Ukweli uliofichwa juu ya historia halisi ya waliopigania Uhuru wa Tanganyika

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 245

  • @Mapenzi2635
    @Mapenzi2635 2 หลายเดือนก่อน +3

    Asante sana Ndugu yetu ,Mohammed . Umetufunza mengi. Leo hii tuna shida mpya duniani, uliberali mambo leo. Wenyewe nikuwa mtu/binadamu ana thamani ya pesa. Hapo hakuna Muislamu au Mkristo ,bali mwenye pesa ndiye mtu halisi. Wengine ni bidhaa tu sawa na maharage na mihogo.
    Hekima inataka kuwa kile walichokifanya Waislamu kumsaidia Nyerere kutuletea uhuru basi tukifanye leo ili kujinasua kutoka kuudhalilisha utu wa mtu mwingine (altruistic). Tushikamane maana adui wa Muislamu ni adui wa Mkristo .

  • @swafiirbulbul819
    @swafiirbulbul819 3 หลายเดือนก่อน +21

    Mzee Muhammed Saidi .. ❤
    Mtu wa Historia kwelikweli

    • @MzeeKigogo_
      @MzeeKigogo_ 3 หลายเดือนก่อน

      @@swafiirbulbul819 ni mtu wa historia kweli ila anaendekeza chuki za kidini. Udini na chuki vimempofusha

  • @johnmosha
    @johnmosha 3 หลายเดือนก่อน +4

    This proffesor needs to be doing public Lectures, On this historical matters of our country. Very deep knowledge

  • @eunho9529
    @eunho9529 3 หลายเดือนก่อน +9

    Mimi sina shida na dini kupigania uhuru wa Tanganyika, bali history kutotambua na kutoandikwa pia kufundishwa mashuleni ukweli kuhusu watu wote waliopigania uhuru bali wachache kwa ubinafisi wao kutambuliwa. Kwa kuziilisha hilo mwalimu aliamua kutoweka rangi nyekundu kwenye bendera ya Tanzania ambayo ingeonesha kuwa kuna watu walipigana na kufa kwaajili ya uhuru, ie, richa ya Mkwawa kutajwa katika historia bado mwalimu akaalalisha uongo kwamba Tanganyika ilipata uhuru bila ya kumwaga damu kitu ambacho ni uongo mtupu.
    kwa ujumla historia ya taifa ili inapaswa kuandikwa upya kwa kuwatambua kwa majina yao wale wote waliopigania uhuru pasipokujali dini, sehemu, jinsia wala kabila lao, bali kwa mchango wao kila mmoja.

  • @Mtuwawatu1993
    @Mtuwawatu1993 3 หลายเดือนก่อน +6

    Asante kwa kutujuza mungu akubariki sana

  • @raymondjohn3798
    @raymondjohn3798 3 หลายเดือนก่อน +9

    Asante Sana Mzee Kwa Historia uliyotuletea, Mimi nafuatilia kutoka Afrika ya kusini, lakini katika orodha yawatu walionyongwa naona wengi majina yao niyawatu wa Afrika kusini hasa ubini!!!!

    • @AmanMediaTz
      @AmanMediaTz 3 หลายเดือนก่อน +1

      muongo muongo no evidence , Udini mwingiii

    • @comsmkemwa2671
      @comsmkemwa2671 2 หลายเดือนก่อน

      Mimi simuelewi huyu mzee ,kuobgea udini leo hii iwe nini? Mnataka mpewe nchi? Watu leo wanaringia uhuru wa watanganyika, hawaringii kabila au dini gani wamepigania uhuru, huko ni kutengenz mbegu ya chuki kwa waislamu wenye uelewa mdg, kwani wakristo wameshawahi kujadili dini za waliopigania uhuru? Sasa kujadili leo ili iweje? Saqa na kweli waislam walikua wengi, kwa hiyo tufanyeje?

    • @JafariHamisi-gu4ef
      @JafariHamisi-gu4ef 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@comsmkemwa2671ukweli wajerumani wali kuja afrika kupora na kuuwa na kuondoa uisilamu wameuwa wamebaka na wameshindwa kuwamaliza wakaja na dini mbadala Ili historia ipotee ndomana waislamu bado wanauliwa na wakristo

    • @hilarylaurian7896
      @hilarylaurian7896 2 หลายเดือนก่อน +1

      Wangoni wanatokena Afrika kusini kwa asili yao. Na wana muingiliano na wapogolo, wandamba, wabena, wapunga nk

  • @shabaniduduma8885
    @shabaniduduma8885 2 หลายเดือนก่อน +1

    Allah Akulinde na kukupa nguvu kaka mkubwa kwa kuzungumza ukweli ambao watu wenye roho nyeusi wanaufukia.

  • @DonMooFILMES_Express
    @DonMooFILMES_Express 3 หลายเดือนก่อน +9

    Ukweli wote aliumwaga Sheikh HASANI ILUNGA, Allah amuhifadhi Sheikh wetu. Alipambana sana kusema kweli 😢

  • @MorrisGregory-x2b
    @MorrisGregory-x2b หลายเดือนก่อน

    Mzee maelezo yako ni historia pia na historia inaandikwa na watu na ww ni mtu. kuna tatizo ambalo uwa linajitokeza ktk nchi hii ya kwamba waliopigania uhuru hasa wakazi wa Dar were not favoured na hasa waislamu, hii si nzuri sana , maisha ni mapambano wakati wote, hata mwl jk Nyerere alipong'atuka urais alienda kijijini kwao kuanza miradi mingine ya kilimo na ufugaji. Kuhusu malalamiko ya dini, sihamini kama Yana tija maana hata hao waarabu na wazungu lengo lao lilikuwa Moja, kupora na kumdidimiza mtu mweusi. Mimi nafikiri hoja nzuri twende kwa wote , wazungu na waarabu tudai fidia kama ilivyo kwa wayahudi dhidi ujerumani. historia ya nchi ya kweli endelea kuandika Mzee Mohammed but eti waislamu kuwa favoured, hiyo ngumu au eti founders wa Taa na Tanu wale bule na kulala Bure , hiyo nayo ni ngumu. Wale ambao historia Yao ahikuandikwa Basi wao au watoto, wajukuu au vilembwe wao waandike ILI SS tujue. Mbona ww ktk hii aumuongelei bb TITI. mwanamke mpambanaji na ni muislamu.

  • @maisarirajab4846
    @maisarirajab4846 3 หลายเดือนก่อน +1

    Tunamshukuru mungu kwa kuwaweka mpaka leo watu kama nyinyi mungu akupe afya njema

  • @helladeogratias7630
    @helladeogratias7630 2 หลายเดือนก่อน +2

    Unyonge, elimu na kujiamini huzaa mambo yote hayo. Nyerere alipewaje uongozi TAA n TANU...FACT finding studies....reading btwn lines and broader mind; good mix =☑️

    • @ShadowScreamStudio
      @ShadowScreamStudio 2 หลายเดือนก่อน

      Embu nifafanulie hapaa..inakuajee

  • @DumishaTanzania
    @DumishaTanzania 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nimekusikiliza vizuri sana mzee wangu. Bado natafakari shida haswa iko wapi? Kwamba watambulike kuwa walikuwa waislam au ni nini? Ila from tone na body language yako... Shida ni kuwa kwa nini hawa hawatambuliki kama waislam? Mfano wakiwa wakitambulika kama waislam kuna nini kitabadilika?

  • @sadih5333
    @sadih5333 3 หลายเดือนก่อน +7

    Waambie , wape wakimeza wakitema hio si juu yako.

  • @BakarAliy
    @BakarAliy 3 หลายเดือนก่อน +3

    Tatizo la Tanganganyika dini tatizo la Zanzibar muungano muingereza amekalia

  • @ayyamirubba5226
    @ayyamirubba5226 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mwenyezimungu akulipe kheri..

  • @mwinyirama2751
    @mwinyirama2751 3 หลายเดือนก่อน +10

    Mfumo mzima wa elimu katika mashule yetu ni mpango wa Kiingereza/secularism. Huwezi na wala hawatokubali usomeshe historia kinyume na walivyo asisi. Uislamu ndio ulioijenga Tanganyika

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 3 หลายเดือนก่อน

      Kwaio Tanzania iwe NCHI ya kiislam si NDIO?

