Kwanza ninavoipendaga litania ya watakatifu wote ikiimbwa..Daah 🤦🏽♂️ Jamaniii..Hadi Raha Yani ❤❤❤ Hongera sana Dada Despina na wenzako Kwa kazi nzuri.. Hakika Mungu azidi kutukuzwa ndani ya mioyo yetu sote, nasi tuzidi kutakatifuzwa Daima 🙏🏽❤️🙏🏽 ❤❤❤🎉🎁
Hakika Jimbo la Sumbawanga lilikuwa na hazina kubwa ya Muziki mtakatifu ,Fr Songoro,Fr Malema,Fr Ntapambata,Fr Sangu ,Syote na wengine wengi,Mungu aendelee kuwabariki
Wow amazing sana, melody fulani hivi kutoka pande za sumbawanga, hongera sana da despina hongera sana kwa waimbaji wote. Hongera pia Ave Maria pro. Pamoja na Blessing studio. Keep on going 🙏🥰🎉
God bless you🙏🙏🙏
Ameni🙏🙏
Asanteeeeeee
Asanteni sana Mkono wa Bwana uwatangulie wana wa Mungu.
Amina
Ahsant 🙏
👏👏
❤❤
🙏🙏
Watakatifu wote wa MUNGU mtuombee
🙏🙏
This is what we call angelic voice melodies 🎉
🙏🙏
Waaaaaao beautiful voices,, watakatifu tuombee
Amina
Amina
The wait is over 😊😊
👏👏
🙏🙏🙏
👏👏
Reflectional indeed!
🎉hongera
Asante👏👏
kazi nzuri hakika
Amina
Amina.... Watakatifu wa Mungu Mtuombeee...❤
🙏🙏
Tumtukuze Bwana,,,Tumshukuru Mungu....Stay Blessed
Amina
Hongera sana mungu awabariki
Asante Mama
A very angelic voices. Keep it up 🎉🎉🎉❤❤
Thank you
Dah, natamani sana hongera sana dada na team yako🙏🙏
Amina🙏🙏🙏.
👏👏
Amin saana
🙏🙏
Mungu akubariki sana dada dispina ..sauti yako inatutanya Tuzame katika uwepo wa MUNGU siku zote najivunia kuwa mkatoliki❤
Asantee kwa Kaz nzuri na mungu akubariki 🙏🙏
Asante sana Tubarikiwe wote
Beautiful ❤ voices
Thanks👏👏
🙏🙏🙏🎉🎉🎉
🙏🙏
Na mungu akutunze Ili tuendelee kumsifu Kwa sauti aliyo kujalia. Hongera🎉
Asante🙏🙏
Hongereni sana
Kazi safi
Asante kaka Karibu
Mtakatifu Benedicto WA abate utuombee
Mtakatifu Yohane WA MUngu utuombee,
Amina
Kuimba ni kusali mara mbili, Akhsante Mungu kwa Watoto wako hawa, Mwenyezi Mungu Awabariki sana .
Amina👏👏
Nziri sana dada hongera sana
Asante👏👏
Asante sana
Mungu azidi kuwabariki
Amina
Barikiwa Sana kazi nzuri
Amina 🙏🙏
More Congratulations to you Dada Despina for yr sweet soprano voice and the whole team for the work you have done. God bless you.
Thank you my sister Elizabeth🙏🙏
❤❤ BWANA UTUHURUMIE🙏🏽❤️❤️
🙏🙏
Hongera...!
👏👏👏
❤Lord have mercy on us🙏
Nice melody.......na Mungu apate kutukuzwa siku zote
Amina
kazi safi❤
👏👏👏
🔥🔥🔥👏👏👏
🙏🙏🙏
UIMBAJI MZURI ❤
Asante
Wow Catholicism with Holy music of angels
❤❤ Kaz nzuri sana
Barikiwa ....
Asante👏👏
🎉🎉🎉🎉 Congrts alot, this is what we call MZIKI MTAKATIFU. Najivunia kuwa mkatoliki.😊
Karibu sana
Angelic voice hongereni sana👏
Asante😊
Asante Kwa kazi nzuri barikiwa sana
Amina
Sala nzuri sana imewasilishwa ipasavyo - Hongereni!
