Oscar Kambona: Shujaa au Msaliti? | The Chanzo Documentary

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ส.ค. 2024
  • #TheChanzoDocumentary
    Unaweza kutufuatilia kupitia;
    TWITTER: / thechanzo
    INSTAGRAM: / thechanzo
    FACEBOOK: / thechanzo
    TIKTOK: www.tiktok.com....
    Au tembelea tovuti yetu: www.thechanzo.com
    Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
    The Chanzo Initiative, 2023 © All Rights Reserved

ความคิดเห็น • 97

  • @georgeikinya2779
    @georgeikinya2779 หลายเดือนก่อน +1

    Beautiful narrated history of Tanzania. I have heard about this son of the soil Oscar kambona but never knew much his role in liberation of Tanzania and the acrimonious parting of ways between him and Nyerere. In so many ways he was brilliant and finally was vindicated. It seems almost everywhere dirty African politics in newly independent African nations robbed the continent the benefits of many of its great minds.Thanks much

  • @farajiissa560
    @farajiissa560 2 หลายเดือนก่อน +2

    Genious

  • @Njasulu
    @Njasulu ปีที่แล้ว +5

    Makala nzuri sana, tunaona historia kama hizi ziendelee kuletwa katika mwanga. Aidha siasa za mlengo wa kushoto si ukomunisti bali ubepari 1:01:11

  • @thomjunior9947
    @thomjunior9947 ปีที่แล้ว +4

    Thanks kwa makala hii brother.. keep up the good work

  • @SonofNyanda
    @SonofNyanda ปีที่แล้ว +5

    amazing jornalism
    my favorite Tanzanian news outlet;Vienna

  • @Manasehphilip404Alfa
    @Manasehphilip404Alfa ปีที่แล้ว +3

    Iko vizuri sana hii makala...mmefanya research ya kutosha...kudos kwa Chanzo

  • @selelilumambo2157
    @selelilumambo2157 3 หลายเดือนก่อน +5

    what a talent in his heart oscar kambona angekuwa rais hii nchi ingekuwa na uchumi mkubwa kutokana na utajiri ilionao, madin , vivutio maziwa nk. ndio maan alipinga ujamaa sera ya chama kimoj aliona mbali sana

    • @hemedjackson2261
      @hemedjackson2261 3 หลายเดือนก่อน

      Ww bwana kin tundu lisu blaaa blaa nying

  • @sahimsaleh8118
    @sahimsaleh8118 3 วันที่ผ่านมา

    Yani hii documentary imekosa sound nzur tu ila ni hatari🔥🔥🔥🔥

  • @FrankJulius-ou7op
    @FrankJulius-ou7op ปีที่แล้ว +8

    Oscar was a hero but never outshine your master ...

  • @jitathminitv3429
    @jitathminitv3429 10 หลายเดือนก่อน +1

    Nilikuwa natamani kumjua uyo mwamba asanthe sana chanzo

  • @khalifamuhudi2235
    @khalifamuhudi2235 ปีที่แล้ว +12

    Laiti kambona angepata nafasi nchi ingekua mbali

    • @maghanighanichali9519
      @maghanighanichali9519 ปีที่แล้ว

      Mbona Mbambabay hakukuwa na chochote? alibadililishwa akili na wazungu huyu Kambona.alikuwa na uchu wa madaraka huyu Kambona.

    • @khalifamuhudi2235
      @khalifamuhudi2235 ปีที่แล้ว +5

      Unajua tatizo letu watanzania tumelishwa sumu mbaya yakuamini kua mpinzani yoyot wa chama tawala ni mtu mwenye uchu wa madaraka kama nihivyo basi hata hawa watawala pia ni wachu wa madaraka maana isingekua ivyo wasingekua bize kuwashukhulikia wapinzani wao badala yak wange shukhulika kutatua matatizo ya wananch

    • @user-hn6dm3ev5p
      @user-hn6dm3ev5p 4 หลายเดือนก่อน +1

      Kabisa ndugu km hangekuw wTu Safi wangepokezana madalaka

  • @kambamazig02024
    @kambamazig02024 ปีที่แล้ว +4

    Tatizo kubwa la Kambona alikuwa hajajikwamua kifikra. Nyerere alimwamini sana Kambona lakini baadaye kambona kwa kutaka ku-advance ubepari alijikuta njia panda! Mohammed, asante sana kwa kuwaelezea watanzania hususani vijana ambao wamezaliwa baada ya multi-party system Tanzania. Oscar alirudi Tanzania kwa humanitarian reasons, Nyerere alikubali Kambona arudi kwa sababu tayari alikuwa ni mgonjwa.

