Hongera 🌺🌺🌺🌺🌺🌺 sana.......my dada nakupenda.....I like your voice be blessed always.....Mungu aendelee kukubariki katika kipaji chako Cha kumtafuta Mungu , Kwa njia hiyo.🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
Hii 🔥🔥moto wa Injili hakika umeitendendea vema Hongera Dada Despina Endelea kupiga Injili ifike mbali watu wapate kuokolewa kutoka utumwani mwa shetani wafikishe kwa Mungu wetu kwa njia ya talanta yako uliyojaliwa watu tupone 🎉🎉✅✅🙏
Waah 🤗🤗❤️❤️❤️🥰🥰 Dada Despina Hongera sana mpenzi wangu mzuri.. sauti yako unavoimba unavuta sana mioyo iliyovunjika na kupondeka imrudie Mungu kwa dhati.. Ahsante sana Dada yetu mzuri kwa uimbaji wako Mungu azidi sana kukulinda na kukutunza kadiri apendavyo🙏🙏❤️
@@GETRUDAWILLISON-je5if 😅😅 Yes Naelewa Mpendwa.. Mpenzi wa Mungu ni wa wanadamu pia.. ungekuwa unajua Mimi ni mdada wa kawaida kabisa niliyeandika hii comment usingehangaika kunikosoa Mpendwa wewe😅😅 ❤️❤️
Hongera sana dada Despina, Na Asante kwa kazi nzuri sana🎉 Mwenyezi Mungu akulinde na akujalie afya Njema siku zote na uzidi kuitenda kazi yake ya uinjilishaji 🎉
Asee haka kawimbo umeua na nusu asee...sichoki kabisa kukasikiliza. Usiku mzima wa leo nimekesha naksikiliza asee daaaaah..... asee big up sana sana sana dadake binafsi nakuelewa na naendlea kukuelewa vema sana asee.
Hongera sana Despina.Hakika rehema za Mungu ziwe juu yako.Mungu akujaalie afya na uhai zaidi ili ukusanye roho nyingi zilizopotea kwa sauti yako nzuri.
ddah good soprano moja matata kwa pamoja tuzidi kusambaza link,, dada yetu hakika katika mziki hakuna zaidi,, uishiii zaidi tuzidi kufrahia kazi nzuri hizi, unaweza uka comment maneno mengi m,aana hayaishi kwenye kinywa changu,,, ASANTE SANA DADA DESPINA.
Nakupenda sana wewe dada yetu 🙏🙏🙏🙏 mwenyezi Mungu akutangulie,akupe maisha marefu akupe kila kitu uzidi kutuimbia ,huwa nabarkiwa na kila wimbo wako
Hongera sana Dada Mwenyezi Mungu Akubariki
Veronica kutoka kenya, dada despina kufitia nyimbo zako na sauti yako umekua baraka katika maisha yangi❤
Hongela sana dad kwa saut nzuriiii sana
Hongera sana dear Mungu azid kukuonekania ktka kipawa alichokujalia
My catholic ministress role model!. Hakika Mungu anaongea kupitia kinywa chako 🙏.
Hongera sana dada kwa kazi nzur
Hongera San mdada
KWELI HUYU MUNGU NIMWEMA NITAMTUMIKIA SIKU ZOTE WOIIII
Safi sana dear Dada, Mwenyezi Mungu azidi kuzibariki kazi ya mikono yako.
Asante sana
Hongera sana dada angu
Asante
This lady is so blessed 😊 Angelic voice, so natural🥰
Hongera sana dada Despina kwa wimbo mzuriii
Asante sana
Da despina nataka niimbe kama wewe how unatunza pumnzi mi hapo siko vizuri
Karibu
Hongera 🌺🌺🌺🌺🌺🌺 sana.......my dada nakupenda.....I like your voice be blessed always.....Mungu aendelee kukubariki katika kipaji chako Cha kumtafuta Mungu , Kwa njia hiyo.🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
Amina🙏🙏🙏
I love you dear despicable am adelaide wanjiru the one who teach hallelujah ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Thank you so Much my dear🙏🙏
Ongela sana dada angu mungu akubaliki make umenifanya nisikate tamaaa Asante dada goog sing
Hii 🔥🔥moto wa Injili hakika umeitendendea vema Hongera Dada Despina Endelea kupiga Injili ifike mbali watu wapate kuokolewa kutoka utumwani mwa shetani wafikishe kwa Mungu wetu kwa njia ya talanta yako uliyojaliwa watu tupone 🎉🎉✅✅🙏
Amina kaka👏👏
GOOD MY SISTER GOD BLESS YOU IN YOUR LIFE FOREVER
🙏🙏
Jaman da despinaa nakupenda sana jmn me cjui nikupe ata nin mungu akujalie maisha marefu katka kumtumikiaa yeye siku zote❤❤❤🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Hongeea sana kwa kazi ya utume wa kumsifu Mungu
Hot 🔥🔥❤❤
Hongera sana dada angu @Despina E. Mdende, Mungu aendelee kukutunza wewe ni tunu muhimu sana katika Kanisa!!