    • @hamadali5062
      @hamadali5062 3 หลายเดือนก่อน

      Huo ndio ukweli waislamu ndio walio pigania uhuru. Huyu nyerere kapewa na wazungu kwa kuwa ni mkristo mwenzao.

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@hamadali5062Kama hamna elimu mtaongozaje

    • @zedekiahjulius6
      @zedekiahjulius6 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa 2 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@vincentcharles4385Haya majamaa ni majinga kama alivyokuwa mtume wao, ndiyo maana nchi nyingi za waislam Zina vita na machafuko kwasababu ya mambo kama haya.Siku wakiwamaliza wakristo wataanza kuuwana wao kwa wao kama somalia, Afghanistan na Pakistan

  • @nicksonmbonye7595
    @nicksonmbonye7595 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kwa ufupi uislam na ukristo wote ulitunyanyasa, na ushirikiano Kati ya wakeisto na waislamu ulitupatia Uhuru, msitugawe mtuunganisheni

    • @fathiyasaid1506
      @fathiyasaid1506 2 หลายเดือนก่อน

      nyie ni wale wale hamkubali ukweli sababu tuu uislam, mshaambiwa wazungu walilazimisha watu kuritadi na wao ndio waliokua wakiwatesa watu lkn badoo tuu unaingiza warabu na waislamu kati

    • @nicksonmbonye7595
      @nicksonmbonye7595 2 หลายเดือนก่อน

      @@fathiyasaid1506 Lazima ujue kutofautisha uarabu na uislamu,uzungu na ukristo, ,,,Hawa wote sio watetezi bali ni watesi

    • @Nehemiaayo-b8c
      @Nehemiaayo-b8c หลายเดือนก่อน

      @@fathiyasaid1506 mwarabu ndoo mbaya za tena alibaka na kuuwa ili lizee limebeba rohoo ya mafarakano

  • @frimatuslupimo2031
    @frimatuslupimo2031 2 หลายเดือนก่อน +2

    Nyerere asingekua mkali nchi hii ingekua na dini rasmi

    • @JafariHamisi-gu4ef
      @JafariHamisi-gu4ef 2 หลายเดือนก่อน +1

      Asingekuwepo tungekuwa mbali kimaendeleo

  • @diti4899
    @diti4899 3 หลายเดือนก่อน +2

    Ni kweli waislamu walikua wanajua hesabu ila sio hisabati. Hesabu kila mtu anajua ila sio hisabati.

  • @teres3519
    @teres3519 หลายเดือนก่อน

    Mm,umepiga kwenye mshono!

  • @filaretoskimaro3959
    @filaretoskimaro3959 3 หลายเดือนก่อน +2

    Kweli chifu mkwawa alikuwa muislam.
    Adam Sapi mkwawa aliyekuwa spika wa bunge.

  • @ligangapaojoeli7819
    @ligangapaojoeli7819 หลายเดือนก่อน

    Mmmh tusipokuwa makini tutakuwa kama libya walivo mfanya hayati Gadafi

  • @IsmailOmarDahir
    @IsmailOmarDahir 3 หลายเดือนก่อน +4

    Historia haifi kamwe

  • @jeanmusamba8448
    @jeanmusamba8448 หลายเดือนก่อน

    nimefuatilia sana historia ya Mkwawa yote uliyosema ni sawa,ila sijawahi kuona hiyo picha yuko na wake zake picha zilizopo ni za kuchora si za kupiga,Je huyo katika picha ndiye Mkwawa harithi na wakeze?Tafadhari nijuze,ilipigwa na kina nani wakati huo,,huku alikuwa na uadui na wajerumani

  • @masungamashauri4070
    @masungamashauri4070 2 หลายเดือนก่อน +1

    Tutabaki na umasikini wetu hadi mwisho kama tuko bize na historia zinazoweza kumlipa msimuliaji tu ila wasikilizaji hawavuni chochote kiuchumi. Nini kinaweza kuleta sahani mezani mwetu

  • @HASSANWAZIRIGAO
    @HASSANWAZIRIGAO 8 วันที่ผ่านมา

    UISLAAM ULIINGIA TANZANIA NA AFRIKA KABLA YA KUJA WAZUNGU NA VITA VILIANZA KUZUIA UISLAMU USIENEE JESH LA MJERUMAN NDIO LILITUMIKA LAKONI HAD AFRIKA MAGHARIBI ULISHAFKA UISLAAM

  • @chieflowasa7320
    @chieflowasa7320 3 หลายเดือนก่อน +5

    Safi sana kamanda waelimishe maana wao kila kitu nyerere

    • @fasterwalker1464
      @fasterwalker1464 3 หลายเดือนก่อน

      Nyerere ndo Shujaa wa Taifa hili hao wengine machoko tu

    • @hassanmfaume4522
      @hassanmfaume4522 3 หลายเดือนก่อน

      ​​@@fasterwalker1464utakuwa umelelewa kwa mama theresa maana akili zao tunazijua sisi😅😅😅

    • @fasterwalker1464
      @fasterwalker1464 3 หลายเดือนก่อน

      @@hassanmfaume4522 hao wazee wakiislam mnaowatetea hata wangepigania nchi miaka 50 tusingepata Uhure

    • @fasterwalker1464
      @fasterwalker1464 3 หลายเดือนก่อน

      @@hassanmfaume4522 kaz aliyoifanya Nyerere ni kubwa na ya mafanikio makubwa ndomaana hata Mugabe alimsifia Mwl akamponda Mandela ila ina hitaji IQ kubwa kumwelewa kama ni Form 4 fail huwez kumwelewa

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@hassanmfaume4522Jaribuni kuwa na shukrani bila Nyerere msingekuwa hata na shule, Nyerere ndiyo aliye binafsisha shule za wakristo ili na wasome

  • @ameirfaki9277
    @ameirfaki9277 หลายเดือนก่อน

    Had raha kwa kweli.......

  • @TM-zs3rm
    @TM-zs3rm 2 หลายเดือนก่อน

    Machifu wa Ruvuma je. Mbano, Songea, Chabruma na wengineo.Historia safi ni ponyo la Taifa.

  • @mdimifrank
    @mdimifrank 2 หลายเดือนก่อน

    Kalenga nimekwenda na nimezokuta barua hizo na ziliandikwa kwa wino mwekundu.
    Hata descendants wake karibu wote ninaowafahamu pia walikuwa na ni waislamu.
    Lakini alikuwa muungwana sana pia. Alikuwa na watumwa waliotoka hadi Kenya na wengine walioa dada zake, na ndiyo asili ya akina Mungai. Babake Mungai inasemekana alipatiwa ardhi kubwa ambayo baadaye mwanaye aliirithi na kuanzisha maahamba ya chai.

  • @husseinnurdin6999
    @husseinnurdin6999 2 หลายเดือนก่อน

    Waislamu wa Tanzania tumepigwa vita vya fikra wengi wetu hatujui historia yetu yatupasa kama umma kufahamu historia yetu

  • @samsonhamery3809
    @samsonhamery3809 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hata waarabu walikuwa wanasilimisha watu kwa ncha ya upanga kwa,hiyo msiwasimange sana wazungu tu tena waaarabu walifanya ukatili wakutisha sana: Kama Ubaguzi waislamu ndio wabaguzi hata katika ajira angalia wafanya biashara wa kiarabu hapa Tanzania hawajiri wakristo hadi sasa: harafu huko zanzibar aliyepanga safu ya wa zanzibar kumpondia Sultani wa Zanzibar alikuwa field marshal Tito Okelo mganda lakini hata ninyi hatajwi mnamtaja Karume tu wakati karume hakushika upanga mkononi kuongoza mapinduzi aliyeshika silaha mkononi kuongoza vikosi vya mapinduzi ni Tito Okelo je hammtaji kwa kuwa yeye naye ni mkristo?

  • @Christophergaspar-qe7wk
    @Christophergaspar-qe7wk หลายเดือนก่อน

    Hicho kiarabu Mkwawa alisomea wapi? usitulishe matango pori.

