Guys I am a living testimony for this song ....I played it the whole night at my our plot my neighbor was paralyzed 😢for more than 4yrs now She came at my house singing this song saying that she was healed after I played that song around 10 times 😢😢😢God is faithful guys let's believe on him🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Ni yeye tu hakuna mwingine😭😭😭 tulikuwa tunachukiwa na kila mtu hadi familia kwa sababu ya umaskini.lakini mungu huyu wetu hakutuchukia ama kutuhaibikia. Alinitumia kama daraja kwa familia yangu,alinifungulia milango na siku hi ya leo ndugu zangu wamebarikiwa wako inchi za marekani,walio baki hapa wana makampuni yao hapa kenya na wa mwisho ndo ana graduate hu mwaka. Kupitia mimi tu.Mungu ni mmoja tu,sifa na shukrani zimrudie😭😭🙏
Ooooo God you are you hakuna mwingine naomba MUNGU wote wanitesa na kufanya nirudi nyuma usiwapee amani in Jesus name nawaomba mniombee hadi wajue MUNGU nimumoja TU
Mungu ni mwema. Amekuonekania Sasa. Utanyonyesha na anakupa Wana ambao watakukumbusha kwamba miaka ilitoliwa na nzige yamerudishwa. Pokea katika jina la Yesu.
40 years from today I will be 72 years and I know by the grace of GOD I will still be alive to listen to this song. Lets comment Amen and give the likes so that whenever i see your comment and likes i keep praising the Lord because iam alive.
Asante bwana kwa ajili ya huyu dada namweka mikononi mwako nikisema ni asante bwana tazama ameweka Imani kwa ajili ya dada yake na Mimi nakuomba siku ya Leo umfungue MAHALI popote alipo ukampanguze machozi na kumbariki na watoto wa kimiujiza katika jina la Yesu kristo nimeomba.Amina.
Amen, God is working on His people, God broke those curses a while ago for me. He is faithful, powerful and all knowing. Make sure you create an alter in your house through worship and praying consistently
I will come back here with a testimony that my children and I a time like this next year 2025 ,we will have settled in the UK...amen and thank you lord
Nitaanguka miguuni kumsujudu kwa yoote mazuri naabaya kwa maana ni uzuri kwangu...nitamwaga mapenzi yoote Niko nayo kwake..... thanks to the King of Glory ❤
Nikimwona nitamshukuru kwa kunipa mke mwema mwenye hekima na busara.amenipa mke amenipa mtoto na amenipa kazi na pia amempa mke wangu kaz nasema asante mungu kwakuonekana ktk familia yangu na wape wote wenye maitaji kadili watakavyo kwny maisha yao
Mimi sina cha kuzungumza ila moyo wangu unalia kwa furaha kila nikimuona mume wangu namshukuru Mungu kwa kunipa mume bora,kanipa watoto,kanipa kibali kazini ooooh nasujudu kwa Mungu wangu kama ulivonibariki wabariki na wengine YEHOVA.AMINA
Huu Uwe ukiri wako kila siku, Kutoka 23:26 “ Hapatakuwa na mwenye kuharibu mimba, wala Aliye tasa katika nchi yako. Na hesabu ya siku zako nitaitimiza”. Wewe ni uzao wa Ibrahim kwa imani, hii ahadi ni yako pia. Kiri huu mstari kwa imani na Mungu wetu Aliye Mkuu Akutendee kwa Utukufu Wake 🙏🏾
Mimi nikimuona Nita mwambia asanti Kwa kulipia dhambi zangu nitainama ni mshkru huyu YESU Mwema the king of my soul the king who have never fail me the healer who healed my mum cancer stage 4 and He is still keeping my mum a live for his own glory dagon Baal Ashera miungu ya kigeni kwetu wameanguka wenye husuilia watu wakijiji yetu waokoke wameanguka na kufujika
Wote tulio kusanyika hapa,,kumuomba aponye mchezaji Ezekiel Otuoma,, jna alimupumzisha baada y kuuguwa zaidi y miaka minne😢,, Baba wetu wa mbinguni alimpa uzima wa milele jana.. wote walio muombea akiwa haii n saii akiwa ameenda kwa baba wetu wa mbingunii Mungu awabarikii sana,, n mahitaji y nyoyo zenu mungu awatendee mema tukifunga mwaka huu wa 2024,, mkisali muombee bibi ya Otuoma 🙏🙏.