    • @wechemakambo2182
      @wechemakambo2182 5 วันที่ผ่านมา

      Wakati anarudi Kambona Rais ni Ali Hassan Mwinyi na Waziri wa Mambo ya Ndani alikuwa Marehemu Augustino Mrema ambaye alikuwa moto sana wakati huo na aliweka wazi kuwa akija tu Tanzania atamkamata na kumuweka ndani,hivyo macho ya watu wengi yaliingojea hiyo siku wajionee moto,mzee Mwinyi ndiye alimzuia Mrema na hizo hatua Mzee Mwinyi alicheza karata nzuri pia kwa marehemu Abdulrahman Babu ambaye naye alikimbia nchi kwenda Uingereza akihusishwa na kifo cha Karume...Nyerere hakuwa tena na sauti ya kuruhusu au kutoruhusu .

  • @thabitngangila8562
    @thabitngangila8562 ปีที่แล้ว +5

    Chanzo tv.
    Utambulisho wenu uwe ni huu.maana sio wote wanapokea umbea na Mambo ya hovyo mitandaoni.

  • @paullutonja5904
    @paullutonja5904 8 หลายเดือนก่อน +1

    👏 a very good documentary!
    walau na kizazi kipya kiwe na hadithi in digital form, kama hizi

  • @amanijampion3045
    @amanijampion3045 ปีที่แล้ว +3

    Tunashukuru kwa makala nzuri

  • @moxasaidi3398
    @moxasaidi3398 25 วันที่ผ่านมา

    Nyerere ndio chanzo cha kuitia tanganyika umasikini

  • @ThobiasMarandu
    @ThobiasMarandu ปีที่แล้ว +1

    Kwa Baadhi ya Audio Niliyosikia Inaonyesha Kambona hakuwa Mtu Mwenye Uwezo Mkubwa wa Kuzungumza, Hakufikia hata robo ya Charisma ya Nyerere

    • @bennyframa4505
      @bennyframa4505 ปีที่แล้ว

      Ni kweli. But still he was a great prominent leader behind tanganyika independence

    • @tanzaniatest4529
      @tanzaniatest4529 หลายเดือนก่อน +2

      Kama ninkwel nyerere asingekuwa anamtuma jamaa kwenda kuonana na wazungu.....

    • @shifaaal-baity4503
      @shifaaal-baity4503 14 วันที่ผ่านมา

      Maneno matupu hayavunji mfupa

  • @abbytv4659
    @abbytv4659 ปีที่แล้ว +2

    Kubwa sana hii

  • @hemedjackson2261
    @hemedjackson2261 3 หลายเดือนก่อน +1

    Now ndio namuelew Mzee Nyerere.❤❤

  • @kaburumacha315
    @kaburumacha315 ปีที่แล้ว +4

    Asante sana kwa makala hii. Nilikua na kiu ya huyu mwamba aliemnyima Mwalimu usingizi.

  • @rausathsued8852
    @rausathsued8852 ปีที่แล้ว +3

    Hii makala hii🏆🏆

  • @user-bz4rx7hv1f
    @user-bz4rx7hv1f ปีที่แล้ว +4

    si msaliti

  • @itsbazil5787
    @itsbazil5787 ปีที่แล้ว +2

    Platform nyingi wanaandika makala unaona kabisa wameunga kupata pesa tuh, nimependa hiki full research let's have another one

  • @erickmmbando1909
    @erickmmbando1909 ปีที่แล้ว +1

    Nice

  • @NellyCastor-ny2sp
    @NellyCastor-ny2sp 10 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani

  • @mustaphamilao7220
    @mustaphamilao7220 8 หลายเดือนก่อน +2

    Kama tungeanza na Kambona Tz isingekua hivi tungekua kama Afrika kusini

  • @AlexMakoko
    @AlexMakoko 5 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu ameitendea vyema taaluma yake❤, achana na wale chawa🤔