  • @juliusdominic-uk4bu
    @juliusdominic-uk4bu 3 หลายเดือนก่อน +1

    Wewe mzee ni mjinga sana Mkwawa hakuwa mjinga kama wewe wakutuubilia habari za mabosi wako waarabu Yani badala utuhamasishe tujikomboe kwenye huu utumwa wa dini za wageni bure kabisa ww

  • @mussamapesa8863
    @mussamapesa8863 3 หลายเดือนก่อน +5

    Mm nimefika kalenga kwa mkwawa na nimezuru kaburi lake pamoja na wake zake wote walikua waislamu na kweli barua zake niliziona zimeandikwa kiarabu na mke wake mmoja alifariki tarehe sawa na ya mumeo

    • @hamadali5062
      @hamadali5062 2 หลายเดือนก่อน

      Hizo barua alizokuwa akiandika kiarabu alikuwa anawasiliana na warabu kuhusu kupewa msaada wa silaha pia kupewa misaada za wapiganaji. Leo shuleni wanafundishwa vita ya maji maji uogo mtupu. Kwanza kufundisha vita ya maji maji ni kumdharaulisha mtanganyika. Yale ni maji walikuwa wakibeba waislamu ili wakati wa salaa watawadhe wale walikuwa mjahidina walio kufa inshallah Allah walikufa mashahidi kuitetea Inchi Yao tanganjika. Msidharau historia ya watanganyika. Soma historia Nani aliye muuwa general wa ki Germany Aliyekuwa anaongoza vita iringa ni Mohamed bin Abdullah al baruwani wanyamwezi walikuwa wakimwita rumaliza. Huyu ni mwarabu alisimama na watanganyika wenzake kupigana na wa Germani. Historia ya tanganjika umefichwa Sana kwa sababu ya udini.

    • @AbdulhaamisSoud
      @AbdulhaamisSoud 2 หลายเดือนก่อน

      Hhhhhhhh😅😅

    • @saltechnologiesco.ltd.2377
      @saltechnologiesco.ltd.2377 2 หลายเดือนก่อน

      @@mussamapesa8863 Kisha wajinga wanakaririshwa kwamba wakoloni walikuta waafrika hawajui kusoma wala kuandika na makapuku wanakubali hiyo historia!!

    • @JafariHamisi-gu4ef
      @JafariHamisi-gu4ef 2 หลายเดือนก่อน

      Asante ndugu kwa kuthibitisha hilo

    • @Christophergaspar-qe7wk
      @Christophergaspar-qe7wk หลายเดือนก่อน

      acha kutuongopea wewe.

  • @hamudzakuwani4149
    @hamudzakuwani4149 3 หลายเดือนก่อน +2

    ss watz historiya yakwetu hatuijuwiii tukuambiwa ukwelii atukubali ni ubishii tusomeni stories yetuu ss ni wafrikaa tuwache udini tz waislamu wanaijuwa vizuri kuliko wakristoo some I historiya wanao heleza hizi stories ni waislamu tu

  • @DavidMtoi
    @DavidMtoi 2 หลายเดือนก่อน +1

    Tumekusiki ila si kusini tu tanu ilipata tabu kukubalika. Huku lushoto tanga tanu ilizomewa kabisa mbele ya mwalimu. Bi_titi pamoja na broke munanka. Mpaka alipokutana na baazi ya wana hama wa ilikua taa. Baadhi ya maelezo utayapata ktk kitabu tanu na wana chi wa wilaya ya lushoto.

  • @emmanuelkiwango6638
    @emmanuelkiwango6638 29 วันที่ผ่านมา

    Wajerumani walimnyonga Mangi Meri pia

  • @rshidmwasa8493
    @rshidmwasa8493 2 หลายเดือนก่อน

    Umetisha Mzee wetu
    Hivi vitu ni adimu sana
    Sizani kama kizazi chetu tungekisikia?
    Ni matukio adimu sana.
    Wakoloni watu wabaya sana yaani wamefanya nduguzetu wa kuzaliwa nao waisaliti history ya nchi yao kisa ni itikadi za dini!!!

  • @ibrahimgwasma1223
    @ibrahimgwasma1223 2 หลายเดือนก่อน

    Tuvumiliane Watanzania, wala tusichukiane huyu kasema uhuru umeletwa na Waislam ,
    Na Mkristo ajitokeze aseme uhuru umeletwa na Wakristo kila mmoja atoe historia na atetee hoja zake, ili watu wasije wakaingia kwenye chuki na vita za kidini ni mbaya sana

  • @alexanzuruni1965
    @alexanzuruni1965 2 หลายเดือนก่อน +1

    BADO UNAAKILI ZA KIKOLONI MZEE mambo ya dini na uhuru wapi na wapi
    Mm natambua shujaa mmoja Tu naye ni BABU MKUU
    ❤ MBAVU MOYA ❤

    • @bakarikayugwa3295
      @bakarikayugwa3295 2 หลายเดือนก่อน

      Wengi wanaukataa ukweri mbavu moya ndio mkombozi wetu

    • @AbdulhaamisSoud
      @AbdulhaamisSoud 2 หลายเดือนก่อน

      Usipojuwa ulipotoka itakuwangumu kujuwa ulipo na wendako😅😅😅😅

    • @hamismabula9934
      @hamismabula9934 2 หลายเดือนก่อน

      Usipojua historia ni sawa na uko gizan tu! Kubali kujifunza!

    • @bakarikayugwa3295
      @bakarikayugwa3295 2 หลายเดือนก่อน

      @@hamismabula9934 Alie hadisiwa na kahadisiwa na kahadisiwa Tena ndo atuhadisie hajui lolote kila mwalimu nae ana mwalimu wake hajui lolote

  • @bahariahd6299
    @bahariahd6299 3 หลายเดือนก่อน +5

    NI KWELI MM NINAE RAFIKI YANGU ANATOKEA KWENYE FAMILIA YA MKWAWA AMENIHADITHIA KAMA MKWAWA ALIKUA MUISLAM

    • @BenjaNetanyahu
      @BenjaNetanyahu 3 หลายเดือนก่อน +2

      Sio kweli, mkwawa hakua na dini yeyote ya kigeni, bali, marafiki zake, akina ali bushiri ndio walikua waislamu.,, ndio maana hata jina lake la kimila kwa kihehe (mkwawa)na kaburi lake halina ishara ya dini yeyote, kati ya uislamu au ukristo.

    • @Grataaaaa
      @Grataaaaa 3 หลายเดือนก่อน +1

      ​@martinisadru9899 hupendi ilo kwa kuwa wewe ni kafiri ila imekuchoma iyo

    • @hamudzakuwani4149
      @hamudzakuwani4149 3 หลายเดือนก่อน

      tafuta historiya yakee huyoo kashakwambiyaa usibishee

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@BenjaNetanyahuKIZAZI CHA FAMILIA YA MKWAWA WOTE WAISLAM JIULUZE UISLAM WAO WALIUPATA WAPI?! SPIKA WA KWANZA JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MZEE ADAM SAPI MKWAWA ALIKUWA MUISLAM JIULIZE UISLAM WAKE KAUPATA WAPI?! TENA NDIYE ALIYEKUWA SPIKA WA KWANZA MWEUSI WAKATI WA UTAWALA WA UKOLONI KIPINDI HICHO NCHI IKIJULIKANA KAMA TANGANYIKA, AMKA NDUGU UNADANGANYWA!! YANI MMEDANGANYWA MENGI SANA NA MPAKA LEO BADO MNAYAAMINI, HATA BINADAMU WA KWANZA MLIAMBIWA ALIKUWA NYANI JAMBO AMBALO LIPO KINYUME KABISA NA MAANDIKO MATAKATIFU YA BIBILIA YANAYOSEMA BINADAMU WA KWANZA ALIKUWA ADAM NA EVA, LAKINI LICHA YA UONGO WOTE HUU UNAOPINGANA NA MAANDIKO LAKINI BADO MNAAMINI, TENA YOTE HAYO YAMEANDIKWA KWENYE VITABU HIVYO HIVYO VYA HISTORIA ETI MABABU ZENU WALIKUWA MANYANI NA WAO WAZUNGU NDIYO BINADAMU SAFII... MNAFURAHIA TU KUTUKANIWA MABABU ZENU... NA NDIYO MAANA MWAMBA MAGU ALITAKA HISTORIA YETU IANDIKWE TENA PUMBA ZIJULIKANE NA MCHELE UJULIKANE, WAZUNGU SIYO WATU WAZURI ENDELEA TU KUDANGANYWA 😂😂😂... UKISHINDWA KWENDA KALENGA KUJITHIBITISHIA WEWE MWENYEWE DINI YA MKWAWA BASI GOOGLE PICHA ZA MKWAWA NA WAPIGANAJI WAKE NDIPO UTAKAPOSAFISHA MOSHI MCHAFU WA PROPAGANDA ZA UONGO ULIOJAZWA KWENYE HUO UBONGO WAKO... 😂😂😂

