ZAWADI YA UFUFUKO
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 29 มี.ค. 2024
- Karibu kutazama na kusikiliza wimbo huu wa Zawadi ya Ufufuko maalum kwa ajili Pasaka.
Kufufuka kwake ni ushuhuda kwamba ukombozi wetu umetimia.
Wimbo: Zawadi ya Ufufuko
Mtunzi: Ray Ufunguo
Mwimbaji: Trizah Matu
Organist: Ray Ufunguo
Audio & Video: RAJO Productions
Mungu atubariki sana.
Wow...tuziimbe nyimbo hizi...shangwe kwa ufufuko
Shukran sana Ann. 🥰🥰🥰
Ubarikiwe 🙏 🙏
Kazi tamu sana👏👏👏
Shukran sana ❤❤❤
Hongereni sana🙏
Hongereni sana dada Matu na kaka Ray ufunguo.Mungu azidi kuwaongoza katika huduma yenu ya uimbaji.Munajenga imani yetu nasi twamtukuza Mwenyezi mungu
Dada Trizah nakupenda ❤❤❤❤.Songa mbele katika huduma Yako ya uimbaji.nakusihi unitumie number yako ya WhatsApp nikuongeleshe.unsiniime raha hiyo.nakufata kutoka Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@@kaninimwanza66Shukran sana ❤
The most amazing thing I admire about Ray Ufunguo is the fact that he is so open to support any Choir and various individuals. His songs are all-over youtube. I hope future artists will learn from your example. Truly, you are such a vibe Ray, Mungu akumiminie nehema na rehema nyingi. Much Love ❤❤
Diana Raymond, Please fikisha hii comment kwa Ray 🙏🙏
Wow. Umeongea kwa niaba ya wengi. We are truly blessed to work with such a legend. Asante sana 🥰
Kazi nzuri Sana, hongereni
Shukran sana 🥰🥰🥰🥰🙏🙏🙏
Hii imeenda group of schools, Trizah hongera sana. Dancers did an amazing job. Kristu amefufuka tusherehekee ukombozi wetu🙏🏻🥰
Aleluya 🤍 🤍 🤍 🤍 🤍
You're such a darling. Asante ❤️ ❤️ ❤️ ❤️ ❤️
Thank u for the appreciation♥️♥️♥️
Napenda nyimbo za ray ufunguo karibu Narok, Kenya jameni. Kanisa letu parokia ya MT.Petro
Shukran on his behalf 🙏🙏🙏
ray ufunguo wewe ni mwamba kabsa ubarikiwe kwakweli huwa nabarikiwa kupitia kazi zako
Diana hongera sanaaa umeimba vzr❤
Shukran 🤍🤍🤍
Kazi safi Trizah....ni kweli amefufuka..🎉🎉🎉.Rajo never disappoint
Thank you Aggie🥰🥰🥰🥰🥰
Christ is risen🙏🏿
The song 🥰
The artist 😍
The dancers 🔥💃🏿
Awwww. Thank you so much 😊💛💛💛 ☺️
Zawadi ya UFUFUKO ❤❤❤💯
Napenda sana aisee
🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰 asante sana rafiki
Proud of you Dada congratulations 🎉🎉❤❤
Thank you so much dear 💜❤️💖♥️💜
Nyimbo imenibariki❤
This makes me happy 😊 😃. Sifa na utukufu kwa Mungu 🙏🙏🙏
Trizah, more songs like this please, l'm waiting like a Watchman waiting for the dawn to come
Yeees. Amen. Asante sana 🙏
Beautiful ❤❤❤
❤️❤️❤️🙏🙏
Great job 🎉❤
The song 🔥
The artists 🔥❤
Keep the spirit of saving God alive ❣️
Thank you, Clara 🙏. Be blessed ♥️ 🙌
Song of the year🙈🥰🥰🥰 on repeat till further notice😊
Yeeees. Amen. Shukran sana 🥰
Ray karibu Marsabit diocese .....❤❤❤❤❤❤
🙏🙏🙏🙏
Good Job Trizah & Dayooo be blessed guys ❤soft voice
Shukran sana 🥰🥰🥰🥰
Amefufuka alleluia tumshangiliye
Aleluya 🤍 🤍 🤍. Be blessed 🙌
So wow❤
Thank you❤️❤️❤️❤️
Hongera sana dada 🎉🎉🎉
Shukran sana kwa kutazama. Ubarikiwe 🙏 🙏 🙏
Wow 😲 golden sounds great 👍
Thank u😊
Thank you. Be blessed ♥️ 🙌
@@trizahmatu be blessed too my dear ❤️
@@dianaraymond5170 much welcome 🫂
A masterpiece 🔥🔥the melody🔥the harmonies🥹🔥the soloists 🔥 congratulations Trizah❤️kwa kweli amefufuka🎉🎉✨
Alleluia ❤️ 🙏 ❤️
Thank you dear Nelima 🥰🥰🥰
Kwa kweli amefufuka🙏 Kazi safi Triza and the entire team🎉🎉 A good piece❤
Alleluia ❤️ 🙏 ❤️.