  • @tumazabazjabrjbr4458
    @tumazabazjabrjbr4458 ปีที่แล้ว +3

    Kwa kiburi uchawi na roo yake mbaya nyerere watanzania ikaakosa kisomo

  • @yusuphnundu6113
    @yusuphnundu6113 27 วันที่ผ่านมา

    Kambona aliishi mbele ya muda .. yeye anafikiri leo wengine wanakuja kufanya baada ya miaka 30 haswa mambo ya vyaka vingi na mambo ya katiba yenye nguvu ya kujenga nchi 🔥🔥

  • @bobwangwe748
    @bobwangwe748 ปีที่แล้ว +2

    🔥🔥

  • @shobimzawa
    @shobimzawa ปีที่แล้ว

    Shukrani sana kwa hii ✌

  • @user-hn6dm3ev5p
    @user-hn6dm3ev5p 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kambona alikuwa shujaa sana ilasematu hawa watawala hawaitaji kukosolewa

  • @tegemeomadebeli5169
    @tegemeomadebeli5169 ปีที่แล้ว +3

    Kumbe toka kipindi hicho
    Ukiwa na wamazo tofauti Serikali hii ya CCM ilikuona Adui mkubwa.
    Kambona ni Shujaa wa Nchi hii Alipigania Mambo ambayo Tulianza kuyaona mwaka 1992+

  • @mustaphamilao7220
    @mustaphamilao7220 8 หลายเดือนก่อน +1

    Kama ningekuwepo ningewa upende wa Kambona

  • @johnntandu6944
    @johnntandu6944 22 วันที่ผ่านมา

  • @user-rf5jg2xd6t
    @user-rf5jg2xd6t 20 วันที่ผ่านมา

    Kambona alikuwa mtu mwenye mawazo ya demokrasia, Nyerere alikuwa hautaki demokrasia

  • @franciskobelo
    @franciskobelo ปีที่แล้ว

    Mungu amrehemu hayati kambona ni shujaa hakika

  • @sonnyr1899
    @sonnyr1899 7 หลายเดือนก่อน +1

    Waalim wa enzi hizo walikuwa wanafikia malengo yao ila hawa sasa Wapo bize na kutongoza vibinti wavitowe bikra tu tena nasikiya eti huwa wanashindana.

  • @khalifamuhudi2235
    @khalifamuhudi2235 ปีที่แล้ว +6

    Nyerere alikua dikteta na amekwamisha uchumi wetu

    • @DUL69
      @DUL69 ปีที่แล้ว +1

      Usiongelee kile usichokijua.

    • @tedypeter5459
      @tedypeter5459 ปีที่แล้ว

      ​@@DUL69qq aww

    • @tedypeter5459
      @tedypeter5459 ปีที่แล้ว

      ​@@DUL69qq aww q

  • @mustaphamilao7220
    @mustaphamilao7220 8 หลายเดือนก่อน +2

    Harafu mambo yote aliofanya Kambona hajatajwa kabisa yani hatumfahamu kabisa

  • @conradolomi9580
    @conradolomi9580 ปีที่แล้ว +1

    Makala imepangwa vizuri🤝💯

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 ปีที่แล้ว +6

    KAMBOMA ALIONEWA!!
    HAKUKUBALIANA NA SIASA YA KUWAPORA WATU MALI ZAO!!

  • @mustaphamilao7220
    @mustaphamilao7220 8 หลายเดือนก่อน +1

    Kambona hakua msaliti na alikua hana tamaa ya madaraka ndio mana alimwambia nyerere kue na vyama vingi. Daa Kambona ni chuma kilichopotezwa na watu wenye tamaa ya madaraka...jamaa alikua mjanja sana na alikua na hakili nyingi..

