Haya ni mageuzi makubwa kwenye Muziki wa Injili Tanzania.Vijana Mungu azidi kuwatunza .Kazi yenu si bure .Endeleeni kumtukuza Mungu. Mbinguni watakumbuka kazi zenu kama hizi na kamwe haziwezi kunyamaza mpaka Mungu amewatendea mema. Nafahamu mazingira mliyonayo kwa sehemu kwa kuwa nami nimepita huko lkn kwa sehemu kubwa kufanya ibada kama hiyo ni SADAKA fulani. MUNGU mwenyezi awalinde na kuwatunza.
anyone watching this, i know we dont know each other but as you glorify God through this song. may you too be eleveated in your area of need. i feel the holyspirit touch and move in this song. God bless you#26/11/2022
Ni maombi yangu Kwa MUNGU vipawa vyenu visife wala kufifia, bali mkaongezeke katika kumjua MUNGU na kumtumikia katika kweli Yote. IBADA YA VINYWA VYENU IENDELEE HATA MILELE🙏
Nimeusikiliza huu wimbo zaidi ya mara 10 na Bado ni mpyaaa masikioni kwangu . Hakika Yesu umestahili Sifa, Heshima, Utukufu ni wako na kamwe hatutaacha kuimba Sifa zako, Umestahili Yesu 🙌🙌🙌🙌
I just wanted to listen this song after morning devotion to have a rest but guess what happened I started praising and sleep went completely.....We are the generation that will worship Him in truth and in Spirit..... nothing will stop this generation of ours I declare praises will be in our mouths and Spirits forever....For He is worthy..... Holy Holy Holy are you LORD JESUS ..... Revival is here with us....
I tell you.....tunamwinua Maana anastahili...Oooh GOD may this song reach many.....if you can see and read this message...nipe likes...injili iende mbele......tutapasa sauti
Kuna namna huu wimbo ukiwa unaimba unahisi kusisimka moyoni yani hauimbiki tu mdomoni unausikia hadi Rohoni. Mungu awabariki sana kazi nzuri, sifa na Utukufu tunamrudishia yeye🙏🏽
Napenda huu wimbo ,sinawahi kuuskiliza lakini ulinijia tu nikawa nauimba,ikabidi niutafite ,but nataka kuwashauli wadada wajitahidi kuvaa nguo ndefu maana wanaemtumikia ni mtakatifu,
Oooh hallelujah hallelujah Hakuna ambayo itafaa kueleza UWEZA WAKO na ukuu WAKOO wewe ni Mtakatifu pekee UNASTAHILI MWANAKONDOO KUKIFUNGUA HICHO KITABU na hiyo mihurii Mubarikiwe Tafes Aru Praise and Worship team GOD BLESS U ALL
Oh woow, i can't afford to be depressed if Yahweh can literally bless us with song worshippers ! The song is such a thanks-giving song to the LORD . Thank you for the song . Just as you prayed that it touches the heart of someone , i am glad that Baba hakunipita na wenzangu hapa. ASanteni sana. Gonga like kama huu wimbo umebariki moyo wako sana
Ooh God I just read the first line and literally teared up ....how can I afford to give up when Yahweh has me ......thank God for making you leave this for me❤❤❤❤
Hakika nitapiga kelele sitaacha, nitapaza sauti yangu kama tarumbeta, yote kwa kukuinua wewe Bwana, kwani u wa ajabu kwangu..🙏🔥🔥🔥🔥 #tafes_aru🔥🔥🔥 #umestahili_Yesu🔥❤️ #Love_is_perfeft_unity_s09
Mandugu zetu na madada zetu kutokla Tanzania kweli mulibarikiwa na kipaji na talanta ya muziki. Much Love from Kenya. Kama wewe ni mKenya pia like tu-support masemeji wetu kutoka Tanzania
