa umbali. Ni kweli Mungu wetu anajibu..iwas waiting for this.God bless you all and take you another level 🙏 🙌

    • @boazdanken
      @boazdanken  ปีที่แล้ว +8

      Utukufu na heshima kwa Yesu Kristo

    • @mercyprecious98
      @mercyprecious98 ปีที่แล้ว +1

      Jesus Christ you're really "JEMEDARI WA VITA" Lord the battles you have fought for me ,I personally couldn't fight for myself,I honor and exalt your Holy name,Yeshua, Messiah,you deserve the sweet names ever.Thank you Jesus,bless Tanzania,Kenya , Africa and world at large.@Boaz Duncan,may God keep you to continue blessing generations.AMEN🙏

    • @davidkalinga5580
      @davidkalinga5580 ปีที่แล้ว +1

      Jemedari wa vita

    • @user-uh2we9ec3p
      @user-uh2we9ec3p 3 หลายเดือนก่อน

      Wacha Mungu azidii kuinuwa man of God u bless me with all
      Ur song so powerful man of God

  • @njerujohnson
    @njerujohnson ปีที่แล้ว +12

    This son elevates my spirit to another level @ Boaz God has used you to lift the spirit of worship in me may Good lord increase you bro🇰🇪🇰🇪

  • @winniemwangi1610
    @winniemwangi1610 ปีที่แล้ว +12

    This is such a powerful song🙏🔥
    He is indeed a powerful God
    He is melting down all situations
    Am Blessed from Kenya 🇰🇪

  • @mercyprecious98
    @mercyprecious98 ปีที่แล้ว +2

    God is real 🙏🙌🙌Jemedari wa vita,amenipigania mahali kwingi ,siku zote nashukuru from Mombasa Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @isaacsimalif6185
    @isaacsimalif6185 ปีที่แล้ว +2

    Neema ya Mungu iwe nyanyi watumishi Kwa kazi nzuri katika ufalume wa mbingu

  • @ntulikapologwe6162
    @ntulikapologwe6162 ปีที่แล้ว +8

    what a combination of my two lovely brothers ! Such a powerful worship song, Mungu azidi kuwainua watumishi

  • @fredmutuma1594
    @fredmutuma1594 ปีที่แล้ว +1

    Boaz boaz ,🙏🙌 nzambe apambola yo!!
    Hata nikaskia sauti ya kinanda ,yanipasha upenyo wa mungu
    Ngai akurathime muno ,saana
    ,Ntuku cionthe
    Much 💘 love from ameru republic ❤❤

  • @dennisadala787
    @dennisadala787 หลายเดือนก่อน +1

    Jemedari wa vita hakuna kama wewe milima ya yeyuka kwa sauti😭😭😭

  • @mwende4420
    @mwende4420 ปีที่แล้ว +5

    Milima ya maisha inayeyuka hallelujah 🙌...it's indeed the song of the season. Uwepo wa bwana hata ofisini jameni.

    • @boazdanken
      @boazdanken  ปีที่แล้ว

      Amen Glory and Honor to Jesus

  • @user-ex7es6fe3c
    @user-ex7es6fe3c 5 หลายเดือนก่อน +1

    Jemedar wa vita hakuna kama wewe na Jehovah ndilo jina lako🔥

  • @jofreygrace9665
    @jofreygrace9665 ปีที่แล้ว +1

    Ainuliwe yesu zaidi ndani ya nchi yetu

  • @drgee4736
    @drgee4736 ปีที่แล้ว +6

    He is the Great King Might Man of war! 💪🏾

    • @boazdanken
      @boazdanken  ปีที่แล้ว +1

      Amen utukufu na heshima kwa Yesu

  • @mankamacha4383
    @mankamacha4383 ปีที่แล้ว +1

    Vidonda vya tumbo vinavyonisumbua vinayeyuka mbele zako BWANA,madeni yote yayeyuka mbele zako BWANA.UTUKUKUZWE MILELE 🙏,AMEN

  • @salomemjema8242
    @salomemjema8242 ปีที่แล้ว +1

    Nimebarikiwa sana na wimbo huu. Asanteni sana Watumishi wa Mungu Boaz Danken na Gwamaka Mwakalinga. Jemedari wa vita Hakuna kama Yeye Aliye Mfalme Mkuu, Hallelujah 🙏🏾