  • @m-tatu1050
    @m-tatu1050 หลายเดือนก่อน +1

    Oscar utadhan kijana wa bongo fleva. Aliishi mbele ya muda

  • @farajiissa560
    @farajiissa560 ปีที่แล้ว +3

    Nyerere mtu alipokua maaarufu au kupendwa na watu anakuchukia tunakalilishwa tu ila Nyerere si baba wa taifa ni dhana tu ila hamna kitu roho mbaya sana

  • @abdulab6202
    @abdulab6202 ปีที่แล้ว +1

    Osca kambona alikuwa shujaa

  • @simonnembomadola7512
    @simonnembomadola7512 ปีที่แล้ว +3

    Waliopigania Uhuru wote Tanzania walididimizwa sana

  • @erickcharles-300
    @erickcharles-300 ปีที่แล้ว +1

    The dar mutiny of 1964

  • @JoshuaDarema-ts4ir
    @JoshuaDarema-ts4ir ปีที่แล้ว +2

    Nashukur Kwa nakala huu keep it up!!!👍

  • @abdulab6202
    @abdulab6202 ปีที่แล้ว +2

    Osca kambona ni Alikuwa shujaa

  • @ebitariho9720
    @ebitariho9720 ปีที่แล้ว +10

    Kumbe ndio maana watu waita siasa ni mchezo mchafu. Yaani kumbe uongo na siasa za uragai alianzisha Nyerere ndani ya ccm.

    • @hasnuumakame9219
      @hasnuumakame9219 ปีที่แล้ว +2

      Kwani hujui hilo kua umafia wa CCM wote uliasisiwa na Mwalim Nyerere......Na ndio chanzo Cha hii nchi kua Rais ndio muamuzi wa Kila kitu na hapingwi kwa lolote lile

    • @TM.Sullusi
      @TM.Sullusi ปีที่แล้ว

      @@hasnuumakame9219 Halafu Nyerere alijifunza wapi?😂😂, si hukohuko ambako mnasema kuna maendeleo.

  • @rajabuadam2558
    @rajabuadam2558 ปีที่แล้ว +1

    Kambona ni jasiri sana huyo ni mwamba na pia ni mfano kwa watu Roma apo ndio pakuhiga...

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything ปีที่แล้ว +1

    🇹🇿✌️

  • @kcstarztorch248
    @kcstarztorch248 ปีที่แล้ว +1

    Oscar Kambona

  • @mohamedbadbess6230
    @mohamedbadbess6230 11 หลายเดือนก่อน +1

    NYERERE ALIZOROTESHA UCHUMI WA NCHI. LAKINI KWA KIASI FULANI ALILETA USAWA NA AKAONDOSHA MATABAKA KATI YA WATANZANIA. NA BORA ZAIDI HAKUWA MFISADI.

  • @brysonkaale3003
    @brysonkaale3003 ปีที่แล้ว +3

    Tumemuimba Osca kambona Kama msaliti,kumbe alikuwa na mawazo chanya za kusaidia WaTZ,siasa ya ujamaa Ni chanzo Cha umaskini wa Tanzania,"Socialism is the phylosophy of failure,alisema Winston Churchill aliyekuwa waziri mkuu wa Uingereza!

    • @TM.Sullusi
      @TM.Sullusi ปีที่แล้ว

      Hilo swali aliulizwa Nyerere na wazungu na alilijibu kwamba siasa ya ujamaa na kujitegemea ilikua fairule. Anyway tuseme siasa ya ubepari ndo ilikua njia nzuri ya kuupiku Umasikini 😂😂, Nigeria ni Tajiri ?pamoja na mafuta yake. Vipi Malawi etc.

    • @YusufuChinengo-zn4xu
      @YusufuChinengo-zn4xu ปีที่แล้ว

      ​@@TM.Sullusi 😅

    • @meshackngaboss1236
      @meshackngaboss1236 5 หลายเดือนก่อน

      😂😂siasa ya ujamaa ni chanzo cha umaskini😂😂😂 unaijua Urusi na China et "socialism is the pslosophy of failure" yaani ubepari wa watu wachache kujilimbikizia mali ndio utajiri na usawa tumia akili na sio mihemuko yaani unataka kuniambia mfumo wa tajiri kumuibia maskini ndio mfumo bora wa kuondoa umaskini 😅😅😅

    • @brysonkaale3003
      @brysonkaale3003 5 หลายเดือนก่อน

      @@meshackngaboss1236 Tatizo la wavivu wa kufikiri Ni kuaminishwa kwamba tajiri Ni mwizi ,fisadi.Nchi yoyote haiwezi kuendelea bila kuwa na matajiri wanaoisukuma sekta binafsi,Ndiyo maana Viwanda vyote Tanzania vilikufa kwasababu hapakuawa na kiwanda Cha mtu binafsi,wenzetu Kenya Viwanda vyao vipo na vinachapa kazi sababu ni.vya watu binafsi,Tanzania siyo nchi ya kuifananisha na urusi na china,labda tujaribu Kenya.

