NAPENDA KUTUKANWA-MCHUNGAJI HANANJA AIBUKA VIFUNGU VYA BIBLIA KISA......

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 9

  • @Salimsharifu
    @Salimsharifu 9 หลายเดือนก่อน

    Ananja mimi muislam na itwa Salim bali nakufuatilia sana umesimama mzee na ukweli hongera

  • @andrecarlos1024
    @andrecarlos1024 10 หลายเดือนก่อน

    Mchungaji 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 11 หลายเดือนก่อน

    Mimi nisipomsikia kwenye TH-cam zozote mchungaji hananja nakosq raha ni mchungaji mzuri sanaaaa

  • @JosephKesembe-wm2oy
    @JosephKesembe-wm2oy 10 หลายเดือนก่อน

    Mungu akupe Maisha marefu mzee

  • @marknzilukuthuva9754
    @marknzilukuthuva9754 10 หลายเดือนก่อน

    Mimi mchugaji hananja nampenda sana juu anaogeanga ukweli

  • @hamidudigogo5863
    @hamidudigogo5863 11 หลายเดือนก่อน

    Huyu mchungaji Huwa nampenda sana japo ckubali DINI yake ila anaweza waelimisha watu

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 11 หลายเดือนก่อน

    Mchungaji huyu anaelemisha vizuri sanaaaa

  • @theresiamateru6426
    @theresiamateru6426 10 หลายเดือนก่อน +1

    Yaani natamani viongozi wote wawe na hekima kama wewe, maana makanisani ni kutiwa hofu na michango

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 11 หลายเดือนก่อน

    Hananja mtu wa watu hawamuwezi wanaomchukia