This Song 🙌🏿🙌🏿🙌🏿.. Eeh Tafes Aru you're Blessed wakuu... Guys... Music arrangements is 🔥🔥 Leader is full of Holly spirit Vibes🔥, Back vocals Wametulia Sana🔥 ..in general kweli Mziki unatoka mbinguni 😄.... 🇹🇿
Kwakweli Yesu wetu anasifiwa na anawatu wakumsifu sifa hizi zigusa moyo wangu mimi Mungu wa mbinguni ndiyo zaidi kabalikiwa zaidi, Mungu azidi kuwatumia mbarikiwe nyote.Ameni
Mimi ni mtanzania kwa nyimbo za sifa kwa maulana upako uko juu yao... lakini nikiangalia kitambulisho mimi ni🇰🇪🇰🇪🇰🇪 thank you for bringing sanity to gospel music and never compromising the will of God be blessed ❤❤
I can't manage to spend the day without hearing this song it's my daily prayer, my friend where you're try and get what I'm getting from God through this song
Wakenya twapenda watanzia kwa nyimbo zinazotia nguvu kama wewe n mkenya gonga like😊😊😊
🙏🏾🙏🏾🙏🏾🤗🤗
Zinanijenga najikuta nafurahia maisha tu ivi😅
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Worshipping here today
great warship
Wow wow wow wow Nani hajawahi kufika hapa aje chap jamanii🙌🏾🙌🏾 mmebarikiwa sanaaaa
Amen dada yetu
@@nicksonkanyelele01 vbbevgt h😊😊😊 of😊
Amazing 👏
I want to be a Tanzanian. Natamani jamani uimbaji wenu sio wa kawaida tu
😊
I'm leaving this comment here so that whenever someone likes it, i will always come back and listen to this amazing song.
Heloww maua yenu jaman mpeweeee🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹
My Kenya 🇰🇪 people where are you??????
Here 🥳
Here❤
Hereeeeee
Glory Glory Hallelujah 🙏
Tuko Sana.. worshipping the Lord...💃💃💃💃💃
Tutapiga kelele hatuachi.........
Bass guitarist on own level
Kenya 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
Kenyans gather here we do this group justice
Blessed deeply as I trust the Lord for next level of my life
Tupo!
Amen
🎉@@nicksonjuma1156
Sijapenda tabia ya bass. Nasema tena sijapenda . Huyu jamaa anajua mpaka anakera. Sema Mungu azidi kumlinda aendeleee kutukera
Ikr 😂😂😂ametisha asee🙌🏾🙌🏾. Hata mimi sijapentraaa
Yani umenishtuwa Sana ❤😂😂😂
Yani umenishtuwa Sana ❤😂😂😂
Hahahhah
Anatembea na minor tu Yuko vzuri sana😅
Haya ni mageuzi makubwa kwenye Muziki wa Injili Tanzania.Vijana Mungu azidi kuwatunza .Kazi yenu si bure .Endeleeni kumtukuza Mungu. Mbinguni watakumbuka kazi zenu kama hizi na kamwe haziwezi kunyamaza mpaka Mungu amewatendea mema. Nafahamu mazingira mliyonayo kwa sehemu kwa kuwa nami nimepita huko lkn kwa sehemu kubwa kufanya ibada kama hiyo ni SADAKA fulani. MUNGU mwenyezi awalinde na kuwatunza.
Amen, Asante sana kwa kututia Moyo
TANZANIA MY SISTER COUNTRY😊 MUCH LOVE FROM +254
Huu wimbo unaweza ukausikiliza ukiwa unatoka dar mpaka mbeya kwenye gari yako mwanzo mwisho . Mbarikiwe team Musician mmenibariki MD ezek
Uzidi kubarikiwa zaidi na wakati wote tunakuombea mafanikio.
kabisa yaani, Mungu Awaabariki, na Mungu ni Mwema sana amen.
Huwa nikianza safari lazima niuwekeeee🙏🙏🙏🙏🙏
Kwakweli bongeeee la muziki aisee 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙌🏼🙌🏼🙌🏼 ntaenda nao mbeya 😅
Hahahah.. You got it!