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@BenjaNetanyahu​KIZAZI CHA FAMILIA YA MKWAWA WOTE WAISLAM JIULUZE UISLAM WAO WALIUPATA WAPI?! SPIKA WA KWANZA JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MZEE ADAM SAPI MKWAWA ALIKUWA MUISLAM JIULIZE UISLAM WAKE KAUPATA WAPI?! TENA NDIYE ALIYEKUWA SPIKA WA KWANZA MWEUSI WAKATI WA UTAWALA WA UKOLONI KIPINDI HICHO NCHI IKIJULIKANA KAMA TANGANYIKA, AMKA NDUGU UNADANGANYWA!! YANI MMEDANGANYWA MENGI SANA NA MPAKA LEO BADO MNAYAAMINI, HATA BINADAMU WA KWANZA MLIAMBIWA ALIKUWA NYANI JAMBO AMBALO LIPO KINYUME KABISA NA MAANDIKO MATAKATIFU YA BIBILIA YANAYOSEMA BINADAMU WA KWANZA ALIKUWA ADAM NA EVA, LAKINI LICHA YA UONGO WOTE HUU UNAOPINGANA NA MAANDIKO LAKINI BADO MNAAMINI, TENA YOTE HAYO YAMEANDIKWA KWENYE VITABU HIVYO HIVYO VYA HISTORIA ETI MABABU ZENU WALIKUWA MANYANI NA WAO WAZUNGU NDIYO BINADAMU SAFII... MNAFURAHIA TU KUTUKANIWA MABABU ZENU... NA NDIYO MAANA MWAMBA MAGU ALITAKA HISTORIA YETU IANDIKWE TENA PUMBA ZIJULIKANE NA MCHELE UJULIKANE, WAZUNGU SIYO WATU WAZURI ENDELEA TU KUDANGANYWA 😂😂😂... UKISHINDWA KWENDA KALENGA KUJITHIBITISHIA WEWE MWENYEWE DINI YA MKWAWA BASI GOOGLE PICHA ZA MKWAWA NA WAPIGANAJI WAKE NDIPO UTAKAPOSAFISHA MOSHI MCHAFU WA PROPAGANDA ZA UONGO ULIOJAZWA KWENYE HUO UBONGO WAKO... 😂😂😂

  • @lusekelonelson7256
    @lusekelonelson7256 3 หลายเดือนก่อน

    Mzee Hapo sasa unajichanganya. Mbona huyo Nyerere hakuwa muislamu na alikuwa Frontline. Ukitaka kuhusisha udini na harakati za uhuru utapotosha kizazi hiki

    • @rshidmwasa8493
      @rshidmwasa8493 2 หลายเดือนก่อน

      Hujamuelewa mzungumzaji.
      Sio kama wakristo hawajakuwepo anachosema huyo mzungumzaji ni kwanini history ya Tanganyika wahusika muhimu hawakutajwa na badala yake tunaambiwa Uhuru umeletwa na mtu mmoja tu ambaye ni Nyerere

  • @barakakyando2219
    @barakakyando2219 3 หลายเดือนก่อน +2

    Ukiwa unadhana ya kuwa ukristo au uislamu ndio uliojukomboa na huku wote hao ni wazungu na waalabu na maisha yako bado duni na ya kitumwa huwo ni ushenzi tu kutukuza waarabu au wazungu na kunyanyasa waafrika wenzako we bogasi tu.

    • @fathiyasaid1506
      @fathiyasaid1506 2 หลายเดือนก่อน

      kama huna la kusema si nyamaza tuu, ukweli ndio huo ata km haukufurahishi ndio ulivyo ndio hisoria ya kweli

    • @ashaabdalla924
      @ashaabdalla924 2 หลายเดือนก่อน

      Umekomboa weye utoke huko utokako hujui hata la kuandika kahare uko ukweli unama

    • @JafariHamisi-gu4ef
      @JafariHamisi-gu4ef 2 หลายเดือนก่อน

      Wewe utakuwa mkristo kenge wew

  • @Fm-MornStar2014
    @Fm-MornStar2014 2 หลายเดือนก่อน

    3:27 Hivi Waislamu wataelewa lini kwamba Wakristo wanaamini Mungu Mmoja nafsi watatu? Inaweza ikawa Elimu/Theolojia zito ambayo anayependa kuielewa ataielewa. Kikwete mwenyewe nimeshawahi kumsikia anaelewa, pengine kwasababu alisoma shule za Kikristo.
    N-way, sio lazima, mradi tuendelee kuheshimu imani za watu.
    Mimi sidhani hata kuwaingilia wenye dini za jadi ni haki, isipokuwa wakiona inawafaa wabadilishe dini.

    • @OmariShuli
      @OmariShuli 2 หลายเดือนก่อน

      Ungetuelewesha ni nini maana ya NAFSI, na nini majukumu ya kila Nafsi?

  • @deogratiusvalentino6248
    @deogratiusvalentino6248 3 หลายเดือนก่อน

    Mkawa hakuwawi kutawaliwa na wazungu na alikufa kabla ya himaya yake kuchukuliwa. Lakini kabla ya hapo alikuwa na urafiki na waarabu. Kutokana na muingiliano huo kuna uwezekano mkubwa alikuwa au alikuwa mbioni kujiunga na uislam. Hata aina ya mavazi aliyovaa yaliendana sana na tamaduni za waarabu

    • @JafariHamisi-gu4ef
      @JafariHamisi-gu4ef 2 หลายเดือนก่อน

      Mkwawa alikuwa muoslamu kabisa hata barua zake aliandika Kiarabu

    • @maduhueddy5076
      @maduhueddy5076 2 หลายเดือนก่อน

      Kujua kiarabu sioo kuwa muislam bana, kiarabu ni lugha tu kama lugha nyingine… ukiwa chief lazma uwe na uwezo wa kujua lugha nyingine nyingii haswa kwa kipind hiko, mfano mkwawa mwenyewe alikuwa anajua lugha zaidi ya 8 na kikomoro kikiwemo ndaniii

  • @peterbalyagati7834
    @peterbalyagati7834 2 หลายเดือนก่อน

    Mzee ukija kweye media jitayarishe vizuri

  • @babazungu3180
    @babazungu3180 3 หลายเดือนก่อน +1

    Watu wa roho mtakatifu imekula kwenu hiyo

  • @TM-zs3rm
    @TM-zs3rm 2 หลายเดือนก่อน

    Bado hiyo milango iko wazi. Bado inawaibgiza walewale ndo wanaotawala mpaka leo.

  • @AmanMediaTz
    @AmanMediaTz 3 หลายเดือนก่อน

    Hmmmm kuna uongo uongo mwingi.....No evidence na Udini mwingiiiiii

  • @nurumvungi2210
    @nurumvungi2210 3 หลายเดือนก่อน +2

    Anaitwa nani huyu mwamba?