Nikimwona ntamwambia anitumie kaa chombo cha kutoa familia yangu kutoka kwa umaskini, awape wazazi wangu maisha marefu waone nikibarikiwa na wao wabarikiwe kupitia kwangu
My husband was undergoing a liver transplant na huu wimbo aliupenda sana na kunitumia a few days before operation siku anaingia theater nilimwambia nitakuwa nauimba on his behalf hadi atoke... sang it with hope after 13hrs nikaambiwa Mungu katenda na ametoka salama🙏🙏🙏 GOD this is my testimony to the world that you do live and a miracle worker
Eeh Mwenyezi Mungu nifanyie wepesi kwenye maisha yangu ninayo pitia yote unayaona naamini unaniadalia kitu kizuri mbeleni,ohh God huu wakati ninao pita naomba unisaidie 🙏 🙏
Nikimwona nitamwambia amponye dadangu yangu ambaye ameugua kwa miaka kumi na moja...we have really cried and struggled for her to get healed😢😢😢Na kwanzia leo na akapate instant healing in Jesus Name
Everytime someone likes my comment I will come back to watch😭❤ The King of Glory is here😭😭😭😭 Mungu ni mmoja translates to Mulungu ndi mmodzi in chichewa🇲🇼 God is truly one❤
Ukimwona, you will be filled with so much Joy. You will only worship and praise him. Huo wakati you won't desire to ask for wordly things... Just worship. Shalom
Dear God, I humbly ask for Your divine intervention to deliver my dad and bro, from the grip of alcohol addiction. Grant them the strength and wisdom to overcome their struggles and make healthier choices. Please also bless us with the knowledge and discipline to manage our finances wisely, so we may live responsibly and support one another in all aspects of our lives. Additionally, I pray for good health and job opportunities for me and my siblings, so we may provide for our family and build a brighter future. Amen.
I'm a walking testimony I couldn't stand on my own for a month I was very sick I just listened to this music and guess what I can't tell how I found my self walking
Nitamwambia Asante kwa kunifungua uzazi. Naomba umlinde mwanangu Uzao wangu na lango langu. Vita zangu na zake zote pigana kwa ajili yetu Mungu wangu.. Ondoa mikosi na laana kwenye familia ya Baba na Mama yangu .fungua vifungo vya umaskini. Shusha baraka na uponyaji
Oooh Baba nikikuona nitakukumbusha lile ombi langu mimi na Familia yangu tukutumikie wewe hasa Lile angano langu nawewe nilikuomba unipe Watoto Mapacha nikachagua mpaka njinsia baada ya mateso Mungu ulie mwema ukatenda vile vile kama nilivyoomba oooh MUNGU yupo jmn nikasema ukinipa Mapacha hao ni wako nakukumbusha Mungu wangu kuna Watu wako nyumbani kwangu natamani sanaa waanze kukutumikia hata wakiwa na miaka 3 naandika lkn namuogopa MUNGU jmn Mungu yupo mwenye Imani aombe chochote aone Muujiza utavyopiga hodi nyumbani kwake Asante Yesu kwa kila kitu.
Every one trusting God for a child bearing... don't lose hope...soon you'll have a tearful testimony of God's doing....am a living testimony... write down in your diary when you want your baby or babies....it's done in Jesus mighty name Amen 🙏🙏
When I see God, I’ll tell him to give me a JOB, to elevate my business , to help me build my parents a HOME, heal my fathers Arthritis, heal my mothers Pressure, give my sisters a job and give me a long life and my relationship to lead to marriage 🙏🏻
I put this comment here, so that when anyone likes it, it will remind me how God restored me, turned my shame into fame and replaced my tears with joy. I never want to forget for one moment how good God has been to me, how this song has touched my soul
Nikimuona nitamwambia atoe vijana wote wa kenya kutoka kwa pombe na mihadarathi na awape hope and a future in his good plans he has for them according to Jeremiah 29 :11 Amen 🙏
Yes the ministration may be on another level but these women need to get fully dressed in garments of Salvation. Not these worldly clothes. May the LORD Jesus Christ help them seek the truth, Amen.
Siyo mwepesi kucomment lakini huu wimbo umenigusa nikiwa ofisini nikaona nitamke neno la baraka Kwa waimbaji na wote wanaousikiliza huu wimbo Mungu akakutane nao Katika jina la Yesu anayeamini aseme Amen!
Waaaawaaaaaa this is music on another level wakuu wa injili waja pamoja Evelyn wanjiru, Bella kombo & NGC This is big and bigger mungu awazidisheee..gonga likes za wakenya ❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Nikimwona nitamwambia anipe favour and grace ya kuingia Mahali sifai kuingia,nipate kazi,wazazi wangu waishi maisha mazuri babangu apumzike asikie vizuri kama wanaume wengine awache kufanya kazi ngumu😢😥😥
Asante yangu imfikie Mungu pamoja na wote watakao like comment hii kwamba Mungu Ajibu maombi yetu ya siri ambayo Hatuwezi andika hapa Ila huyu Mungu mmoja tu yu Ajua!
I said to myself if I meet God I will let him know how much I need scholarship for my postgraduate studies. Finally, he has answered my prayer, I have secured a fully-funded, prestigious scholarship to study in UK. Mungu ni mmoja.
If you're seeing this in July 2024 kindly leave a like so it can remind me how God has been faithful in my life. How He has changed my story How He has vindicated me It has been God all along. I remain Grateful
Hey ,Fay! Don't look back. Move on with this fine decision. Kwanza yale maombi ya saa Tisa asubuhi😭😭 unahisi ni kama mbingu zimefunguka tu😭💯 it's good to know God in truth dear ones❤❤
Nikimwona ntamwaambia anikumbuke pia. 36 years old, no child ,no husband with no prospects. In the meantime lets worship Him. To all those who believe in God ,tuamini kwa pamoja, Amen🙏🙏🙏 Nipitieni .
