Wakosoaji Hawamtendei Haki Paul Kagame? | Jenerali Ulimwengu Exclusive on The Chanzo S04

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ส.ค. 2024
  • Unaweza kutufuatilia kupitia;
    TWITTER: / thechanzo
    INSTAGRAM: / thechanzo
    FACEBOOK: / thechanzo
    TIKTOK: www.tiktok.com....
    Au tembelea tovuti yetu: www.thechanzo.com
    Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
    The Chanzo Initiative, 2022 © All Rights Reserved.

ความคิดเห็น • 21

  • @leandrymmassy9916
    @leandrymmassy9916 9 หลายเดือนก่อน +1

    Nimependa jinsi mwandishi anavyooji. Very professional.

  • @mgallahson3650
    @mgallahson3650 9 หลายเดือนก่อน +2

    Hakuna kitu kibaya kama unafiki

  • @AfricabeyondtheLimits
    @AfricabeyondtheLimits 7 หลายเดือนก่อน

    kusitisha mauaji ya watu 1million na Kuua watu milion 6 nchi jiran tena!! kazi kwelikweli

  • @user-tf8yl9un5r
    @user-tf8yl9un5r ปีที่แล้ว +2

    Hapo kwenye term limit umenishangaza Jeneral, yani for Kagame it’s fine? Mbona iliposemekana Magufuli anataka kuongeza kelele zilikuwa nyingi sana?

  • @eldredmbegu4434
    @eldredmbegu4434 ปีที่แล้ว +3

    Jenerali anajikanyaga kanyaga navyoona.

  • @user-tf8yl9un5r
    @user-tf8yl9un5r ปีที่แล้ว

    My sincere advice to you Mr. Jeneral, for your age what should occupy you for now is Ibada (prayer), Jitahidi kufanya ibada mzee wangu muelekee mola wako, Jitahidi kusimamisha swala tano.

    • @doktamathew
      @doktamathew 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂

  • @user-be4oo1bz9f
    @user-be4oo1bz9f 6 หลายเดือนก่อน

    Uyu ni General au ni mambo ya AI?

  • @emmykundy4273
    @emmykundy4273 ปีที่แล้ว +2

    Mzee ana mapenzi ya binafsi na Kagame.
    Sio huyu alikuwa akimpinga Magufuli?

    • @mbwanakiting7180
      @mbwanakiting7180 ปีที่แล้ว

      Kwani kumpinga magufuri ni kosa?

    • @eldredmbegu4434
      @eldredmbegu4434 ปีที่แล้ว +1

      ​@@mbwanakiting7180 sio kosa kumpinga Magufuli. Swala ni hoja anazotumia kumtetea Kagame mbona alimponda Magufuli kwa hoja hizo hizo?

    • @hajimnubi4581
      @hajimnubi4581 9 หลายเดือนก่อน

      Siyo magufuli tu kote kwa utawala usiojali demokrasia huwa anakua mkali lkn siyo rwanda na kagame....hii sio fair...amsifu kwa mazuri amkosoe anakofeli

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything ปีที่แล้ว

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌✌。

  • @hajimnubi4581
    @hajimnubi4581 9 หลายเดือนก่อน

    Jenerali kwenye suala la rwanda na demokrasia unayumba....

  • @papaj6795
    @papaj6795 ปีที่แล้ว +1

    General kwa heshima Mzee please uwe na msimamo wa ukweli na uwe na mkweli wakati wa nyerere alikuwa Nationalist kama kagame na wakati wa Magufuli wewe na baadhi ya watu wa CCM na upinzani mlikuwa mnampinga Magufuli for those who don't like kagame should go to hell I saw it in my eyes 1994 CCM nimeisha kuwa kuwa ya wezi sio CCM tuliyoitumika CCM ya mwalimu ndio maana Magufuli alikuwa anataka kuirudisha kwenye mstali lakini ndani ya CCM na Baadhi ya wapinzani mlimpinga now what?

  • @njemamehuna9821
    @njemamehuna9821 ปีที่แล้ว

    Jamaa ana ukabila na udini sana

    • @eldredmbegu4434
      @eldredmbegu4434 ปีที่แล้ว

      Ukabila na Udini kivipi?

    • @hajimnubi4581
      @hajimnubi4581 9 หลายเดือนก่อน

      Linapokuja suala la rwanda na kagame kuhusu kubana demokrasia hakosoi kama kwa magufuli ilivyokua...awe fair

    • @benamimulokozi6052
      @benamimulokozi6052 5 หลายเดือนก่อน

      It can't be comparable

  • @afropatriot7769
    @afropatriot7769 ปีที่แล้ว

    Mnafiki mpe muda tu utamjua🤣🤣🤣 poor old man cant hide his true colour ,so sad