Asante
Hongereni sana kwa litania ya watakatifu wa Mungu mmeimba vinzuri sana Hongera sana dada Despina na timu zima kwa ujumla 🙏
Amina Karibu sana kaka👏👏👏
kazi nzuri sana🥳🥳
👏👏
❤kazi nzuri
Kwanza ninavoipendaga litania ya watakatifu wote ikiimbwa..Daah 🤦🏽♂️ Jamaniii..Hadi Raha Yani ❤❤❤
Hongera sana Dada Despina na wenzako Kwa kazi nzuri.. Hakika Mungu azidi kutukuzwa ndani ya mioyo yetu sote, nasi tuzidi kutakatifuzwa Daima 🙏🏽❤️🙏🏽
❤❤❤🎉🎁
Asante sana 👏👏
Nabarikiwa sana na Litania hizi za watakatifu na waimbaji pia
Amina
Family in Music👏
👏👏
Mungu akubariki sana Dada Mungu akutunze hongera kwa kazi nzuri
Amina🙏🙏
Mungu awabariki sana kwa wimbo mzuri, watakatifu wote mtuombee
Kazi safi sana Dada❤️🔥🙏
🙏🙏🙏
Sweet litany of all saints hongera sana endelea kumsifu mungu na baraka ziwe juu yako
Hakika Jimbo la Sumbawanga lilikuwa na hazina kubwa ya Muziki mtakatifu ,Fr Songoro,Fr Malema,Fr Ntapambata,Fr Sangu ,Syote na wengine wengi,Mungu aendelee kuwabariki
Sana sana
Victor Murishiwa, Perfecto Mtuka...
Barikiwa sana, God bless you
Thank You🙏🙏
👏👏👏👏
👏👏👏👏👏
Kazi nzuri sana hongereni tunazidi kubarikiwa❤👏
Mt Rita utuombee
Mt yuda tadei utuombee
Mt philomena utuombee
Mt monica utuombee
Watakatifu wote wa mbinguni....................mtuombee 1:17
Amina👏👏
Jamani hongeraa sanaa nimemuonaa mdogo anguu felisita
Karibu
Hongereni sanaaaaa, mzidi kumwimbia Bwana katika Roho na kweli
Amina
Nice sister desipina.
Thank you so Much👏👏
Mtakatifu Benedicto Baba wa manokai, utuombee
🙏🙏
Hongera sana My dear❤
🙏🙏🙏
Mungu azidi kumbariki sauti zenu zaidi nimebarikiwa
Amina Karibu sana😊
Hongera sana despina na timu yoteee
Asante 👏👏
Hongera sana
Asante sana
Safi despina Mungu akubariki kwa utume wako ❤
Amina🙏🙏
DADA UBALIKIWE MUNGU AKUTUZE KWA KWELI MAANA NAJIVUNIA UKRISTO WNGU
Amina
Watakatifu wote mtuombee AMEN......kazi nzuriiii watu wa Mungu
Asante🙏🙏
Hongera sana dada Despina 🎉❤🙏
Asante Sana Laurent
Mt Maria mama Mungu utuombee
Mt. Ritawa Akashia utombee
Kazi Nzuri sana Hongereni sana
Asante sana kaka
Wow amazing sana, melody fulani hivi kutoka pande za sumbawanga, hongera sana da despina hongera sana kwa waimbaji wote.
Hongera pia Ave Maria pro. Pamoja na Blessing studio. Keep on going 🙏🥰🎉
Asante sana 👏👏
Hongereni sn Mungu awainue zaidi
Mungu awazidishie nguvu za kuzidi kumtumikia
Amina
Mungu akulinde uendelee kuwa na sauti mzuri hivohivo dada angu
Hongereni sana nyote. Kwa namna ya pekee Dada Despina , una sauti nzuri sana endelea kumsifu Mungu .
Amina 👏👏👏
Congratulations lovely 😘
🙏🙏
One good thing of you is that you're always intact when it comes to catholic way of singing.Keep it that way.
👏👏👏👏
Mungu azidi kukutunza Despina tuzidi kupata kazi nzuri kutoka kwako
Amina Karibu sana
Kazi nzuri sana
🙏🙏
Kazi nzuri my lovely sister...❤❤❤Hongereni sana❤❤
Asante Mdogo wangu 😘😘
Hongera kwa mtume
Hongereni sana kazi safii sana
🙏🙏🙏
Utusikie ee bwana 🙏🙏🙏
🙏🙏🙏
Hongera sana dada Despina na timu yoteee 🔥🔥🔥🔥
Asante sana🙏🙏
MUNGU azidi kuwainua❤❤❤🎉🎉🎉
Hongereni sana ❤,,kazi nzuri🙏🏽
Amina
U deserve the best dears,,,, hongereniii
👏👏
Hongereni despina na wenzako ❤watakatifu wote wa MBINGU watuombee
👏👏
Hongereni sana kazi nzurii
Asante
Angelic voice😊👏
Thank you👏👏
Na tuzidi barikiwa kupitia uimbaji🤍🙏
Amina👏👏
Saaaaaaaaaaaaafiiii 🎉🎉
👏👏
Despina na team yako ...napata amani sana ninapowasikiliza ...Tubarikiwe sote na Mwenyezi Mungu kwa ibada hizi za nyimbo.
Amina Mtumishi karibu sana
Hongereni sana🎉🎉🎉it's wonderful song❤❤
Asante sana
Asanteni sana. Mbarikiwe daima
Thank you for the Litany of all saints ❤