We serve God of no time limit,ask Sarah and Abraham..i pray for you before the end of this year,God will have manifested himself in his own way in jesus name.you will give a testimony
Nikimwona nitamwabia aniondelee ugonjwa wa kisukari cha kupanda aniponyee kabisa nisitumie sindano niishi kama zamani, sifa heshima na utukufu ni kwa Bwana Yesu
Kindly friend God has already done it Remember at the cross He said it is finished Just believe and work hard miungu ya dagoni ya umaskini imeanguka imevunjika katika jina la Yesu kristo Amen....
Tunainama Tunasujudu Mungu Ni Mmoja Tuu…
Love u saaaana mama
Hallelujah..🙌
Amina mtumishi
Amen,Mungu ni mmoja tu. Love u mama mshindi❤
Amen
Guys I am a living testimony for this song ....I played it the whole night at my our plot my neighbor was paralyzed 😢for more than 4yrs now She came at my house singing this song saying that she was healed after I played that song around 10 times 😢😢😢God is faithful guys let's believe on him🙏🏼🙏🏼🙏🏼
🔥🔥🔥🔥
Amen
Oh Glory to the most high God 🙌🙌🙌🙌🙌
Amen
Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Who has noticed Sarah K signature in this song 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 I can't wait for Tuesday worships moments when she will redo this song.
Yes she did can't wait🎉
A friend said the same,Sarah K all over
Can't wait too
It will be🔥🔥🔥
Which signature? Stop planting divisions in the glory of God, learn to not see human pride in God's praise
Ni yeye tu hakuna mwingine😭😭😭 tulikuwa tunachukiwa na kila mtu hadi familia kwa sababu ya umaskini.lakini mungu huyu wetu hakutuchukia ama kutuhaibikia. Alinitumia kama daraja kwa familia yangu,alinifungulia milango na siku hi ya leo ndugu zangu wamebarikiwa wako inchi za marekani,walio baki hapa wana makampuni yao hapa kenya na wa mwisho ndo ana graduate hu mwaka. Kupitia mimi tu.Mungu ni mmoja tu,sifa na shukrani zimrudie😭😭🙏
Daa Mungu aonekane kwangu ktk hili
Amen. Great testimony. Nisaidieni kwa maombi kwa sababu naona nikimaliza mwaka na ushuhuda. Amen Amen Amen
Ooooo God you are you hakuna mwingine naomba MUNGU wote wanitesa na kufanya nirudi nyuma usiwapee amani in Jesus name nawaomba mniombee hadi wajue MUNGU nimumoja TU
Awesome GOD
Mungu hamtupi mja wake. Endelea kulitangaza jina lake Takatifu.
Kenyan tuko wapi💃🇰🇪🇿🇦🎤🎷🎹🎶🔥💯🙏Slogan#Mungu ni Moja tu.
Wow! The king of glory is here .... Wimbo tamu
@@arbunusmutuamulinge961😢😢
Nimwona nitamwambia anibariki na Mimi niweze kuitwa mama
Itwa mama kwa utukufu wa Mungu
Mungu ni mwema. Amekuonekania Sasa. Utanyonyesha na anakupa Wana ambao watakukumbusha kwamba miaka ilitoliwa na nzige yamerudishwa. Pokea katika jina la Yesu.
Your womb is blessed mamah🥰🥰you will hold your bundle of joy in due time bcoz The God of Sarah has showered you with His blessings❤❤❤
Hugs dear...
Next year this time, you'll be a mother of Twins.
40 years from today I will be 72 years and I know by the grace of GOD I will still be alive to listen to this song. Lets comment Amen and give the likes so that whenever i see your comment and likes i keep praising the Lord because iam alive.
Amen
Amen. Same case here
Amen 🙏
Amen🙏🙏
Amen
Who is here in December to praise his name for the love he as shown us
Kwa Kweli Mungu ni Mmoja tu 🙏. Kenyans wapi likes za our very Own Evelyn Wanjiru ❤️. Such a great song with Bella Combo 😚
Wapi like za kenya 🇰🇪
Tupo....
From Tanzania 🇹🇿
❤❤❤❤
❤
We are here ❤
Nikimwona nitamwambia amponye mchezaji Ezekiel Otuoma🙌...in Jesus name.
Amina
Amen
Amen
Amen
Aki😭
Ooh God heal my family out of poverty, we struggle alot😢😢
Nikimuona nitamwambia afungue tumbo la dadangu na wamama wote wenye hawajapata watoto na pia abadilishe maisha ya familià yangu in Jesus name
Mungu ajawai kushindwa atampa uzao
It is done in Jesus name
May God answer this prayer
Amen and amen
Asante bwana kwa ajili ya huyu dada namweka mikononi mwako nikisema ni asante bwana tazama ameweka Imani kwa ajili ya dada yake na Mimi nakuomba siku ya Leo umfungue MAHALI popote alipo ukampanguze machozi na kumbariki na watoto wa kimiujiza katika jina la Yesu kristo nimeomba.Amina.