  • @tarekisalum1911
    @tarekisalum1911 3 หลายเดือนก่อน +1

    Tufunze mwalimu

  • @paschalboniphace1632
    @paschalboniphace1632 2 หลายเดือนก่อน

    Unapatikana wapi sheikh

  • @fasterwalker1464
    @fasterwalker1464 3 หลายเดือนก่อน

    Tatizo mzee amesimama kidini sana ndoanapo niboa habar za mkwawa kua muislam vitan inasaidia nn mbona Milambo aliuliwa na hao hao waarabu kwa kutuma sumu kwa ndugu zake wakamlisha sumu
    Waarab na wazungu wote mbwa na hawatufai tu na dini zao wazotuletea

    • @froma3732
      @froma3732 3 หลายเดือนก่อน

      Tatizo ndio hapao mukiambiwa ukweli inakuwa shida

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 3 หลายเดือนก่อน +1

    We huna lolote toka kabisa DINI TU

  • @diti4899
    @diti4899 3 หลายเดือนก่อน +1

    Na haya mambo ya udini sio asili zetu waafrika. Tusishadadie udini utatumaliza

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 3 หลายเดือนก่อน

      Hapo ulipo ni mkristo, unatamani waislamu wote wafe.

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@Sheba4651waislam NDIO wanaotamani wakristo wafe,,, Quran inamstari ya Allah awaangamize wayahudi na wakristo

    • @MohdJuma-w6l
      @MohdJuma-w6l 3 หลายเดือนก่อน

      Asili yko ni ipi?

  • @allyshaban406
    @allyshaban406 2 หลายเดือนก่อน

    Historia ya kweli ya hili Taifa imefichwa

  • @Nehemiaayo-b8c
    @Nehemiaayo-b8c หลายเดือนก่อน

    mzee unaudini mwingi sana maana ukisema inyo kwanza kabisa warabu walikuwa na elimu yawo nawawo pya walikuja na ukoloni wawo na sihii ivyo tu ukienda kazikazini wachanga wameru walipingaa na sana na warabu na wajerumani walikuwepo mpaka wakienda kudai uhuru maswala yadini ayana maana tulitafuta uhuru kama wafurika aikujalisha dini wewe ndoo unabeba udini

  • @natafutamatatizo4382
    @natafutamatatizo4382 3 หลายเดือนก่อน +2

    CRUFF ALIJUA WAZANZIBARI HAWADANGANYIKI KWA KUAMBIWA MUNGU NI WA TATU, ILA WATANGANYIKA WALIINGIZWA KTK BOX YA WAZUNGU WATTATU HADI LEO🤣🤣

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa 3 หลายเดือนก่อน +1

      Siku zote ng'ombe atabaki kuwa ng'ombe hata kama ameelimika,Mnasahau Nyerere ndiyo aliwasaidia mkaanza hata kwenda shule.Mtaendelea na chuki zenu hadi mwisho wa dunia kama ilivyo somalia

    • @hassanmfaume4522
      @hassanmfaume4522 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@FridayMwassawazanzibar wamesoma kabla ya uvamizi wa mwaka 1964 . Tena ilikua na wasomi wengi kuliko huku kwetu bara..!

    • @josephatbonifaceclemence1154
      @josephatbonifaceclemence1154 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@hassanmfaume4522walisoma chuo gani? Kule unguja kulikua na Shule au madrasa? Sasa hio ni Elimu? Nyerere WAKATI huo alikua Mwalimu Yeye alisoma wapi na wao wasisome? Mpaka Leo hamsomi mmekalia kujitunza mambo ya kale sijui yanawasaidia nini?

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@hassanmfaume4522Shule gani ilikuwepo Zanzibar wakati huo,acheni uongo,Nitajie hao wasomi wa Zanzibar wa wakati huo

    • @ashaabdalla924
      @ashaabdalla924 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@FridayMwassahuyo nyerere wako hakumsaidia mtu zanzibar labda kuleta muungano upo kaona tanganyika hamuingii kule bila ya passport huyo mbwa wenu nyerere choyo na chuki ndio akateta muunano ili watu waingie tu znz kama mbuzi hadi leo znz wameiharibu wabara ndio maana watu hawataki muungano tena eti nyerere kasaidia kusoma laanatullah lile lol

  • @alfoncekasanyi6584
    @alfoncekasanyi6584 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kilichotusaidia kupata uhuru Ni kiepuka udini bila hivyo tisingepata uhuru.Sasa huyu mzee anakumbatia Sana udini.mkimfuata Sana hamtajua vizuri Historia ya Tanganyika.wWatawala wote wa kikoloni kuanzia wasrabi walitumia dini kutugawa ili watutawale kirahisi

    • @zedekiahjulius6
      @zedekiahjulius6 2 หลายเดือนก่อน +1

      Uhuru ulipambaniwa na kila mtu sio dini

    • @mustwafathabiti2978
      @mustwafathabiti2978 2 หลายเดือนก่อน

      tuambiewew ilitukufutwa

    • @JafariHamisi-gu4ef
      @JafariHamisi-gu4ef 2 หลายเดือนก่อน

      Pamoja na hayo kinachokukera ni kipi na mtu kazngumza historia ya kweli kama wewe una historia Yako ongea

    • @Nehemiaayo-b8c
      @Nehemiaayo-b8c หลายเดือนก่อน

      @@JafariHamisi-gu4ef peleka ufarisayo historia ipi iyo ya kweli ya kutukuza wanyanyasaji wa afrika mwarabu aliye tuuza kama nyanya sokoni

  • @bazilkisibo5811
    @bazilkisibo5811 หลายเดือนก่อน

    Ulikuwapo? Acha uongo!

  • @Ligida-57
    @Ligida-57 2 หลายเดือนก่อน

    Suala nj uislaam au ukristo na cio history ya vita vya ukombozi?

  • @saijize
    @saijize 2 หลายเดือนก่อน

    hatukuamini si tunajua ni Nyerere tu alikuwa mkubwa zaidi Yako peleka udini mbele huko acha kupotosha watu

    • @saltechnologiesco.ltd.2377
      @saltechnologiesco.ltd.2377 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂 ukishamaliza kukariri soma ujitambue! Rejea historia halisi utokwe tongotongo na vema kujibu hoja kuliko kuporoja na kuhemkwa

    • @mustwafathabiti2978
      @mustwafathabiti2978 2 หลายเดือนก่อน

      jingawew wwmwenyewe udini upo adi m

    • @ashaabdalla924
      @ashaabdalla924 2 หลายเดือนก่อน +1

      Nyerere mķubwa huko kwenu tanganyika kama ndio mlokuwa mkimuabudu sio kwa zanzibar hukohuko zanzibar ni mbwa koko tu huyo Nyerere wenu alotuharibia zanzibar mbwa koko yule

    • @yassinhamza1969
      @yassinhamza1969 หลายเดือนก่อน

      Nyerere kwao musoma chama kilianzishwa dar Sasa ukubwa wake upo wapi

  • @paschalboniphace1632
    @paschalboniphace1632 2 หลายเดือนก่อน

    Napataje hicho kitabu? Kinauzwaje?

  • @rshidmwasa8493
    @rshidmwasa8493 2 หลายเดือนก่อน +1

    Daaah aiseh kumbe yamefichwa mambo mengi sana.
    Nilikuwaga najiuliza hivi uhuru unawezaje kuletwa na mtu mmoja

    • @Christophergaspar-qe7wk
      @Christophergaspar-qe7wk หลายเดือนก่อน

      Acha kulishwa matango pori, hakuna mahali palipoandikwa kwamba uhuru uliletwa na mtu mmoja, kilichopo ni kwamba palikuwa na kiongozi mmoja ambaye aliongoza jitihada za watanganyika( sasa Tanzania) kupata uhuru ambaye si mwingine ila Julius Kambarage Nyerere.

  • @ShadowScreamStudio
    @ShadowScreamStudio 2 หลายเดือนก่อน

    Ipo wazi mwarabu aliwahi kuja pwani ya Africa .lazima aweke safu yake aeneze uislam kama akina Johan claff kutaka ukristo..
    Mjerumani alifosi kama mwingereza.
    Yote ya yote .Ndio maana Africa tumekuwa vibaraka wa uislam na ukristo .mataifa yenye yenye maendeleo kwa wananchi wake hawana hizi mambo zaidi ya kutukuza Asili zao tu.