  • @rizikipyuzza3411
    @rizikipyuzza3411 ปีที่แล้ว +1

    Might man of war I worship you🙌🙌🙌🙌

  • @rachelmalimbwi1748
    @rachelmalimbwi1748 ปีที่แล้ว

    Nami natamani sana kuwepo kwenye ibada kama hii lakini sipati taarifa siku nyingine natamani niwepo,kwakweli anaestahili kuabudiwa ni Kristo tuu mbarikiwe sana

  • @janethnarsis188
    @janethnarsis188 ปีที่แล้ว +2

    Naenda kupata hii kazi kwa jina la Yesu
    Jemedari wa vita zangu zote.
    Nitarudi kushuhudia kwa jina la Yesu

    • @janethnarsis188
      @janethnarsis188 ปีที่แล้ว +3

      I got it kwa hakika.
      Mungu amenishindia Mengi. Leo 31.12.2022 ninamshukuru haikuwa rahisi@2022

    • @FLOH9876
      @FLOH9876 4 หลายเดือนก่อน

      Jemedari wa Vita🎉
      Hallelujah 🙌
      He will also give me A Job
      And I will come to testify like you have

  • @williamntipapa6934
    @williamntipapa6934 ปีที่แล้ว +12

    You never disappoint man of God
    Yesu azidi kukuinuia zaidi kwa viwango vya juu 🔥🔥

    • @boazdanken
      @boazdanken  ปีที่แล้ว +3

      Glory and Honor to Jesus

    • @williamntipapa6934
      @williamntipapa6934 ปีที่แล้ว +3

      Much welcome man of God can't wait to see you soon at our church we really love your song indeed it has really change many hearts
      Welcome to Kenya 🇰🇪

  • @favouriteswangechi9697
    @favouriteswangechi9697 ปีที่แล้ว +2

    Jehovah Thankyou for raising true worshippers in these last days😭😭😭.
    My heart spirit body is edified.
    The Lord uplift you more servant of the Lord as you continue yielding 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪

  • @pendolyimo4613
    @pendolyimo4613 ปีที่แล้ว

    wimbo huu unanipa nguvu ya kuendelea kumuamini Mungu mwaka 2022 ulikua Mgumu sana lakini now niko hapa namsifu Mungu JEMEDARI WA VITA

  • @e-star454
    @e-star454 ปีที่แล้ว

    Milima yayeyuka kwa sauti Yako.... powerful.

  • @carolyneakal4966
    @carolyneakal4966 ปีที่แล้ว +2

    Milima yayeyuka kwa sauti yako Yesu🙌🙌🙇‍♀️🙇‍♀️🇰🇪

  • @Geo_88
    @Geo_88 ปีที่แล้ว +13

    He's a Winning God Indeed🔥🔥👌
    God Bless you Brother Boaz🌟🌟
    You're a gift from Heaven!
    Blessings from Kenya🇰🇪

    • @boazdanken
      @boazdanken  ปีที่แล้ว +2

      Glory and Honor to Jesus please share to many ukiweza

    • @Geo_88
      @Geo_88 ปีที่แล้ว +1

      I'm spreading it widely😊❤

  • @leadleaders4130
    @leadleaders4130 9 หลายเดือนก่อน

    Mbarikiwe sana watumishi wa Mungu na Mungu azidi kuwatunza na kuwaonekania na kuwainua na kuwatumia

  • @godfreybala4704
    @godfreybala4704 ปีที่แล้ว +4

    God much bless Tanzania for our artist of gospel.we get victory through this song God continue BLess and win any situation we through. AMEN

    • @boazdanken
      @boazdanken  ปีที่แล้ว +3

      Is not us Is Jesus in us Glory and Honor to Jesus please share to many ukiweza

    • @godfreybala4704
      @godfreybala4704 ปีที่แล้ว +1

      Thanks you

  • @JoseLittoh-
    @JoseLittoh- ปีที่แล้ว +8

    Powerful song. Listening from 🇰🇪 🇰🇪 and being blessed

    • @boazdanken
      @boazdanken  ปีที่แล้ว +1

      Utukufu na heshima kwa Yesu Kristo

    • @lukapastory
      @lukapastory ปีที่แล้ว

      @@boazdanken safi, lakn Boaz usisahau kuwa mapambo kwa wadada nywele bandia ,hereni n k ni dhambi

