Mchungaji Hananja unatisha 😆 Mwenyezi Mungu akubariki daima . Umekuwa msaada mkubwa kwa jamii. Àsante kwa mafundisho ya Neno la Mungu na tafakari. Binafsi nakuombea maisha marefu kwa UTUKUFU wa Mungu❤❤
Nilichokigundua hapa huyu mchungaji ana uelewa mkubwa Sana na anajalibu kuwaelewesha hawa watangazaji Ila hawa watangazaji wapo na chuki na diamond na wcb ndio maana mada ya uchawi wa kwa mondi wakati hawana ushahidi wowote wao lengo lao mchungaji awasapoti wapate trend Ila mchungaji kashawaelewa na amewakwepa kwa akili na kuwapa elimu.
@@denissylvester542 💯 % uliwai kusafiri, basi moja na, watu wa maombi yaliwai kukuvurugia safari, yani sio bure na mimi pia maomba, kwa jina LA, YESU FAYER yesu moto FAYER yesu choma hao 🔥🔥🔥🔥🔥
Wapi wengi pale studio wake kwa, waume na, unasema huyo unamaanisha ni mtu mmoja, Nani Kati yao na, kwasababu gani?, Kakukosea nini?, Punguza chuki itakutesa sana, maana hata kukujua hakujui, wewe ndo unamuangalia utateseka sana, nakupa ushauri wangu wa bureeeee, badilisha, CHANEL
baba mchungaji nakusikiliza na kukuelewa kutoka Manchester UK. Mwenyezi Mungu abariki kazi ya mikono yako
Helloo
MCHUNGAJI POWA NAMKUBALI SANA NA USANII PIA KAHETIMU..NAMFANANISHA NA SHEIKH KIPOOZEO VERY STRAIGHT AND WELL SPOKEN
Haswaaaaaaaa
Ina pendeza sana ❤❤Amen 🙏🙏🇸🇦🇸🇦
Amen 🙏 barikiwa Mchungaji
Genius pastor ♥️ 💯
😅😅😅 Asante sana mimi ni muislam lakini nampenda sana huyu mchungaji
Usipende ktangaza udini kumbuka hizi dini zote ni za kuletwa
Nakukubari sana baba pamoja sana wakati wote🙏😍
Mchungaji Hananja unatisha 😆 Mwenyezi Mungu akubariki daima . Umekuwa msaada mkubwa kwa jamii. Àsante kwa mafundisho ya Neno la Mungu na tafakari. Binafsi nakuombea maisha marefu kwa UTUKUFU wa Mungu❤❤
Nashukuru Sana global na mchungaji
Huyo mzee noma kweli kweli
Mchungaji nimekuelewa sana yan mungu kakubari akiri
Baba nakupenda saana Kwa taarifa zako
Mchungaji daah ww noma simu ya mafungu ngani hiyo😂😂😂😂😂
Safi sana paster,, uchawi ni ujinga tu!!
Amen ❤❤❤
Nakupenda sana mchungaji hananji
mungu awe pamoja naye amuweke miaka 10000 duniani.
KUNA WENGNE WAALIMU, MAKUHANI NA WAZEE WA KANISA NAMKUBALI SANA PASTOR HANANJA
Huyu mchungaji noma sana
Ni sawa
Father unaakili sanaaaaa
Amen
Nilichokigundua hapa huyu mchungaji ana uelewa mkubwa Sana na anajalibu kuwaelewesha hawa watangazaji Ila hawa watangazaji wapo na chuki na diamond na wcb ndio maana mada ya uchawi wa kwa mondi wakati hawana ushahidi wowote wao lengo lao mchungaji awasapoti wapate trend Ila mchungaji kashawaelewa na amewakwepa kwa akili na kuwapa elimu.
