Wow mchungaji Ananja, ni mwalimu mzuri kweli. Wow asante sana baba.Kama Kuna mchungaji anafaa kua mchungaji ni wewe, kwa ukweli Mungu akubari sana sana sana.uzidishiwe hekima na Mungu.❤
Mchungaji nakukubali sana tena unaongea uhalisia natamani sana siku moja nikutane nae ana kwa ana pia niabudu kanisani kwake,mungu akubariki sana na akupe maisha marefu,hufanani na hawa wachungaji mihemuko ya unyonyaji
Mzee mchungaji, unapendeza sana! WEWE NAONA Ni geneous tangu kuzaliwa kwako, Nakuomba utusaidie kuwa na vipindi vya kukosoa mapungufu mengi hasa kwenye dhehebu katoliki.
Allah it means God bt in Arabic languages bt JESUS is the only way to enter in the kingdom of heaven cause he is the one who carry all of our burdens on the cross
That's where u go wrong now!!😂😂😂to Islam to do what??listen to what he says about Christianity and the everlasting life. No life without Jesus Christ, He is the way, the truth and the life,no one goes to the Father God unless through Jesus,- John 14:6,so what will he go for in Islam???😂😂😂😂U r joking, accept Christ Jesus for eternal life my friend.
@@fredanunda7719 the Christians in the Palestine and Egypt they identify God as Allah... thats where the Christianity you claim to follow came from... Allah is the name is the one and only God that Jesus himself prayed to. ..
Mzee tusaidie ukristo siku hizi umeingiliwa na ujinga sana, mtu anaibuka tu mara nimeenga mbinguni mara nimeongea na Yesu live na watu wanaamini, upuzi mtupu
Nakupenda sana Baba Kwa ukweli unayosungumsa ❤❤❤❤hapa nimecheka tayari wah😂😂😂Mungu akubariki uishi miaka mingine mingi mbele
Mimi ni muislamu lakini nimevutiwz mawaidha ya Pastor Nahanja. Mungu ambariki.
Wow mchungaji Ananja, ni mwalimu mzuri kweli. Wow asante sana baba.Kama Kuna mchungaji anafaa kua mchungaji ni wewe, kwa ukweli Mungu akubari sana sana sana.uzidishiwe hekima na Mungu.❤
Yaani nacheka sana
Ila mzee yuko vizuri sana . Mungu aendelee kukutunza uishi miaka mingi
Msichoke wahandishi kwenda pastor Hananja maneno yake yana tuhelimisha mungu wetu yesuchristo atulinde
Mimi nimejifunza udhaifu wetu kama mkristo but kupitia kwa mchungaji ni mejifunza kuishi kwa ukweli God bless you pastor 🙏🙏🙏
SIJAWAI KUACHA KUSIKILIZA MAHOJIANO YAKO ,IMANI NA UHALISIA ,SAFI SANA ,MUNGU AKUWEKE
Ubarikiwe mchungaji Mungu akupe wepesi ili uwe unatufundisha neno lake amen
Mm sikuowa Nabii Nimeowa Mke Aiseeee Neno Dogo Ila Linamaana kubwa Sana Ahsante Baba Henanja Upo Kwenye Moyo Wangu❤
Upo vizuri Mchungaji Ameen
Mchungaji nakukubali sana tena unaongea uhalisia natamani sana siku moja nikutane nae ana kwa ana pia niabudu kanisani kwake,mungu akubariki sana na akupe maisha marefu,hufanani na hawa wachungaji mihemuko ya unyonyaji
Mungu akubariki saaana na akulinde saaana. Unagusa maisha ya wqtu nami nikiwemo.
Uishi miaka 1000 nakupenda sana pastor mungu akutunze mafundisho yako mazuri
Huyu mzee ananifanya nione siku nzuri....
❤Upo vizuri sana mahubiri yako mi sahihi Mungu akubariki Ameeen
I really like the pastor he's educating en entertaining at the same time❤😂
Ubarikiwe sana pastor 🙏 ❤🎉
MSULI UNACHEZEA GWARIDE 😅😅HUYU MZEE KIBOKO NAMPENDA SANA ❤
Napenda sana mahubiri ya mchungaji hananja abarikiwe
Mzee mchungaji, unapendeza sana! WEWE NAONA Ni geneous tangu kuzaliwa kwako, Nakuomba utusaidie kuwa na vipindi vya kukosoa mapungufu mengi hasa kwenye dhehebu katoliki.
I love this man.. Allah guide you to Islam my brother... one of the truthful
turn to Jesus Christ, Allah have no heaven to give you
@@stephanomaduhu5426 did Jesus A.S created any heaven?... show me a proof if you're truthful...
Allah it means God bt in Arabic languages bt JESUS is the only way to enter in the kingdom of heaven cause he is the one who carry all of our burdens on the cross
That's where u go wrong now!!😂😂😂to Islam to do what??listen to what he says about Christianity and the everlasting life. No life without Jesus Christ, He is the way, the truth and the life,no one goes to the Father God unless through Jesus,- John 14:6,so what will he go for in Islam???😂😂😂😂U r joking, accept Christ Jesus for eternal life my friend.
@@fredanunda7719 the Christians in the Palestine and Egypt they identify God as Allah... thats where the Christianity you claim to follow came from... Allah is the name is the one and only God that Jesus himself prayed to. ..