    • @edibilym.manyaga8314
      @edibilym.manyaga8314 ปีที่แล้ว

      @@lukapastory duh kaka hapa umezidisha...! Sitaki kusema sana...! Ila shika ulichonacho tu baba ikutoshe, wenzio tunabarikiwa na muonekano wao...! Tena wamependeza sana kwa utukufu wa Mungu

  • @nsikanyigwinshimpinga9132
    @nsikanyigwinshimpinga9132 ปีที่แล้ว

    Yes . Ni Jemedali wa vita nauona Mkono wa Bwana

  • @bridgetngendo8494
    @bridgetngendo8494 ปีที่แล้ว

    Jemedari wa vita.......pigania dada yangu na mama yangu,: acha wakuone ewe Jehovah Rapha kwa maisha yao. Amen

  • @allenmushema5844
    @allenmushema5844 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe sana 🙏🏾

  • @nancyhizza3790
    @nancyhizza3790 หลายเดือนก่อน

    God bless you mtumishi wa Mungu 🙏

  • @evakatani636
    @evakatani636 ปีที่แล้ว +4

    Hallelujah, Jemedari wa vita hakuna Kama wewe, milima yayeyuka kwa sauti yako🙏 such a powerful song, be blessed abundantly 🙏

  • @hopezawadida
    @hopezawadida ปีที่แล้ว +2

    Hallelujah,
    Jemedari wa vita hakuna kama Wewe
    Milima yayeyuka kwa sauti Yako tu....
    Barikiweni MoG .Im deeply soaked in this song.

  • @gaudenceponera6123
    @gaudenceponera6123 6 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe sana mtumishi wa Bwana Minister Boaz Danken

  • @JohnTilya
    @JohnTilya 10 หลายเดือนก่อน

    E mungu wa mbingun wainue watumishi na uwape maono katika huduma yao

  • @prophetevans7418
    @prophetevans7418 ปีที่แล้ว +7

    This song has touched me
    Every mountains in my life has be melted ,
    Glory to God

  • @williamntipapa6934
    @williamntipapa6934 ปีที่แล้ว +6

    Along awaited worship #jemedari wa vita@
    With this great Giants of the most high God more blessings to you

    • @boazdanken
      @boazdanken  ปีที่แล้ว

      Glory and Honor to Jesus

  • @speranzakiragu3491
    @speranzakiragu3491 ปีที่แล้ว +5

    Wooooooow this is great..... He's the mighty man of War....
    More Grace bros ....
    God has won for Kenyans already🙏, he has heard our cry for the past 5years😭😭😭😭

    • @lydiagathuru242
      @lydiagathuru242 ปีที่แล้ว +1

      May God continue pouring His oil apon you search a blessing to us🇰🇪

  • @stephenmuikamba7166
    @stephenmuikamba7166 3 หลายเดือนก่อน

    Yuko jemedari wa vita...,Kila milima iliyo mbele yangu yayayuka kwa jina Takatifu la Yesu Kristo...... Amen 🙏🙏🙏

  • @rehemamercy1134
    @rehemamercy1134 ปีที่แล้ว +2

    Hallelujah.
    Milima yayeyuka kwa sauti yako tu, jemedari wa vita🙌🙌

  • @helinahenry2363
    @helinahenry2363 10 หลายเดือนก่อน

    Mlima wa kutojenga uyeyuke kwa jina la Yesu, na mmi nikajenge , nipate kibali Cha kumiliki nyumba nisingoje Tena Hallelujah

  • @miraclesteve4793
    @miraclesteve4793 ปีที่แล้ว +2

    I love you Jesus!! Jemedari wa vita!!

