Very well sang and articulated... Lovely voice and controlled vocals Despina. You are my true role model here in Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪lovely melody to our Mother Mary. 💙💙💙
Hongera sana kipenz waga unanibariki sana nakasauti kako mumy napenda tu nikusikilize mida yote, nakupenda tyuuuu mungu aendelee kukuinua na kaz ya uimbaji wako ❤️❤️
Absolutely beautiful rendition to our Mother - the Blessed Virgin Mary B.V.M marking the end of the October devotion to her for this year, coming from one of the blessed voices on the planet 'Despina'. I so much love and enjoy your singing - keep up the good work you are doing Despina and may the name of the Lord continue to be blessed both now and forever ~ John, Blantyre Malawi.
Hongera sana Dada kwa sauti nzur hakika Mungu alikujalia kipaji cha pekee acha baadhi ya watu wakuzalau leo lakini kazi unayo ifanya nikubwa natamani siku moja niweze kufanya kazi nawewe ila yote nikwaneema ya Mungu 🙏
GOd bless you my sister forever you sing song well
Nakuamini dada!
Hongera Despina
Wimbo mzuri sana hongera sana.
Asante kaka
Karibuni Sana ktk Chanel hii. Tutafakari pamoja Makuu ya Mungu. Kwa unyenyekevu na Upole zaidi karibuni Sana.
Hongera sana Sana jamn wimbo mzuriii sana
Amina🙏🙏
Kindly do " Mariamu bikira amezaa mtoto mfalme" by P.F Mwarabu, natamani kukuskiza kwa huo wimbo
So soothing
Hongera sana dada🎉🎉🎉
Asante sana Babaangu🙏🙏
Yaan huyu dada ananikosha sana...big up sana..nakupenda❤
Asante sana
Barikiwa sana kwa utume...254 twakupeda na uimbaji wako.
Asante sana nawapende pia😘🙏🙏
Hongera kwa utume huu
Asante sana😘🙏
Hongera Sana dada Despina
Asante Sana 🙏🙏
Nawashukuru Wote Walio fanikisha kazi hii kuanzia Audio mpaka vidio Mungu Awabariki Sana Sana Mzidi kubarikiwa 🙏🙏🙏
Asante sana data
...naomba number zako za watsapp pls
Kazi safi sana dada
Asante Sana Mama Nikita Barikiwa sana
We dada unasauti nzuri sana hongera kwa kujua kuitumia kwa kuimba
Amina. Nashukuru sana
Nakupenda sana Dada despina nabarikiwa na kazi yako,Mungu akubariki katika uinjirishaji wako
Amina Mama
Nice voice my sister
Thank You🙏🙏
Hongera sana dada🎉
Asante sana kaka Barikiwa sana
Hongeraaaaa
Umeuimba vizuri wimbo wa Mama
Asante Sana🙏🙏
Nakuombea na barikiwa Sana ..Saut yako inazamisha kweny utakatifu
Amina
Hongera sana mwanangu mzuri
Asante Mama
Very well sang and articulated... Lovely voice and controlled vocals Despina. You are my true role model here in Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪lovely melody to our Mother Mary. 💙💙💙
Thank you so Much my sister Vicky.
🙏
Unajua sana Dada barikiwa sana
Amina🙏🙏🙏
Hongera dada ang🥰
Asante
I have been waiting patiently for you to sing nyimbo za Maria. Namshukuru Mungu kwa kujibu ombi langu.
Asante
💞🎶💞🎶💞🎶💞maana halisi ya kusali Kwa kuimba
Ndiyo🙏🙏
Asante sana
Amina
Despina ..... Nimekutafuta sana. Umeuimba vizuri hata mama maria amefurahia... Nice solemn prayer
Asante Sana
Hongera sana dadangu kwa voice itumie karama hii vizuri kwa kumpendeza mungu pia karibu mwanza
Mungu akubarki kwa Huduma🙏🙏
❤❤❤
Hongera sana my dear👏👏👏👏👏
Asante Sana Dadaangu🙏🙏🙏
Amina
Amina
Kazi nzuri Dada Yangu Mungu Akubariki
Asante Sana
Huyo katoboa si kwa mavazi tu bali toka moyoni.
🙏🙏🙏🙏
keep it up Despina
Asante Sana kaka
We Mama Mungu amekujalia sauti nzuri endelea kumuimbia Mungu maisha yako yote God bless you Despina
Ameen🙏🙏🙏
Kazi nzuri sana dada hongeraaa
Asante sana
Mentor❤
Roho Mtakatifu Alikuongoza. Asante
Asante Sana Baba.
Ur the role model to many Catholics singer so may god keep u well with nice performance...napenda sana sauti yako dada angu.
Asante Sana Barikiwa
I love that. God bless you despina
Thank you so Much my dear
Mungu akutunze dada Despina😍
Amina🙏🙏
Hongera sana mdogo wangu Mungu azidi kutukuzwa kwa uimbaji wako wa hali ya juu. Na Mama azidi kutuombea. Hongera sana sana
Asante Sana Tumshukuru Mungu pamoja.
Hongera sauti nzuri naomba uniambie Siri ya sauti yako😆
Asante. Ni Mungu tu.