Tanzania here l come
I play this song everyday almost 5 times, Kenyans let's gather here my people
Gone Are The Days Of Singing Our Problems.This Is The GENERATION Of WORD,PRAISE & WORSHIPPING JESUS In SPIRIT And TRUTH.Great Work Saints!!.🔥🔥🔥🔥🔥
Amen. Our eyes 👀 on Jesus forever
True. I agree.
Yes yes yes
Yeees
exactly
I am Kenyan and I love Tanzania gospel songs they really bless me! God bless you.
anyone watching this, i know we dont know each other but as you glorify God through this song. may you too be eleveated in your area of need. i feel the holyspirit touch and move in this song. God bless you#26/11/2022
AMEN 🙏
Amen
Amen
Amen hallelujah ❤
Am here in 2024 ... AMEN 🙏🏾
Baraka Tele from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Be blessed our friend
Huu wimbo unaupako mwingine wa juu Sana tanzania 🇹🇿 Mungu awabariki Sana 🇰🇪
Acha tu. Waliimba sana
BARAKA tele from 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩Congo ,
basist understood the task
Ni maombi yangu Kwa MUNGU vipawa vyenu visife wala kufifia, bali mkaongezeke katika kumjua MUNGU na kumtumikia katika kweli Yote. IBADA YA VINYWA VYENU IENDELEE HATA MILELE🙏
Ameen 🙏🏽
The bassist understood the assignment 💥🇹🇿
Exactly
True 😊
Indeed
Trueee
Mackob tz...that guy is 🔥
Much love from 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 u are really blessed our neighbouring country 🇹🇿 🇹🇿 lifting the name of our Lord Jesus..❤❤❤❤
Wapi watanzania gonga like hapa tujua jinsi tunavyobarikiwa kwa kupitia nyimbo za kumwabudu Mungu 🙏💕🌹🌹
🔥🔥🔥🔥. This is beautiful. This is revival 🎉🎉. 🇰🇪. Kenya wimbo huu umetubariki
Mimi kila siku lazima ni play hii nyimbo asubuhi kabla sijaenda kazini
This song is such a blessing to me.from Kenya I'm blessed 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Amen, we love You
You are welcome to Tanzania
Thanks very much.continue lifting the banner of Christ high
Tuko Pamoja, I love this Hit
Love from Nigeria🇳🇬🇳🇬, the drummer and bassist are on 🔥🔥
Tanzania is Blessed 🥺🙌
Mungu anatenda kazi, Amestahili Yesu
For sure and I envy☹️ in a good way though😄🙌
Good morning I am not sure if you have a great day 😢😢
More blessings
What a blessing!
For sure the instrument beats at the starting of the song is what kills me😂❤❤❤❤❤❤❤❤
Nimeusikiliza huu wimbo zaidi ya mara 10 na Bado ni mpyaaa masikioni kwangu .
Hakika Yesu umestahili Sifa, Heshima, Utukufu ni wako na kamwe hatutaacha kuimba Sifa zako, Umestahili Yesu 🙌🙌🙌🙌
Amen, Yeye aliyetupa uzima Anastahili Heshima na utukufu.
Hakika
Hallelujah 🙏 Anastahili
Umestahili Babaaaa 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Tanzania you're blessed!! Much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪
You’re welcome 😇
Mungu wetu ni mwema kwa kila Mtu
Mimi Mungu nakuinua wewe Wa waajabu Na unastahili,mataifu njooni tumuinue
1.🇰🇪
2.🇱🇷
Umestahili Yesu
Tunapiga kelele hutuwacha tunapaza sauti zetu hapa much love from Kenya 🇰🇪 🇰🇪🇰🇪
I can't stop praise lord is so amazing❤💖🥰😘🤭
One of those songs they make you dance while crying. Bless you guys.
It’s a prophetic song with a lot of Grace in it
Woouuw woouuuh 🥰🥰 amen amen maritime sanaaa🙌🙌🙌🙌
Huu wimbo umenibariki sana.More grace Watumishi.🇰🇪🇰🇪
Amen, Endelea kubarikiwa
God bless ... confession through our own mouth
@@tafesaru Amen najua ipo siku nitahudhuria maabudu yenu na waimbaji wengine wa kutoka Tanzania.Nawapenda sana.Mungu azidi kuwainua.