Amina
Kabisaa 🙏🏽❤️🙏🏽🥰
Hongera sana Kazi Nzuri Mno.🎉🌺🔥🔥🔥
Asante sana Kaka venance
Amina Barikiwa sana Despina 🎉🎉🎉
Amina
Yesu kristo MUNGU mkuu azidi kukuzidisha maisha umtumikie milele
Be blessed madam
Hongera sana Dada wimbo mzr mno na mungu azidi kukupeleka viwango vya juu
asante sana dada kipenzi kazi nzuri daima Mungu azidi kukuongoza
Amina Mamaangu kipenzi
Hongera sana. Yote kwa sifa na utukufu wa Mungu.
Amina
Waah 🤗🤗❤️❤️❤️🥰🥰
Dada Despina Hongera sana mpenzi wangu mzuri.. sauti yako unavoimba unavuta sana mioyo iliyovunjika na kupondeka imrudie Mungu kwa dhati.. Ahsante sana Dada yetu mzuri kwa uimbaji wako Mungu azidi sana kukulinda na kukutunza kadiri apendavyo🙏🙏❤️
@@SmilingMonarchButterfly-kh4ve Despina mpenzi wa Mungu sio wako
@@GETRUDAWILLISON-je5if 😅😅 Yes Naelewa Mpendwa.. Mpenzi wa Mungu ni wa wanadamu pia.. ungekuwa unajua Mimi ni mdada wa kawaida kabisa niliyeandika hii comment usingehangaika kunikosoa Mpendwa wewe😅😅 ❤️❤️
I just like it 😁😊
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🙏🙏🙏🙏🦁🦁🦁🦁
Smart❤
Hongera sana wimbo mzuri sauti nzuri ❤
Asante
Kazi nzuri sana dada yangu, ❤❤ sauti ya malaika🔥🔥
Asante sana
Hongera Sasa dada ❤❤❤🎉nakupenda sana jameni Na Sauti nzuri🎉🎉
Asante Sana Dada Line
Hongera dad
Hongera Sana Dada mungu aendelee kukutunza naufanye uishaji huu tuzidi kuokolewa kwauimbaji wako
Amina.
Yan nabarikiwa sana nikimsikia despina akiimba congrats my sister
Asante sana Mtu wa Mungu
Dada Despina, usichoke kuburudisha nafsi zetu Kwa sauti yako tamu, tunabarikiwa
Amina Kaka Nashukuru
Hongera sana dada Mungu azidi kukupa afya njema kwa uinjilishaji
Asante sana
Wow❤❤ My first singer ... 🔥🔥🔥🔥 Mungu azidi kukujalia Hitaji la Moyo wako daima 🕊️🕊️
Amina
Safi sana sister kazi zako waga nashiba ata njaa ikiumaa❤❤❤❤🎉🎉🎉
Asante sana Catherin
Congrats dada
🙏🙏
Jaman sauti iliyonyooka kabisa dadangu Despina. Tunakupenda sana from 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 my role model.
Asante sana carlz
Hongera sana dada Despina, Na Asante kwa kazi nzuri sana🎉
Mwenyezi Mungu akulinde na akujalie afya Njema siku zote na uzidi kuitenda kazi yake ya uinjilishaji 🎉
Asante sana👏👏👏
Love from Kenya 🇰🇪🔥
Asante sana🙏🙏🙏
Safi sana asante Mama kwa wimbo mzuri, Mungu akutunze
Amina Mama
Asee haka kawimbo umeua na nusu asee...sichoki kabisa kukasikiliza. Usiku mzima wa leo nimekesha naksikiliza asee daaaaah..... asee big up sana sana sana dadake binafsi nakuelewa na naendlea kukuelewa vema sana asee.
Asante sana kaka. Tumshukuru Mungu.
Safiiiiiiii sananaaaa❤❤❤❤❤❤❤ nakuelewaga sana Mdende wetu
Asante sana 👏👏👏
Wimbo mzurii, sauti safii Hongera Dada angu Mungu akuongoze daima ❤❤🎉🎉
Asante Anitonia
Yaani sijui hata niandike nn❤wajua vile nakupenda mdogo wangu
Hongera sana dada despina mungu akubariki❤❤
Amina🙏🙏
Kazi nzuri 🎉🎉
Asante🙏🙏
Wimbo unatafakarisha namna ya kujiweka mbele ya Mungu wazi bila barakoa...
@@angelarwezaula4969Asante Mamaangu❤️❤️😘😘😘
Hongera sana dada wimbo mzuri, unatafakari kubwa sana
Asante sesilia
Congratulations 🎉🎉🎉
Such a lovely song mdogo wangu
Asante Kakaangu.
