JOEL LWAGA ft. BOAZ DANKEN - NI NEEMA (Official Video)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 30 ก.ย. 2023
- NI NEEMA is the second release from the most expected upcoming album GOOD TO GO from JOEL LWAGA, In English it simply means “IT IS BY GRACE”
It’s a wake up call to remind people of God on Humility
“When I look back from where God took me from, everything I am and everything I have today, i realize that i didn’t do anything on what it takes to achieve all those things…it’s underserving favor of God…I just realized that I’m a zero qualifications man whom God has just favored!…”
Ni Neema is an appreciation to God, and a song of realization that His goodness and mercy is the source of all…
Produced by: Emmanuel Gripa
Mixing and Mastering: Dickson Gripa DG
Video: Director Joma
Stylist: Wekisha Designs - เพลง
Kama umebarikiwa na huu wimbo kama Mimi tafadhali like zikuwe nyingi nyingi hapa😩😩🫂🫂🙌🙌🙌🙌🙌🍎🍎🍎🍎🍎🍎🍎🍎
Hakika bila neema ya MUNGU nisingekua nafamilia yangu mpaka sasa
Sikustahili ❤ni neema Tu 😌
NANI MWINGINE AMEWEKWA KWA NEEMA KAMA MIMI A LIKE COMMENT YANGU😩😩😩😩🫂🫂🫂🫂🍎🍎🍎
Ni NEEMA imeniweka Hapa🙏🏽
Ni NEEMA TU MY SISTER IMETUWEKA HAPA. JINA LA YESU LIHIMIDIWE MILELE NA MILELE
Jaman ni neema tu imeniweka hapa sikustahili
Ni neema ya bwana sister
Ni Neema tu singefika hapa leo
Tanzanians are so blessed with good singers❤❤
Glory to God❤❤
Hakika ni NEEMA ya MUNGU tu 🙏🙏🙏
Wimbo mzuri sana Mungu awabariki sana
Why do I feel like song haijaisha..especially the chorus..so powerful..
Ni neema ni neema imeniweka hapa Asante yesu🙏🏻 sikustahili ni neema ni neema yako yesu ameen ameen ameen
Ni neema yake Yesu...si kustahili
Waouh, barikiweni sana
Yote kwa kweli ni neema kwangu.
Lakini nauliza Joel mbone kagonda, alikuwa amegonjwa ama kuna shida nyingine? Kwani amepunguwa kabisa
😊😊hii I swear inanigurumisha kichwa kama gari,,,when i wake up in the morning it's the kind of jam I want to always,,,,play
Kweli sikustahili mimi..ni Neema! Amen
Ni neema yake Yesu sikustahili
Kwakweli sikustahili ni NEEMA tu.
Indeed its God's grace🙌, ni neema tu
Ni neema yake yesu this song blessed my heart
Ni Neema tuuu imeniweka hapa Nilipo,🙏thats it ✅Endelea kubarikiwa na kutubariki Joel
neema ni sauti ya wasio na vigezo kibinadamu
ahsante Jo
Kiukweli ni neema ya MUNGU wa mbinguni
Namshukuru Mungu sana mimi na familia yangu ni neema tu 🙏🏾🙏🏾🙌🏾
Asante YESU kwa kuwatumia watumishi wako katika viwango vikubwa
Ni neema Tu Za Mungu mwenyewe
❤❤❤❤❤❤❤❤ Asante Yesu Kristo Kwa neema yako🙏🙏🙏🙏🙏 kweli sikustahili kabisa
Nimebalikiwa kusikia huu wimbo
Kwa kweli ni neema bila yeye ningefia kwenye operation nilibaki kidogo tu eh asante yesu😢
Asante Bwana Yesu kwa kuniweka huru
Ni neema ni neema ni neema yako yesuuuu imeniweka hapa..... sikustahiliiiiiiiii
Hakika ni NEEMA kuu yako Mungu wangu ulikonitoa ni mbali usingekuwa ni wewe Mungu wangu maadui wangeniangamiza Asante Mungu wangu kwa NEEMA yako juu yangu na usiniache Mungu wangu
KWELI 😢😢😢 SIKU STAHILI...
NI NEEMA YAKE YESU KRISTO TU
Nineema ya mungu hakika imeniweka hapa!!mungu awabarikia San watumish was mungu
Mungu awabariki mnooo
Jaman jaman nyie achen....Huu wimbo unanpa amani sana jaman Mungu huyu....Aliponitoa moaka hapa nilipo kweli n neema na sikustahili😭😭😭😭😭😭😭😭...Yesu alkufa msalabani kwaajili ya kubeba mizigo yangu
Hallelujah, it's only by your grace Lord not for my strength.
