Mchungaji.utoke kanisani uende baa kila siku hapana tutoke kanisani tuende kwA waganga no ni.watanzania ndio ila njia zetu.ziko tofauti.mfano kuna harambee ya ujenzi wa kanisa unaita waimbaji wa bongo na waimbaji wa dini na.ngoma za asili mchungaji.hananja Mambo.ya.Mungu.ni.dhahiri na mambo ya.dunia ni.dhahiri.hatulaumu.ila vitu vinaonekana
Ww hujui maana ya sadaka. Hao kama hawatangazi sadaka, basi wana mambo Yao nyuma ya pazia. Soma biblia vizuri uielewe usiige ya wazungu. Siku hizi huko uzunguni hakuna mungu, Bali Kuna miungu.
Binafsi naona jukwaa la wasafi lingemfaa sana huyu mzee afu combination yake isiwe ya masanja na lilian kwa maoni yang sio kwa ubaya.huyu jamaa naona ni jeshi la mtu mmoja anatakiwa awe na kipind na partiner wake asiwe too much talker kama hao alionao sasa
Hongera kwa kukombolewa kifikra Mchungaji
Nimekukubali sana MCHUNGAJI wote wangekuwa kama wewe tungesimama vyema kiroho
Baba nakuelewa.mnooo
Karibu tena. Kwa.baba halisi
Safi sana Mzee kwa elimu nzuri.
LV❤
Mungu akubaliki
Safi mzee
Waoooo 👌
Ama kweli Mungu kunaviumbe kavitunuku kama siyo kuvipendelea huyu mzee aishi miaka kedekede na ninamuombea awe na mwisho mwema.
Barikiwa sana
mara kwa mara nikimwangalia huyu baba nacheka na najifunza mengi sana
nimejifunza kujifungia ndani ya box dont think in the box
👍👍👍
Well Said mtumishi wa Mungu @hananja
Mchungaji unasema kweli wengine wanasema Mungu wa Hananja wanataja jina mwenye kanisani Mungu wa hapa mtu anatoa sadaka mpaka anaishiwa
Hakika wa wachungaji wamezini naye wamekunywa vinyo yake ufunuo 18:1na kuendelea
Mchungaji.utoke kanisani uende baa kila siku hapana tutoke kanisani tuende kwA waganga no ni.watanzania ndio ila njia zetu.ziko tofauti.mfano kuna harambee ya ujenzi wa kanisa unaita waimbaji wa bongo na waimbaji wa dini na.ngoma za asili mchungaji.hananja Mambo.ya.Mungu.ni.dhahiri na mambo ya.dunia ni.dhahiri.hatulaumu.ila vitu vinaonekana
Jamaa anazipangua hoja nzito kwa hekima kubwa na mafunzo humo humo.
Paster Hananja I love you. Kwani mi nikibadilisha utanifanya nini...hahah
Hivi unajua nimecheka😂..daah yuko vzr🙌
Kusoma Biblia Diamond wanaona shida wakati wao kutwa kucha mashehe wako busy kusoma Biblia na kukashifu ukristo badala ya kuhubiria watu wao.
Umeonaee
hawana akili hao masheikh
@@ramadhanmahongole9293 wanasoma sana usijidai huelewi wanasoma ili kukosoa dini za wenzao
Duh ng’ombe hanenepei mnadani!
Mchungaji Hannanja ,kwakweli wewe una akili nyingi sana. Watu waache kukurupuka kwa kujifanya tunazijua dini na maagizo ya Mungu
Mchungaji Hananja, ukweli wewe ni hazina, uko na madini mengi...ubarikiwe mungu akulinde
Ila kweli kuliko kuimba mitusi Bora kusoma biblia
Hata akitaka kuwa mkiristo sisi hatujali kitu, hata hapo mwanzo hakuwa upande huu.
aliyeuliza maswali ya kipumbavu amepata jawabu
Daaah mondi aliona mbali kumtaka huyu jamaa Ila majizo akamuwahi ndio maana akam bomoa kwa kubeba vichwa vyake
Mbona shetani alisoma.biblia alibadilika.kuitwa.shetan ila kufanya nao mambo yao huwezi mfano kushiriki nyimbo dini na bongo fleva
Hananja hujawahi kuniangusha
Hata huku USA makanisa ya wazungu hawatangazi sadaka!.Africa namakanisa yetu ndokunakutoza pesa.
Hawatangazi ila wanatoa sadaka kutotangaza ni utaratibu tu.
Ww hujui maana ya sadaka. Hao kama hawatangazi sadaka, basi wana mambo Yao nyuma ya pazia.
Soma biblia vizuri uielewe usiige ya wazungu. Siku hizi huko uzunguni hakuna mungu, Bali Kuna miungu.
Nyinyi mnadini yenu na sisi tunadini yetu. Hakuna anaezuiliwa Ila uisilam una ukumbusho na kila muisilam anahaki ya kumkumbusha mwenziwe.
Shida nn kwan?
@@irenekaluse3213. Acheni unafik na kusema msiyoyajua
Jikumbushe mwenyewe kwa umalaya unaofanya
@@rogerabdallah439 😂😂😂😂😂😂😂😂hadi nimecheka
Tatizo hamjiamini
Unastahili udaktari wa heshima wa filosofia
Mchingani mtaalaam anamwaga madini hatari.
Binafsi naona jukwaa la wasafi lingemfaa sana huyu mzee afu combination yake isiwe ya masanja na lilian kwa maoni yang sio kwa ubaya.huyu jamaa naona ni jeshi la mtu mmoja anatakiwa awe na kipind na partiner wake asiwe too much talker kama hao alionao sasa
Kweli
Hata mimi niliwaza hivyo na kwa nia njema tu. Anajitosheleza peke yake si kwa michanganyo na ....
Mungu akutunze Mzee!!unazisoma akili za watu hatariiiiii
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Mzee wa busara
Tafakari