MAISHA NA MUZIKI Na. Despina Elias Mdende | Solo Artist na Mwimbaji wa Kwaya za Kanisa Katoliki.
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 8 ก.พ. 2025
- 𝐖𝐄𝐙𝐄𝐒𝐇𝐀 𝐔𝐓𝐔𝐌𝐄 𝐖𝐀 𝐉𝐔𝐆𝐎 𝐌𝐄𝐃𝐈𝐀 𝐊𝐔𝐏𝐈𝐓𝐈𝐀 𝐌-𝐏𝐄𝐒𝐀 𝐋𝐈𝐏𝐀 𝐍𝐀𝐌𝐁𝐀 𝟓𝟎𝟓𝟒𝟔𝟑𝟓 𝐉𝐈𝐍𝐀 𝐉𝐔𝐆𝐎 𝐌𝐄𝐃𝐈𝐀 𝐍𝐄𝐓𝐖𝐎𝐑𝐊
Follow this link to join my WhatsApp group: chat.whatsapp....
Tumsifu Yesu Kristo, Napenda Kukushukuru kwa Kuwa Mdau Mpendwa wa Jugo Media. Tunapenda kukutaarifu kuwa Tumeandaa Group Maalum kwa Ajili ya Kupokea Taarifa Mbalimbali za Kanisa, Misa Live, Vipindi vya Kanisa nk kutoka Jugo Media. Kama ungependa Kuungana Nasi Tunaomba Ujiunge kwa Hiari Kupitia Link Hiyo Juu. Mungu Akubariki Daima
KAMA UNGEPENDA KUPATA TAARIFA KUHUSU KANISA KWA NJIA YA WHATSAPP TAFADHARI TUMA UJUMBE KWA WHATSAPP UKISEMA NIUNGE KISHA JINA LAKO KWENDA NAMBA +255757560764 au BONYEZA LINK HII wa.me/+2557575...) (SAVE HII NAMBA KWANZA, ANDIKA JUGO MEDIA) UBARIKIWE SAMA
KAMA UNA HABARI NA UNGEPENDA KUSHIRIKI PAMOJA NASI TAFADHARI WASILISHA KUPITIA WHATSAPP NO +255757560764 AU BONYEZA wa.me/+2557575...)
Tafadhali Subscribe, Like, Comment na Share tone hili la upendo kwa ndugu jamaa na marafiki.
𝐉𝐮𝐦𝐮𝐢𝐤𝐚 𝐧𝐚𝐬𝐢 𝐤𝐚𝐭𝐢𝐤𝐚 𝐦𝐢𝐭𝐚𝐧𝐝𝐚𝐨 𝐦𝐢𝐧𝐠𝐢𝐧𝐞 𝐲𝐚 𝐊𝐢𝐣𝐚𝐦𝐢𝐢:
Instagram: / jugo_media
Facebook: / jugomedia2019
𝕄𝕒𝕨𝕒𝕤𝕚𝕝𝕚𝕒𝕟𝕠:
JUGO MEDIA,
Sokoine Drive, Posta
P. O. BOX 34014,
Dar es Salaam.
For Bookings and other Enquiries
Phone Number +255757560764/657790405
#jugomedia #kanisakatoliki #familiatakatifu #wawata #uwaka #viwawa #australia #unitedstates #canada #america
Despina MAY THE LORD OUR GOD BLESS YOU AND BLESS YOUR HOUSEHOLD AND GRANT YOU LONGEVITY. ALL WITH A PEDIGREE CATHOLIC CHURCH BACKGROUND ARE PROUD OF YOU. FROM MY FAMILY, CHILDREN OF CATECHIST GABRIEL MUSHOTA SILUYELE AND MARCELINA MATAFWALI - since gone to be with THE LORD - WE ARE PROUD TO BE AMONG THEM. Asante sana.
You have a very beautiful voice...I love you Mama...I wish I could manage to have a golden Voice like yours....I really admire your beautiful voice
Huyu binti mungu azidi kumbariki Sana. Ametubariki wengi
Hongera Sana kutuletea Despina..... Uimbaji wake unatubariki Sana.
Nilitamani kujua nje ya uimbaji anafanya kazi gani, ana familia au la na mambo kama hayo. Inasaidia zaidi watu kujua upatikanaji wake. Mtangazaji umesahau mambo ya msingi kiukweli
Despina ,wimbo huu,tazama tazama,mwimbieni zinanipa nguvu sana ninapoabudu,mungu akuongezee neema zake
Hongera sana Despina..nimevutiwa na unyenyekevu wako..Mungu aendelee kukubariki.."Upendo hushinda yote"""Amina..!👏👏👏
Moja ya waimbaji bora wa nyimbo za Liturujia
Kabisa kabisa
Hongera sana Dada Despina, Mungu Akubariki sana.
Hongera sana Despina kwa unyenyekevu wako. Mungu yupo pamoja nawe
Despina Mdende namkubali sana dada songa mbele wewe ni baraka kwa kanisa katoliki
Hongera sana dada Despina Kwa kazi nzuri unayofanya kupitia uinjilishaji wa nyimbo unazoimba.
@jugo media tuletee Anastacia Muema huku pia
Mimi huwa nafurahi sana kusikia sauti ya Despina nimeanza kukufuatilia nikiwa katika hali ngumu nje ya nchi la wimbo wa tazama tazama ulinipa nguvu
Mungu azidi kukubariki dada Despina, maisha yako yanahubiri sana. Unaunyenyekevu sana. Unastahili
Hakika tuendelee kumwombea azidi kuimarika kiuimbaji siku hadi siku
Mungu alisimama na wewe na anaendelea kusimama na wewe na atazidi kusimama na wewe!