  • @mathewmwasangwale4205
    @mathewmwasangwale4205 ปีที่แล้ว +1

    Ipo Nguvu ya uponyaji inatembea ndani ya uwepo wa Mungu

    • @boazdanken
      @boazdanken  ปีที่แล้ว

      Amen Glory and Honor to Jesus

  • @pelecymsemwa8107
    @pelecymsemwa8107 ปีที่แล้ว

    Yesu ni jemedari wa vita siku zetu zote ashukuriwe Mungu akutumiaye kudhihirisha utukufu wake na ukuu wake. Utukufu wa Mungu uwe we siku zote mtumishi wake

  • @favour7152
    @favour7152 ปีที่แล้ว +8

    Woooow 💕💕
    Such a blessing song
    For sure He is a mighty worrior

  • @yvesntawigira8384
    @yvesntawigira8384 9 หลายเดือนก่อน

    Muzidi kubarikiwa watumishi wa Mungu

  • @jyn3439
    @jyn3439 ปีที่แล้ว +6

    Oh my.....powerful worship to Him The Most High... To be honest this brother is annointed..Keep going....Blessed in Kenya

  • @luismalole
    @luismalole ปีที่แล้ว +2

    MTAKATIFU YESU,YESU... HALELUJAH 🔥🔥🔥

    • @boazdanken
      @boazdanken  ปีที่แล้ว

      Glory and Honor to Jesus

  • @bettykilonzo3805
    @bettykilonzo3805 ปีที่แล้ว +5

    Indeed HE is a Mighty Man of war🙌🙌

    • @boazdanken
      @boazdanken  ปีที่แล้ว +2

      Glory and Honor to Jesus please share to many ukiweza

  • @MikeONYII_
    @MikeONYII_ ปีที่แล้ว +1

    Hakuna kinachomshinda Jemedari wa vita🙌🙌
    Listening from Kenya, blessed as we Trust God awaiting elections in 2days time

  • @eglahelenkikuli8354
    @eglahelenkikuli8354 ปีที่แล้ว

    Wewe ni Jemedari wa Vita,umetukuka Bwana Kila pembe,dunia yote na inyamaze kimya mbele zako...Adonai Mungu mwenye Enzi ni wewe Bwana,Milima yayeyuka mbele zako kwa sauti yako.....ooooh hallelujah hallelujah

  • @user-mp1ep1en5q
    @user-mp1ep1en5q 3 หลายเดือนก่อน

    Wimbo huu unazidi kua mpya kila siku maishani mwangu kama bd tunausikiliza 2024 tuzidi kutiana moyo

  • @davidnicolous3769
    @davidnicolous3769 5 หลายเดือนก่อน

    Nabarikiwa sana na wimbo huu

  • @fayotieno977
    @fayotieno977 ปีที่แล้ว

    Wow,what a song😢😢,,,Mungu akutunze sana mtumishi

  • @user-xg8xx2eh1u
    @user-xg8xx2eh1u 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu awabariki watumishi wa Mungu.

  • @WinfridaSylvester
    @WinfridaSylvester ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki sana Mtumishi wa Mungu aliye hai

  • @julianalistides2418
    @julianalistides2418 11 หลายเดือนก่อน

    Naomba Jina la Mpiga triumph

  • @amonkaranja2695
    @amonkaranja2695 ปีที่แล้ว +1

    😭😭wimbo huu, Milima yayeyuka 😭😭asante Yesu kwa wimbo huu na mtumishi wako Boaz 🙏

  • @jofreybenjamini8805
    @jofreybenjamini8805 ปีที่แล้ว +4

    Am touched with this kind of worship
    May the Lord Christ hold your ministry in Jesus Name BlessBless

  • @christinetusu9926
    @christinetusu9926 ปีที่แล้ว

    Amen Jemedari wa vita yeyusha milima yote inayozunguka nchi yangu Kenya sasa hivi kwa kina la Yesu.

  • @reginaldshirima610
    @reginaldshirima610 ปีที่แล้ว +6

    I glorify God for this Powerful Song. It always draw me closer to God

  • @hezrakisilu5822
    @hezrakisilu5822 ปีที่แล้ว

    the guy hapo keys 1 kazi safi

  • @rosesiwasimiyu9291
    @rosesiwasimiyu9291 ปีที่แล้ว +1

    Every mountain in my life melt in Jesus Christ Name. Amen

  • @shaibumbwilo9938
    @shaibumbwilo9938 ปีที่แล้ว

    Mwaimba vema kwa utukufu wa Mungu,wasaidieni na kuwaonya walionyoa denge /panki,walioweka mawigi/nywele bandia vichwani mwao,mambo hayo ni machukizo kwa Bwana,na pia wasilinajisi kundi la Bwana.kama hawajaokoka wasaidieni wamjue Mungu wa kweli. Maana Mungu yule ni mwenye wivu .