Hongera sana madam
Asante sana ibrahim
Hongera sana Despina.Hakika rehema za Mungu ziwe juu yako.Mungu akujaalie afya na uhai zaidi ili ukusanye roho nyingi zilizopotea kwa sauti yako nzuri.
Amina Mama 🙏🙏
Kabisaa 🙏🏽❤️🙏🏽
Tamu sana
Kaz nzuri sna dadaa mungu akuongoze
Amina
god may bless u my sister
🙏🙏🙏🙏
Hongera dada despina kwa wimbo huu ..nakupenda bure❤
Asante sana
Congrats Despina 🎉🎉🎉
Asante Davi
illa kusema ukweli nyimbo zako zimenibadilisha nashukulu mungu azidi kukubalik dada angu
Asante sana Kaka Noah Mungu akubariki
@@despinae.mdende amina tubalikiwe sote
Aminaaaaa sanaa kipenziiii❤❤❤❤
🙏🙏🙏
Hongera sana dada Despina. Mungu aendelee kukulinda na kukusimamia ❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Asante Kakaangu🙏🙏
Vema Sana, haIuchoshi kusikiliza unavyoimba. UBARIKIWE SANA.
Ee mungu nitie nguvu maana bila wewe si
Kitu mimi🤲🏼🙌🏻Asante dada Despine ❤
Asante
Despina's voice is angelic 😍 😊 kazi safi sana👏
Asante sana Mecy kagichu.
Kiivinge saaana sister umenikosha
Beautiful song Despina ❤ , Hongera kwa kazi nzuri 🫰
Asante sana Mamy
Hongera sana dada Despina kwa kazi nzuri na ya tafakari ya kina.
🎉🎉🎉
ddah good soprano moja matata kwa pamoja tuzidi kusambaza link,, dada yetu hakika katika mziki hakuna zaidi,, uishiii zaidi tuzidi kufrahia kazi nzuri hizi, unaweza uka comment maneno mengi m,aana hayaishi kwenye kinywa changu,,, ASANTE SANA DADA DESPINA.
Asante sana Kakaangu
god may bless you my sister every day and your parent
Thank you
Hongera dada Despina❤️kazi nzuri
Asante sana Dada Doroth🙏🙏
@@despinae.mdende🙏❤
Safi mwana wa mimi
Asante Mama
🔥🔥 Barikiwa sana dada kwa kazi nzuri 🙏
Amina 🙏🙏
Hongera Dada Despina kwa wimbo mzuri ❤️❤️
Asante sana Dada😊
Ooooh! Hongera sana dada Despina, kila mara unaendelea pale ulipoishia. Keep it up
Asante kaka Nashukuru sana
Dada nakupongeza kwa kazi na utume wako mwema ila niseme ukweli natamani kuimba na wewe nia yangu kwako ipokee
Asante sana karibu sana kaka jonas
Asante sana dada
Hujawahi kuniangusha Sister ❤
Be blessed
Asante🙏🙏
Asante🙏🙏
Hongeraaaa madam Despina ❤❤❤👏👏👏👏🎉
Asante sana Regina
Tunakupata vizuri tujiwa huku Kwa Madiba
Asante sana
Congrats siz in Christ, you're my role model,I love your smooth voice,and your simplicity( wish to meet you one day, Lucy ndunge (kenya)
Hongera sana Dada Despina kwa wimbo mzuri❤❤
Asante sana kaka😊
Clear and melodious voice... great message...may the songs continue to bring us closer to God as we worship Him in song... Endelea hivo,hivo..🙏
👏👏🙏🙏
Uko vzrii sana madam🎉
Asante kaka🙏🙏
Kazi safi my daughter, endelea kumtukuza Mungu
Amina Mama
Despina we ni balaaa nakukubali kupita maelezo Mungu aendelee kukuweka uzidi kuinjilisha
Amina kaka Nashukuru🙏🙏
Hongera Sana dada despina Mungu akutie nguvu 🙏🙏🙏
Asante Meshack
@@despinae.mdende Amina Sana dada angu 🙏
Hongera sana my sister Despina
Asante sana karibu.
Siku zote ninakuombea Mungu azidi kukuinua mdogo wangu!
Asante sana Mam 😘
Hongereni sana. Keep it up dada
Asante
Barikiwa sana..
Amina
Hongera sana dada Kwa wimbo mzuri❤❤
Asante sana
Asante sana
Congratulations 🎊 wimbo mzuri sana
🙏🙏🙏
Hongera sana dada Despina
Asante sana
Am at my lowest and I came across this song as am having mchanganyiko wa mawozo may God give me strength to keep going through this song❤❤
Hongera sana dada
Asante sana kaka Emma