TUPENDANE || KWAYA YA MT. CESILIA - MADUNGA- MANYARA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 9 ก.พ. 2025
- Karibu usikilize na kutazama wimbo huu ulioandaliwa na kwaya ya vijana kutoka parokia ya Madunga jimbo katoliki Mbulu. ujumbe TUPENDANE KAMA KRISTO YESU ALIVYO TUPENDA.
Ni utunzi wake Herman Gervas.
Kazi hii imeandaliwa katika studio za Kikumbo sound.
kwa upendo tunaomba SUBSCRIBE, LIKE, COMMENT & Share
Nimesikiliza zaid ya marambili barikiwa sana wanakwaya ❤❤❤❤Hakika utunzi mzur huu
Hongera sana watu wa kwetu kweli mliimba vizuri sana
Mungu awabarikiwe sana
A kenyan watching you from RDC CONGO Lubumbashi tunawapenda sana mungu azidi kuwajalia kipawa Cha uinjilishaji
Waoh nmefurah san kuwaona jmn paulo petee na Magdalen Paulo Mungu awabariki wote jmn🎉
Honger Herman Baba naiona kazi yako Iliyotukuka Umeupiga Mwingi
Hongelen sana
Da Cecy wasalimie sana wana wa Mungu
Hongereni sana nduguzetu kaka Herman kazinzuri sana
Waooooooow madunga utwari nimewamc xn wanakway hhaybei mpo
Hongereni Sana Ndugu zetu. Kazi nzuri Sana
Hongeren sana Wana madunga mmeimba vizuri sanaa
Hongereni Sana Ndugu Zanguni MUNGU AWABARIKI NYOTE kwenye Utume Wenu wauimbaji
Hongereni sanaa wana Madunga, Mungu azidi kubariki krk utume wenu wa uimbaji
Hongereni sana ndugu zangu
Mungu awabariki sana
wow, nice melody
Nice ❤❤❤
Amen
Kuimba ni kusali mara mbili
🙏🙏🙏
Weka wimbo pdf
Pdf