If you're seeing this in Octomber 2024 leave alike so it can remind me how God is faithful to us
Our God is faithful❤
October
i am
Me and you same group....october 🥰
@@maureenmuia5329Am here for my healing
This songs comes when I'm breaking generation alters... 'zimeanguka, zimevunjika... MUNGU YUKO MMOJA TU....i can't get enough of this song
Yess yaaasss
Exactly like me. I can't get enough of this song since it was released on Sunday Kila muda Niko hapa ❤❤❤😊
Amen, God is working on His people, God broke those curses a while ago for me. He is faithful, powerful and all knowing. Make sure you create an alter in your house through worship and praying consistently
AMEN AMEN AMEN
@@VatastudiosPowerful Ameeen🙏
I will come back here with a testimony that my children and I a time like this next year 2025 ,we will have settled in the UK...amen and thank you lord
Receive it in Jesus's name
Nikimuona nitamwambia anipe maisha marefu nilee watoto wangu 😢😢
😢😢 me too
Me too
Amen..Me too
Amen 🙏
Same to me 😢
Every time you like my comment, I come here to watch again. The King of Glory is HERE. 😭😭😭😭😭😭😭
Great piece of work. Glory to God
Nitamwambia Asante kwa kunitumia kama chombo ya kutoa familia yangu kutoka umaskini. Kenyans wapi likes zenu
Amen!
Wooi this is emotional 😭..May God answer your prayers
We give God all thge glory
🎉🎉🎉
i need this testimony one day.
I will tell him to restore my business that went down with during COVID-19 (2020)
nikimuina nitamwambia afungue tumbo langu nipate watoto nizae. Munguabadilishe maisha yangu niitwe mama
Receive in Jesus name
Mungu akupe haja ya moyo wako
Kwa Jina La Yesu Funguka
Amen
Mungu akupe kwa jina la Yesu
For real He is here ❤️
I will be coming back to listen once someone likes my comment >>>
❤❤❤
The king of glory is here
Hakika sikiliza tenah na tenah na tenah...inatia moyo mno
Tafadhali sikiliza tena
Glory to God kwa ufunuo mzuri wa wimbo
I love this song, ❤❤❤❤❤❤ when someone likes my comment I will always come back n listen to this song. more grace servants of the most high God.
@@wigglesworthkemei5768how are they reflecting themselves??? Me naskia tu wakipraise God...
@@ellie75677that's his opinion. everybody is at liberty to think, see or hear whatever it is they hear.
God sees the heart
I'll milk pop😊😊9😊 Leo me l lo
Mmm l itl
L
L
L
Pp is pp my pc@@davidmikango4822
English I want to the meaning of this song
Nitaanguka miguuni kumsujudu kwa yoote mazuri naabaya kwa maana ni uzuri kwangu...nitamwaga mapenzi yoote Niko nayo kwake..... thanks to the King of Glory ❤
Nikimwona nitamshukuru kwa kunipa mke mwema mwenye hekima na busara.amenipa mke amenipa mtoto na amenipa kazi na pia amempa mke wangu kaz nasema asante mungu kwakuonekana ktk familia yangu na wape wote wenye maitaji kadili watakavyo kwny maisha yao
Amen
Ameen
Amen 🙏
Amen
Amen
Those crying for a baby may God above here your cries and grant you the precious gift in Jesus name
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen🤲
Wakenya mnajua sana kusupport waimbaji wa Tanzania, hebu ni mie nipeni like hata 10 tu!
Ju Mungu ni mmoja🙏
Hakika guyz. Tuna Mungu mmoja tuendelee kupendana
@@laurahmwende3646amen , na sote tunakwenda mbingu moja❤🙏🏿🇹🇿🇰🇪
Wow the King of glory is here
Nimerusha yangu❤
And if you're listening this song in December
May God's blessings be upon you in Jesus's name
Amen
AMEN
Amen
IM HERE LISTERNING
🙏 🙏 Amen
Cancer imeanguka kwa jina la Yesu mama yangu uwe mzima sasa, imetosha.
Amen
Amen
Amen
Amen
By the Authority vested unto the Name of Jesus, I declare that your mom is free of cancer right Now in the Mighty Name of Yahusha the Christ.
Mimi sina cha kuzungumza ila moyo wangu unalia kwa furaha kila nikimuona mume wangu namshukuru Mungu kwa kunipa mume bora,kanipa watoto,kanipa kibali kazini ooooh nasujudu kwa Mungu wangu kama ulivonibariki wabariki na wengine YEHOVA.AMINA
Ameen napokea baraka hizi
Amina
Hallelujah
Amen 🙏
Ameen napokea na nami 🙌♥️
Wapi like za Tanzania 🇹🇿 na Kenya 🇰🇪 tu watoto wa baba mmoja
It hit so better than this..