Asante sana Robert 🙏
@@trizahmatu🙏welcome
Ray ufunguo ajawahi kufel congratulations my brother ❤❤❤❤🎉
Shukran. Ubarikiwe ❤❤
@@trizahmatu 🤝🙏
What's a beautiful melodies....❤❤❤❤❤
Thank you so much 😊
Hakika Kristu amefufuka tuimbe Alleluya❤Kazi safi sana
Alleluia. Thank you so much 😊 💛💛💛
this song is fire trizah good one
Thaaaaanks. Ubarikiwe 🙏 🙏
Wimbo mzuri ajabu🎉
Sauti tamu❤
Asante😊...tunakupenda🥰
@@dianaraymond5170❤😘
Asante sana 🥰🥰🥰
Beautiful
This is a great song dadangu
Keep going🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Thank you so much, Nicho.
God bless you 🙏 ❤️ 🙌
Amefufuka aleluya
Alleluia ❤️ 🙏 ❤️
Amefufuka hakika❤❤❤❤safi sana triza🎉🎉🎉🎉
Aleluya 🤍 🤍 🤍 🤍. Asante sana 🙏 🥰🥰🥰
Just beautiful ❤
Thank you ❤️ 😊 🙏
Ray hongera sana!
Shukran on his behalf 🙏🙏
T❤❤ nzuri😊
Asante Abby ❤️ ❤️ ❤️
Kweli hii ni zawadi ya ufufuko❤Triza hongera tena sana dada, keep soaring 🥰👏
Ameeen🙏🙏🙏
Shukran sana 🥰🥰🥰
Nice,it is really amazing🎇 voices ❤❤❤
Thank you Rose. May God bless you 🙌 🙏 ❤️
Kazi nzuri sana. Amefufuka Kristo, wimbo wetu ni Aleluya
Alleluia. Asante sana ❤❤❤
Great song . Ray ufunguo, simply the best!
🤍🤍🤍🤍🙏🙏
Wonderful creativity @Ufunguo and team. God bless you more
Shukran 🙏 🙏 🙏. Be blessed ♥️ 🙌
I’m happy Trizah❤❤❤ Wimbo mtamu aiseee🎉🎉🎉
Asante sana, Mercy 🥰🥰🥰
Eish T, amazing amazing, the song is very sweet, kudos
❤❤❤❤❤
Asante sana dadangu ❤❤
Ģood job ...😍😍
Thank you, Nicolaus🥰🥰
Ni nzuri sana
Thank you Albert😊😊🙏🙏🙏
Your Voices are killing me, the dance and the presentation itself is amazing. Asante Sana
Woooow. Asante sana 🙏
wow nice song trizah well done
Thank you so much John♥️♥️♥️
Huo ndio ushuhuda KRISTO AMEFUFUKA🥳🥳👏👏👏
Alleluia 🙏🙏🙏
Kazi safiiii❤❤ napenda ❤
Shukran sana 🥰 🙏 🥰
Maua yenyu chukua kabisa love it 💕💕💕💕🎉🎉🎉
Asante sana. Mungu akubariki 🙌🙌🙌
Nikiwa tabora hapa mjini nafurahia uimbaji wenu watumishi wa mungu hongeraaaaaaaaaa❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Amina. Mungu atukuzwe. Nafurahi kujua kwamba umebarikiwa 🙏🙏🙏
Finally 🎉🎉🎉🎉
Well done 💯
Tamu Sana ❤❤❤
Hatimaye...asante sana 🥰🥰🥰🙏🙏🙏
I love this song Tena sana.
Asante sana 🙏
Wow🎉
Thank you so much🥰🥰
Wimbo mtamu ule.....🎉🎉🎉❤ congratulations
Shukran sana. Ubarikiwe 🙏 🙏 🙏
Best song this Easter..u did great Diana Ray❤
Asante sana🤍🤍🤍
Amefufuka!!!🤗🤗🔥🔥.