Only to cry😢😢😢😢😢😢,I can't find where to start talking about My God's grace to me,guys God bless you for this song,Only for neema yamungu,from Rwanda 🇷🇼
Kweli ni neema ya Mungu imenibeba
Ni kwa neema yake oliyotokana na kifo cha Yesu Msalabani ili sisi (mataifa) tulioitwa najisi, wasiotahiliwa kwa jinsi ya mwili, tupate urith pamoja na Kristo.
Sisi tuliokuwa mbali hapo kwanza tumekuwa karibu kwa Damu yake Kristo Efeso 2:13
Lakini pia Kolsai 1:13 Naye alituokoa katika nguvu za giza, akatuhamisha na kutuingiza katika ufalme wa Mwana wa pendo lake;
Kwa neema yake hata nguvu za giza hazina uwezo juu yetu.
May the Lord Bless you
NI NEEMA yako Yesu tu ,NIMESTAHILISHWA NISIPOSTAHILI,🙏🙏🙏🙏
Nimefurahi kusoma kaka Boaz anaimba vizuri hivi nilizoe Kuna akiimba live tu....Mungu azidi kukuinua kaka Boaz
I feel blessed in Jesus name #Ni neema ya bwana nipo hapa
Huu wimbo haujawahi kuisha bila chozi kunitoka, kweli ni NEEMA tu ya YESU, mbarikiwe sana❤
The Grace of God 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Cheche za upako!! Musajigweghe fijo fijo
Kweli ni neema congratulations for good song
Amen and amen. Mungu wetu ni mwaminifu sana na anatupenda, anatujali na kutupigania sana inatupasa tumwamini tu, tusitie shaka. Yeremia 29:11. Barikiwa mtumishi
Enyewe sistahili. Ni neema imeniweka hapa.
Amen amen amen and amen Ni Neema tu YA mungu mm 🙌🙌🙌🙏🙇
Yani kama mimi nimdhambi sana hata sifai kuchaguliwa ila NEEMA ya Mungu Imenibeba ,,MUNGU we mkali sana ahsante kwa yote
Hakika tupo Kwa neema
When you depend on God for everything,this song must bring tears to your eyes!
For sure🙌🏻🙌🏻😭😭
So TRUE ❤
Ni neema imeniweka hpa hakika
Ni Neema tuu ya MUNGU ❤❤❤ be blessed my brothers
N neema y mungu we are alive brethren
TH-cam wangekuwa wanatoa prize, ningepata leo mweee, left the song on repeat 6 hours now! 😂, Kyala abhasaje bha kaka, fresh oil daily.
Hakika namshukuru Mungu wangu Sana " kwa neema yake hd kufika mwisho w mwaka mm pamoja na familia yangu n neema tu " Sina Cha kumpa Mungu wangu Zaid y neno asantee🙏
Wimbo huu unaleta amani ndani ya roho❤.
Mungu awabariki sana watumishi wimbo unamafuta huu! Hakika ni neema ya Mungu imenizingira kila kona ya maisha yangu asante Yesu kwa kunifia msalabani
Ni neema imenifikisha hapa mungu wangu 🙏 Mungu naomba uzidi kunipambania katika maisha yangu 🙏 nipatie ninacho stairi katika maisha yangu
Asante MUNGU BABA kwa NEEMA zone ktk maisha ya familia yangu na mimi!! I am truly blessed asanteni watunzi na waimbaji!!!
Wazito wawili. Delivered properly. Kudos
Ndagha fijo.Mungu azidi kuwapaka mafuta yake Mabichi
Vile tulikosaga chakula,tukalala na njaa kwa hakika hapa nilipo ni NEEMA ya MUNGU TU
Ni kweli ni neema ya Yesu inatifanikisha. Best collabo nimeipenda
Hakika ni Neema ya MUNGU ndio inayotuweka hai mbalikiwe watumishi wa Mungu 💕💕💕
It's been 5yrs raising my son as a single mom and I can say ts been the Grace of God.... this song hits differently any time i play it🎉❤
Wimbo huu ni ushuhuda mkubwa sana kwangu...ni neema ya Mungu mpk hapa nilipofikia...uhimidiwe JEHOVAH
Hakika hawa wakaka n mafundi wa nyimbo za injili hakika mwenyez Mungu azid kuwainua kwa kiwango Cha juu Sana katika uinjilishaji wa nyimbo z injili🙏
Amen amen hakika ni neema ya Mungu sikustahili kuwa hivi be blessing
Mimi NILIKUWA nimetesekaaa miaka yote yangu 26.....but since mwezi wa Tano nikafika mwisho nikamkimbilia MUNGU......now within the same year 2023 4months later I've propagated ideologies that have born 3 businesses of about 10M.....now and I'm growing....now today for first time I'm writing this using WiFi in one of my Shop.........I even wore sutiii
God is indeed good^_^🙏
OUR GOD! 😭😭😭😭
Sifa kwa Yesu
Kuna mtu Alilipa Madeni yangu yote😢.