Kabisaa
❤❤❤
Amen
P cc@@danielmutinda1492
I always get encouraged by this song ....i play it on daily basis .... wapi likes za bella na everlyn
Nikimwona nitamwambia aniondolee utasa ata mie niitwe mama 🤰🤱❤
Amen may he answer your prayers
God will do it for His own glory
Mambo yako yashafika mbeleni zake huyu Mungu huyu mmoja, wakati wako ushafika
Mungu na akupe haja ya moyo wako
Huu Uwe ukiri wako kila siku, Kutoka 23:26 “ Hapatakuwa na mwenye kuharibu mimba, wala Aliye tasa katika nchi yako. Na hesabu ya siku zako nitaitimiza”. Wewe ni uzao wa Ibrahim kwa imani, hii ahadi ni yako pia. Kiri huu mstari kwa imani na Mungu wetu Aliye Mkuu Akutendee kwa Utukufu Wake 🙏🏾
Mimi nikimuona Nita mwambia asanti Kwa kulipia dhambi zangu nitainama ni mshkru huyu YESU Mwema the king of my soul the king who have never fail me the healer who healed my mum cancer stage 4 and He is still keeping my mum a live for his own glory dagon Baal Ashera miungu ya kigeni kwetu wameanguka wenye husuilia watu wakijiji yetu waokoke wameanguka na kufujika
I thank God for the healing of your mom, May His name be glorified.
@@gracenimrah9897 Amen Amen
All glory to King of Kings for healing your Mum
God😭😭😭😭 king of glory
Ameen Nina haki ya kuinama na kumshujudu Mungu wangu
Nikimwona tu nitamwambia anipe watoto mapacha to repay the 6 years of childlessness.
Na hiwe hivyo...king of Glory please listen to her heart desires
Ni wakati wa kumshukuru Mungu kwa kumuambia ahsante kwa baraka ya watoto kwasababu umeshaomba tayari,halafu wewe endelea kumuamini Mungu alivyo mzuri
Madam Fridah go test for pregnancy...God has already done it
Ei very nice 🙏🏽🙏🏽🙏🏽
nyimbo nzuri sana nimeipenda by mwinji Riziki Shemsanga nisaidie namba yako ya simu samahani mpendwa wangu
Niki Muona nita mwambia naomba anijalie kizazi chenye Upendo Baraka na Hofu ya mungu,
Nikimwona nitamwambia Asante kwa zawadi ya watoto mapacha wakike na wakiume ambayo tuliwasubiri kwa miaka 28. Mungu ni mmoja tu anayetoa watoto.
Ooh God ❤
Amina
Mungu ni mwema sana
Ameen
Amen Amen
Nitamwambia anipe kazi I buy land and build for my dad who is over 70 and leaving in rentals here me Lord
Nikimuona ntamwambia aiondoe familia yangu katika umasikini tufanikiwe zaidi ya kufanikiwa ameen
God will bless you more than you can think or even imagine. He owns the world
Bwana asikie maombi Yako leo
Yuko hapo nawe mwambie anasikia
Wote tulio kusanyika hapa,,kumuomba aponye mchezaji Ezekiel Otuoma,, jna alimupumzisha baada y kuuguwa zaidi y miaka minne😢,, Baba wetu wa mbinguni alimpa uzima wa milele jana.. wote walio muombea akiwa haii n saii akiwa ameenda kwa baba wetu wa mbingunii Mungu awabarikii sana,, n mahitaji y nyoyo zenu mungu awatendee mema tukifunga mwaka huu wa 2024,, mkisali muombee bibi ya Otuoma 🙏🙏.
Mko wapi mliobarikiwa na combination ya Evelyn na Bella ilivyoshusha upako mnibariki na likes zenu
Nikimwona ntamwambia anitumie kaa chombo cha kutoa familia yangu kutoka kwa umaskini, awape wazazi wangu maisha marefu waone nikibarikiwa na wao wabarikiwe kupitia kwangu
As your desires
Amina ndio maombi yangu hayo kwa mungu namwambia mungu kila siku
Amina
Amen
Koment Yako imenigusa mno daaah niliondokewa na baba alikuwa hajashuhudia kidogo nilicho balikiwaa
Like za wenye wanasema mungu ni mmoja tu
Amen Amen Amen 🙏 🙏 barikiweni nyote mlio imba hii nyimbo na wenye kuisikiliza mbarikiwe pia🙏🙏❤️❤️❤️
My husband was undergoing a liver transplant na huu wimbo aliupenda sana na kunitumia a few days before operation siku anaingia theater nilimwambia nitakuwa nauimba on his behalf hadi atoke... sang it with hope after 13hrs nikaambiwa Mungu katenda na ametoka salama🙏🙏🙏
GOD this is my testimony to the world that you do live and a miracle worker
Praise God
Amen
Eeh Mwenyezi Mungu nifanyie wepesi kwenye maisha yangu ninayo pitia yote unayaona naamini unaniadalia kitu kizuri mbeleni,ohh God huu wakati ninao pita naomba unisaidie 🙏 🙏
amen
Wenye wako hapa kumuinua Mungu ambae ni mmoja tuu bila kujali niwa nchi gani piga like tukisonga... The king of Kings is here
Nikimwona nitamwambia amponye dadangu yangu ambaye ameugua kwa miaka kumi na moja...we have really cried and struggled for her to get healed😢😢😢Na kwanzia leo na akapate instant healing in Jesus Name
Amen
Amen
Amen na iwe kwake❤
Amen, Mungu amponye
Amen
Mm nkimuona ntamwambia anipe mahuiano mema yatakayonijengea family bora nayenye hofu ya mungu❤🎉
USICHOKE KUMUOMBA
Everytime someone likes my comment I will come back to watch😭❤ The King of Glory is here😭😭😭😭
Mungu ni mmoja translates to Mulungu ndi mmodzi in chichewa🇲🇼
God is truly one❤
Nikimuona nitamwambia ahsante aliniponya cancer
Amen Mungu ni mwema sana dear usiache kumshukuru
Amen 🙏🙏🙏
Utukufu kwa Mungu
Hallelujah!