  • @dominiclupembe8517
    @dominiclupembe8517 ปีที่แล้ว +1

    Uku ndo kwenye rahaa ❤🔥🔥❤❤

    • @boazdanken
      @boazdanken  ปีที่แล้ว

      Glory and Honor to Jesus please share to many ukiweza

  • @snyaite44
    @snyaite44 ปีที่แล้ว +1

    I still view

  • @gladnessgodwin9129
    @gladnessgodwin9129 10 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe mtumishi wa Bwana

  • @neemanyimbi2355
    @neemanyimbi2355 ปีที่แล้ว

    Jemedari wa Vita HAKUNA Kama wewe

  • @christabibukenya4097
    @christabibukenya4097 ปีที่แล้ว +1

    Do what only You can do God...vita ni vyako,utukufu na nguvu ni zako Yesu.

  • @mariashiku
    @mariashiku หลายเดือนก่อน

    Jemedaribwa vita vyangu hakuna kama wewe nipiganie maishani baba 😢😢

  • @RoshaniLifeStyle
    @RoshaniLifeStyle ปีที่แล้ว +5

    Hallelujah!!!
    Thank you JESUS!! KING OF KINGS and LORD OF LORDS!!

  • @mercylwehabura200
    @mercylwehabura200 ปีที่แล้ว

    Kweli Jemedari hakuna kama yeye.

  • @joelmosho802
    @joelmosho802 ปีที่แล้ว +2

    Am Tabtha from Mombasa I love your songs, they are very powerful, God bless you

  • @alyssa-blessed
    @alyssa-blessed ปีที่แล้ว +4

    The song is on replay. God bless you Brother Boaz, Brother Gwamaka and the whole team.

  • @erickaidan8846
    @erickaidan8846 ปีที่แล้ว

    Bariiwa Sana mtumishi wa mungu

  • @abelmeliu2522
    @abelmeliu2522 ปีที่แล้ว +1

    Nyimbo zako mtumishi wa Mungu ni za baraka sana katika mwili wa kristo. Hizi ndizo tenzi za rohoni za wakati huu na wakati ujao.

    • @boazdanken
      @boazdanken  ปีที่แล้ว

      Utukufu na heshima kwa Yesu sio zangu ni za Yesu kwajili ya Kanisa. Utukufu na heshima kwa Yesu. Please share kwa wengi ukiweza

    • @wilkisterlusuli7084
      @wilkisterlusuli7084 ปีที่แล้ว

      @@boazdanken may God continue using you servant of God.am blessed

  • @josiacharles2778
    @josiacharles2778 9 หลายเดือนก่อน

    Mungu akuzidishie unyenyekevu ili uduma yako ikuwe zaidi, usitafute kuonekana kama waimbaji wengine acha Mungu wako aonekane Kwa watu, Mungu atakuzidisha.

  • @judithjohn2167
    @judithjohn2167 ปีที่แล้ว +1

    Imo nguvu ya Mungu ndani ya huu wimbo🔥🔥🔥

  • @drewmollel2202
    @drewmollel2202 ปีที่แล้ว

    Milima yayeyuka🙌🏼

  • @geofreykinotimajira4603
    @geofreykinotimajira4603 ปีที่แล้ว +1

    🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌ninani kama yesu🤔🤔🤔🤔🤔 fight all my battles oh lord

  • @amonkaranja2695
    @amonkaranja2695 ปีที่แล้ว +1

    Amen 😭🙌daima na milele tumuabudu huyu Mungu 🙌🙏nabarikiwa sana na wimbo huu 💯💯

  • @careendeni6580
    @careendeni6580 ปีที่แล้ว

    Utukuzwe BWANA kwa jambo linalofanywa na watumishi wako kwa jina la Mwanao Mpendwa.
    Barikiwa Sana watumishi.