    • @brysonkaale3003
      @brysonkaale3003 5 หลายเดือนก่อน

      @@meshackngaboss1236 Tatizo kubwa la wavivu wa kufikiri Ni kuaminishwa kuwa " Tajiri Ni mwizi,Imani hiyo bado inazagaa hapa Tanzania,uchumi wa nchi yoyote duniani unapaishwa na sekta binafsi,sekta binafsi Ni matajiri ambao wanasaidia kutoa ajira,kulipa Kodi serikali na uchumi unakua,Hakuna sababu nyingine iliyoua Viwanda vya Tanzania isipokuwa Ni kwasababu ya kumilikiwa na serikali,Wenzetu Kenya Viwanda vyao vipo na vinachapa kazi kwasababu Ni Mali ya watu binafsi,Ni kosa kuifananisha Tanzania na Urusi&China,maana china ya ujamaa Ni Ile ya Mao Zetung siyo hii ya Sasa!

  • @mimosapudica1894
    @mimosapudica1894 ปีที่แล้ว +6

    Oscar; Never outshine your Master...!!

  • @farajiissa560
    @farajiissa560 ปีที่แล้ว +4

    Kwa documentary hii Nyerere na chama chake ni useless kama angekua anajiamin angeweka vyama ving ashindane na kambona just challenge

    • @tumainimatandala1847
      @tumainimatandala1847 7 หลายเดือนก่อน +1

      Nikweli kabisa. Lakini nachokiona ni kimoja, kambona alikua smart na alikua na influence kubwa. Lkn hakua kiongozi bora. Kambona alikua Engine ila sio hakua na kipawa cha uongozi.

  • @tysonpuraty3098
    @tysonpuraty3098 ปีที่แล้ว +1

    *Promo sm* 🤘

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 ปีที่แล้ว +1

    PIA HAKUKUBALIANA NA UJANJA WA NYERERE WA KUPORA MADARAKA YOTE BADALA YA KUWA KIONGOZI AKAWA MFALME JEURI NA KATILI!!

    • @hasnuumakame9219
      @hasnuumakame9219 ปีที่แล้ว

      True kabisa....Alipinga madaraka yote kumilikiwa na mtu mmoja..

  • @hemedjackson2261
    @hemedjackson2261 3 หลายเดือนก่อน +1

    Sijui kwanini mzee Nyerere hajamtia mikwaju, mn mzee Nyerere hana mbambamba ukizinguwa anakutia viboko utajuwa mwenyewe

  • @mustaphamilao7220
    @mustaphamilao7220 8 หลายเดือนก่อน

    Oscar Ali wahi kupata ujanja

  • @tumainimatandala1847
    @tumainimatandala1847 7 หลายเดือนก่อน

    Kambona alikua influencer but Nyerere was a true Leader. Wangelewana tungekua mbali.

  • @milley7185
    @milley7185 ปีที่แล้ว +1

    ni malaya malayaaaaaaaa

  • @NellyCastor-ny2sp
    @NellyCastor-ny2sp 10 หลายเดือนก่อน +1

    Msaliti

    • @user-hn6dm3ev5p
      @user-hn6dm3ev5p 4 หลายเดือนก่อน +1

      Uliuwepo wakati huo

  • @LugomboMaKaNTa
    @LugomboMaKaNTa ปีที่แล้ว +1

    Huyu alikuwa na njaa ya madaraka hadi kumsingizia Nyerere kuwa anaficha pesa nje! Tunamshukuru Kwa kushiriki mapambano! RIP Kambona.

    • @shifaaal-baity4503
      @shifaaal-baity4503 14 วันที่ผ่านมา

      Wewe Leo Tu umemsikia kambona...lini ulimjua kambona???

  • @whatisthetruth.8793
    @whatisthetruth.8793 ปีที่แล้ว +1

    alikuwa kibaraka wa wareno na makaburu wa SA kwa ufupisho

    • @shifaaal-baity4503
      @shifaaal-baity4503 14 วันที่ผ่านมา

      Ulikuwepo????wewe NI Leo Tu kumjua