Unastahili kupewa heshima Kwa kazi unayoifanya
Kwa kweli Hata Yale unayoyaongea na sura ya unyenyekevu vinasanifu yake unayoyaleta,,,,,,,,,,
Nilitamani sana mtangazaji azame ndani kabisa ktk mahojiano hayo ila Hata hayo machache nashukuru umetupitisha Kwenye njia ya kukuelewa na kukufahamu japo Kwa ufupi
Huyu Dada nampongeza Sana ..Ana kipaji sio Cha kawaida Anatubariki kwa nyimbo na saut yake nzuuur Mungu amjalie ..Asante Sana Despina
My rollmodel nakupenda sana despina unanibariki sana kipenzi ❤❤
Huyu dada nyimbo alizoimba huwa zinanitafakarisha sana,na anamwimbia Mungu katika Roho na kweli kabisa,collabo yake na makuburi na galaxy pro huwa nazipenda sana abarikiwe sana
Uimbaji mzuri wa TAFAKARI kutoka kwa ndugu Despina Mdende
Nampenda, hana majivuno, halafu ni rafiki yangu sana ❤
Hongeraaaaaaaaah sana dada despina,wish siku moja niwe kama wewe🙏
Amina
Vzr napenda kuwa kama yeye napenda anavyoimba jamaniii no zake tafadhali
Ongera ongera ongera sana sana sana dada mdende kwa uwenjilishaji Walo ongera
Despina unatalanta ya sauti nyororo❤ napenda nyimbo zako sana sana " maombi yangu yafike mbele zako"
My roll model😊 dada despina.... Nataman niwe km ww.. Mungu akubariki
Umenifundisha mengi dada Despina, Mungu akutunze daima
Hongera sana Dspn Mungu aendelee kukukirimia busara maradufu
Despina nakupenda mpaka basii
Hongera Despina, you are amazing
Hongera sana🎉🎉.Tupo nyuma yako kwa hali na mali. Tumekuw tukiomba juu yako ili neno la Mungu lizidi kuwafikia watu wote duniani kupitia nyimbo
Amina
Hongera Sana dada. Mwenyezi Mungu azidi kutembea nawe katika utume wako.
Amina
Hugs,,more love Despina
Mwenyezi Mungu azidi kukulinda na kukuimarisha
Amina
Hongera sana dada Mungu akuinue zaidi na zaidi tuzidi kumtumikia yeye
Hongera sana Despina, Mungu azidi kukuwezesha kumsifu kwa njia ya uimbaji.
Fanya YA Mwl. Ogeda
Huyu dada hana majivuno hata kidogo
Ginger despina mungu aendelee kukupigania
Nitakushukuru - Ndiyo caller tune yangu all through....
Hongera sana dada kwa kazi nzuri unayoifanya, Mwenyezi Mungu akutunze.
Despina 👌 ❤🙏🏿
Hongera despina mungu aendelee kukupigania na kukuinua
Hunger sana data Despina, kwa haraka haraka nimegundua kuwa were ni mnyenyekevu.Mungu akulinde na akupe maisha marefu. Ulikuja na wenzako mkafanya recording ya Wimbo parokiani kwetu Yohane Mtume na Mwinjili Tegeta sikupata kukuona nilipitwa na hiya fursa, kariba tena Tegeta.
Amina
Umetisha dada despina
Uimbaji wa vibrato ulianza kuonekana kama sio uimbaji wa kikatoliki ,wengi waliamini kuwa ni uimbaji wa kisabato .kusema kweli uimbaji wako kwa Sasa umekuwa sehemu ya darasa kwa waimbaji wengi sana . Hongera na barikiwa kwa huduma hii
Amina
My mentor❤❤..keep it up my sister...from kenya
Despina ❤
Nakukuli sana despina nyimbo zako zinanibaliki na mungu akutangulie nakuombea sanaaaaa
Amina🙏🙏
Hongera pia mtangazaji umeuliza maswali yanayohusu uimbaji
Amina sana tumshukuru Mungu
Despina ni mwimbaji mzuri Sana! Ubarikiwe.
Amina🙏🙏
Amina
I wish to meet and sing with you in person
Hongera sana mdogo wangu Mungu azidi kukuinua kutoka kiwango mpaka kiwango
Amina🙏🙏
Amina
Keep it up dada Despina unafanya vizuri Sana , kikubwa tu usilewe sifa Bali imba kwajili ya Mungu
Amina kaka Nashukuru Sana.
Amina
Amen Mungu awe nawe 💕
Amina
Amina
Karibu sana Dodoma Dada despina mdende
Asante Sana
Hongera sana Despina kila jema katika utume wako
Amina
Amina
Saf sana yuko vizuri sana huyu dada
🙏🙏🙏
Dada unauchaji sana ubaki hivo
Amina🙏🙏🙏
Mi Bwana napenda uimbaji wako Myalukolo.pia napenda nyimbo nyingi zazamani za kuabudu Despina.Mungu akutie nguvu zaidi
Waooo safi Dada Despina
Asante sana 🙏🙏
Amina
Mtangazaji hujui kuhoji bwana mambo mengi umeyaacha kabisa da huyo dada nimwenyeji wa wapi
Ongera ongera ongera sana sana sana dada mdende kwa uwenjilishaji Walo ongera
Hongera sana dada desipina kwa uijilishaji wako mungu akubariki sana