Sijui mengi ya Siti biti Sadi. Lakini jina lake nalikumbuka sana. Nikiwa kijana tulikuwa na msemo usemao; Siti biti Sadi kama si sauti ungekula nini leo. Shukrani kwa Elimu. Bibi Titi awe kwenye historia ya nchi hii na Oscar Kambona. Hawa ni kati ya mashujaa wakuu wa nchi hii.
Allah akulipe mzee wetu Wazungu walimtuma nyerere awafute kwa maksudi lengo ni kupoteza nembo ya kuonekana kwamba hii nchi ni ya kiisilamu ndio maana wakamuandikia historiya ya uongo ya kuzua
@@frimatuslupimo2031 angalia Ottoman au Alpaslan kwanini .Nyerere alikuwa yupo mbele lakini nyuma kulikuwa na watu wenye pesa kumuwezesha yeye na walikuwa hawataki wajulikane kwa sababu ya biashara zao.
Walikua wajinga hao,, nyerere ni habari nyingine kabisa. Aliesubutu kuvaa viatu vya nyerere ni john ulanzi magufuli, ktk viongozi wa tz,, wengine wote wameshindwa.
Wanawake kila mara wamekuwa wakilalamikia mfumo dume si kweli wanawake wenyewe walikuwa hawajihamini kama bibi titi muhamed alikuwa anaweza kusimama mbele ya wanaume eakaweza kumsikiliza wakati wa kutafuta uhuru na wanaume hawakumbeza hata siku Moja vipi wanawake mwalahani kuwa wanaume Wana mfumo dume sio kweli wanawake wenyewe walijidharau na tabia ya kusodoana Hadi Leo tabia hiyo ipo na kitojiham ini waache kusi ngizia mfumo dume
Mchango wa kalamu yako katika uandishi wa historia ya Tanganyika sheikh Mohamed Said haukadiriki. Umefanya utafiti wa kutosha na wenye kina usio na shaka wala haupingiki
Hajamchukia na wala hamchukii ispokua anaeleza yale yalojiri kosa kubwa lilitokea ni kwa miaka mingi kuonesha Kua ni Nyerere peke yake ndio aliofanya harakati za uhuru kitu ambacho si kweli Huyu ndio anaweka wazi wa yale yalioachwa kusemwa
Hamchukii kaka,tatizo kila siku tunasikiaga upande mmoja wa Story tunasikia yale ,tulio fundishwa shuleni na yanayo tangazwa kwenye MAIN STREAM MEDIAS, FATILIA TOKA AMEANZA KUZUNGUMZA HUYU MZEE(MKHAMED SAID) HAKUNA AMBAE AMEKUJA KUMPINGA WAZI WAZI TENA AKIWA NA USHAHIDI
Karibu na iringa mzee upate history kuna wazee wetu pia wana mengi Sana kuhusu uhuru na history za ukweli kama hizo
Wahenga waandishi mupewe maua yenu. Hongera mzee wetu.
Sijui mengi ya Siti biti Sadi. Lakini jina lake nalikumbuka sana. Nikiwa kijana tulikuwa na msemo usemao;
Siti biti Sadi kama si sauti ungekula nini leo. Shukrani kwa Elimu.
Bibi Titi awe kwenye historia ya nchi hii na Oscar Kambona. Hawa ni kati ya mashujaa wakuu wa nchi hii.
Siti Binti Saad na Bi Titi Mohamed ni watu wawili tofauti.
Hongela kwa elim kabambe
Allah akulipe mzee wetu Wazungu walimtuma nyerere awafute kwa maksudi lengo ni kupoteza nembo ya kuonekana kwamba hii nchi ni ya kiisilamu ndio maana wakamuandikia historiya ya uongo ya kuzua
Sio nchi ya kiislam,tuna tamaduni zetu kama waafrika,uislam ,ukristo Ni tamaduni Za kigeni,hivyo kwangu haina maana yoyote.
Nchi hii ni ya wote, wenye dini na wasio na dini.
Kweli kaka huko Shuleni kwenyewe wakijitahidi kujua hiyo history basi wanaanzia kwa nyerere wakati nyerere mwenyewe kuna wajanja waliompokea mjini
Hao wajanja walishindwaje kudai uhuru mpaka Nyerere akawaongoza?
@@frimatuslupimo2031 angalia Ottoman au Alpaslan kwanini .Nyerere alikuwa yupo mbele lakini nyuma kulikuwa na watu wenye pesa kumuwezesha yeye na walikuwa hawataki wajulikane kwa sababu ya biashara zao.
Walikua wajinga hao,, nyerere ni habari nyingine kabisa. Aliesubutu kuvaa viatu vya nyerere ni john ulanzi magufuli, ktk viongozi wa tz,, wengine wote wameshindwa.
@@BenjaNetanyahu RIP JKN & JPM
ALLAH Akuweke, kisima cha Simulizi za kihistoria ambazo hatuzipati mashuleni.
Mungu aendelee kukulinda
Shukran sana Mzee wetu
Wanawake kila mara wamekuwa wakilalamikia mfumo dume si kweli wanawake wenyewe walikuwa hawajihamini kama bibi titi muhamed alikuwa anaweza kusimama mbele ya wanaume eakaweza kumsikiliza wakati wa kutafuta uhuru na wanaume hawakumbeza hata siku Moja vipi wanawake mwalahani kuwa wanaume Wana mfumo dume sio kweli wanawake wenyewe walijidharau na tabia ya kusodoana Hadi Leo tabia hiyo ipo na kitojiham ini waache kusi ngizia mfumo dume
Vitabu tunavipataje
Asante sana , Mzee Mohammed kutuelimisha. Nimefurahi na kusikitika pia. Tufanyeje ili tuishi kama zamani ambapo tulikuwa wamoja na wenye kuheshimiana?
Ndugu Mohammed Naomba namba zako za cm please mm naitwa Mfundo from Germany
Asante sheikh
Kambona ,Na Bibi Titi nawengi inatakiwa wajulikane,kuwe na Historia yao
Naomba muongozo wa kupata vitabu vyako mzee
Mchango wa kalamu yako katika uandishi wa historia ya Tanganyika sheikh Mohamed Said haukadiriki. Umefanya utafiti wa kutosha na wenye kina usio na shaka wala haupingiki
Huyu bwana anamchukia Nyerere.?
Hajamchukia na wala hamchukii ispokua anaeleza yale yalojiri kosa kubwa lilitokea ni kwa miaka mingi kuonesha Kua ni Nyerere peke yake ndio aliofanya harakati za uhuru kitu ambacho si kweli Huyu ndio anaweka wazi wa yale yalioachwa kusemwa
Ukweli unauma ukiwekwa wazi ndio inakuwa Anamchikia
Hamchukii kaka,tatizo kila siku tunasikiaga upande mmoja wa Story tunasikia yale ,tulio fundishwa shuleni na yanayo tangazwa kwenye MAIN STREAM MEDIAS,
FATILIA TOKA AMEANZA KUZUNGUMZA HUYU MZEE(MKHAMED SAID) HAKUNA AMBAE AMEKUJA KUMPINGA WAZI WAZI TENA AKIWA NA USHAHIDI