Amen amen glory to God for healing you
This monster cancer💀 has taken our beloved bishop kiuna
Nikimwona nitamwambia na kumuomba amkumbuke Binti anahangaika kutafuta kazi na maisha kwa ujumla amsaidie
Amina,waganga tuko wengi,siku moja tutapata
Amen I receive 😭😭😭
Amen
Amen
Amen
Nitamwambia anipee kipawa Cha uponyanji watu wengi wanateseka sana,(2)baada ya maisha haya nipate kuingia Kwa ufalume wako
Nikimuona nitamuomba anisamehe nlipomkosea pia abadilishe maisha yang na familia yangu atuondolee umaskin anipe na mume mwema🙏🙏
Nimekupenda Bure so innocent
Its well my sister.....Mungu ako na masikio amesikia
Namwambia arejeshe ndoa yangu. Amwondoe huyu aliyeingilia ndoa yangu. Someone to pray with me. Nothing is impossible with God.
Take heart,but sometimes God. Does it for his Glory
@@susanlangat6533 sure. Mention me and the kids in your prayers
Read 1john 3:8 may God fulfil the desire of heart believe dont fight with flesh you will get tired tell your father in heaven He is waiting
Every dry bone in your life shall come alive again in Jesus 🙏
Amen Mungu akufanyie
If i see Him ntamwambia anipee kazi,tumedharauliwa ,tumeteseka sana kwetu
Nikimuona nitamuomba amponye my baby girl Mirabel mwenye shida ya Autism, I wish siku moja nimsikie mwanangu akizungumza. Naamini hiyo siku itafika.
Mungu yupo na wewe hapo endelea kumuomba yeye ni msikivu atamponya mtoto
So shall it be, AMEN.
Amen,you will testify to His goodness
Amen.
Keep laying your hands on her daily as u speak that dearest. It is well sister
Nikimuona nitamwambia anifungulie milango ya kazi , financial breakthrough, alinde my family and mostly my kids, I will worship him
Ukimwona, you will be filled with so much Joy. You will only worship and praise him. Huo wakati you won't desire to ask for wordly things... Just worship. Shalom
Dear God, I humbly ask for Your divine intervention to deliver my dad and bro, from the grip of alcohol addiction. Grant them the strength and wisdom to overcome their struggles and make healthier choices. Please also bless us with the knowledge and discipline to manage our finances wisely, so we may live responsibly and support one another in all aspects of our lives. Additionally, I pray for good health and job opportunities for me and my siblings, so we may provide for our family and build a brighter future. Amen.
He who hears our prayers has heard you. AMEN!!!😊
Amen 🙏
God please do it
Amen Amen
You are an intercessor! Stand in the gap for them and God will respond to you
Atajibu
I'm a walking testimony I couldn't stand on my own for a month I was very sick I just listened to this music and guess what I can't tell how I found my self walking
Nikimuona nitamwambia aifungue familia yangu kutoka kwenye kifungo cha shetani amani upendo na furaha ikatawale🙏🙏🙏🙏
😢for real
God has heard you cry ❤
1
Amina
Amen
Nitamwambia Asante kwa kunifungua uzazi.
Naomba umlinde mwanangu
Uzao wangu na lango langu.
Vita zangu na zake zote pigana kwa ajili yetu Mungu wangu..
Ondoa mikosi na laana kwenye familia ya Baba na Mama yangu .fungua vifungo vya umaskini.
Shusha baraka na uponyaji
Oooh Baba nikikuona nitakukumbusha lile ombi langu mimi na Familia yangu tukutumikie wewe hasa Lile angano langu nawewe nilikuomba unipe Watoto Mapacha nikachagua mpaka njinsia baada ya mateso Mungu ulie mwema ukatenda vile vile kama nilivyoomba oooh MUNGU yupo jmn nikasema ukinipa Mapacha hao ni wako nakukumbusha Mungu wangu kuna Watu wako nyumbani kwangu natamani sanaa waanze kukutumikia hata wakiwa na miaka 3 naandika lkn namuogopa MUNGU jmn Mungu yupo mwenye Imani aombe chochote aone Muujiza utavyopiga hodi nyumbani kwake Asante Yesu kwa kila kitu.
Every one trusting God for a child bearing... don't lose hope...soon you'll have a tearful testimony of God's doing....am a living testimony... write down in your diary when you want your baby or babies....it's done in Jesus mighty name Amen 🙏🙏
Acha nikushukuru Mungu wangu.