Ni neema 🙌🙏🏽🇹🇿🇹🇿
Hakika ni neema sikustahili Mungu wng nakushukuru
Neema yake MUNGU yanitosha. Asanteni sana, ninyi ni baraka sana kwangu🧎🧎🧎🧎
Much love from Kenya 🇰🇪❤️❤️🙏❤❤
When excellence meets anointing, this is what you get! Beautiful testimony in a song❤
💯💯♥️♥️😩
🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙏🙏🙏
Sikustahili ni neema yake Yesu❤🎉
hakika ni neema nimekumbuka nilikotoka mpaka machozi yamenitoka hakika sikustahili 😭😭😭😭😭
I real appreciate you brother good job, and nice song YES IT IS GRACE AND MERCY OF GOD🎉🎉🎉🎉🥳🥳👏👏❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Sikustahili ila ni neema yake Mungu, what a touching song?
Ni Neema kuuona tena mwaka 2024, Ahsante Yesu.
Umenitendea mambo makuu sana nisiyositahili.hukuangalia udhaifu wangu wala dhambi zangu.Ahsante Yesu kwa neema ya uhai,kazi, watoto,mke mwema.wewe unajua ulikonitoa.Hakika sikustahili.
Ni kweli ni kwa neema ya Mungu nimefanyika mwanae,me nimesamehewa dhambi zangu zote😅😅😅 nimekombolewa mimi🙏🙏sihesabiwi dhambi milele kwa kulipiwa deni langu la dhambi na mwokozi wanguuu.NAJIVUNIA YESU WANGU
❤❤❤❤ Woow kweli ni Neema Barikiwa Sanaa Watumishi wa Bwana Yesu🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏💓💘💘
Oooh!!! good song, nimebarikiwa snaaaa kweli ni mwema yako Yesu Hongereni Sana Loel and Donken.
kwa kweli ni neema,,mimi sikustahili,,,naupenda wimbo huu,,,mungu azidi kuinua kazi unazofanya joel,,,
Hakika ni neema ya mungu nabarikiwa Sana na wimbo huu
Aamen... story of my Life
Mungu azidi kuwainua wapendwa. Mumeubariki moyo wangu🎉
Sikustahili hata kidgo lakini YESU amenistahilisha pale msalabani, Asante YESU.
Mungu awabariki sana watumishi, kweli kabisa ni neema tu kupata wokovu.
Ni kwa Neema ya Yesu ndiomana Niko hahi leo. Si kwamba Mimi ni mzuri zaidi ya wengine 🙏🙏🙏😭❤️❤️
This song hits different kila ukitafakari maisha yako na namna ambavyo Mungu amekua anatutetea
Very Powerful Song !!Mungu awabariki mno Watumishi Wake,Yesu Azidi Kuwapaka Mafuta Mabichi Kila Iitwapo Leo.Nimebarikiwa Sana na Wimbo huu🙌
Leo nimeskiza.hii song 20 Times it was my first time to hear it. So sweet.
Bro anza kufanya live performance!! Huu wimbo mngefanya live ungekuwa the best Sana!
I can't get enough of this song akiiii, wueeeee. Jinsi nilivyo ni kwa neema❤️❤️❤️❤️❤️Thank you Jesus 🙏🙏🙏🙏
Yote haya ni neema yako baba nakushukuru Jehova n neema yako Ndio man Niko hapa
Ni Neema ya MUNGU imenifikisha hapa sikustahili kabisa😢🤲🤲
Nimebarikiwa sana hatukustahili heshima, kibali bali ni neema tuu
KWELI NI NEEMA GOOD SONG REMEMBER GRACE LIFE KENYA
Wokovu ni neema, maani, furaha, afya n.k Hakika ni kwa neema tu!.
Mbarikiwe sana
Dah nimelia,mimi ndie niliyependelewa tu na Mungu