Simulizi Maasi ya Kijeshi 1964: Utata Kuhusu Namna Nyerere Alitoroshwa Ikulu Magogoni | Mohamed Said
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 6 ก.พ. 2025
- Mwanahistoria Mohamed Said anaeleza namna hali ilivyokuwa mjini Dar es Salaam siku yalipozuka maasi ya Jeshi la Tanganyika (Tanganyika Rifles) Januari 20, 1964.
Mzee Said ambaye pia ni mwandishi wa kitabu kuhusu maisha ya Abduwakili Syekes mmoja wa waasisi wa TANU mwaka 1954, anaeleza utata kuhusu simulizi za namna Nyerere alivyotoreshwa kutoka Ikulu siku ya maasi kwa kuangazia kitabu cha aliyekuwa mlinzi wa Mwalimu Nyerere Peter Bwimbo na simulizi ya Kihistoria aliyeipata kutoka kwa mzee Kondo ambaye naye aliwahi kufanya kazi katika Special Branch na badae Idara ya Usalama wa Taifa.
Unaweza kutufuatilia kupitia;
TWITTER: / thechanzo
INSTAGRAM: / thechanzo
FACEBOOK: / thechanzo
TIKTOK: www.tiktok.com....
Au tembelea tovuti yetu: www.thechanzo.com
Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved.
Unayosema ni kweli kabisa. Mimi wakati huo mwaka 1964 nilikuwa Darasa la nne nikiishi Magomeni Mikumi. Balaa hiyo niliishuhudia.
Hicho kijiji kipo, na hiyo familia ipo na nilikuwa sijui kama wana historia hiyo ktk nchi hii mimi ni mwenyeji wa Kigamboni.
Ukiangalia mtiririko utaona ulikuwa mchezo Wa kuigiza
Habari, unaweza kutusaidia mawasiliano ya hiyo familia? Unaweza kutupata kwa namba 0753815105
Exactly,ndicho nachotaka kunwambia Mohammed Said,Nyerere asingeweza kwenda Ruvu.
Hasante sana Mzee Mohamed
Shekhe Mohammed Una story mzuli Sana moyo wangu umejuwa mengi mungu akulinde uzee dawa
Hongera mwana History Namba Nikutembelee Ofisini Kwako Kwa Kupata Elimu Zaidi
Wooow mimi nlikuwa darasa la nne Tabora experience inafanana Pale kulikuwa na Mirambo Barracks
Powerful. Asante sana
Mawasiliano yako mzee wetu tunaomba
Zahoro Suleiman, Kimwaga wa Shambalai,
Nipo Mtaa wa One-way Str - Magaoni "A" - Magaoni - Tanga (CC) "
Mwalimu Nyerere hiyo hideout ya Ruvu ingekuwa nzuri lakini ingekuwa impractical kwa Mwalimu kwenda huko.
Mwalimu alipelekwa hideout nyingine lakini it is better not to mention it kwa sababu inaweza kuhitajika tena.
Hongera mzeee .Kuzazi cha kuanzia 1980 tunakuhitaji sana
Hata Sisi WA afu2 tunamhitaji😅
@@AhmedAbdallah-wb7zpwanajipendelea sana😂
Sh Muhammed napenda kazi yako
Nice story mzee
Marehemu babu yangu mzaa mama husein obeid ndiye aliyemficha nyerere Tarime mara kwa mujibu wa maelezo ya mama yangu
Siyo kweli.
Kakudanganya
Yaani mapinduzi yafanyike Dar es Salaam then muda huo aonekane kafichwa Tarime wakati hata uwanja wa ndege hakuna Tarime?
Ingawa nlikuwa ndo true Kambona ndo iliongoza nchi akitangataza kupitia Tanzania Briadcasting Corporation - TBC. Na ndo alotangaza kuwa madai yameisha.
I was in Dar es salaam
Mwl Nyerere alijificha Ruvu mlandizi kwa sasa katika eneo hilo imejengwa kambi Ruvu jkt mlandizi
Maria yupo pateni hakika ya mambo haya kutoka kwake
Ukweli anaujua Mungu.
Kambona angechukua urais ingekuwa afathali hao walitwana nyerere
Sababu kubwa ya uaasi ni nini khasaa nijuze shekh mohamed
Madai ya askari juu ya maslahi yao.
Ninavyo vyote kasiro icho cha Abdul Sykes. Nakipataje??
Mwanahistory Mohamed huoni hayo so called mapinduzi yamepangwa kuwadanganya Wa Tanganyika kama ilivyofanywa Zanzibar tukiambiwa tujiambie
Kwa stori hii mwalimu alifichwa kwenye hilo shamba lenye handaki na sultana kizwezwe ni huyohuyuo rafiki yake mwenye shamba huo ndo ukweli uliofichwa
Ndugu Mtangazaji wa #thechanzo Hivyo Vitabu Vitatu vya Mzee Hapo: Sehemu ya 1, Sehemu ya Pili na Tatu. Vyote vinapatikanaje...!!
Vinapatikana katika dula la vitabu la TPH lililopo mtaa wa Samora, jijini Dar es Salaam. Kama upo mkoani wasiliana nao kupitia kurasa zao za mitandao ya kijamiii ikiwemo Instagram na Facebook wanatumia jina la Mkuki na Nyota Publishers. Karibu sana.
@thechanzo asante sana
@thechanzo naomba umuulize msimuliaji kuwa; kitabu chake kinapatikana wapi..? Kwa maana kwenye ofisi ya mkuki na nyota hakipo. Natanguliza shukrani. Au ikiwezekana niunganishe naye. Asante
Mohammed Said
Wazee walitafuta haki lkn sasahiv, hawataki katiba,itawabana,wanajua hata Nyerere,aliyumbishw, akina kambona,walikimbia,, upinzan ulikwepo enz y Nyerere,c sasa,tu kopi,
Kumbe sisi na wachina damdam
Manuwari za Royal marine 😂😂😂
Tunapataje hivyo vitabu? mawasiliano jamani
Ukipata contacts nitumie ,nipate hivi vitabu tafadhali
Kwenye makala zake anasema uende maktaba za UDSM na vyuo vya CCM
1964 MAGARI YAPI SHEKH?
Kwamba 64 hakukuwa na magari Dar es salaam?
Magari yalikuwepo huo mwaka