When I see God, I’ll tell him to give me a JOB, to elevate my business , to help me build my parents a HOME, heal my fathers Arthritis, heal my mothers Pressure, give my sisters a job and give me a long life and my relationship to lead to marriage 🙏🏻
Receive in Jesus Name
remember to worship him and he will do accordingly his wheel
Nikimuona ntamwambie anibariki na kazi niweze kulipa madeni,anilindie watoto wangu na Kenya tupate Amani
Amenities atatenda kwajIna la yesu
Amesikia, amina
Pokea kazi kwa Jina la Yesu
Nikimuona nitamwambia aniponye na anibariki na kazi, not only a job but a well paying job
I'm leaving a Comment Here so that after a month or a year when someone likes it, I get reminded of the song
Am praying for my wedding this year and kwa kweli Mungu ni mmoja tu and i shall be a testimony in 2024 🙏
Amen
Amen,Ameen,Ameen
Same to me ntakuwa na ushuhuda mkubwa sana huu mwaka kabla kuisha kwanzia kuolewa kwa harusi
Trust The King of glory never fails,, it will happen Amen to that.
You and I both 🎉🎉🎉🎉Arusi tunayo 🎉🎉🎉🎉 Pilau too😅
I put this comment here, so that when anyone likes it, it will remind me how God restored me, turned my shame into fame and replaced my tears with joy. I never want to forget for one moment how good God has been to me, how this song has touched my soul
Hallelujah somebody 💯💯👌❤️🎁🎁Amen
Glory to God🙏
@@margaretkimani6167 God always protects you and your family. amen
@@margaretkimani6167 Chúa luôn bảo vệ bạn và gia đình bạn. amen 🙏🙏🙏
@@awindamukamimukami5419 Chúa luôn bảo vệ bạn và gia đình bạn. amen
Nikimuona nitamwambia atoe vijana wote wa kenya kutoka kwa pombe na mihadarathi na awape hope and a future in his good plans he has for them according to Jeremiah 29 :11
Amen 🙏
Hakuna njiai ngine ya kumuona isipokua kunena nae kwenye maombi na kutafakari.so just Pray for them ok❤
Well said . I will be so happy.
Amen
❤❤❤i Will hug him and beg him for his mercies and love
Amen
Wapi likes za our own everlyn wanjiru🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Her ministration is on another level.
Yes the ministration may be on another level but these women need to get fully dressed in garments of Salvation. Not these worldly clothes. May the LORD Jesus Christ help them seek the truth, Amen.
Thank you for saying my mind😢😢@@susansusanne6157
Ooh Jesus son of God
Amen..mungu ni mmoja tu
We are still here in november...... Wapi likes za breakthroughs....🎉🎉🎉🎉🎉❤
I'm here in December bado na subiri Mungu anipee kazi
What a great song.Tunainama tukisema yeye ni mungu.Kama unaamini Mungu ni mmoja pita na like.
Siyo mwepesi kucomment lakini huu wimbo umenigusa nikiwa ofisini nikaona nitamke neno la baraka Kwa waimbaji na wote wanaousikiliza huu wimbo Mungu akakutane nao
Katika jina la Yesu anayeamini aseme Amen!
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen
Nikumuona nitamuomba ampe mke wangu miaka mingi zaidi ya kuishi hapa duniani
Kwa kweli Mungu ni mwaminifu kwa kufika tulipo🙏🙏🙏🙏🙏
Nikimwona nitamwambia anilindie watoto wangu na watoto wotee Dunia,
Awaepushe na tamaa,ulevi na uzinzi
AMINA
Amen
Amina
Amina
Ubarikiwe ww na uzao wako
Amen
If you are here from tiktok may God answer all your heart desires 🥰🥰
My heart desire is to remain in God's presence every time
Amen
Nikimuona ntamuambia anibariki na pesa nyingi ili niwezee kupea my mom and family a good life God hear my prayer plzzzz😢😢
Nikimuona nitamwambia azidi kutupa uzima wazazi wangu wapate furaha kwa wanao kweli mungu ni mmoja tu.... amen.
Waaaawaaaaaa this is music on another level wakuu wa injili waja pamoja Evelyn wanjiru, Bella kombo & NGC This is big and bigger mungu awazidisheee..gonga likes za wakenya ❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪
🔥🇹🇿🇰🇪🙌🏼
Wow.... Mungu awabariki sana dada Bella pamoja na Evelyn. I can't have enough of this song. Such an awesome worship. ❤ 🇰🇪
Sounds Nigeria very powerful 🎉
True vessels of God
What do you mean wakuu wa injili?
Wale wànatakà kua na yeye daima tukimwonà , let's gather here
Explique en français les paroles svp
Nikimwona nitamwambia anipe favour and grace ya kuingia Mahali sifai kuingia,nipate kazi,wazazi wangu waishi maisha mazuri babangu apumzike asikie vizuri kama wanaume wengine awache kufanya kazi ngumu😢😥😥
Ur wish is granted in Jesus name...just believe and have faith and pray hard..and it is given to you in Jesus name
From your mouth to Gods ear 🙌🙌🙏
God open doors for my children to get Jobs
❤
May favour locate you in Jesus name
I've never seen such a combination like this on Praising His Glory. Let's Keep Blessed. Amen🙏🙏🙏
Asante yangu imfikie Mungu pamoja na wote watakao like comment hii kwamba Mungu Ajibu maombi yetu ya siri ambayo Hatuwezi andika hapa Ila huyu Mungu mmoja tu yu Ajua!