Naomba siku moja tufanye corrabo mi naimba sauti ya tatu kimsingi naimbani hammony ya sauti hizi itakua njema Sana kimsingi 😀🙏
Karibu sana
Hongera sana kwa uimbaji mzuri,nakupenda sana ndugu yangu Mungu akubariki sana
Asante sana
Hongera sana Dear
Asante🙏🙏
Hongera sana dada kwa sauti ya kuinjilisha Mungu akupiganie .
Asante Sana.
Mungu akuongoze
Dada Despina, Mwenyezi Mungu aendelee kukutunza na kukujalia baraka unazozihitaji
Amina Kaka Jackson Nashukuru sana
God bless you kwa kazi nzuri
Asante🙏🙏
Waoo hongera sana mpendwa Despina
Asante Sana Mam 🙏🙏
❤❤ beautiful voice
Hongera sana kipenz waga unanibariki sana nakasauti kako mumy napenda tu nikusikilize mida yote, nakupenda tyuuuu mungu aendelee kukuinua na kaz ya uimbaji wako ❤️❤️
Asante Mam Barikiwa sana
Hongera sana dada despina , Mama maria akuongoze ktk uimbaji wako😍😍
Asante Sana 🙏🙏
Hongera sana dadangu
Asante Sana🙏🙏
Mungu azidi kukubariki na utume wako
Asante Sana🙏
Hongera Sana kazi nzuri Mungu akutunze uzidi kutuinjilisha sauti yako tu inasisimua 🥰
Asante Sana🙏🙏
Hongera sana madam Despina 🥰 napenda sauti yako nzuri sana Mungu akutangulie🙏
Amina🙏🙏🙏
Absolutely beautiful rendition to our Mother - the Blessed Virgin Mary B.V.M marking the end of the October devotion to her for this year, coming from one of the blessed voices on the planet 'Despina'.
I so much love and enjoy your singing - keep up the good work you are doing Despina and may the name of the Lord continue to be blessed both now and forever ~ John, Blantyre Malawi.
Asante Sana🙏🙏
Despina u are doing really great job in this platform,I really like the your commitment towards serving Lord.
Thank you
@@despinae.mdende you make me proud whenever I listen u singing, I admire meeting you one day
Hongera sanaa
Asante Sana🙏🙏🙏
Kazi ibarikiwe
Amina
Hongera Sana dada Despina...sauti yako Ni 🔥🔥🔥🔥
Asante
Role model 💥💥💥🔥🔥🔥
🙏🙏
Hongera sana Dada kwa sauti nzur hakika Mungu alikujalia kipaji cha pekee acha baadhi ya watu wakuzalau leo lakini kazi unayo ifanya nikubwa natamani siku moja niweze kufanya kazi nawewe ila yote nikwaneema ya Mungu 🙏
Asante Sana Kaka.
Karibu sana
Asante sana
Mungu akutunze kwa ajili ya karama iliyo ndani yko, najifunza kupitia wewe dadaanguu mzurii ❤️❤️
Asante Sana😘
KAZI safi 👍👍👍👍👍from Narobi Kenya
Asante sana
Naomba Nambari Zako Dada despina
Asante Sana
Sauti Tamu
Asante sana
Hongera sana Despina,kwa kazi ya Uinjishaji kwa nyimbo nzuri.
Amina 🙏🙏🙏Asante
Asante Sana Mama🙏🙏
Safi dada
Asante
Napendaaa sana despina umebarikiwa na sauti
Asante sana
@@despinae.mdende karibu sana wapi ile rap song hah
Ipo TH-cam hapa
Angelic👏
🙏🙏🙏
Well done my role model,💞🎼
Thank you🙏🙏
Hongera Dee❤❤❤❤❤❤
Super 🔥
Asante🙏🙏
Aisee🙏🙏🙏 .Heko Despina.Nguluvi yikuvikage mhasa vangu.Tunabarikiwa sana na kazi zako.
Asante Sana Kakaangu🙏🙏🙏
I know you don't know how much you inspire me.. I sing soprano and you've nurtured me well. I'm aiming at your level. Blessings dear. You're my mentor
Thank you
You're so much blessed
@@despinae.mdende you've disappeared nowadays .each day I'm looking for your latest upload
Congratulation for good job 🔥
Barikiwa sana
I am Fr. Rv. Joseph Nkusi. Always focus!
Asante Baba🙏🙏
wow,. your voice is in another level,. the song is very interesting,. keep it up and may God bless you for your good work🥰👏👏👏
Thank you🙏🙏🙏
@@despinae.mdende much welcome 🤗🤝
Despina well done. Love the song. Well sung
Thank you so Much🙏
Wonderful melody
Thank u🙏🙏
🥰🥰🥰
🙏🙏🙏
Wonderful....... Keep it Up
Thank you🙏🙏
Kavishe ntamleta huyu Kigurunyembe
@@dorotheasetembo2584 Yaani.... Naomba Iwe Hivyo Dada ake. ajeeeeeeee uje naeeeeeee.... Mujeeeee. Itakua poa Sana Yani.
Nakuamini dada!
Asante sana
Hongera sanaa
Asante sana
Nyimbo zako zinanibariki sana
Asante Sana Endelea kubarikiwa. Tumshukuru Mungu pamoja na Tumwimbie.
Nakuamini dada!