We love you Trizah💜 ,Good job with your whole team 👏👏👏
Alleluia ❤❤❤❤❤
Thank you, Prisca❤❤❤
This is just a hot one...blessings 🔥
Thank you so much ❤️ ♥️ ❤️ 💖
You never disappoint 💃💃 kweli amefufuka
Aleluya 🤍🤍🤍
My favorite ❤ I love this 😊
🤍🤍🤍🤍🤍 awww. Thank you so much
Perfect 🎉❤❤❤
Shukran 🙏🙏🙏
Congrats,,,
Thank you Julius. Be blessed ♥️ 🙌
Amefufuka alleluia. Ni mzima alivyosema alleluia
Alleluia. Shukran sana❤❤
❤❤❤🎉
🤍 🤍 🤍
Nyimbo tamu sana ajabu..Asante sana engineer wa mziki mwalimu Ray Ufunguo kwa hiki kipaji..mola awabariki na Trisah Matu..kweli amefufuka
Shukran sana Eugene. Hakika nawe ubarikiwe sana 🙏🙏🙏🙏
@@trizahmatu karibu sana madam Trizah
Wow,nice sana, congratulations Trizah matu,keep up the good work🥰🔥
Thank you so much 🤗
Navutwa na uimbaji wenu, nikiwa hapa spain ,chuoni cha liturjia
Aiseee. Tunafurahi kujua kwamba umebarikiwa na wimbo huu. Ubarikiwe sana 🙏🙏🤍🤍
Hongereni sana wapendwa kwa wimbo mzuri sana
Asante🥰
Asante sana. Tunafurahi kujua ya kwamba umebarikiwa. 🤍🤍
Dunia yote iimbe Aleluya🎉
Alleluia ❤❤❤❤
👏👏👏Beautiful
Asante sana SJ😊😊🙏🙏🙏🙏
Congrats ❤great job
Asante sana 🙏 🥰🥰🥰
Amefufuka ❤😊
Aleluya 🤍🤍🤍
Shukran 🙏♥️❤️
Congratulations,sauti tamu kweli
Shukran sana 💛💛💛
You're really doing right! Nice melody,good voices
Go far dear!
Ameeeen. Shukran sana 🥰❤❤
Amefufuka aleluya🥳🔥
Aleluya 🤍 🤍 🤍
Kristu Amefufuka Aleluya ❤❤❤
Aleluya 🤍🤍🤍
Again🤗❤️❤️❤️
🥰🥰🥰🥰 thank you
My best always ❤❤❤Amefufuka
Aleluya 🤍 🤍. Ubarikiwe sana 🙏
Hii ni ingine tena kubwa sana. Congratulations Trizah. Your vocal and choice of song very powerful message. Nimebarikiwa kabisa.
Thank you so much. May God bless you 🙌🙌🙌🙏🙏🙏
Amen
Beautiful composition n voices....mbarikiwe sana
Asante sana Fr.🙏🙏🙏
Waaaoh❤🎉
Thank you ❤️ 😊 🙏
A very nice song
Thank you ❤️ 😊 🙏
Point home, amefufuka. ❤❤
Alleluia, amefufuka 🥰🥰🥰🙏🙏🙏
🎉🎉🎉🎉hatari ❤
Shukran sana 🥰🥰
@@trizahmatu karibu...hiyo kazi ni safi
Kwanza hiyo dance nayo 🔥🔥inativunja😂
KAZI zuri. Keep it up
Thank you ❤️ 😊 🙏
Waaaoooo 🥰🥰🥰🥰
HONGERA SANA 👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻
Asantee sana😊♥️♥️
Asante sana Francis. Ubarikiwe 🙏 🙏 🙏
Tamuuuuuu❤❤❤❤❤❤
Thank you so much Chris🙏🙏♥️♥️
Kazi safi Trizzah
Asante sana rafiki❤❤❤
🔥🔥
🤍🤍🤍🤍🤍
First one to comment😁. Everything is beautiful ❤️
Nimependa😊
Yay! Thank you!❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥
Kazi mzuri. Nice one
Thank you, Nathan ☺️ 💖
Hongera sana dadangu❤❤❤❤, you never disappoint. My Easter anthem is here now🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Awwww❤❤❤❤❤❤❤
Asante sana dadangu 🤗🤗🤗🤗
Lovely❤🎉
Shukran sana❤❤❤
Congrats tu sana🎉🎉 ❤ game iko juu
Thank you, Eric 🙏 💖
Such a lovely song watching it again and again ❤❤
Thank yoi so much 💖 💓
The interlude is on fire ❤❤i like it so much plus the voices are on another level 🎉🎉Congrats Trizzah ❤🎉
Thank u❤
Wooooow. Thank you so much. I'm glad that you like it so. Ubarikiwe 🙏 🙏 🙏
Diana 🔥🔥🔥
❤❤❤❤Asante
I love this 🎉
Thank you ❤️
Awesome ❤
Thank you ❤❤❤❤
KAzi safi
Asante ❤️ ❤️ ❤️