Amen I pray for the fruit of the womb 🙏
@@mkolamaganga736🙏🤲🤲🙏
Receive twins in Jesus Name
Amen
Amin tyu Mungu mmoja Amen
I said to myself if I meet God I will let him know how much I need scholarship for my postgraduate studies. Finally, he has answered my prayer, I have secured a fully-funded, prestigious scholarship to study in UK. Mungu ni mmoja.
Glory to Jesus
Amen
Amen
Smen
Nitamwambia abadilishe Maisha yangu na familia yangu yote yawesekana kwake mungu ni moja tu.
If you're seeing this in July 2024 kindly leave a like so it can remind me how God has been faithful in my life. How He has changed my story
How He has vindicated me
It has been God all along. I remain Grateful
Amen
Amen
Amen
26th May
Amen
MUNGU aikumbuke familia yangu katka janga la umasikini na maelewano yawepe naamini MUNGU ni mmoja tu amen🙏🙏🙏
Nikimwona nitamuomba aitoe familia yangu kwenye umaskini 😢fedha dhahabu vyote ni vyake anijalie hekima na maarifa kwenye dunia hii 😢
Oohh pole naomba nikualike uje Kwa kuhani Mussa yupo kimara temboni hakika utafanikiwa kufikua hatma yako
Amina
Got married at 50yrs believing God for a child help me pray this song & believe 🙏🙏😭😭😭
The God who remembered Sarah he is the same God...he is I am who i am..in the name of Jesus receive your request amen
As you received the gift of marriage so have you received your children. Amen
Amen 🙏
Nothing is impossible with God....
You will get a child in Jesus Name
Nitamwambia Asante kwa kuni penda, na naomba huruma Yake kwa maisha yangu na Familia yangu, kwa Jina La Yesu Kristu, Amina
Amina
Naahidi...,Nitaupenda Huu Wimbo Maisha Yangu Yoote✍️
Am giving my life to God now. Pliz like me🙏🙏😭
The best decision you've ever made. May God be with you in this journey 🙏
The best decision ever
Welcome to salvation🧡🧡🧡
Congratulations
Amen na iwe kweli
Hey ,Fay! Don't look back. Move on with this fine decision. Kwanza yale maombi ya saa Tisa asubuhi😭😭 unahisi ni kama mbingu zimefunguka tu😭💯 it's good to know God in truth dear ones❤❤
Nikimwona ntamwaambia anikumbuke pia. 36 years old, no child ,no husband with no prospects. In the meantime lets worship Him. To all those who believe in God ,tuamini kwa pamoja, Amen🙏🙏🙏 Nipitieni .
May God grant the desires of your heart darling.all the best.
We serve God of no time limit,ask Sarah and Abraham..i pray for you before the end of this year,God will have manifested himself in his own way in jesus name.you will give a testimony
Ur goin 2testify the goodness of God very soon❤❤❤
Receive in the name of Jesus
He is Faithful 🙏🙏🙏
Nikimuona nitamuambia anipe ndoa yenye upendo na aniregeshe Miaka niliopoteza kwa abusive and ungrateful man 😢 Amen.
Sure, pole
Take heart dear❤❤❤ feel loved
Atarudisha miaka iliyo liwa na nzige amen ❤
Pole,it shall be well
Amen dear this happened to me also I believe Jesus has answered our prayers
Ooh God, just do it for me and my family because you are already here
Nikimuona nitamwambia anisamehe sana pale nilipomchukiza na pia anitumie mimi kama chombo cha kuiinua familia yangu kiuchumi. Dharau zimezidi😭😭🙏
Mungu yupo kwetu sote atatenda🙏
Mungu atusaidie kwa kweli
Nimeskia uu wimbo nikatamani tu nimrudie Mungu na moyo wangu wote.😢😢mniombee Mungu anikubali napenda uyu Mungu
Neema ya Mungu iwe pamoja nawe
May His grace find you wherever you are through our Lord Jesus Christ 🙏
Amen Amen Amen 🙏🙏🙏 Kwa kuni karibisha katika uwepo wa Mungu
Mungu anakupenda zaidi
Grace to abound in His love, His mercies are new everyday
Niki mwona Nita nashukuru kwa jinsi ambayo ame kuwa mwaminifu katika maisha yangu.
Nikimwona nitamwabia aniondelee ugonjwa wa kisukari cha kupanda aniponyee kabisa nisitumie sindano niishi kama zamani, sifa heshima na utukufu ni kwa Bwana Yesu
Nikimuona nitamuomba akate mzizi wa umasikini kwenye familia yetu 😢😢
Kindly friend
God has already done it
Remember at the cross He said it is finished
Just believe and work hard miungu ya dagoni ya umaskini imeanguka imevunjika katika jina la Yesu kristo
Amen....
Nikimwona nitamwambia ampe kaka yangu kazi nzuri ya kudumu ampe na mke amuondoe kwenye vifungo na laana za aina zote
Pole my dear matatizo ya kaka yako kama ya kaka yangu😢😢😢
Kama ya kaka angu pia naamin Mungu atatenda kabla mwaka haujaisha ..
Natamani ningekuwa huyo kaka yako aliyebarikiwa kuwa na dada km wewe
@@ashurakiduba6837 NIPENI MKE
Amen