  • @HASSANWAZIRIGAO
    @HASSANWAZIRIGAO 8 วันที่ผ่านมา

    MSMSHAMBULIE MZEE HATA NYERERE ALITOA HUTUBA AKIDAI ALIJIUNGA NA TAA AKAPOKEWA NA WAISLAAM WATUPU NA PALE DSM WAKAZI WENGI NI WAISLAAM SASA KAMA WEWE UNAMAJINA YA WAKRISTO YATAJE

  • @josephatmkomi6573
    @josephatmkomi6573 2 หลายเดือนก่อน

    Unavotikisa kichwa kama vile unaongea cha maana,ukristo umeletwa na wazungu na umekuja na tamaduni za wazungu .
    Uislam nao umeletwa na waarabu,
    Ongelea uafrika

    • @JafariHamisi-gu4ef
      @JafariHamisi-gu4ef 2 หลายเดือนก่อน

      Uafrika unaujua wew kama unaujua ongea wewe

  • @mzongekibwana838
    @mzongekibwana838 2 หลายเดือนก่อน

    Kitabu bei gani mzee

  • @maduhueddy5076
    @maduhueddy5076 2 หลายเดือนก่อน

    Mzee waarabu nao waliiitesa wazee wetu mnoo kbla ya kukubali waislam kufika, na ndvyo muendelezo ulivyofanyika kwa wazungu … elezea namna waarabu pia waliingia Tanganyika… vituo ya utumwa vyte vilikua based na waarabu kabla hata ya utawala wao wa kidini kuingiaaaa

  • @gwamakamoses6457
    @gwamakamoses6457 20 วันที่ผ่านมา

    Nani kaficha huo ukweli? inashangaza kuwa walipigania uhuru lakini historia ikafichwa kirahisi namna hiyo!!! je kuna mtu alikuwa anazauia historia ya kweli isiandikwe? nani huyo? Uhuru wa Tanganyika ulipiganiwa na watanganyika wa dini zote ndiyo maana tulifanikiwa. Iwapo kungekuwa na watu kama wewe basi uhuru usingepatikana maana mapambano yangekuwa ya msingi wa kidini. Ni jambo la kushukuru na kumpa heshima kubwa sana mwalimu Nyerere jinsi alivyoweza kushirikiana na viongozi walio wengi wenye imani tofauti na kuleta umoja na hatimaye kufanikiwa kupata uhuru.

  • @abdallahkaskas6168
    @abdallahkaskas6168 3 หลายเดือนก่อน

    Duh..!

  • @YohanaRichard-e6p
    @YohanaRichard-e6p 2 หลายเดือนก่อน

    Watu hawataki ukweli, namimi naamini mkwawa alikuwa muislam.

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa 2 หลายเดือนก่อน

      Mwislam gani anakuwa na wake zaidi ya 20

  • @Dr-kisasi
    @Dr-kisasi 2 หลายเดือนก่อน

    Prof upo kidin sana,Sawa din kubwa ilikua Waislam lakn uislam uliingiaje tanzania?na Waislam wa zaman majina yao yana asili zao pia nyie wasasa majina ya asili mmetoa😂😂😂Alaf uislam nao uliletwaaa kama ukristo ulivyoletwa nao uliletwa kama ukristo ebu jarbu kusimama kama mzalendo kabla ya uislam na ukristo,

  • @h77-f8m
    @h77-f8m 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mfumo kristo

  • @Christophergaspar-qe7wk
    @Christophergaspar-qe7wk หลายเดือนก่อน

    Huna lolote we unatuletea historia ya uongo.

  • @venslausblaise507
    @venslausblaise507 3 หลายเดือนก่อน

    Nan kamuona Abdul Sykes kwenye picha yeyote ya uhuru wa Tanganyika? Bibi TITI zipo,Mtemvu zipo... Nan kaona za Sykes

  • @MzeeKigogo_
    @MzeeKigogo_ 3 หลายเดือนก่อน +3

    Mzee mpumbavu mbaguzi wa dini anajaribu kupindisha Historia kwa kuegemea udini.
    Mpuuzi kweli

    • @khaliphaabubakar9466
      @khaliphaabubakar9466 3 หลายเดือนก่อน

      Upumbavu wake uko wapi?
      Kaaongelea waislamu walio poteza maisha yao juu ya mabeberu wa kijeremani na uingereza ambao ndio waliondika historia ya Tanganyika na kuficha
      Mchango wa Waislam wenye majina ya kiarabu.
      Wacha chuki za kidini.
      Ukweli utabaki kuwa ukweli.

    • @MzeeKigogo_
      @MzeeKigogo_ 3 หลายเดือนก่อน +2

      @@khaliphaabubakar9466 huyo mpuuzi mzee wa hovyo ndio anachuki za kidini kwa kuingiza udini kwenye harakati za kudai uhuru. Anapandikiza chuki kwa Watanzania wakati anajua kabisa kwamba wazee wetu wote bila kujali dini wala kabila waliungana pamoja kudai uhuru

    • @Fm-MornStar2014
      @Fm-MornStar2014 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@khaliphaabubakar9466 kwa hiyo hata jina MAJIMAJI na maana yake hadi iitwe MAJIMAJI UPRAISING ilikuwa kutokana na imani ya kiislam au imani za Kihehe ? 🤔

    • @mustwafathabiti2978
      @mustwafathabiti2978 2 หลายเดือนก่อน

      itakuwa hata babayako nimpumbavu achakutukana baba wa wenzako

    • @MzeeKigogo_
      @MzeeKigogo_ 2 หลายเดือนก่อน

      @@mustwafathabiti2978 huyu mzee ni mpumbavu na mchonganishi. Anataka kutugawa Watanzania kwa misingi ya dini.

  • @akimzeli5030
    @akimzeli5030 3 หลายเดือนก่อน

    😭😭😭

  • @saidahmed7268
    @saidahmed7268 3 หลายเดือนก่อน

    Mfalme hsile sellasie ndo kawashauri wazungu ktk mkututano wa berlin 1884 kuwa hakuna jinsi zaidi ya kuwaletea waafrika dini ya kikiristo ili kulainisha nyoyo zao ili wakubali mali zao kuibiwa ama kuchukuliwa live bila wao kuleta pingamizi yoyote

  • @nicksonmbonye7595
    @nicksonmbonye7595 2 หลายเดือนก่อน

    Mi sijui kinachoongelewa hapa wahehe tunajua kwamba mkwawa alikuwa mwislam.Tulifundishwa Hadi kutengeneza bunduki na waaarabu na hata uvaaji wetu wa jadi ni kama wale waaarabu wa jangwani.tuwe kwenye makanisa au miskiti mavazi yetu ya asilia yanaendana na asilia arabia.sasa mzee kama unaelezea historia ya dini elezea mizizi ya kihistoria ya kiislam.ila kama unaongelea historia ya uhehe na Tanzania elezea milki ya tamaduni Arabia maana ndo imeathiri historia na tamaduni za mavazi na vitu vingine, hatupingi dini ya uislam ila udini ndo haufai.

  • @Saidiamiri-s8i
    @Saidiamiri-s8i 3 หลายเดือนก่อน +3

    Hivi vitu havisaidii ebu kama waislam tuangalie ni kwa namna gani tunaweza kujikwamua kutoka hapa tulipo,maana waislam tumeachwq kwenye kila kitu ukiangalia kwenye uongozi wakristo wengi kuliko waislam ebu tupiganie haya tuache mambo ya nani alipiganiq uhuru sijuw nyerere alifanya nni, tupigania huku kwenye elimu na ngazi ya uongozi tuwe sawa😢

    • @raphaelnambombi3709
      @raphaelnambombi3709 3 หลายเดือนก่อน +1

      Huyu mzee naye analeta hasadi tu

    • @Grataaaaa
      @Grataaaaa 3 หลายเดือนก่อน +2

      Ccm hampendi haya

    • @sumayasumaya6455
      @sumayasumaya6455 3 หลายเดือนก่อน +3

      uwezi kuyapigania hayo bila kuyazungumzia haya..kighoma malima, alijaribu by then..