Mungu.....utukufu..wakunimkubwa..eeeee.
I just wanted to listen this song after morning devotion to have a rest but guess what happened I started praising and sleep went completely.....We are the generation that will worship Him in truth and in Spirit..... nothing will stop this generation of ours I declare praises will be in our mouths and Spirits forever....For He is worthy..... Holy Holy Holy are you LORD JESUS ..... Revival is here with us....
Amen
I tell you.....tunamwinua Maana anastahili...Oooh GOD may this song reach many.....if you can see and read this message...nipe likes...injili iende mbele......tutapasa sauti
Hapa nimeguswa kilindindi mwa moyo wangu
Wakati wote nikiuskiza huu wimbo majonzi yote huisha.... Mungu anastahili sifa na utukufu 🙏🙏
Ni Njema saaana
Kuna namna huu wimbo ukiwa unaimba unahisi kusisimka moyoni yani hauimbiki tu mdomoni unausikia hadi Rohoni. Mungu awabariki sana kazi nzuri, sifa na Utukufu tunamrudishia yeye🙏🏽
Ni kweli kabisa
Amen
Hakika mungu anastahili 🙏🙏🙏
Napenda huu wimbo ,sinawahi kuuskiliza lakini ulinijia tu nikawa nauimba,ikabidi niutafite ,but nataka kuwashauli wadada wajitahidi kuvaa nguo ndefu maana wanaemtumikia ni mtakatifu,
Kweli Bwana wewe wa ajabu katika maisha yetu,umetutendea bila kujali tulivyo,tunakushukru Yesu
Oooh hallelujah hallelujah
Hakuna ambayo itafaa kueleza UWEZA WAKO na ukuu WAKOO wewe ni Mtakatifu pekee UNASTAHILI MWANAKONDOO KUKIFUNGUA HICHO KITABU na hiyo mihurii
Mubarikiwe Tafes Aru Praise and Worship team GOD BLESS U ALL
Amen, Uzidi kubarikiwa na tunakukaribisha sana TAFES ARDHI
Amen🙏 glory to God thank you Jesus ALELUYA I am blessed this gospel song is so amazing wow it is a blessing to me amen🙏?
Oh woow, i can't afford to be depressed if Yahweh can literally bless us with song worshippers ! The song is such a thanks-giving song to the LORD . Thank you for the song . Just as you prayed that it touches the heart of someone , i am glad that Baba hakunipita na wenzangu hapa. ASanteni sana. Gonga like kama huu wimbo umebariki moyo wako sana
Ooh God I just read the first line and literally teared up ....how can I afford to give up when Yahweh has me ......thank God for making you leave this for me❤❤❤❤
I MISS ARU😢😢
Mungu akubari kaka na timu yako
Hakika nitapiga kelele sitaacha, nitapaza sauti yangu kama tarumbeta, yote kwa kukuinua wewe Bwana, kwani u wa ajabu kwangu..🙏🔥🔥🔥🔥
#tafes_aru🔥🔥🔥
#umestahili_Yesu🔥❤️
#Love_is_perfeft_unity_s09
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu, usiache kuwaalika na wengine wapokee baraka hizi.
@@tafesaru Amen Amen🤗
Wimbo umenibariki sanaaaa, mungu awabariki muendelee kumsifu bwana katka roho nakweli
what i see here is a people worshipping God in truth and spirit.Such worship He can't ignore.🔥🔥🔥
Heard from church without walls and came looking for it💥 this song is💥💥💥God bless you🙏🇰🇪🇰🇪
Just heard it from KSF Naks and here I am for the same purpose.
Wow nice songs 🎉 💃 ubalikiwe
Much love from kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤️The song ministers..