Nimewamiss jamani nawapenda sana
Mbona raha, kumsiliza huyu Mchungaji ni raha na kuna point za kuondoka nazo. Mungu abariki kinywa Chako kizidi katika kunena hekima ya Mungu
Mchungaji anasemahuyu 😁😁😁 lakin yoote yanaingia akilini masha Allah
Genius
Naomba mrudie hiyo no please
Sasa nyie waandishi mmekosa weredi. Mchungaji kawakomoa mnamuuliza umbea. Huyo anaakili
❤
Mtangazaji bwana
Kila ck najifunza Walahi huyu mchunguji nimemjua wakati sahihi Allah amuweke
Huyuu mchungaji ana hekima na unyenyekevu wa juu. Biblia anaijua hii ni zawadi kubwa sana
Mchungaji yupo vizuri
Huyo kaka mtangazaji, anaongea kama mkenya sana. Jamani turudishieni mkenya wetu😂😂😂.
Mchaga uyo
Sauti Sauti Omoni Zake Mnazijua
Mtangazaji kiswahili chako cha kichaga
Huwezi kuwafahamu Hawa mpaka uwe deep kwenye baadhi ya mambo anatekeleza mission
Mission gani tumegee kidogo
Kiiila siku diamond wasafi diamond wasafi hakunaga swaga tz
Kwenye maombi nimemkubari Sana mchungaji
Ila huyu mchungaji kichwa sana maana anavyotaja mistari ya Bibria utafikiri anasoma
@@denissylvester542
💯 % uliwai kusafiri, basi moja na, watu wa maombi yaliwai kukuvurugia safari, yani sio bure na mimi pia maomba, kwa jina LA, YESU FAYER yesu moto FAYER yesu choma hao 🔥🔥🔥🔥🔥
Mchungaji yuko powa Sweden
Leo mumewezwa dija baby upo wapi leo
Mchungaji nabalikiwa sana nikiskia maubili yako
Kwa habari ya nyimbo sikubaliani nae, huwezi kuchanganya nyimbo za dunia na nyimbo ya Injili
Album mpya imetoka ya shetani
Yesu ana rudi kwa kweli. Wokovu amuna kabisa kwa inchi iyi ya Tanzania. Wako kimwili sana. Daniel 12:1-4
una tutia moyo sana swari kwako ukiandamwa na viongozi kwajiri ya nafazi zako
We kijana unauliza maswali ya aina Gani,unaulizaje watu wanapenda kufanya Nini kanisani?kwani wasichana warembo hawapaswi kwenda kanisani?
MCHUNGAJI WEWE NI NOMA
Uyu mtangazaji wa kiume ana gene za kike.........normal gentleman hayupo ivo
Ww mdada jamanii,hamonaize hajatembea na Paula mbona ww upo ivyo
Maswali yake hata hayaeleweki
Huyu jamaa simuelewi ana sauti ndogo na mashauzi.
Asa sautiyake ndogo wewe inakhusunn acha ushamba
Kamwelewe babako
Nataka zile mafuta ya nyele nitazipata kivip
Nimemkubali mchungaji hananja nitamtafuta
Watangazaj mmezidiwa na mchungaji
Jamani tuna omba tena mafundisho yake huyu mchungaji.
Duhhh. Nikweli. Pasto. Sisi. Wote. Ni. Raia. Wa. Nchii. Mbilii
Uyo mwimbaji anaitwa jen misso
Diamond kasha zima
Huyu mkaka mbona analembesha sauti ki mama
Anazingua sana
Shoga huo
namkubali sana huyu mtu mzima anaejibu maswali
Mchungaji ungekuwa mganga was kienyeji wewe watu wasingekauka mana unajua kutabana atari
Mchungaji tishaaa hahaha 😆 😂
Huyu jamaa anabahati kuwa hapo kituon sauti haiendan kabisa anaongea kama dem
Uyo mymtangazan sjampenda
Wapi wengi pale studio wake kwa, waume na, unasema huyo unamaanisha ni mtu mmoja, Nani Kati yao na, kwasababu gani?, Kakukosea nini?, Punguza chuki itakutesa sana, maana hata kukujua hakujui, wewe ndo unamuangalia utateseka sana, nakupa ushauri wangu wa bureeeee, badilisha, CHANEL
🤣🤣🤣🤣
Nyie watangazi acheni hizo. Sasa diomond na hawasanii mnataka mchungaji awajibgu Nini mmebuginsana
♥️