    • @maftahmusa9513
      @maftahmusa9513 3 หลายเดือนก่อน +2

      Asie enzi historia yake hawezi fanya lolote ni mawazo ya kitoto kusema tusahau historia yetu hiyo ndio chachu ya kuchochea mafanikio

    • @maftahmusa9513
      @maftahmusa9513 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@raphaelnambombi3709 kwa afya mbaya ya akili inaona hasidi.huo ndio ukweli kabasa katafute kitabu cha Dk Sivalon kanisa katoliki na Uhuru wa Tanganyika huyo ni mkristo mwenzako utaona ukweli huo anao ongea mtaalamu huyo wa historia

  • @malimanyanja562
    @malimanyanja562 หลายเดือนก่อน

    Unajikuta Mwalabu nini,Acha Tupe Ushaidi Kua Wisilamu Na Ukiristo Umetoka Kwa Mungu,Mungu Ana Dini Toa Ujinga Kichwani

  • @celestinshayo7295
    @celestinshayo7295 3 หลายเดือนก่อน +3

    Without lies.........dies

    • @richardnganya2311
      @richardnganya2311 3 หลายเดือนก่อน +1

      I fully agrees with you!!

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 3 หลายเดือนก่อน +1

      BANGE HIZO... JIULIZE KWENYE TANU ALIKUWA PEKE YAKE?! YANI MWENYEKITI YEYE, NAIBU YEYE? KATIBU YEYE, MWEKA HAZINA YEYE, MJUMBE YEYE NA KADHALIKA, HIVI KUNA BINADAMU WA AINA HII YANI TANU YOTE YUPO PEKE YAKE TENA TANGANYIKA (TANZANIA) NZIMA ANAENDESHA SHUGHULI ZA CHAMA PEKE YAKE?! HAKUWA NA KATIBU WALA WASAIDIZI WENGINE NA HATA WANACHAMA?! JE HAO WOTE WALIKUWA WANAFANYA KAZI GANI NDANI YA CHAMA CHA TANU?! FUTA BANGE HILO BRO JIONGEZE... UNAPOAMBIWA JAMBO CHANGANYA NA YAKO 😂😂😂 NENDA KATAFUTE HOTUBA YA MWALIMU NYERERE YA BAGAMOYO KWA SHEIKH RAMIYA NDIPO UTAKAPOPATA JIBU ALIKUWA NA KINA NANI... 😂😂😂

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@richardnganya2311BANGE HIZO... JIULIZE KWENYE TANU ALIKUWA PEKE YAKE?! YANI MWENYEKITI YEYE, NAIBU YEYE? KATIBU YEYE, MWEKA HAZINA YEYE, MJUMBE YEYE NA KADHALIKA, HIVI KUNA BINADAMU WA AINA HII YANI TANU YOTE YUPO PEKE YAKE TENA TANGANYIKA (TANZANIA) NZIMA ANAENDESHA SHUGHULI ZA CHAMA PEKE YAKE?! HAKUWA NA KATIBU WALA WASAIDIZI WENGINE NA HATA WANACHAMA?! JE HAO WOTE WALIKUWA WANAFANYA KAZI GANI NDANI YA CHAMA CHA TANU?! FUTA BANGE HILO BRO JIONGEZE... UNAPOAMBIWA JAMBO CHANGANYA NA YAKO 😂😂😂 NENDA KATAFUTE HOTUBA YA MWALIMU NYERERE YA BAGAMOYO KWA SHEIKH RAMIYA NDIPO UTAKAPOPATA JIBU ALIKUWA NA KINA NANI... 😂😂😂

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@rayisadesigns2646KWENYE vita vya hudhud waislam WALIKUA wangapi? Na JE woote wametajwa?

    • @celestinshayo7295
      @celestinshayo7295 2 หลายเดือนก่อน

      Huyu bwana ametawaliwa na mihemko na ushabiki zaidi kuliko uelewa.
      Historia ya mapambano ya kutafuta uhuru wa Tanganyika ni ndefu. Haianzii kwenye chama cha TAA ambacho kiliundwa mwaka 1929. Kusema waliopigania uhuru wa nchi hii ni waisilamu ni upotoshaji mkubwa na wenye nia ovu ya kupanda mbegu za udini kwenye taifa hili. Wapigania uhuru wa taifa hili si wakristo wala waislamu bali ni watanganyika wazalendo na Nyerere akiwamo. Wako machifu kama Meli Sina Mandara Kinjekitile Chabruma kutaja wachache, waliomwaga damu yao je wote ni waislamu? Ni wakristo? Na je wamisionari wa kikristo waliopambana kufuta biashara ya utumwa bahari ya Hindi hawana mchango kwa uhuru wa nchi hii? Na Fr. Walsh aliyempa ushauri Nyerere akawashtaki Waingereza UNO na Nyerere akafanya hivyo uhuru ukapatikana kwa urahisi mbona historia yake haijaandikwa? . Historia ipi iliyopotoshwa hapa? Chama cha TAA kilianzishwa na wazee wa DaresSalaam ambao walikuwa ni waislamu nani halijui hilo? Hata Nyerere kwenye hotuba zake amewahi kuliongelea hilo na akasema walimuombea dua kiislamu na kumtambikia kiafrika . Na kama unadhani ni dua ya kiislamu ndio iliyomng'oa Muingereza hapa mbona hawakuweza kumng'oa Mjerumani hapa kabla au Mwarabu kule Zanzibar? Na mbona kuna majina ya watu maarufu ambao ni waislamu waliopigania uhuru yanaenziwa kama Bibi Titi Mohamed Tambaza Makunganya nk kama kweli historia ya waislamu waliopigania uhuru wa nchi hii ingekuwa i imefutwa?. Na mbona Nyerere aliyeongoza TANU hadi ukapatikana huo uhuru hakupenda kujitukuza? Kama angependa kujitukuza basi karibu kila kitu hapa nchini kingeitwa jina lake. Barabara ya Nyerere ilikuwa inaitwa ya Pugu uwanja wa Ndege wa kimataifa unaoitwa wa Mwl Nyerere haukuwa unaitwa hivyo enzi zake. Alikataa kujitukuza.. Wazungu walimjua kama dokta Nyerere na ni kweli ni dokta katika nyanja ya taaluma hilo halina ubishi lakini alikataa akasema mimi sijawahi kumtibu mtu niiteni Mwalimu inatosha. Wakati wa uongozi wake viongozi wetu wote waliitwa " ndugu" .Neno "mheshimiwa" au "mtukufu" lilianza kutumika wakati wa utawala wa Mwinyi. Historia ya mapambano ya kujikomboa ni ndefu na inahusisha michango ya watu wengi sio kikundi cha watu fulani. Kule Kenya kuna dhana kuwa wakikuyu ndio waliopigania uhuru wa Kenya sababu ya MAUMAU yao sasa ona jinsi ukabila unavyowatafuna! Tusifike huko udini ukaja kututesa hapa kwa sababu ya dhana potofu kuwa ni waisilamu ndio waliopigania uhuru wetu tukarithisha vizazi vyetu dhana hiyo. Waliopigania uhuru wetu ni watanganyika wazalendo na walishiriki kwa namna tofauti. Uhuru ukapatikana mwaka 1961 chini ya chama cha siasa cha TANU ambacho raisi na mwenyekiti wake wa kwanza ni mzalendo mwenzetu Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Yeye kutajwa zaidi haimaanishi kwamba wazalendo wengine wamepuuzwa kwa sababu ya dini huu ni uwongo na upotoshaji wenye nia ovu. Nyerere alikuwa kiongozi wa wenzie historia iko hivyo dunia kote. Mandela anatajwa zaidi kwenye historia ya mapambano dhidi ya ubaguzi wa rangi kule Afrika Kusini lakini wako wengi waliopoteza maisha yao kwenye historia ndefu ya mapambano hayo je walimpendelea Mandela kwa sababu ya dini yake au kabila lake? Naomba nikomee hapa.