Safi sanaa wapeukweli hao mzee unajua sanaa😂😂🎉
❤ Mch Hananja waambie ukweli wakuelewe
Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu
Mzee mungu Akupenguvu kwa ukweli unaotupa uendelee kuwepo hapa duniani wewe na mzee waupako
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu
🤣🤣🤣Huyu mzee kiboko, Barikiwa sanaa😂
Mungu akutunze mchungaji
😂😂mchungaji Mungu akubarik sana kwakuongea ukweli
Mzee tusaidie ukristo siku hizi umeingiliwa na ujinga sana, mtu anaibuka tu mara nimeenga mbinguni mara nimeongea na Yesu live na watu wanaamini, upuzi mtupu
Uko vizuri sana na unauwezo mkubwa mno Mzee wangu
Nakubari Mzee mungu akuweke miaka 1000
Yaan huyu i mchungaji anatakent kubwa ❤❤😂😂😂
Mchungaji alonyooka
Yupo mwokozi wa ukrito wa kweli tupe someone maana tumevamiwaaa ❤
Nakupenda sana mchungaji Hanaja
Uyu baba yani asante
Achana na hayo mavichwa ya habari ya eti FREEMASON hananja sisi tunamsikikiza tu
We baba Mungu akutunze mtumishi
Daaah yaan anachekesha lakini anasema ukweli mtupu😂😂😂😂
Daaah sema pastor nakukubali sana
😂😂😂😂 ukweli sana❤❤❤❤❤❤
MUNGU mbaraki mwanao pr ananja
Points 👉 👈 sana
Huyu mzee noma 😂😂😂
Karibu katika uislamu kiongozi
Pastor unaongea vzur bblia waijua
Tungeli mtafuta mchungaji afungue channel youtube ya masomo ya maisha
Mbavu cna nimechaka Sanaa.umelkuwa mkwelii
😂😂😂❤ nakupenda sana babaa😂😂😂😂
Hatr kweli wana enda kwa kupitia maono na mafunuo
mchungaji yuko straight sana
AMEEN MCHUNGAJI...
Namkubali sana, amefanya biashara Brack market Tunduma na kununua Bonsoo Itaka huyu anastahili kumuelemisha Mtu kweli
😅😅😅😅 unanifulaisha sana 🫰
Mchungaji hongera kwa utume wako
ukweli , japo kwa ucheshi wa aina yake 😂😂
Ungekua kiongoz wa wakristo wote wakristo wangekuwa kwenye mstar
🙏
Ukweli mtupu
Barikiwa sana 🇲🇿
Mchungaji unajua mpaka unaharibu
Unaongea ukweli sana mtumishi, Mungu akutunze wewe ni hazina ya Mungu
Hananja hana baya
Hananja kama hananja
Eti mwili wa kubeba kifusi😅
Humetisha nakupenda sana huishi miaka 10000000000000
Unakunywa soup ya pweza😂😂😂
Mchungaji mahubiri yako yana uhalisia.
Mchungaji ubalikiwe
Eti Amekausha Sauti Makusudi🤣🤣🤣Baba
Mbona Gwajima anawatoa Sana tu hao misukule au naye Ni mganga wa kienyeji? Au ni muongo?
Huyo ngwajima ndio nani muongo mkubwa bora hata huyu
Nikweli wanawake wana watharau waume zao wana kimbilio watumishi yuko bz
😅😅😅
Dah
Kwahio unamaanisha bibilia ni uwongo kwa sababu hata Paulo Ali fufua yutiku?
😂😂😂😂😂😂😂nakukubalia apo kbs kufufuka uongo
mi mkatokiki, ila nakubali mahubiri yako.
😂😂😂😂😂😂😂😂
Kwakweli Mchungaji Upo Vizur, Maana Nimewai kwanda kwa Mchungaji mmoja kumuona tu anataka pesa kama hiyo.
Je Uyu yupo kiuchungaji au !?
😂😂😂😂 kweli kweli 😂😂😂😂
😂😂😂😂😂❤❤
Na Muomba Allaah amuongeze huyu mzee asilimu maana azungumza yalio nyooka
Asilimia nini sasa
@@GershomMbele😂😂😂😂 muulize tena
Mzee uko poa saaana
Yesu alisema fufueni wafu takaseni wakoma mme pewa Bure toeni Bure.
Uko sawa mchungaji lakini jaribu kujifunza uislamu Ninathani utasilimu kwani ndio dini pekee ilio kubalika .
Mche MUNGU kwa roho na kweli udini weka pembeni...tengeneza moyo safi hiyo ndio dini safi.
Wewe usijidanganye mche Mungu ktk roho na kweli Dini Ni njia ya kumtafuta Mungu
Imekubalika na nani??😢
Uislam au ukristo haukupeleki mbinguni ila mahusiano yako binafsi na Mungu
Dini haitakupeleka mbinguni Ila utakatifu wako ndio utakupeleka
😂😂😂😂
Kama mtu akifa hafufuki mbona mnasema Yesu alikufa akafufuka? Au yeye sio mtu?
Apo sasa
Jitahidi sana kufahamu yanayo fundiswa toka katika bibilia ndipo utakapo jua ya kuwa Yesu alifanana na binadamu binadamu 28:15 28:18 28:19 28:21
Sana mimi sipendi haya majitu yanayojiita manabii na mitume ni wajinga sana,hawatk kufundisha neno la Mungu zaidi nabii za kijinga
😂😂😂
😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