Where are my fellow kenyens . Gonga likes tukisonga🎉🎉🎉🎉
Nikirudi masters ARDHI (ARU) najiunga TAFES😊
Wow wow wow..owowowowowowowo❤❤❤❤❤
You're worthy to be praised Jesus,tutapiga kelele hatuachi,tutapaza sauti kama matarumbeta🔊🔊🔊🔊🔊🙏🙏
NAFTA mtanzania jamani❤,kazi nzuli
Tunakuinua bwana asanteni sana by Jackson niyonkuru mugara rumonge
This song is very nice Kenya come hia
Mandugu zetu na madada zetu kutokla Tanzania kweli mulibarikiwa na kipaji na talanta ya muziki. Much Love from Kenya. Kama wewe ni mKenya pia like tu-support masemeji wetu kutoka Tanzania
Umestahili yesu wazee ishirini na wanne wanakuabudu.🇰🇪🇰🇪
Umoja wa MD’s TANZANIA unatoa pongezi kwa kazi nzuriiii ya mr eze
Wooouh woooouh 🥰🥰🥰 amen amen mbarikiwe sanaaa🙌🙌🙌🙌🙌
Tutapiga kelele hatuachi🔊🔊🔊
Tutapiga kelele hatuwachi, my spiritual dad Rev Amos Bonface made me to love this song 🙏🙏
This praise is another level,much love from Kenya
Our worship leader pst Victor from KSF church Nakuru made me fall in love with this song .its such a blessing great job
Umestahili Yesu. May I forever praise you my God. What you have done is great
This Song 🙌🏿🙌🏿🙌🏿.. Eeh Tafes Aru you're Blessed wakuu... Guys... Music arrangements is 🔥🔥 Leader is full of Holly spirit Vibes🔥, Back vocals Wametulia Sana🔥 ..in general kweli Mziki unatoka mbinguni 😄.... 🇹🇿
Ubarikiwe sana, Tunakushukuru.
@@tafesaru barikiwa Sana Wakuu Sana🙌🏿
🔥🔥🔥🔥🔥🔥📌📌📌
Utukufu kwa BWANA 🙌🙏🏽❤️
Love Tanzania gospel songs mna ni bariki sana from kenya
Kwakweli Yesu wetu anasifiwa na anawatu wakumsifu sifa hizi zigusa moyo wangu mimi Mungu wa mbinguni ndiyo zaidi kabalikiwa zaidi, Mungu azidi kuwatumia mbarikiwe nyote.Ameni
🎉🎉🎉🎉good
Base🔥🔥🔥🔥
Mungu anawatumia watumishi wake
Hongeleni sana kwa nyimbo nzuri mungu awabariki sana
I'm proud of my country...🇹🇿
We are blessed 🇹🇿
Amen❤❤❤
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 much love
Tanzania Jameni mnaelewa jinsi ya kushikilia pindo la Mwokozi.Barikiweni🙌🙌🙌🙌
🎉 MUNGU awabariki sanaaaa
Thanks for your committment into the God, you r blessing the whole world. More anointing 🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬
Amen, You are welcome at TAFES ARDHI
❤❤❤❤❤ HAKIKA amestahili baba yetu 🙏🙏
Mzidi kuandamiwa na Kristo Yesu 🙏
am an acoustic guitar player but the bass in this song is out of this world
Mimi ni mtanzania kwa nyimbo za sifa kwa maulana upako uko juu yao... lakini nikiangalia kitambulisho mimi ni🇰🇪🇰🇪🇰🇪 thank you for bringing sanity to gospel music and never compromising the will of God be blessed ❤❤
Umestahili Yesu wang🙏🙏🙏
You are worthy Jesus❤
Uzidi kubarikiwa mtumishi wa Mungu
@vaticanrealestate and construction 👏🏽👏🏽👏🏽🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾.AMEN
I can't manage to spend the day without hearing this song it's my daily prayer, my friend where you're try and get what I'm getting from God through this song
nice work 🙏
Amen, Utukufu apewe Bwana
barikiwa sana
Hakika imestahili yesu bariki wa sana
.najivuniya......kuwa...mwana.familiya.....wa.yesu
Tutapaza sauti zetu kama Tarumbeta..Umestahili Yesu..