  • @philipjoseph5931
    @philipjoseph5931 2 หลายเดือนก่อน

    th-cam.com/video/sTgzcSymRYU/w-d-xo.htmlsi=GQR8956ejpyPlkL-
    Hotuba ya NYERERE katika harakati za kumwondoa Mwingereza

    • @abdulijuma3969
      @abdulijuma3969 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂 Hiyo ni yako baba sisi tunaijua hii😂😂😂

  • @HamisJMB
    @HamisJMB 3 หลายเดือนก่อน

    Wazungu ni watu wabay san wamewaua san babu zang

  • @frimatuslupimo2031
    @frimatuslupimo2031 2 หลายเดือนก่อน

    Unaowataja hao walifanya hivo Kwa sabb ya dini au haki? Sioni mantiki

    • @akbarmaulid9624
      @akbarmaulid9624 2 หลายเดือนก่อน

      anawataja kwa sababu hawatajwi kwenye historia na wameachwa maksudi na walikua na mchango pia kwenye harakati ukweli ni kua wanastahili kutajwa na kupewa maua yao haijalishi ni dini gani

  • @littlelunie.7653
    @littlelunie.7653 3 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu jamaa hoja zake n zanzibar, uislamu
    Ko n mdini huyu na mbaguzi...

    • @hafidhally7998
      @hafidhally7998 3 หลายเดือนก่อน

      Nawewe toa historia yako Achana nayake.. Upendi ukweli

    • @abdallahmmary8591
      @abdallahmmary8591 3 หลายเดือนก่อน

      Mdini ni nyerere nadhni hujui histiry skiliza vema waliopigania uhuru wengi ni Waislamu nyerere amefanya hila kubwa.

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@abdallahmmary8591hakukua na bendera ya udini WAKATI WA kupigania uhuru

    • @MohdJuma-w6l
      @MohdJuma-w6l 3 หลายเดือนก่อน

      Hizo ndio slogan zenu

    • @user-sr9js6rj5v
      @user-sr9js6rj5v 3 หลายเดือนก่อน

      Hiyo ni fact ya history ya Tanganyika. Ukubali usikubali

  • @yusuphmshihir7138
    @yusuphmshihir7138 2 หลายเดือนก่อน

    Nahitaji vitabu vya huyu mzeee navipatawapi

    • @kalamuMedia
      @kalamuMedia  2 หลายเดือนก่อน

      +255 713 152 800

  • @kabhikachambala3392
    @kabhikachambala3392 3 หลายเดือนก่อน

    Je uhuru uliokuwa ukitafutwa ulikuwa wa dini au uAfrika?...
    Je kama wasingekuwa waisilamu wasingedai uhuru?
    Je wapigania uhuru wa Nchi zingine za Afrika walikuwa waaIslam?
    Je majina ya Kiarabu ni matokeo ya dini au majina haya yalikuwepo hata kabla ya dini?
    Hivi uarabu ni dini au kuna uarabu na dini?
    Kwani kuna sifa gani katika hilo la dini na kupigania uhuru?
    Hivi idadi ndio hutengeneza wapigania uhuru?
    Mbona Rwanda watutsi ni 15% lakini walifanikiwa kupindua serikali ya Kihutu ?

    • @OmariShuli
      @OmariShuli 2 หลายเดือนก่อน

      Majibu:-
      1-Ulikuwa wa uafrika kwa walioupata.Kama umesikiliza kwa makini, anakwambia
      Makomredi wa mapinduzi hawakujua lolote kuhusu mapinduzi, na wapinduaji cha kwanza walivamia na kuharibu mitambo ya kuachapishia qurani..!! ilikosa nini?
      2-Wasingedai. Wakristo wengi walikuwa wafanyakazi wa serikali ya kikoloni na walipigwa marufuku kushiriki siasa.
      3-Wazungu lengo lao ni kuitawala Afrika na kupora Rasilimali zake. kwa hiyo huwagawa watu ki dini,pia kiukabila. Ni mfumo wa Farao huko Misri quran 28:3-4.
      4-Huko uarabuni yalikuwapo kabla ya dini, Bali Mtume s.a.w. alipenda majina yenye kuleta maana nzuri hivyo aliwabadilisha majina wale waliokua na majina yasoleta maana nzuri(yaskuwa na FAALI nzuri), mfano mtu aliitwa: KIMONDO CHA UPOTE VU yeye alimwita KIMONDO CHA UONGOFU.
      5-kuna uarabu na dini.na hadi leo kuna waarabu ni wakristo, ka ambavyo kuna waarabu wengi ni waislaam, bali pia kunawasio na dini.
      6-Kwa kweli sioni sifa yoyote. na hata hao wapigania uhuru ambao wengi wao ni waislaamu hawakuweka mbele maslahi ya uislaam, bali wakoloni waliwabagua waislaam na kuwakumbatia wakristo. Na matumaini ya waislaam yakawa kwenye uhuru na baada ya uhuru ikawa kinyume. hilo ndio limeleta haya yote.
      7-Mfumo wa demokrasi unasema Wengi wape.
      8-Rudia jibu la tatu. wakoloni walikuwa nyuma yao.

  • @zedekiahjulius6
    @zedekiahjulius6 2 หลายเดือนก่อน

    Watu wanafikra za kitumwa sana kuwaza kukumbatia dini tu

  • @comsmkemwa2671
    @comsmkemwa2671 2 หลายเดือนก่อน

    Nilikuw nakufuatilia mzee nimegundua historia yako ina mlengo wa kidini, sasa kama uislamu ndio ulikuw wa kwanza kupokeq elimu ilikuwaje leo waislamu wengi hawajasoma elimu ya dunia, na wengine wanaita elimu ya dunia ni haramu?

  • @malimanyanja562
    @malimanyanja562 หลายเดือนก่อน

    Leo umeongea Ujinga Sana Mwalabu Wa Nini Sasa Ww Ongerea Africa,Walabu Na Wazungu Wote Niwajinga Tu

  • @BofuMlanzi
    @BofuMlanzi 3 หลายเดือนก่อน

    Kweli wewe mwanahistoria.

  • @Sheba4651
    @Sheba4651 3 หลายเดือนก่อน

    Hawa vijana watu weusi kua wakristo ni wajinga tu, nafasi ya kupendwa na mzungu ukajiona ndugu na mzungu ukaacha watu weusi wenzio, utumwa una ujinga sana. 1 Timotheo 6:1

    • @markojames7855
      @markojames7855 3 หลายเดือนก่อน

      Ukiacha ukristo sawa naukiacha uislam kwahiyo mnaabudu uarabu nanyi pia ni wajinga kwani Hawa wame chukuia Babu zetunwakawapeleka utumwani mnawaona Bora huu ujinga utaisha lini

  • @frimatuslupimo2031
    @frimatuslupimo2031 2 หลายเดือนก่อน

    Hoja yako ni nini? Kwamba uislam uwe dini ya nchi au?

  • @CharlesMisungwi-f8t
    @CharlesMisungwi-f8t 3 หลายเดือนก่อน

    Aliyeficha ukweli ninani? nakwa nini? naunataka iweje ungesimulia familia yako matapishi yako hayo wanahistoria wapo siyo wewe Golden old old is gold but not you. just talking alot s fornothig in ourcountry

  • @jacksonmsendo3478
    @jacksonmsendo3478 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hana lolote uyo mdini tu anatetea uislam wake

    • @MohdJuma-w6l
      @MohdJuma-w6l 3 หลายเดือนก่อน

      Hizo ndio slogan zenu makafiri

    • @babazungu3180
      @babazungu3180 3 หลายเดือนก่อน

      Sindano imekuchoma

    • @MohamedAhmada-ie7ke
      @MohamedAhmada-ie7ke 3 หลายเดือนก่อน

      Kwani yule mzee alietiwa ndani na nyerere si katoa history vizuri tu so imetafautiana nini na hii

    • @aljabrsaleh4378
      @aljabrsaleh4378 3 หลายเดือนก่อน

      Acha jazba leta hoja wewe

    • @MohdJuma-w6l
      @MohdJuma-w6l 3 หลายเดือนก่อน

      @@jacksonmsendo3478 jaman ee mie sikumaanisha vbya et uyo mzee kwamba nimekaata historia zake apana nazungumzia hao mafiri wanaopinga ukweli, na ndomana wanapobiawa ukweli slogan zao ndio utawasikia wakisema ubaguzi, mara mdini ndio hivo

  • @salumchande2702
    @salumchande2702 3 หลายเดือนก่อน

    Abdu sykes ni baba wa dully sykes

    • @hamzamussa7081
      @hamzamussa7081 3 หลายเดือนก่อน

      Ni babu wa babaake

  • @sleepway74
    @sleepway74 2 หลายเดือนก่อน

    Stop spreading misleading information.